wow am in love with this song❤❤ Ni kilio changu na maombi yangu Mungu atakapokua akikusanya Ngano na makapi/magugu nipatikane kwenye ngano😢 😢😭 kwa maana hiyo siku kutakua na kilio pamoja na kusaga meno mungu tusaindie 😢 Mama Africa sasa wacha benga .This is your lane and your calling.This song is really ministering to lives.twitiwe mathayu
Wow🙏🏼wow🙏🏼wow🙏🏼 Glory be to God alone🙏🏼🙏🏼🙏🏼 God Himself is smiling 🤩 angels are happy 💃🏼🙏🏼 People of God are happy 🙏🏼❤️ What a nice song🎶🎶🎶🎼 Congratulations 🎉👏 our song bird🕊️ Mungu azidi kukuinua,barikiwa sana mama nakupenda tu 😂
That's why ukiskia mtu akiinukia watumishi WA Mungu like Huyu keep off no one knows other persons calling na ni Mungu anaodoanga makosa ya watumishi wake