Тёмный

MAMA HARUSI AMUINGIZA BIBI HARUSI HOLINI JIONEE UTAMU MAMA NI MAMA TU 

Comex Media
Подписаться 204 тыс.
Просмотров 377 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 112   
@beathamwacha3192
@beathamwacha3192 Год назад
Umependeza mwaya Mungu azidi kukutangulia ktk ndoa yako ukawe mke mwema akulinde na husda za walimwengu
@leeafricanfashionanddesign7153
@leeafricanfashionanddesign7153 3 месяца назад
....mama harusi naye kawatia wivu mahasid zake😅
@phina8426
@phina8426 Год назад
The first table your so jealousy why do you come on her wedding 😂😂😂😂😂
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 10 месяцев назад
C🤣🤣🤣
@AsmaniZiada-xg2lh
@AsmaniZiada-xg2lh Год назад
Wivu hadi mlipo alikwa heee cuki hazifaii wivu zahiri
@FaizaAbdhalla
@FaizaAbdhalla 4 месяца назад
Majina yafaiza mashallah ss niwarembo midomo itavimba xna nabado 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FaridAbdulkarim-v3o
@FaridAbdulkarim-v3o 9 дней назад
Mashaalah mama mtu kajivunia kweli❤
@HASSANHABIBU-t2i
@HASSANHABIBU-t2i Год назад
Nikweli kunakabinti hapo kanaangalia kihusda sana!!!
@FaizMohamed-f4l
@FaizMohamed-f4l 3 месяца назад
Duh Kuna Dada mmoja Ana roho mbaya na jicho baya anamwangalia bi harusi vibaya
@AKBAR-dm9gb
@AKBAR-dm9gb 21 день назад
😂😂😂na wewe umekaona kumbe😂😂😂😂
@mwafrikatanda7532
@mwafrikatanda7532 Год назад
Haki ya Mungu huu ukumbi umejaa watu wenye wivu Sana wanamuangaria vibaya
@faridahamis2607
@faridahamis2607 Год назад
Nimeliona Ilo kipenz
@AhmadMwalim-y1n
@AhmadMwalim-y1n 11 месяцев назад
Kwel kabc ata mm nawaona
@متجرجهاد-ذ3ث
@متجرجهاد-ذ3ث 11 месяцев назад
Nkwel kabisa Wana wivu tu sana
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 10 месяцев назад
Hata mim nimeshangaasana sijui kwa nin🥲🥲🥲
@rukia1113
@rukia1113 9 месяцев назад
Walai wanawivu macho mbaya😂
@khadijahamisi8942
@khadijahamisi8942 2 года назад
Njoo wamuone ukthy Warda Mashallah Mungu awajalie Maisha marefu
@beathamwacha3192
@beathamwacha3192 Год назад
Hao meza ya kwanza mbona makasiriko kwa jambo la kheri km hilo jamani🙄
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke 3 месяца назад
فلايبارك الله لكم وعليكم ويجمع الله بينكم على خير ويرزقكم الله الذرية البطنة الصالحة ويفتح الله أبواب الرزق والخير والبركات والرحمة اللهم آمين يارب العالمين ❤🎉☝🤲☝
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 Год назад
We dada uliokunja sura vip umechukuliwa bwana!!!!??
@asiakinyasi7241
@asiakinyasi7241 3 месяца назад
Mashaa Allah
@Khatija123-kg1xz
@Khatija123-kg1xz 5 месяцев назад
Mashallaah acheni husda au mlitaka muolew nyie mimacho yakiwanga looooh
@HalimaHamadi-to4xk
@HalimaHamadi-to4xk 3 месяца назад
Ndoa mema mkaishi salama na baba na mama❤❤❤❤❤❤
@duasufiani2782
@duasufiani2782 Год назад
Wamenuna ata kucheza kumpokea biarusi hawataki ndo kashaolewa ata mkikunja sura
@husnasalim9614
@husnasalim9614 Год назад
Jamani kunadada apo roho yake mbaya maana kapandisha nakushusha
@MesahMwachepha
@MesahMwachepha 5 месяцев назад
Hee kumbe pia ww umemuona ana wivu wte umemjaa rohoni
@fatmahamesa2449
@fatmahamesa2449 2 года назад
🤣🤣🤣🤣Mwambie camera man wato walio kunja sura asiwachukuwe hee
@aminahamad1113
@aminahamad1113 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kibabysaid6692
@kibabysaid6692 Год назад
😂😂😂😂😂😂 jamani @Fatma Hamesa
@fatmazahor357
@fatmazahor357 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@rukia1113
@rukia1113 9 месяцев назад
😂😂😂😂
@MajumaMusa
@MajumaMusa 2 месяца назад
😂😂😂😂
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke 3 месяца назад
Mungu akubariki wewe na wako, mungu akukusanye katika wema, mungu akujalie uzao na tumbo zuri. Mungu afungue milango ya riziki, fadhili, baraka na rehema, Amina, Mola wa walimwengu❤🎉☝🤲☝
@Mohammedyasia
@Mohammedyasia 2 месяца назад
AMIINA
@FaizMohamed-f4l
@FaizMohamed-f4l 3 месяца назад
Harusi nzuri mashallah mungu akupe maelewano na maskizano na mume wako
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 Год назад
Mashallah mama harus nakupenda san maaa❤️❤️❤️❤️❤️
@Zubaiba
@Zubaiba 3 месяца назад
Hao meza ya kwanza mafisadi ,tena paka weusi sana,wivu wa nn wapumbavu sana nyie
@AyanYusuf-p4e
@AyanYusuf-p4e Месяц назад
Mungu Linda harusi hii wifu macho ya wengi
@HaulatMreko
@HaulatMreko 8 месяцев назад
Mashallah umepndeza
@mariamkazungu4530
@mariamkazungu4530 Год назад
Watu wanaroho za kutu wanamwangalia na macho ya husda kweli
@AKBAR-dm9gb
@AKBAR-dm9gb 21 день назад
Yaani wote wamenuna🤣🤣
@joycealex2701
@joycealex2701 Год назад
Loo jamani bi harusi kadamshi lkn wageni waalikwa ni wivu chuki au mlikuwa hamuani Kama ataolewa loo
@نورة-ذ3غ2ث
@نورة-ذ3غ2ث 9 месяцев назад
Mashaallah so cute nataka na Mimi ya kwangu nitafunga ndoa very soon inshaallah
@comexmediatz
@comexmediatz 9 месяцев назад
Inafanyika wapi harusi weka oda yako mapema chukua namba ktk hio video hio hapo
@MebakariNdaro-x8p
@MebakariNdaro-x8p 18 дней назад
Waache wivu nyoooo
@محمدالكعبي-ت9ت7ز
@محمدالكعبي-ت9ت7ز 3 месяца назад
Ila watu mnaona jmn kaah😂😂😂
@ISMAILIGHALYIGHALAMALDHIPA
@ISMAILIGHALYIGHALAMALDHIPA 3 месяца назад
Dunia limepabwa vizuri , alakini nikifikiri kuwa furaha ya dunia afifu sana ,yakata raha na upendo wa maisha ya dunia ,😢😢😢
@leeafricanfashionanddesign7153
@leeafricanfashionanddesign7153 3 месяца назад
😂😂😂😂wanawake wanawivu kinoma macho ya husband bin hasada
@SiniraAhmad
@SiniraAhmad 2 месяца назад
Umependeza❤❤
@SanuraHamid
@SanuraHamid 2 месяца назад
Mama harusi nimekipenda sana
@Muhamed_mo
@Muhamed_mo 8 месяцев назад
Kweli na mm nimeona hawana bashasha wametoa mijicho ya uchoyo tu
@ThurayaPeer
@ThurayaPeer 2 месяца назад
Mbona wengine mnamuangaliya vibaya bibi halusi shida nini mkome na vijicho vya husuda mlitaka asiolewe nyooo wewe binti unaemuangaliya vibaya mwenziyo koma
@MebakariNdaro-x8p
@MebakariNdaro-x8p 18 дней назад
Watabki n husda zao
@minahadi2190
@minahadi2190 Год назад
MashaAllah mmependeza ❤
@chikujuma18
@chikujuma18 2 месяца назад
😂😂😂watu wanaumia mioyo kuwa na subra ambao hamjapa waume mtapata kwa uwezo wake Allah inshallah
@Dadyson243
@Dadyson243 Год назад
Manshaallah mola awaridhie sana heri
@SafiSalumuBerthe
@SafiSalumuBerthe 5 месяцев назад
Masha allah ❤️❤️
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 8 месяцев назад
Nice one
@ZainabAli-gr7kk
@ZainabAli-gr7kk Год назад
Bismillah mashallah mama na bi kharous
@Zubaiba
@Zubaiba 4 месяца назад
Kana roho mbaya kama sura yake,,pumbavu sana
@ZawadiIbrahim-rp6uj
@ZawadiIbrahim-rp6uj 5 месяцев назад
Kweli kabsa achen wivu jaman
@sabrinamasoudy6426
@sabrinamasoudy6426 Год назад
Mijicho yao ya husda lol
@AsmaniZiada-xg2lh
@AsmaniZiada-xg2lh Год назад
Mama wa bii harusi ongera nimekupenda bure
@aliyahaji8512
@aliyahaji8512 Год назад
Nataka kuimbiwa qaswida nzuri za harusi kuzisifu family zote mbili unaimba na pesa ngapi
@comexmediatz
@comexmediatz Год назад
Tutafute kupitia namba hizi 0626966000 WhatsApp Tuwasiliane
@aliyahaji8512
@aliyahaji8512 Год назад
Nitumie number zenu za what's up na naweza kupata kivipi hizo qaswida za harusi na ni pesa ngapi kuimba
@chidomobile9546
@chidomobile9546 Год назад
@@comexmediatz mpo wap
@khadijaomar9653
@khadijaomar9653 5 месяцев назад
Wakwanza kbc Apo mla gn
@JoshuaSanga-xv9gs
@JoshuaSanga-xv9gs 4 месяца назад
Watu waliopo ndan ya ukumb wanawivu hatar
@YasintaZayumba
@YasintaZayumba Год назад
Nime kupenda bure mama angu
@FahadZubeir
@FahadZubeir 4 месяца назад
Pambe❤❤❤❤❤
@Zubaiba
@Zubaiba 4 месяца назад
Hichi kidada kina roho mbaya ivo vp
@monamizi1010
@monamizi1010 Год назад
Mashalla
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Год назад
Masha Allah tabaraka Allah
@RukiaRamadhani-x5g
@RukiaRamadhani-x5g 7 месяцев назад
Mashallah ♥️
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
Mmejitahiji saana kuitia sherehee hii iwe ya kidini,mmeharibu mafumbo,na kuwai giza wanaume,kumbe Wanawake wangeweza kazi zote humo
@NasraSaid-qc5hf
@NasraSaid-qc5hf 10 месяцев назад
Mwenzangu sasahivi watuwanajifanyia tuu mambo ya kikiristo hawajali
@aishavogelmann5021
@aishavogelmann5021 Год назад
Santaaaaaa masha allah
@AwzaMstafa
@AwzaMstafa 5 месяцев назад
Mpaka kanamnyari wivu huo
@mwanajumanduni3375
@mwanajumanduni3375 Год назад
Masha allah
@saumbliz8983
@saumbliz8983 9 месяцев назад
Yani kuna wabaya hapo ukumbini
@MorrySamwel
@MorrySamwel 7 месяцев назад
Mashallah
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 4 месяца назад
❤❤❤
@leilajafar4342
@leilajafar4342 Год назад
Mashaallah
@jokhasaid8666
@jokhasaid8666 Год назад
Mama harusi pambe
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Год назад
Pambe kweli si utani
@YasintaZayumba
@YasintaZayumba Год назад
Ume pendeza mwaya
@SiniraAhmad
@SiniraAhmad 2 месяца назад
Umenoga❤❤❤
@Mrdmane
@Mrdmane 11 месяцев назад
@feisal6592
@feisal6592 2 года назад
Sishiki.mafiki bibiharusi mbonavwalishndwa moakjaavwakulizakamm wajuwa najwambiyabdawa yaoo ninndogooo nisikizenii mkwaa mweziii mmojjaa tumalize shida pwanii
@aminahamad1113
@aminahamad1113 Год назад
Hiii ndo lung gan
@thuwaybah5679
@thuwaybah5679 Год назад
@@aminahamad1113 bora tuulize😀😀
@hamidasira4543
@hamidasira4543 Год назад
Lugha gan mbona haijaeleweka
@WELCOMETOTHE.5
@WELCOMETOTHE.5 Год назад
🎊
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Kwn hazijaisha hz video
@comexmediatz
@comexmediatz 2 года назад
C ndo unaziona zinatiwa au na wwe una zako nuzitie 😆😆😆😆
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
@@comexmediatz njoo uchukue zng
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
@@comexmediatz nashangaa tuu maana hy bi harusi ameshasahau ww tn hy wajitumikisha
@comexmediatz
@comexmediatz 2 года назад
@@khadijahali4837 unazo kwani ,
@comexmediatz
@comexmediatz 2 года назад
@@khadijahali4837 chukua namb ktk hyo vdeo alaft ntafte ntakuj chkua na zako
@halemamoon1782
@halemamoon1782 Год назад
Mashaa Allah
Далее
Гаджет из даркнета 📦
00:45
Просмотров 174 тыс.
Wapeni Njia Warembo
13:06
Просмотров 924 тыс.
Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Music Video)
4:11
Гаджет из даркнета 📦
00:45
Просмотров 174 тыс.