Тёмный

Mambo 3 matatu muhimu kuzingatia ukitaka kufanikiwa Paul Magola 

Paul Magola
Подписаться 3,9 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Watu wengi tumekuwa tukitapatapa juu ya nianzeje na ninihasa kitanifanya niianze safari ya mafanikio, hapa Paul Magola ameelezea jinsi ya kuianza safari ya mafanikio bila kutegemea pesa kama mtaji. Watu wengi wameshindwa kuanzisha biashara miradi, makampuni au chochote kinachoweza kuwaingizia kipato na kufanya ndotozao zitimie , hapaa Bwana Paul Magola kaelezea namna ya kuanza na kutambua uwezo wako. Tafadhali tunaomba kama mafundisho haya yanakufaa usikose ku subscribe kwenye channel yetu kujifunza zaidi na pia usisahau ku share video hii na watu unaowapenda.
au kutuandikia katika e-mail magolapaul@gmail.com
Instagram #paulmagola
Tweeter @paulmagola
Facebook page Paul Magola

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@instituteofsuccessios5416
@instituteofsuccessios5416 4 года назад
uwezo wako na ujumbe kwa sisi vijana ni kama chachu ya kujua nn tunataka katika maisha yetu na namna gani tunaweza pambana kufika pale tunapotaka fikia. jitihada, kujituma, nidhamu na kutoangalia nyuma kwa kukata tamaa twaweza songa mbele ...powerful #paulmagola
@allyzahoro655
@allyzahoro655 4 года назад
Good
@jacotreez2314
@jacotreez2314 3 года назад
Nakubali sana brow paul
@djcoco_designer5739
@djcoco_designer5739 4 года назад
Safi paul Magola
@vemchannel2018
@vemchannel2018 2 года назад
Barikiwa
@johnmakame8449
@johnmakame8449 4 года назад
Kweli
@nangamedia656
@nangamedia656 5 лет назад
Kweli kaka nimejifunza mengi sana kupitia mafunzo yako , Mungu akubariki sana , natamani kila kijana aweze walau kuyapata mafunzo yako kwani naamini yataisaidia sana jamii yetu
@MichaelAbely
@MichaelAbely 10 дней назад
Mr p mambo vp
@alimali9552
@alimali9552 2 года назад
Paulo mimi naitwa Ali mali nipo babati tz mimi huwa kila kipindi cha TV huwa nakusikiliza mimi napenda sana ufugaji wa kuku nataka uwe kocha wangu
@madatamhondo6905
@madatamhondo6905 5 лет назад
Safi sana kaka najifunza mengi sana kutoka kwako bro Magola
@SerengetiVibes
@SerengetiVibes 4 года назад
Yes bro I understand your inspiration, I guess you are the best to be in Tanzania
@paulmagola1842
@paulmagola1842 4 года назад
Thanks for your appreciation brother
@Iamjoecost
@Iamjoecost Год назад
Live kaka
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 5 лет назад
Safi sana, God blessing u much
@mtashambazibwa
@mtashambazibwa 5 лет назад
Ubarikiwe
@hamismatimbalendy2091
@hamismatimbalendy2091 2 года назад
Mm naitaji kitambu Cha ujasiliamsli
@allyzahoro655
@allyzahoro655 4 года назад
Good
@nangamedia656
@nangamedia656 5 лет назад
Stay blessed brother Paul Magola
@casianmlwilo355
@casianmlwilo355 2 года назад
Naitwa casian Mlwilo huwa nafanya kazi ya u mc kwenye sherehe ndogo ndogo naomba msaada wa mwongozo ili nifike mbali zaidi
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 4 года назад
Watu wanadanganyika etii kuna mwalimu wa mafanikio mafanikio ni bahati na nisiri kubwa sana katka maisha usjaribu kufata structure za kufundishwa lakin uwe na kitu unacho kifanya
@johnmakame8449
@johnmakame8449 4 года назад
kweli kaka wajina wangu magola me naitwa john magola simba mbili kalibu kwetu
@HassanKilliwe-ml9ol
@HassanKilliwe-ml9ol 7 месяцев назад
Naitwa hassan mussa killiwe nimefurahia muongozo wa mafanimio ulio utoa hapo ulipo kuwa mipango nakupa pongezi kaka
@paulmagola1842
@paulmagola1842 7 месяцев назад
Asante kaka
@lonnie546
@lonnie546 5 лет назад
wonderfull product in my life is you i love you bro
@paulmagola1842
@paulmagola1842 5 лет назад
Thanks so much my blood brother
@Divinetvgodsvoice
@Divinetvgodsvoice 5 лет назад
Congratulations my brother you have said it all
@paulmagola1842
@paulmagola1842 5 лет назад
Much appreciate Sir, man of God prophet Divine Angel
@danielsimwanza1046
@danielsimwanza1046 Месяц назад
Broo izo unafanya vizuri upo vizuri ila toa nyimbo izo kwenye vidio kazi yako inaongea
@KephaSoap-ld6tp
@KephaSoap-ld6tp Год назад
Nahitaji niwe mwanafunzi wako mtumishi
@maduhumasuke8770
@maduhumasuke8770 2 года назад
Mh poul magola kipindi chako kinaelimisha sana naomba namba yako kwa mawasiliano zaid📱📲
@paulmagola1842
@paulmagola1842 2 года назад
0710152174
Далее
SHIDA YA DENI NI HUWEZI KUTEMBEA.
7:31
Просмотров 6 тыс.
Презентация iPhone 16 за 4 минуты
04:00
How Jim Kavanaugh Went From Olympian To CEO
39:49
Jinsi ya kuwa Mjasiriamali au mfanyabiashara
17:45
Просмотров 6 тыс.