Assalamu alaykum warahmatullah Wabarakaatuh, mimi nmeanza leo kuangalia video za channel hii especially ukhty fatma, nmependa saaaaaanaaaaa, saaaaanaaaa, jazaaka _llahu_l_khayr, mnatuelimisha vyema vijana, ahsanteni saaaaanaaaaaa, namuomba allah awalipe ujira wa zaid ya mnaostahiki, amiiiin🤲, channel ni nzuri na mimi naaanza kuifatilia kadri video zinapotoka, 👍
Asalam alaikum wahmatullah wabarakatuh nina swali mimi Nina mkee mmoja lakini naitaji kuongeza wa pili nilazima ni mjulishe mkee wangu wa kwanza kama nataka kuowa ndo swali langu iloo jibu ntashukuru