Тёмный

Manengo Ft Stamina & Mr blue - Bomba ipepee (Official Music Video) 

Manengo
Подписаться 36 тыс.
Просмотров 294 тыс.
50% 1

#Manengo #Bombaipepee #Stamina #MrBlue #SlideDigital
(C) Free Nations
Manengo Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/manengo
Written & Performed by Manengo
For Bookings : Rafaelmanengo@gmail.com
Raphael Charles Lucas popularly known as Manengo,is an hiphop artist in Tanzania (Recording Artist/ Music composer). He was born 1995 in the city Mwanza .Manengo has achieved massive gains through his mostly liked songs “ Bomba Ipepee, warm up/ warm up remix and a lot of nice songs which are doing great in east Africa
Follow Manengo on:
Instagram: / manengo_tz
Facebook: / manengo.tz
Twitter: ma...
Tiktok: www.tiktok.com...
Bombaipepee● • Manengo Ft Stamina & M...
Habari●
• Manengo - Habari (Off...
Kwambinde● • Manengo - Kwa Mbinde (...
Jirani●
• Manengo Feat Belle 9 -...
Kwaheri●
• Manengo_ Kwaheri (Offi...
Mbuzi●
• Manengo_Mbuzi (Officia...
Warm up●
• Manengo - Warm Up (Off...
Hayana Jipya●
• Manengo Ft Belle9 & Mr...
Warm up remix●
• WARM UP (Remix)_Maneng...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 354   
@dishangib
@dishangib 10 месяцев назад
Banger Hit Noma Sana Hatari Sana Aiseeee Noma Sana Nakubali Aiseeee Noma Sana 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@zezenature
@zezenature 5 лет назад
mko na bahati saaana Mr Blue hajachana hpo ndani cz mgefunikwa vinoma...love from 254
@datikazumari515
@datikazumari515 5 лет назад
Zeze Nature kweli kabisa
@sultanhassan7928
@sultanhassan7928 4 года назад
Hamna wewe...unamtambua stamina unamjua
@brianescobar6578
@brianescobar6578 3 года назад
Punchline ni manengo flow ni stamina enjoy the good music acheni comparison za kisenge
@zezenature
@zezenature 3 года назад
@@sultanhassan7928 namkubali pia bt byser ndio msee wa hardcore Sana kuliko yeye
@zezenature
@zezenature 3 года назад
@@brianescobar6578 umetuambia fikra zako nawe pia....acha tuwe huru
@husseindatto8359
@husseindatto8359 3 года назад
Naombeni like
@ramadhanminani314
@ramadhanminani314 4 года назад
yani mmeuwa kinoma kabisa iyi nyimbo kali kiukweli hip pop halisi
@ayubauyb1233
@ayubauyb1233 5 лет назад
Bonnge la bitiiiii
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 5 лет назад
Stamina umetisha kama kawaaa
@BONGO_FILAMU
@BONGO_FILAMU 5 лет назад
Nani kagundua ngoma Kali... Kabla hujamsikia Blue na stamina
@mathewsephraim7425
@mathewsephraim7425 5 лет назад
Ngoma kali aseeeeeeee Ira huyu manengo ndio kwanza gonga like km umeielewA Bomba ipepee
@anordjosphatmasenemangosha1565
daaaaaaaaaaa ngoma kal sanaaaaaaa MANENGO
@daprinceonit909
@daprinceonit909 5 лет назад
Yani me nimtam mpaka nandi Ali niomba Nim nogeshe. Kauli mbiu. Blue Nika subiri rap yake aaah ingekua kamili au sio. Bomba ipepee. Pika like ukienda kwani iko nini
@witnessanga3670
@witnessanga3670 5 лет назад
Bonge moj la ngom manengo sio poa
@musaally5493
@musaally5493 5 лет назад
Manengo nakukubali sanaa hyo umeua zaid ya kwa mbinde salute kwa wanaa mkuyun mwanza @Jimmy tz adolf beat
@mabustheboy9555
@mabustheboy9555 5 лет назад
noma saana
@sefusai5334
@sefusai5334 4 года назад
Niko bar nakunywa pombe magufuli😎😎😎😎😎manengo
@kevincray5591
@kevincray5591 5 лет назад
rock city similiki demu similiki shem💥💥💥✍✍✍dogo unaandika sana utawauwa
@mkapaliberatus3636
@mkapaliberatus3636 5 лет назад
Noma sana an hapo mmekutana wote mnajua kaz
@Ishengoma1
@Ishengoma1 5 лет назад
Jamaa anavyo itamka bodaaaaah dah!
@shozylamparboom8393
@shozylamparboom8393 5 лет назад
wazee wa doria Tujuane hapaaa...Team Hip hop no bana bana pua na vidole juu hapa
@listerboyka2672
@listerboyka2672 4 года назад
Nipo Bar nakunywa Pombe Magufuli 😂🔥🔥
@harrismalone2316
@harrismalone2316 4 года назад
Nakubal boi unajua xana
@machimulubinza5646
@machimulubinza5646 4 года назад
Nmeipenda manengo
@tomplexbrigedier2282
@tomplexbrigedier2282 5 лет назад
Pole sana mnafiki Mr yuda mbele angu huwezi tamba" Naona unapoteza muda kama mshenga wa dogo janja" Bba lao jeshi la watu wafupi heshima Sana
@hamiarsuleiman7361
@hamiarsuleiman7361 5 лет назад
TOMPLEX Robert nitumie hii +971509758528
@KuppeBurrows
@KuppeBurrows 5 лет назад
sina dem sina Shem ##na ukiona najichua jua namaumivu sehem##
@gervaskasala7321
@gervaskasala7321 4 года назад
Manengo upo juuuu,
@youngtaiz8359
@youngtaiz8359 5 лет назад
mwanangu manengo umenyooshaaaaa
@ibramuramadhani8769
@ibramuramadhani8769 3 года назад
Nomaaaa
@tgeofrey
@tgeofrey 2 года назад
Shikamoo Manengo, Stamina, Mr Blue
@hmatta3024
@hmatta3024 5 лет назад
Unapoteza muda kama mshenga wa dogo janja 😂😂 like kwa stamina
@issahshamte7273
@issahshamte7273 5 лет назад
H Matta
@bahatididas1397
@bahatididas1397 5 лет назад
H Matta h
@pastorayubu4795
@pastorayubu4795 4 года назад
Bonge la ngoma
@magweigamnanka2637
@magweigamnanka2637 4 года назад
Staminaaa tisha ndani
@christophersoty101
@christophersoty101 5 лет назад
😂😂😂😂😂Amenikimbia MWANZA kaenda TABORA kaliwa wapi like za @MANENGO
@kizingahamimu5577
@kizingahamimu5577 5 лет назад
Umetisha iii ngoma makini sana
@rainzaskatenga5643
@rainzaskatenga5643 4 года назад
Big up full time
@yusuffabian4773
@yusuffabian4773 4 года назад
rock town nakbali wanangu
@madraxnative1303
@madraxnative1303 5 лет назад
Mziki wa bongo jitaid kuwa na easy name bro...huoni kinachowaghalimu watt wa kiba wote majina yao yamekuwa mazito kwa mashabiki
@barnicoztv491
@barnicoztv491 5 лет назад
bonge la ngoma hili
@leaderkyejo1705
@leaderkyejo1705 5 лет назад
Mm ni mtamu mpaka nandy aliniomba nimnogeshe ,,,,,,,,,,,hatareeeee
@manothotz813
@manothotz813 3 года назад
Mistali imetulia kweli kweli
@HabilyTech
@HabilyTech 5 лет назад
Moro stand up say STAMINA 💥💥💥💥💥💥
@rajabumatuwira8792
@rajabumatuwira8792 5 лет назад
"wambieni watabiri wa ndoto mi hiz ndoto znanionea, maana nkilala na mto huwa naotaga naogelea, na ununda wangu wote cjawahi kwenda segerea, gheto navuta subira kuliko poda na mmea"
@Kamjay_baba_jayden.
@Kamjay_baba_jayden. 5 лет назад
Noma hiii👊👊👊👊
@mathiasmkude362
@mathiasmkude362 5 лет назад
Kiukweli stamina unakipaji unajua nini unafanya kazi nzuri sana
@ahmedmahmudu1046
@ahmedmahmudu1046 5 лет назад
haya basi wote wakali ila tuliokuja kwa ajili ya mr blue tujuanae
@aziziwailu7531
@aziziwailu7531 2 года назад
Nomaa saanaaaaa
@bujiboytz4650
@bujiboytz4650 5 лет назад
"Nipo Kenya napewa papajones na kaligraph". Manengo
@wamichapotz9530
@wamichapotz9530 5 лет назад
Wakubwa ni wakubwa tu kama umenielewa wake like tusepe na jahazi tuvuke borda.
@mkapaliberatus3636
@mkapaliberatus3636 5 лет назад
Wacha bomba ipeeeeee woyooooooo
@marjanmahrez5465
@marjanmahrez5465 5 лет назад
Manengo pamoja sana ngoma kali
@silassteven9682
@silassteven9682 5 лет назад
Hii ngoma kaliii kinyama
@abubakarmaalim273
@abubakarmaalim273 5 лет назад
Hili goma shidaaaaa
@hassanngea8430
@hassanngea8430 5 лет назад
Big up sana mmetisha mbaya humu
@batterylow0.57
@batterylow0.57 4 года назад
Qaliiii
@molodashnonde2413
@molodashnonde2413 5 лет назад
Manengooooooooo kwambinde badotupo
@mosesmhina9980
@mosesmhina9980 5 лет назад
Mmesimama sana maninja kwenye hichi kichupa
@emanuelmwakibuja4598
@emanuelmwakibuja4598 4 года назад
Daaa mistar babkubwa big Sana stamina manengo na Mr blue mnanifanya nienjoy hip-hop stand-up
@habarimtaani2254
@habarimtaani2254 5 лет назад
Ukiona natingisha kichwa angalia na Nazipu mana nina vichwa viwili ninavyotumia Nimecomment tena jamanii😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@karimunjaid4271
@karimunjaid4271 5 лет назад
Uyu jamaa anachana sanaa
@fatmahamisy4912
@fatmahamisy4912 5 лет назад
Manengo 😷😷🙌🙌🙌
@yusuphpetro2639
@yusuphpetro2639 4 года назад
Noumaa😍
@homefilmz7400
@homefilmz7400 4 года назад
Dooo
@jeffchurum1431
@jeffchurum1431 5 лет назад
Hip hop irudi. Love from 254
@stahncalifornia214
@stahncalifornia214 5 лет назад
nyimbo kalii itakupeleka mbele
@bibomax4273
@bibomax4273 5 лет назад
ManenGO Monster
@salimkombo7119
@salimkombo7119 2 года назад
Uko juu mwanangu stamina
@mwandegeplaza6504
@mwandegeplaza6504 5 лет назад
Ngoma kali saaana
@abdulrahmanomar6963
@abdulrahmanomar6963 5 лет назад
Mzee baba hatari fire 🔥🔥🔥yaani moto we gas......"
@tonybestsenior8874
@tonybestsenior8874 5 лет назад
Kali Sana!
@emmanuelbonaventura4258
@emmanuelbonaventura4258 5 лет назад
Kali sanaa
@pedrorachide6932
@pedrorachide6932 5 лет назад
Mozambik 2nakumis sana Brow unaweza sana.
@afrotrending9037
@afrotrending9037 5 лет назад
Nimeelewa kaz
@sadcommpalestina516
@sadcommpalestina516 5 лет назад
wambien watabir wa ndoto, izi ndoto mimi zinanione mana nikilalaga na mto naota naogelea
@ramangole9501
@ramangole9501 5 лет назад
Nifayaaaaaaaaaaa
@shanizyusuf8210
@shanizyusuf8210 5 лет назад
Stamina vichwa viwili😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃nyinyi watu atarii
@jobushabani9793
@jobushabani9793 4 года назад
Duuuuuuuuuuuui!!!!!!
@legawayz6093
@legawayz6093 3 года назад
Blue nouma 💪💪
@kadaawizaa5588
@kadaawizaa5588 5 лет назад
XAFII Xanaa Mr Blue imeweze Hawatosh wanaingaa # wasafii
@daudsango4104
@daudsango4104 5 лет назад
Daaaaaaaaaaaaah Mmeuaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@alexsadala4059
@alexsadala4059 5 лет назад
nitaendesha ata garilaya
@MK-xw7zr
@MK-xw7zr 5 лет назад
Sana bro
@bugabasanga6239
@bugabasanga6239 Год назад
Hii moto mbati 2023
@michaeljr9218
@michaeljr9218 5 лет назад
Hahahahha stamina uwiiiiiiiii umeuaaaa
@mageuzimalya8386
@mageuzimalya8386 5 лет назад
Oooho nan huyo
@josephwangui7312
@josephwangui7312 5 лет назад
stamina blue Kali saana
@rubenimnzava1489
@rubenimnzava1489 3 года назад
Mia xana leader unajua
@clintonsyldion7684
@clintonsyldion7684 4 года назад
dogo umetisha kinoma
@kibwamoko8767
@kibwamoko8767 5 лет назад
ni noooma manengo, stamina wote mmekaza. Ila manengo unakuja vizuri sana.
@neemabeib5472
@neemabeib5472 5 лет назад
from +254 i rly love tha song ...viva mr blue n stamina
@famitoissanawanda7011
@famitoissanawanda7011 5 лет назад
Kweli kaka ngumu kumeza
@amanikimbee6559
@amanikimbee6559 3 года назад
Ngoma ipepee
@faustinekulwa2596
@faustinekulwa2596 2 года назад
Ngoma kariii
@tomplexbrigedier2282
@tomplexbrigedier2282 5 лет назад
Heshima Sana...
@athumaninuru6513
@athumaninuru6513 3 года назад
Noma kilo mbiliiii
@rockgenic3901
@rockgenic3901 5 лет назад
manengo umeuwa Sana aldof sasa amekuwa
@hajjichibu8117
@hajjichibu8117 5 лет назад
kali mr blue no nooooooooma big up gonga like kama una mkubali mr blue😍😘
@woltabenadi2184
@woltabenadi2184 5 лет назад
Stamina umeuwa nakukubali kinoma
@sidebare6645
@sidebare6645 5 лет назад
Nmekubal stamina
@mabustheboy9555
@mabustheboy9555 5 лет назад
noma sana
@mabustheboy9555
@mabustheboy9555 5 лет назад
Poa
@amolove_tzamolove_tz9655
@amolove_tzamolove_tz9655 5 лет назад
Wewewewewe!! Naona mmepenya kisa mkali weni kaimba coras ila mmetishaaaaaaaa maan na mm nikilalaliaga MTO huwa na.......
@janewambui1523
@janewambui1523 5 лет назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@abubakaryngajima1341
@abubakaryngajima1341 5 лет назад
Sema nyiny mmekosea hpo kuhusu ucmba na uyanga mnapunguza mashabiki
@youngmasta5444
@youngmasta5444 5 лет назад
Unapungua ww usiyejua fasihi
@paulmaganga1313
@paulmaganga1313 5 лет назад
Guuudaa
@daudsango4104
@daudsango4104 5 лет назад
Nimrudia mara 10
@omabizo686
@omabizo686 5 лет назад
Ukiniona natingisha kichwa cheki na zip maana na vichwa viwili na navitumia kila Siku daah hapo pakali asee
Далее
Manengo - Warm Up (Official Music Video)
4:11
Просмотров 90 тыс.
Apple Event - September 9
1:38:50
Просмотров 25 млн
SADAKA
3:53
Просмотров 12 тыс.
Manengo_ Kwaheri (Official Music Video)
4:33
Просмотров 41 тыс.