Tumeyakubali maneno ya Mh Nape ila nayeye tunamchana mapema kbs iyo radio sio ya ccm mwenye radio amesema wanasiasa wanamuziki nk.sasa isije itokee siku TUNDU LISU atake kuja hapo atoe maagizo yake bado hajasaidia kitu kwa kujipambanua kwake mbele za watu kuelimisha watu bado