Тёмный
No video :(

MANGE KIMAMBI INTERVIEWS HAMISA MOBETTO (prt 3) 

Rising Star Entertainment
Подписаться 2 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

#mururitv #kikuyucelebrity #karennyamu #gossipnews #eddaynderitu #udaku254 #udaku254 #kamemematuraini #inoorofm #kameme #carrymastory#hamisamobetto#mangekimambi#mangekimambi_#simulizinasauti #gossipnews#udaku254

Опубликовано:

 

7 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 5 месяцев назад
Tusiyolipiya app tukutane hapaaa asateeee😂😂😂😂😂
@Biancaaa12345
@Biancaaa12345 2 месяца назад
Diamond didn't want Hamisa Mobetto to Shine in Tanzania but Mungu ni Mungu Hamisa is big Brand today than Diamonds women today. God is a live ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-cw6jq7cv2k
@user-cw6jq7cv2k 4 месяца назад
Interview ni refreshing, got the good side of both you all. Much ❤
@Rising982
@Rising982 3 месяца назад
Glad you enjoyed it!
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 5 месяцев назад
Jamani nampenda mange na hamisa dahh nimechukua mda wangu kusikiliza msije kukosana
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda 5 месяцев назад
Alimpenda sana yule watandale and deep down till todate. Lakini yule jamaa hapendeki na kavurugwa. Na Mtoto inaonekana ni wa kwake 100% , Kweli anahitaji Cancelling kutokana na mapitio yake ya nyuma. Anajikuta anawaumiza awapendao bila ya huruma. 😨
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 5 месяцев назад
Khaa 😳mtoto kama sio wako umuache huko huko 😂😂😂 inawezekana hiyo 😂
@AfricaQueen
@AfricaQueen 5 месяцев назад
😂🤣😂🤣Dah! Poleee mpaka Leo walia tu!🤔Lea mwanao mamaaaaa ✍🏽
@NusraHozza-qp8yy
@NusraHozza-qp8yy 4 месяца назад
Mange una sauti nzuri
@user-jr4cb6zf3u
@user-jr4cb6zf3u 4 месяца назад
❤❤❤😢😢
@blackandblackandblac
@blackandblackandblac 4 месяца назад
Hobeto bado ana mtaka Diamond Mwanamke mjinga kama nini
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy 5 месяцев назад
mengine ni ya 😂😂😂 tu maana
@kagoyemwambal9061
@kagoyemwambal9061 5 месяцев назад
Na cku akija kusema anataka yaishe..hamisa ujee huku na mange na ss tutoe yetu ya moyon ya huyu mond tumpake vzr..haswa hakuna kumpa amuangalie kwa macho tuu
@tuikezeezra1315
@tuikezeezra1315 5 месяцев назад
Kifua Cha mange kimambi sijakielewa!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AfricaQueen
@AfricaQueen 5 месяцев назад
😂🤣😂🤣atapasuka futuzaaaa😂🤣😂
@scolasticahenry21
@scolasticahenry21 5 месяцев назад
Daah🤣🤣🤣🤣
@ramak.9587
@ramak.9587 4 месяца назад
Ata yeye mwenyewe hakielewi😂😂
@redemptajerry5446
@redemptajerry5446 5 месяцев назад
akafanye DNA Mtoto wa Zari yule pili siyo wake kabisa. anafanana na mume wa zamani wa zari. wake pale ni bint tuu
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy 5 месяцев назад
mtoto wa zari yupo kwenye kwenye ukoo, na juzi kaonyeshwa mali kazi kwenu wenye kulazimisha mtt awe wa dai
@redemptajerry5446
@redemptajerry5446 5 месяцев назад
amepata mali upande wa Dai au mume wake wa zamani. mimi siyo shabiki ila mtoto anapozidi kukua anazidi kumfanana mume wa zari wa zamani
@redemptajerry5446
@redemptajerry5446 5 месяцев назад
anamfanana Ivan.
@faiththawe8928
@faiththawe8928 5 месяцев назад
We mbwa
@namsamson3443
@namsamson3443 5 месяцев назад
Umezidi kutiwa tiwa sana ndio maana wanaume hawana amani na watoto wanaozaa na wewe
@blackandblackandblac
@blackandblackandblac 4 месяца назад
Fact huyu bado ana mtaka Diamond
@namsamson3443
@namsamson3443 5 месяцев назад
Huyo naye na kigugumizi chake anarukia rukia mazungumzo wala haipendezi acha Hamisa aongee ukiweka kigugumizi chako unatoa ladhs
@faiththawe8928
@faiththawe8928 5 месяцев назад
Mbwa nana amtake
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 4 месяца назад
Rea watto wako my me narea watto wangu hata pesa ya bba wa mtto sijui nimeona nije Oman nire watto wangu Kwan mtto akiwa Hana bba haishi au hapumui
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 4 месяца назад
Naomba nije kuungana na wewe
@FurahaMadeje
@FurahaMadeje 5 месяцев назад
Mamboo
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 5 месяцев назад
They are not together I understand 😢😢😢😢😢😢
@user-kh5kk1js4c
@user-kh5kk1js4c 5 месяцев назад
Why no English we are not understanding speaking English please 😂😂😂😂😂😂
@OmariNyota
@OmariNyota 5 месяцев назад
Why no Swahili we are not understanding spanking Swahili please 😂😂😂😂😂😂
@user-kh5kk1js4c
@user-kh5kk1js4c 5 месяцев назад
@@OmariNyota Am from Sierra Leone 🇸🇱 stay in the USA 🇺🇸 OK am not speaking swahili
@shekhaissa9154
@shekhaissa9154 5 месяцев назад
Just press translate to English. It will do.​@@user-kh5kk1js4c
@ramak.9587
@ramak.9587 4 месяца назад
​@@user-kh5kk1js4cTafta translate acha kusumbua watu
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda 5 месяцев назад
Alimpenda sana yule watandale and deep down till todate. Lakini yule jamaa hapendeki na kavurugwa. Na Mtoto inaonekana ni wa kwake 100% , Kweli anahitaji Cancelling kutokana na mapitio yake ya nyuma. Anajikuta anawaumiza awapendao bila ya huruma. 😨
@redemptajerry5446
@redemptajerry5446 5 месяцев назад
Wa tandale ni nani
@FurahaMadeje
@FurahaMadeje 5 месяцев назад
Mamboo
@sophiemohammed9961
@sophiemohammed9961 5 месяцев назад
Diamond 😅😅 ndio wa tandale
Далее
Zuchu Na Diamond Looks Wakiwa Vacation Dubai
1:02
Просмотров 2,2 тыс.
OBINNA SHOW LIVE: SIBEMBELEZI MWANAUME - Hannah Benta
2:08:43