Тёмный

MANGEKIMAMBI ATOA TAARIFA MPYA MWEZI MMOJA BILA PAUL MAKONDA ILIYOWAFURAHISHA WATANZANIA " TEUZI " 

UHURU MEDIA ONLINE
Подписаться 223 тыс.
Просмотров 50 тыс.
50% 1

MANGEKIMAMBI ATOA TAARIFA MPYA MWEZI MMOJA BILA PAUL MAKONDA ILIYOWAFURAHISHA WATANZANIA " TEUZI "
#mangekimambi #mangekimambi_ #paulmakonda #arusha

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 132   
@estevamennjau4267
@estevamennjau4267 28 дней назад
Mungu akulinde makonda.Ninashukuru Mungu uko hai
@MarthaNtibani
@MarthaNtibani 22 дня назад
Asante Mungu, Kwa kuepusha yaliyosemwa na wanadamu, Mungu wetu Uzidi kumlinda Makonda, Iko Cku dhulma itpungua Tanzania, na Mnyonge atakuwa na HAKI. Tulikukumbuka sana Tulikesha, tukiomba, Tulirejea kifo Cha MWONGOZA NJIA wetu MAGU.
@marcelinasulley5502
@marcelinasulley5502 27 дней назад
Mungu akutunze mheshimiwa Makonda, hakika ninamshukuru Mungu. Nakupenda sana
@annesmatemu4264
@annesmatemu4264 28 дней назад
Mungu akulinde
@HadijaChakame
@HadijaChakame 28 дней назад
Nimefurahia sana Leo nitakula nishibe.asante MUNGU nampenda sana MAKONDA.Wema wake naujuwa kwangu MUNGU AKULINDE BROTHER
@happysonlukumay3437
@happysonlukumay3437 28 дней назад
Hongera kwa kurudi katika kutumikia taifa while uko na nafasi katika kuendeleza jahazi la wananchi
@AbdallaSalim-n6u
@AbdallaSalim-n6u 27 дней назад
Vizur
@user-lc6te2pe2l
@user-lc6te2pe2l 26 дней назад
Kwakweli tunamshukuru Mungu kama mzima .Mungu akulinde sana akuepushe na hila za waovu Makonda.
@Maryc2G
@Maryc2G 28 дней назад
Makonda nimefurahia kukuona. Mungu apewe sifa 🇹🇿🇹🇿
@ZawadiSaid-x6f
@ZawadiSaid-x6f 28 дней назад
Kwa kweli mungu akulinde makonda akupe maisha marefu
@DoricaMarco
@DoricaMarco 24 дня назад
Nimefuri kukuona ukiwa mzima mungu apewe sifa na utukufu na azidi kukufunika na damu ya yesu
@RehemaFord25
@RehemaFord25 24 дня назад
Yesu akuinue, ni wakati wa mungu kwako rc Paul makonda wewe rais wa wakati ujao, yesu nimwema
@ElisianaMbise
@ElisianaMbise 22 дня назад
Asante jehova umebadilisha maneno ya wanadamu,,yupo hai
@EsterGodwin-m7g
@EsterGodwin-m7g 24 дня назад
Mungu akupe maisha marefu mtumishi wa mungu
@faustinakitomary
@faustinakitomary 27 дней назад
waaaaao, ashukuriwe MUNGU ,long life makonda.
@SatoMassaba
@SatoMassaba 28 дней назад
Mungu ni mwema azidi kumlinda kipenzi cha watanzania hasa wanyonge.
@user-ej5sl9mn5k
@user-ej5sl9mn5k 25 дней назад
Mungu ni mungu2 bali hao waliotoa uongo huo wakamatwe angekuwa mlala hoi ingekuwa shida
@tobiaskisaukisau
@tobiaskisaukisau 23 дня назад
mungu akulinde zaidi hapo
@PasteurLubenga
@PasteurLubenga 27 дней назад
Asante sana kuatarifahii ya kiongozi wetu,RC,makonda kuwamzi, kueli tumegunduwa wanaomupenda ,RC,makonda ,Pia tumewaona maadui walio semavibaya, sifa imurudi Mungu wambinguni anaye mulinda RC,makonda, Pia raisi wetu Samia,
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 27 дней назад
Amyn
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 28 дней назад
Mungu wa Mbinguni!! tumechoka na habari tofautitofauti! habari zenye matumaini, na furaha, lakini habari za kuvunja moyo za maumivu. Hii ni sababu sio wte wanampenda Mtu wa Mungu Makonda wetuu. Tulio wengi, na wenye myo safi na mapenzi mema na Makonda wetu tunampenda Mungu sikia vilio vyetu wenye mapenzi mema na Kijana wetu. arudiiii!! ili kuwaaibisha mashetani wachawii wake.
@eleonorashirima1604
@eleonorashirima1604 28 дней назад
Jamani Bora awe salama tuuu mengine tumwachie mungu
@fredrickshantiwa9710
@fredrickshantiwa9710 28 дней назад
Makonda Mungu akulinde huko uliko
@NeemaIssah
@NeemaIssah 28 дней назад
Mimi mpaka nimuone hivihivi badosiamini tuliambiwa rais wetujpm yumzima anachapa kazi baadayasiku mbilitatu tukatangaziwa yakumiza mpaka nimuone akichapakazi mind wetu
@user-pw9ir4fg7x
@user-pw9ir4fg7x 28 дней назад
😢mange leo nimelipenda buree 💪
@gilbertkyomo6011
@gilbertkyomo6011 27 дней назад
Nakupenda sana mkuu wamkoa makonda
@msambakisesa1496
@msambakisesa1496 28 дней назад
Makonda namkubali sana ubarikiwe
@JaffariYunga
@JaffariYunga 21 день назад
Nakupenda sana mwamba
@JumaZuber-nc4gn
@JumaZuber-nc4gn 28 дней назад
Asante mange tunampenda makonda wetu ❤
@cathylove8534
@cathylove8534 28 дней назад
Well done Makonda, well come back liendeleze libeneke tuko pamoja, Mimi ni Shabiki wako namba moja.
@user-js6yh4go8m
@user-js6yh4go8m 26 дней назад
Mungu akutunze sana kaka yetu makonda na abariki kazi za mikono yako.
@leonardmao3311
@leonardmao3311 28 дней назад
MAKONDA AMEPELEKWA SHULE YUKO KATIKA NCHI FULANI HUKO NJE. HII NI KUANDALIWA ASOME MASTA DEGEREE, ILI ATAKAPOREJEA MWAKANI AWEZE KUTEULIWA MGOMBEA MWENZA WA RAIS. HIYO NI MIPANGO YA SERIKALI, NA HAKUNA HAJA YA KUPIGA KELELE. MWACHENI ASOME.
@allykwaya
@allykwaya 28 дней назад
Mnh,
@tatoo0098
@tatoo0098 28 дней назад
Sasa simutuambie vizur jaman mnatutia tafrani wenzenu 😢😢
@kassimnyanga109
@kassimnyanga109 28 дней назад
Acha uhuni wewe, nchi gani si uitaje! Usipotoshe umma
@user-nt3tx6cq8i
@user-nt3tx6cq8i 28 дней назад
Soma mwanangu Mungu akutunze Babaangu.
@user-nt3tx6cq8i
@user-nt3tx6cq8i 28 дней назад
Tunaamini hayo mazuri in Jesus Name.
@evarestmndeme3923
@evarestmndeme3923 26 дней назад
Ukweli mungu anajua
@FaridaSamwasa
@FaridaSamwasa 27 дней назад
Namshukuru saana Mungu kumtunza na kumlinda Makonda. Yesu asifiwe sana.
@francismadirisha3511
@francismadirisha3511 28 дней назад
Makonda wewe ni njembe la mama yetuu kipenzi Samia mungu akurinde
@dinamasiaga2627
@dinamasiaga2627 27 дней назад
Asante Mungu kwa kusikia taarifa nzuri ya Makonda
@CareenTaji
@CareenTaji 22 дня назад
Xawa ata mm napenda kutoa xhukrani zangu za dhati kama kweli u hai bas mungu axhukuliwe kwa kweli
@PeterJackson-kk3by
@PeterJackson-kk3by 27 дней назад
Hongera sana mtetezi wa watanzania, mungu anampango na wewe kwaajili ya taifa
@JesephinaMuhagama
@JesephinaMuhagama 26 дней назад
Kweli baba tunakupenda sana
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 27 дней назад
Ebukwanza nisikilize mpaka mwisho maana siamini namuombea huyu kakayetukipenxi makonda Allah akulinde popote ulipo ❤❤makonda nakupendakwa utendajiwako wakazi uchagui ubagui upokwaajiliya Raiya
@HanifaUrassa
@HanifaUrassa 26 дней назад
Mungu akulinde daima wewe ni mkombozi wa wana Arusha
@eliamwankenja7087
@eliamwankenja7087 27 дней назад
Nimefurahi sana makonda
@wankolelazablonzablon3472
@wankolelazablonzablon3472 27 дней назад
Mungu asantee kwaajilii ya maombi ya ulinz kwa RC MAKONDA ,j,mlinde huyu baba ee Mungu sikia kuomba kwa kila anayemuombea mema MAKONDA
@josephinesitta5004
@josephinesitta5004 28 дней назад
Ni maneno mengi tuliyoyasikia kuhusiana na RC MAKONDA tunachotaka ni kujua aliko.
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 28 дней назад
Mungu ibariki Tanzania.
@JaffariYunga
@JaffariYunga 21 день назад
Mwamba nakukubali kinoma
@GeofreyKilagala
@GeofreyKilagala 28 дней назад
Mungu akuongezee siku nyingi
@MaryHosea-kp2oo
@MaryHosea-kp2oo 28 дней назад
na kama kweli yupo hai jembe apewe taasisi ya kupambana na rushwa mana kuna shida apo
@ElizabethMakwaia
@ElizabethMakwaia 28 дней назад
Kama ni kweli. Asante Yesu Bwana na mwokozi wetu.🙏
@floramsacky3929
@floramsacky3929 26 дней назад
Anaweza kupewa nafasi ya kugombea kiti fulani hivi maana makonda anakubalika Sana
@MwanahawaJulu
@MwanahawaJulu 27 дней назад
Asante mungu mpe uzima makonda
@MarthaMangula
@MarthaMangula 27 дней назад
Siga na utukufu apewe bwana Kwa ujumbe wa mzuri wa ndugu yetu makonda mungu aendelee kumtunza arudi salama aendelee kuijenga nchi
@JosephMurimi-q3l
@JosephMurimi-q3l 28 дней назад
makonda ako uhai ata Kenya twampenda
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 28 дней назад
sio tu kenya bali afrika nzima cos ni kiongozi bora!
@naturelle1097
@naturelle1097 28 дней назад
@wemakyagunya1895
@wemakyagunya1895 27 дней назад
Mungu ni mwema ikiwa Yu Hai basi Jina la Bwana libarikiwe Sana.
@HawaRadha
@HawaRadha 28 дней назад
Mungu akurudishe salama tumefurahi mange na kigogo wapo sahihi
@user-yh9yh8no2q
@user-yh9yh8no2q 27 дней назад
ASANTE Mungu kama Makonda ameonekana mzima.Tunamrudishie Mungu sifa na utukufu.
@richardmwambene3366
@richardmwambene3366 27 дней назад
Hongera Sana Samia
@CharlesDaffi
@CharlesDaffi 27 дней назад
Nakukubali sana mwamba piga KAZI mungu yupo na wewe
@magdalenalaban8895
@magdalenalaban8895 27 дней назад
Mungu ni mwema Mungu azidi kukupa ulinzi
@PamojaElimishagroup
@PamojaElimishagroup 27 дней назад
Nimefurahi sana
@tumainipeter458
@tumainipeter458 28 дней назад
Mkuuu yuko vizuri sanaaa🇹🇿💯
@mariasolomon2401
@mariasolomon2401 27 дней назад
Wow ❤❤
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 28 дней назад
Amina. Asante Mungu. Tunakushukuru.
@peacelaity8104
@peacelaity8104 28 дней назад
Daaaa nimefurahiii sana
@BernadethaSelestine
@BernadethaSelestine 25 дней назад
Jamani kama yupo ajitoke tumuone
@mohamediomary6946
@mohamediomary6946 25 дней назад
Ungu akuepushe na maadui zako
@mkambaselemani-ej7np
@mkambaselemani-ej7np 27 дней назад
Sitaamin usalama wako mpk nikuone! M, mungu akupambanie inshaallah
@ANJERIKABUKAGILE
@ANJERIKABUKAGILE 28 дней назад
Mungu ni mwema kila wakati kama afya yake ni njema.
@loveness09-k
@loveness09-k 27 дней назад
Mungu fanya kitu kwa Makonda
@charlesmgonja8689
@charlesmgonja8689 26 дней назад
msenge
@VicentMatei
@VicentMatei 28 дней назад
Asante mungu kwa ulinzi wako juu ya Malinda
@merinakassembe118
@merinakassembe118 26 дней назад
Ntalala usingizi juu ya Baba Kigan niliwaza sana shujaa wetu kaoneka tena
@babukije268
@babukije268 28 дней назад
Taarifa za kizushi
@HijaMshana
@HijaMshana 28 дней назад
Ila Mimi cjaamini mpaka aje Arusha nimuone . Asante mungu .
@aminaomari3874
@aminaomari3874 27 дней назад
Mungu mlinde makonda
@LaurentMumbee
@LaurentMumbee 27 дней назад
🙏
@fortunathachuwa3334
@fortunathachuwa3334 23 дня назад
Mhe makonda , maandiko haya yakutie moyo kutoka 14,14
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t 27 дней назад
Makonda kama uko hai M/Mungu akulinde leo nakesho
@SelemaniAusi-fb9jn
@SelemaniAusi-fb9jn 28 дней назад
Mimi namuombea dua adumu pia namuombea kwamungu ili mungu amkabizi uraisi naimani naye atakua mkombozi zaidi ya mwamba mwenda zake ambae nitamkumbuka mpaka kifochangu ametueshimisha sisi walalahoi naimani makonda atafata nyayozake mwamba
@AnitaJoseph-dy2lr
@AnitaJoseph-dy2lr 21 день назад
Kimasomaso mwanangu msimuone.
@Seif-re5lq
@Seif-re5lq 27 дней назад
Wacha upuuzi na habari y kipotofu
@user-mk6dr8oy1j
@user-mk6dr8oy1j 28 дней назад
Ww kumaaa tuh hakuna , chochote apooo
@grationkato7658
@grationkato7658 28 дней назад
Tafusida please
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 28 дней назад
Kama ni Mungu alimuongoza,c basi aachiwe urais ili hicho kipawa arusha imebarikiwa nae nasi tukione tZ nzima
@AnthonySarwatt
@AnthonySarwatt 28 дней назад
Jamaa umenena vizuri hongera kwa kuona mbali your a good man
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j 27 дней назад
Mpaka nimwone Mange mbona naskia Mange alifungiwa akaunt zake
@noahpaulo3845
@noahpaulo3845 28 дней назад
Kwanza kabisa napenda kuwajuza miongoni mwa wateuliwa wa mama makonda ni mtu anaefanya kazi kwa kumsaidia mama kwa moyo wote na kwaubunifu pia kukifanya chama Cha ccm kunekana kinaenda kinabadilika walau kwa asilimia chache kutokana na makonda kwa anacho kifanya katika kazi zake za kila siku makonda akija kutoweka ccm tuna zika subuhi lufwajili sana kaeni na huyo mtu atawavusha malanyingi sana
@PeterJackson-kk3by
@PeterJackson-kk3by 27 дней назад
Nikweli awe mzima kabisa
@luganobingson8045
@luganobingson8045 28 дней назад
Mungu mponye tunakutegemea wewe tumuone tena makonda jamani mbona maasi yanazidi eee mungu mtazame mkawako huyo
@EssauMahundi
@EssauMahundi 27 дней назад
Apewe uwaziri makonda ni jembe pangenyoka bill hivyo tunaendakubaya 😅
@kingkendrickk
@kingkendrickk 27 дней назад
Nitaumia kweli kama hizi habari ni kweli
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 28 дней назад
Tatizo watanganyika ni wapiga kelelee na kuchukuwa na kuiga kufanya kazi kwa bidii hamwezi bali maneno tu. Inchi nyingine watu wanaiga na kufanya kama yeye.
@SaraMkiwa
@SaraMkiwa 28 дней назад
Nimefurahi sana munguyu mwema
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 28 дней назад
NTAAMINI NKIMUONA AKIWA HAI. na utukufu Ntamrudishia MUNGU.
@JacklinSwai
@JacklinSwai 28 дней назад
Mh,mi ngoja nipite tu umu,maana kila siku mapya tu.
@nazarenajoseph2695
@nazarenajoseph2695 28 дней назад
Mbona sielewi yupo wapi aongee tumsikie
@user-ev5xw1ev6f
@user-ev5xw1ev6f 28 дней назад
Mange tuliza kichwa ili uwe hata mwakilishi wa wanawake makonda ni Moto sio utan
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 28 дней назад
Jamani acheni kupiga kelele ndiyo sababu mkiona wengine wanachapa kazi mnashangaa. Sasa ninyi badala ya kuongelea wengine fanyeni kazi kama mwenzenu.
@user-go4gm9cc7g
@user-go4gm9cc7g 27 дней назад
Yani ataemuua makonda tutafunga nakuomba mpaka na yeye afe
@SwaibuRajabu
@SwaibuRajabu 28 дней назад
Sisi hatutaki maneno tunataka kumuona nakumusikia akiongea live ndotutaamini.
@erickrichard1843
@erickrichard1843 28 дней назад
Hii ni 50/50 unaweze kukuta nimzima au siyomzia irishazoereka
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 28 дней назад
Kikubwa sisi tunaomba mkuu wa nchi na waziri wa Tamisemi mchengerwa pamoja na Masauni watwambie ukweli alipo Mh Makonda. Km katekwa watujulishe km kafa watujulishe maana ni mwezi Sasa. Tunaomba sana tuambiwe Mh Makonda ni uma ya Watanzania anayelipwa kodi za wananchi.
@rithaurassa
@rithaurassa 28 дней назад
Wewe wacha longolo nyingi toa taarifa kamili bando ndio shida.
@dentomedicalresourceslimit4602
@dentomedicalresourceslimit4602 28 дней назад
Kama alipewa Likizo , ni ya muda gani?
@marcobulili4341
@marcobulili4341 28 дней назад
Mlisema makonda yuko likizo! Kwan alipewa likizo ya miezi mingapi? Kwa hili serkali iseme kitu sasa kukaa kimya ni kuleta taharuki kwa wakazi wa Arusha na watanzania kwa ujumla!
@user-oz6zp8fr1c
@user-oz6zp8fr1c 28 дней назад
Afadhali (afazali) Tha, The Thi Tho
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 28 дней назад
LEAVE YA MWAKA HAKUNA. BIRA USEME KAINDOLEWA KWENYE U RC wakaona WANANCHI WATAMIND. WAKAONA AENDE MBALI KAMA VACATION
Далее
Decompress small game, have time to play it!
00:35
Просмотров 3,9 млн
Decompress small game, have time to play it!
00:35
Просмотров 3,9 млн