Oh my goodness.... Yaani mtu nkaekelea mtu kigenyo hivi... Aki this man of God looks humble.... Even the way he is narrating.... Oh my God.... Janet.. GOD BLESS U.... N KUDOS U HAVE BECOME A PERFECT PRESENTER... U ARE GIVING THE NARRATOR TIME TO POUR OUT THE TALE.... KUDOS..
Bishop u look great first vile nilikuona first interview after kutoka jela ukuwa hivo. Glory be to God for this far and you will go far in Jesus mighty name. Ameen.
Mungu mwenye alimtetea kwenye hali yote yenye alipitia, Ampe nguvu za mwili tena naishi kwa uwezo wa Mungu. Hiyo miaka alipotezewa Mungu naamlipe zaindi kwa jina la yesu