Тёмный

Maombi ya kuomba MUNGU akuinulie watu sahihi wakukusaidia by Innocent Morris 

Holy Spirit Connect
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 96 тыс.
50% 1

Maombi ya kuomba MUNGU akuinulie watu sahihi wakukusaidia by Innocent Morris
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
RU-vid Link:
/ holyspiritconnect

Опубликовано:

 

31 янв 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 419   
@MushShelly
@MushShelly 6 часов назад
Bwana yesu ni conecti na watu sahihi wafanyike baraka kwa watoto wangu na watakao tusaidi ameen
@mercykoech1487
@mercykoech1487 2 года назад
Napokea miujiza in Jesus name
@ChikondiMadaliso
@ChikondiMadaliso 24 дня назад
Lkwa maombi haya nirazima nitomboqe
@ValeriaChapanga-ro5cw
@ValeriaChapanga-ro5cw 8 месяцев назад
Naomba Mungu uniinulie watu sahihi wa kunisaidia katika maisha yangu na katika kipindi hiki kigumu
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 8 месяцев назад
Ameen. Mungu akupe haja ya moyo wako katika jina la Yesu Kristo
@AkwilaWilla
@AkwilaWilla 8 месяцев назад
Mungu nakuomba uniamushie watu walio sahihi katika maisha yangu nikainuke kiuchumi kwajina la yesu kristo Amina
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 8 месяцев назад
Ameen
@user-kw7ge2tz8d
@user-kw7ge2tz8d 2 месяца назад
Bwana yesu naomba uniinulie watu sahihi wakunisaidia katika kipindi hiki kigumu ninachopitia ss. Niletee watu sahihi katika kuinua familia yng uzao wng ameen
@revocatuschailla1027
@revocatuschailla1027 Год назад
Ninaamini Mungu ametenda jambo kubwa ktk maisha yangu na familia yangu. Haleluya!
@lubimbijunior7721
@lubimbijunior7721 Год назад
Nashukuru mungu nimepata amani moyoni mwangu bahada ya maombi aya na amini kupokea Kulipa madeni yote yanayo msumbua mume wangu
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Год назад
Ameen
@user-wd9tx5bw1h
@user-wd9tx5bw1h 3 месяца назад
Amen naomba mungu aniiulie watu sahi wakunisadia kwa jina la yesu na malango yangu ya baraka akafunguwe kwa jina la yesu naamini mungu atatenga mambo makuu katika maisha yangu
@theonestinakaizilege9974
@theonestinakaizilege9974 Год назад
Mungu ninakuom ba nipe watu sahihi wakunisaidi. Ktk biasharayangu kazi zangu zote. Amen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Год назад
Ameen
@safinanyiwala386
@safinanyiwala386 Год назад
Asante yesu naamini na ninakwenda kupokea watu sahihi na kupoteza watu wasio sahihi
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Год назад
Ameen
@victoriapaulriwa8254
@victoriapaulriwa8254 3 года назад
Amen namshukuru Mungu ameniinulia mtu ambae amenisaidia kufanikisha bihashara zangu..namtukuza Mungu kwa ukuu wake Amen🙏
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 3 года назад
Ameen
@glodiabel9476
@glodiabel9476 2 года назад
@@HolySpiritConnect aaaaaaa sur les photos des aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Aaa
@glodiabel9476
@glodiabel9476 2 года назад
@@HolySpiritConnect aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@glodiabel9476
@glodiabel9476 2 года назад
@@HolySpiritConnect sur les aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@glodiabel9476
@glodiabel9476 2 года назад
@@HolySpiritConnect sur les aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@queenmwanzia3283
@queenmwanzia3283 Год назад
Amen mtumishi mungu niletee msaidizi,mtu wa kuniinua nimekua Nikipata watu wa kunirudusha nyumba ki maisha
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Год назад
Ameen ameeen
@GraceSambula
@GraceSambula 4 месяца назад
AMEN Mungu wangu inakuomba unisamehee dhambi zangu zoooote kwa jina lya Yesu baba Mungu unisaitie uniinulie watu wanaweza kunisaitia katika jina lya Yesu
@esthernchimbi593
@esthernchimbi593 26 дней назад
Naomba Mungu aniinulie watu sahihi Mimi na watoto wangu amen
@JacklinaJeremaya-jb3zw
@JacklinaJeremaya-jb3zw Год назад
Mungu naomba unipe watu sahihi au mtu sahihi atayenisaidia ela ya mtaji nifanye biashala nisaidie wazazi wangu na familia yangu Amen
@shukurusimba9866
@shukurusimba9866 3 дня назад
Mungu naomba mtu sahihi wa kunisaidia leo hii maisha yangu ni magumu sana
@josephinachipa3928
@josephinachipa3928 3 месяца назад
Naomba mungu aniinulie watu sahihi wa kuwasaidia watoto katika Kila eneo la maisha Yao.Amen
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Год назад
Amen Mungu wangu naomba niinulie watu sahihi wa kunisaidia napokea watu sahihi
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Год назад
Ameen ameeen
@kevinatungilayo4560
@kevinatungilayo4560 8 месяцев назад
Mungu nakushukuru Sana Kwa miujiza yako katika familia yangu. Mungu wewe unatisha Sana. Asante Kwa kunipa watu sahihi wa kunivusha katika kila hatua ngumu ya maisha yangu.
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 8 месяцев назад
Ameen
@user-qh5yr3yx5b
@user-qh5yr3yx5b 3 месяца назад
Mungu nifingulie milango yote ya vifungo na roho ya kukataliwa na wanaume na laana ya familiya na naomba watoto wangu apate kazi na mmoja na mmoja awe kichwa asiwe mkia shuleni mungu nisaidie naomba nipate pesa kwa njia rahisi na nipate mume mwema wa kukupendeza Mungu
@uaeua2158
@uaeua2158 2 года назад
Amina ihi histoliy inaniusu nimewasadia ndugu lakini wamenisaau naamini kuanzia sasanikumbukwe kwa jina la yesu
@suzanthobias
@suzanthobias Год назад
Bwana Yesu niconnect na watu sahihi ambao watakaonisaidia katika maisha yangu
@suzanthobias
@suzanthobias Год назад
Bwana Yesu wewe ni Mungu mwaminifu katika Jina la Yesu kristo
@LovelyneRobinson
@LovelyneRobinson Месяц назад
Asante roho wa Mungu naamini nimepokea kila nilichokihitaji katika Jina la Yesu kiristo mwana wa Mungu🙏
@user-ru6gs3ms9c
@user-ru6gs3ms9c 6 месяцев назад
Asante Yesu umeniinulia watu sahihi wakuweza kunisaidia nakupenda Mungu wangu wewe ni muweza wa kila kitu
@evasambila8529
@evasambila8529 3 месяца назад
Nakushukuru mtumishi wa Mungu Kwa maombi ambayo unaendelea kutufundisha, barikiwa xana na Mungu azidi kukutunza a kukupa baraka tele.Ameen
@veronicajonas8917
@veronicajonas8917 Год назад
Amen🙏🙏mungu anaenda kunifungua na kunipa mtu sahihi ambae ni kassim mohamedy mgoro
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Год назад
Ameen ameeen
@getrude-ud9lt
@getrude-ud9lt Год назад
Ubarikiwe mtumishi wa mungu n tena akulindie Kwa huduma hii much love from 🇰🇪
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Год назад
Ameen ameeen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Год назад
Mungu akubariki sana sana
@elizabethjeremiah3104
@elizabethjeremiah3104 2 года назад
Asante mtumishi wa Mungu kwa maombi ya asubuhi. Mungu azid kutumia.
@adelambaye1298
@adelambaye1298 Год назад
Amen MUNGU ananifungulia na Mimi kwa kuniinulia mtu sahihi barikiwa Sana mtumishi
@adelambaye1298
@adelambaye1298 Год назад
BWANA YESU nikutanishe na watu sahihi watakao niinua katika jina lako kuu
@gracekayandakayanda3428
@gracekayandakayanda3428 2 месяца назад
Amen Eeeeh Mungu ninulie mtu sahii wakunisaidia.nipate mtaji Mungu wangu nifanye byashara. Nileye watoto wangu.ninapo omba najuwa waskia katika shida zangu waweza kunilinda mimi namateso yangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲Napokea barazaka zangu kwajina la Yesu 🙏🙏🙏🙏
@user-qh5yr3yx5b
@user-qh5yr3yx5b 2 месяца назад
Mungu naomba unipatie mwanaume sahihi naomba Mungu mponye mwanangu salma na umuinuwe mwanangu shuleni katika mtihani yote aweze kufauru na lolote baya lonano mnyemelea baya katika jina la yesu nalikataa kwa jina la yesu na mwanangu mwingine naomba ufunguloe milango yake ya mafanikio asante mungu niinuwe na mimi niomgolee vifungo vya kukataliwa na wanaume asante mungu unitendee mimi na watoto wangu na arie ahidi kunioa naomba awe mkweli na awe mume sahihi
@user-bl7xu3iu3e
@user-bl7xu3iu3e 9 дней назад
Mungu naomba uniinulie watu sahihi katika maisha yangu
@user-qh5yr3yx5b
@user-qh5yr3yx5b 3 месяца назад
Mungu ninaomba uniinulie mtu sahihi katika kazi yangu au nje ya kazi au popote nipitapo na Mungu naomba uniondolee roho ya vifungo na majini na roho za kukataliwa na wanaume na roho ya kukataliwa kazini mungu nisaidie nipe mtu sahihi
@mariaarsen1470
@mariaarsen1470 2 года назад
Mungu anatenda Sana na anazidi niinua nampenda mungu mwema sana Kwa Kila mtu🙏
@shapukivivantv4375
@shapukivivantv4375 2 года назад
Mungu niinulie watu sahihi wa kunisaidia
@estergasaya6935
@estergasaya6935 2 месяца назад
Naomba Mungu aniinulie mtu sahihi wa kunisaidia
@gladysnaserian2650
@gladysnaserian2650 2 года назад
Asante yesu nimeamini umetenda jambo jipya kwenye maisha yangu nakupenda Yesu kwa moyo wangu wote..
@salomemtwale5370
@salomemtwale5370 2 месяца назад
Amen naamini Mungu ametenda,ametenda tena kazini kwangu na kwenye kila eneo la maisha yangu, Hallelluya, Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana.
@catherinendwiga6207
@catherinendwiga6207 Год назад
Asante Bwana kuniinulia watu sahii ktk maisha yangu na familia yangu na. Kupitia magonjwa. Tupate uponyaji. Ulinzi kw watoto wetu waweze kukutumikia siku zote za maisha yao.
@brighterandrew4288
@brighterandrew4288 Год назад
Mungu naomba uniinulie watu sahihi kwenye maisha yangu, naomba nipone maradhi niliyonayo, fungua biashara zangu niwe Salama mm nafamilia yangu
@preciousgeorge4212
@preciousgeorge4212 2 года назад
Mwenyez mungu naomba niinulie watu wa kuniinua katika biashara zana na anisaidie watoto wangu wazidi kumtumikia mungu kila siku
@judithmakuba6917
@judithmakuba6917 6 месяцев назад
Amen!🙏 Bwana Yesu uniinulie watu sahihi, ambao watanisaidia Asante Yesu🙏
@gracekayandakayanda3428
@gracekayandakayanda3428 2 месяца назад
Nninapo tembea niinulie watu sahii Eeeh Mungu wangu asante kwakuskia kilio changu 🤲🤲🤲🤲🙏🙏Mungu ondoa pepo chafu katika maisha yangu nipe nyota yenye baraka yahajabu nipate mtu sahii wakuniinua🙏🙏🙏🤲🤲🤲
@FistonWilly
@FistonWilly 7 месяцев назад
Bwana Yesu christo wa Nazareth Uliye Hai Unifunguliye milango unisaidiye.
@FistonWilly
@FistonWilly 7 месяцев назад
Eeeehhh Yehova Mungu Uniiinuliye mutu sahihi wakunisaidiya.
@agnesmbone231
@agnesmbone231 8 месяцев назад
Mtumishi umekuwa wa baraka sana kwenye maisha yangu Mungu akuhifadhi na azidi kupa ufunuo usaidie wengi🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@jepsharon9008
@jepsharon9008 Год назад
Mungu naomba unininulie watu sahii kwa maisha yangu
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Год назад
Ameen ameeen
@anethkamuli8508
@anethkamuli8508 Год назад
Mungu naomba uniinulie mtu sahihi mwaka 2023 nikafanikiwe
@aminarajab1045
@aminarajab1045 6 месяцев назад
Naamini mungu ametendajambo kubwakwenye family yangu katika jinalayesu kristo kwangu nimepokea mtaji wabiashara
@RenathaKatambala
@RenathaKatambala 2 месяца назад
Naomba mungu aniinue ktk uchum wangu namme wandoa alie sahii ktk maisha yangu
@MaryUlendo
@MaryUlendo 5 дней назад
Naomba mungu aniinulie watu wakuniinua kiroho kiafya kiuchumi kwenyendoa yangu kwawatoto wangu
@bestpraisesbyenockhambyeup3581
@bestpraisesbyenockhambyeup3581 2 года назад
Naomba mungu aniinuliee watu sahihi kunisaidia katika maisha yangu...
@consolatamnyuka
@consolatamnyuka 18 дней назад
Mungu niinulie watu sahihi wa kunisaidia mwanangu Verena apate kazi sahihi na Mungu biashara yangu ikue na nipate watu sahihi wa kulima shamba langu
@eligadmlay5845
@eligadmlay5845 2 года назад
Ww Yesu ni MUNGU mwanifu katika jina La Yesu kristo
@uwagiriwubuntucandida1876
@uwagiriwubuntucandida1876 2 года назад
Bwana wangu niinuriewatu. Wakunisaidia nipate. Kazinzuri nitakushukuru. Amene
@flavianamayutta4619
@flavianamayutta4619 Год назад
Amen. Asante Bwana Yesu kuni-connect na watu walio sahihi na asante Bwana Yesu kwa kuni-disconnect na watu wasio sahihi, watakaonifanya nijute kuwa nao katika maisha yangu Barikiwa sana mtumishi kwa naombi haya mazuri, I really needed this kind of prayers. It is God timing. Amen
@mamaqueen6132
@mamaqueen6132 Год назад
Amen 🙏 kubwa
@magretbruno
@magretbruno 6 месяцев назад
Najiungamanisha na watu sahihi waliobeba hatma ya maisha yangu. Ni katika jina la Yesu Kristo.
@user-bu7rq6tk2c
@user-bu7rq6tk2c 10 месяцев назад
Ubarikiwe sana mtumishi🙏🙏🙏
@kennyjuslain5672
@kennyjuslain5672 2 года назад
Amen 🙏 ninaimani ombi yili inakweda kubadiri maitaji yangu. Mungu akubariki
@bestpraisesbyenockhambyeup3581
@bestpraisesbyenockhambyeup3581 2 года назад
Amen kuhusu io story of Joseph... naipenda...the story ya Joseph ni the same na ya baba yangu... Amina
@dainessdaudi8640
@dainessdaudi8640 2 года назад
Asante mungu kwa kuniinulia rafiki yangu Gisela aendelee kunisaidia na anifanyie mambo makubwa zaid
@marygracefidelis1320
@marygracefidelis1320 2 года назад
Mungu naomba uninulie na watusahihi wakunisaidia pamoja na mmewangu
@brighterandrew4288
@brighterandrew4288 Год назад
Mungu wangu nitoe ktk uvuli wa mauti, nipe kibali cha kulea watoto wangu, nimewavusha watu kwenye biashara zao, Lkn Leo nimeyumba wameniacha naja kwako baba niinulie watu wanaoweza kuniinua kwenye kila eneo la maisha yangu
@user-qh5yr3yx5b
@user-qh5yr3yx5b 3 месяца назад
Mungu naomba uniinulie mwanangu kwenye mtihani yake shuleni mungu muinue mwanangu kwenye kazi yake na mungu naomba uniinuwe nipate ndoa iliyo sahihi mungu nisaidie mungu naomba mabosi wangu wanipe sifa zangu na wanipende wote mabosi
@mwamvuaally8166
@mwamvuaally8166 3 месяца назад
Asante sana mtumishi, nimeomba na wewe leo saa moja asubuhi nilikuwa kwenye deni ambalo ningekwama ilikuwa aibu, Asante Mungu kanipa watu nimevuka.
@user-jq8lu7dv2t
@user-jq8lu7dv2t 13 дней назад
Munguba uninulie watu sahihi wakunsaidia kwajina la yesu kristo
@IRERISIMON
@IRERISIMON 2 месяца назад
Bwana Yesu ni connect na good destiny connectors....Disconnect me nd my family with bad people..Amen
@estergasaya6935
@estergasaya6935 4 месяца назад
Naomba Mungu uniiinulie watu sahihi wa kunisaidia ktk biashara yangu na maisha yangu amen
@helenmwakyoma2486
@helenmwakyoma2486 Год назад
Naamini Mungu ametenda Ameen
@marcellyimo283
@marcellyimo283 2 года назад
Amen naomba Mungu aniinulie mtu atakae niinua ktk kipindi hiki kiimani na kwa matatizo yangu ya kuumwa
@mathasauli5089
@mathasauli5089 2 года назад
Amen amen Mungu naomba uniinulie watu sahihi katika maisha yangu yote
@rehemasumuley-yv3wh
@rehemasumuley-yv3wh 5 месяцев назад
Nilithanu nimepata mtu sahihi kumbe ni mtu mnbaya sana naomba mungu aniinulie watu sahihi
@neematairo3964
@neematairo3964 Год назад
Amen mtumishi napokea 👏👏
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Год назад
Ameen
@feddymwanga5462
@feddymwanga5462 3 дня назад
Mungu naombauniunulie watu sahihi wakuniwezesha niuze nyumba yangu
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Год назад
Ee Mungu naomba muinulie bint yangu janeth watu sahihi kwenye maisha yake
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Год назад
Ameen
@KennyKenny-zn5cy
@KennyKenny-zn5cy 4 месяца назад
Napokea katika Jina la Yesu KRISTO amen
@user-nj3bt6xq3u
@user-nj3bt6xq3u 5 месяцев назад
Nashukur mungu umeniinua kiuchumi na watoto wangu wainiriwe ee mungu nizidishie zaidi
@user-hd9sv4nk7r
@user-hd9sv4nk7r 4 месяца назад
Amen, 🙏🙏 mapenzi ya mungu yatimizwe,neema y mungu iwe juu yangu anitumie hao wasaidizi
@user-jq8lu7dv2t
@user-jq8lu7dv2t 13 дней назад
Mungu niinulie watu sahihi wakuniinua maisha yangu
@kalonjilukanjaluka2718
@kalonjilukanjaluka2718 9 месяцев назад
Mungu wa mbinguni aniconnecter n'a watu watakao kuwa baraka kwangu n'a kwa watoto wangu
@victoriapaulriwa8254
@victoriapaulriwa8254 3 года назад
Ninakupenda bwana Yesu, Bwana yesu naomba niinulie watu sahihi wakunisaidia katika kila eneo la maisha yangu
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 3 года назад
Ameen
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 4 месяца назад
Ameeeeeen pstr barikiwa naomba mungu aniinulie mutu wa kusema mema kwaku amen ❤
@user-ft3fg6qy6k
@user-ft3fg6qy6k Год назад
Niinulie watu sahihi Bwana Yesu niweze kulipwa madai yangu ya muda mrefu MUNGU naomba unisaidie
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 года назад
Naomba Mungu anikutanishe na mume aliye sahihi
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 3 года назад
Amen
@jesicandunguru2328
@jesicandunguru2328 3 года назад
Ehee mwenyezi Mungu naomba🙏 nisaidie nipate mtu wa kunitoa apa nilipo niweze kuisadia familia yangu 😭🙏
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 3 года назад
Ameen
@jescarsuleiman4286
@jescarsuleiman4286 2 года назад
Amen Wajina Najiambatanisha nawe mpendwa Bwana akatufanyie njia pasipo na njia ameen🙏
@JulitaAndrea-nu6pz
@JulitaAndrea-nu6pz 2 месяца назад
@jak Mungu Naomba uniinulie mtu sahihi atakaenitetea katika eneo langu pamoja na afya yangu na familia yangu
@elizabethjeremiah3104
@elizabethjeremiah3104 2 года назад
Mungu aniinulie watu sahihi katika maisha yangu na familia yangu.
@stevenkulwa8414
@stevenkulwa8414 2 года назад
EE Mungu niinulie mke atakaye nipa faraja katika maisha yangu pia niishi maisha matakatifu pia niinulie maisha yenye furaha na amani, pia niinulie marafiki wema na watumishi wa mungu.
@monalisatrust1584
@monalisatrust1584 Год назад
Amen pokea mke mwema kutoka kwa bwana
@rehema6660
@rehema6660 2 года назад
Naomba kwa maombi Aya mungu akatende kitu kwenye ndoa yangu na familia yangu
@mamamikuwa4991
@mamamikuwa4991 3 года назад
Mungu uwainulie binti zangu watu sahihi wakufunga nao ndoa Amen
@bahatimaige6666
@bahatimaige6666 2 года назад
Asante Yesu nimepona nimefunguliwa na uzao wangu na uchumi na ndoa! Amina!
@gracemollel1646
@gracemollel1646 Год назад
Mungu nakushukuru Kwa kuniinulia watu sahihi watakao nisaidia kiroho
@suzanthobias
@suzanthobias Год назад
Asante Mungu kwa kunitendea nimeomba watu sahihi wa kunisaidis nasasa natoa ushuhuda huu imeona mkono wako ukitenda mema juu yangu asante kwa kunipa watu sasihi wakunsapoti katika kulipa madeni yangu
@PerpetuaMcharo
@PerpetuaMcharo Год назад
Amen
@IRERISIMON
@IRERISIMON 2 месяца назад
Asante sana Bwana Yesu...Unajibu maombi
@biasharaathumani6363
@biasharaathumani6363 2 года назад
Naomba Mungu uniunulie mtu sahihi wa kunisaidia Katka changamoto zangu.nimeheremewa na mzigo mzito.Mungu nisaidie hasubuhi hii yaleo
@suzymaleo6630
@suzymaleo6630 2 года назад
Amen!! Naomba BWANA YESU ukapate kuniinulia watu sahii katika maisha yangu 🙏🙏🙏🤲
@loycemalima7490
@loycemalima7490 Год назад
Namibwana YESU UNIINULIE WATU SAHIHI KATIKA BIASHARA YANGU YA DUKA, KAZINI, KWANGU WATOTO WANGU IMANI YANGU YANGU
@AkwilaWilla
@AkwilaWilla 8 месяцев назад
Mungu katika kununulia watu sahihi niguse bwana nipate kumushuhudia huyu kristo
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 8 месяцев назад
Ameen
@wemafatuma2768
@wemafatuma2768 2 года назад
Bwana yesu nitumie watu sahihi wakuni saidia .kwa kila jambo.Amen
@lindamaende9252
@lindamaende9252 3 года назад
Nakupenda eeh mungu ninulie watu wakunisadia katika maisha yngu na family yngu
@stellaketemamhando7814
@stellaketemamhando7814 2 года назад
Blessed blessed Hallelujah, Milango ya baraka ipo wazi kwenye kila eneo la maisha yangu, Mungu ukaniinulie watu sahihi wa kunisemea kwenye promotion yangu, kwenye maisha yangu ya kiroho, asante Mungu kwa kuniinulia watu wa kunisaidia amen.
@NancyMrembo
@NancyMrembo 19 дней назад
Amen Mungu atandenda Asante Sana Mungu 🙏
@dahayemafu3047
@dahayemafu3047 Год назад
Amen tuko pamoja
@kevinatungilayo4560
@kevinatungilayo4560 8 месяцев назад
Eee Bwana Yesu naomba uniconect na watu sahihi ambao sitajutia kuwa nao,na unidisconnect na wale wote nitakojutia kuwa nao kwenye kila Kona ya maisha yangu
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 8 месяцев назад
Ameen
Далее
MAOMBI YA MPENYO WA KIFEDHA by Innocent Morris
1:13:35
Просмотров 27 тыс.
MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI by Innocent Morris
1:33:17
AINA YA MAOMBI AMBAYO MUNGU ANAJIBU Mwl Mpoki Jafari
21:44
Maombi Juu ya Mashambulizi ya Ndotoni by Innocent Morris
1:11:14
JINSI YA KUOMBA ILI UJIBIWE by Innocent Morris
1:24:07
Просмотров 43 тыс.