Тёмный

MAOMBI YA KUVUNJA VIZUIZI by Innocent Morris 

Holy Spirit Connect
Подписаться 71 тыс.
Просмотров 205 тыс.
50% 1

MAOMBI YA KUVUNJA VIZUIZI by Innocent Morris
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
RU-vid Link:
/ holyspiritconnect

Опубликовано:

 

2 янв 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 642   
@user-oc3hy3uh7q
@user-oc3hy3uh7q Месяц назад
Kila kizuizi kichopangwa kwenye maisha yangu, kazi yangu, familia yangu ninakitangua katika jina la yesu kristo. Ninafungua milango ya baraka na mafanikio yangu kwa jina la yesu.
@feddymwanga5462
@feddymwanga5462 16 дней назад
Bwana Yesu uniondelee vizuizi vyote vinavyozuia mipango yangu ya miradi SIHA na nyumba yangu kuuzika
@marykariuki9842
@marykariuki9842 2 месяца назад
I declare and decree that no barrier will come on my way in jesus mighty name 🙏
@feddymwanga5462
@feddymwanga5462 14 дней назад
Ee Mungu niondlee kizuizi cha kutokupata miradi kwenye shirika langu
@selemanathuman1791
@selemanathuman1791 3 месяца назад
Ee bwana yesu ondoa kila ainaya kizuizi kinacho zuia katika familia yangu naimanutatenda kadri ya uwezo wako
@blandinaabdul7232
@blandinaabdul7232 5 месяцев назад
Asante yes Kristo kwakunifungua 🙏 😢naamini hii wiki nitabarikiwa ameni 🙏 yesu nakupenda ❤️
@neatnessmwanga8653
@neatnessmwanga8653 Месяц назад
Mungu wangu! Yesu wangu! Nisaidie kuvuja vizuizi vyote vilivosimama juu yangu, juu ya maisha yangu na uzao wangu; kwa jina na kwa damu yaYesu kristo!
@AliceJuma-v4g
@AliceJuma-v4g Месяц назад
Kila zuizi lililofungwa katka maisha yangu katka biashara yangu nafuta kwa damu ya yesu amen
@MupenziClovis
@MupenziClovis 2 месяца назад
Yesu kristo unitangulienajiandaa kwa jili ya ndoa naomba uniondolee kila kizuizi ndani ya safari hiyo na pia naomba bwana yesu umsaidie mpenzi wangu awez kugutegemea kwa kila kitu Anacho kifanya bwana yesu tunaomba ututumie loho mtakatifu azidi kutuongoza na kutushauli cha kufasha siku zote za maisha yetu katika jina la yeweza yesu kristo naomba nikushukulu ameeeen
@juliusmwangu3959
@juliusmwangu3959 18 дней назад
Bwana yesu nitangulie mbele yangu,nifungulie mlango ulio funga, amen
@esterjuma827
@esterjuma827 2 месяца назад
Asante yesu kwa kunifungua katika kila vizuizi kwenye kila eneo kwenye maisha yangu 🙏
@EmmyLoy-mj3dt
@EmmyLoy-mj3dt 6 дней назад
Baba Kwa Jina la Yesu Naomba unitete Mimi na watoto wangu na Uvunje vizuizi vinavyozuia baraka kwenye uzao wa Tumbo langu. Fungus Mlango huyu ng'ombe Apate mteja atakakaemchukua Kwa bei nzuri Kwa Damu ya Yesu na Kwa Jina la Yesu Kristo
@NellyRandu
@NellyRandu 23 дня назад
Amen mtumishi wa mungu uzidishwe kwa Jina la yesu🎉🎉🎉
@naeema8155
@naeema8155 10 дней назад
Kila kizuizi kilichopo kwenye maisha yangu na familia yangu watoto wangu ndugu zangu nakwenda kukivunja kwa damu ya Yesu kristo aliye hai
@shukurusimba9866
@shukurusimba9866 13 дней назад
Kila kizuio kilicho katika njia yangu au kifungu chochote kile yesu ukifungua week hii yesu tuweze kulipa madeni haya yesu nakupenda sana nakutegemea
@mercylinedennis8813
@mercylinedennis8813 2 месяца назад
Kila kizuizi ambacho kimefunga mm nisiendelea kimaisha, ndoa yangu isiwe na Amani na familia yangu isiendelee, naingoa katika jina la yesu kristo.
@minzaharuni2820
@minzaharuni2820 2 месяца назад
Eee mwenyezi mungu Kila kizuizi kilichozuia amani kwenye ndoa yangu life Kwa jina la yesu
@user-dz4he8su4e
@user-dz4he8su4e 3 месяца назад
Amen Amen ninaita Damu ya YESU kwa kila mlango uliofungwa juu yangu
@user-dz4he8su4e
@user-dz4he8su4e 3 месяца назад
YESU kristo mwana Mungu uliye hai unitangulie katika hatua zangu,katika safari hii ya Mbinguni 🙏🙏
@JusDreemurr
@JusDreemurr 2 месяца назад
Kila vizuizi vivunjike! Kwa jina la Yesu!
@judithnaliaka972
@judithnaliaka972 4 месяца назад
Amen atanitakulia kwa kila njia aina zote za vizuizi vitashindwa kwa damu ya yesu kristo
@user-pr2kk5np6j
@user-pr2kk5np6j 4 месяца назад
Eeeh mungu kila kizuizi kilichosimama kwenye kila eneo la maisha yangu vunjika kwa Jina la yesu kristo
@evasambila8529
@evasambila8529 4 месяца назад
Naomba Mungu aendelee kuniletea Kwa kuvunja vizuizi, malango ya vizuizi vinavyofanya magonjwa kusakama mwili wangu,Yesu wewe ndio mkombizi wa maisha yangu nami nasema nimepona Kwa Damu ya Yesu kristo.Ameen
@bettydzidza5921
@bettydzidza5921 Месяц назад
Damu ya yesu initetee kila mlango uliofungwa juu yangu naifungua kwa damu ya yesu😭😭😭
@user-yl3no6uf5d
@user-yl3no6uf5d 6 месяцев назад
Ee bwana yesu nakuomba ukaondoshe vizuizi vyote vilivyo katika ndoa yangu,maisha yangu,familia yangu,na maisha yangu bwana nakuomba ukavivunje vyote bwana mana hakuna mungu kama wewe bwana. Ee mwokozi wangu nakuomba ukanijibu maombi yangu kumi na mbili. Kama ulivyo mjibu sara na Anna kama ulivyo mjibu yusufu na danieli nami unijibu leo bwana kwa damu ya mwanao yesu krsto
@BlandinaPeter
@BlandinaPeter 14 дней назад
Kila kizuizi kilicho kuwepo kwenye familia yangu vifunguliwe Kwa jina la yesu
@paskalinanesphory3425
@paskalinanesphory3425 Год назад
Bwana yesu niondolee milima katika maisha yangu ondoa kila kizuizi mwilini mwangu au katika eneo langu
@injetesheillah3563
@injetesheillah3563 3 месяца назад
Mungu anitangulie and unianianalie mbele na milango zangu zilzizo funga zifunguliwe katika jina la yesu
@esterjuma827
@esterjuma827 Месяц назад
Amin mungu amenisikia leo hata kufungua tu haya maombi nineema kunawakati nilikuwa napita tu
@hillarimtambo482
@hillarimtambo482 10 месяцев назад
Yesu nione yesu niguse nifanikishe kujenga yangu kwa mikono yangu 👏👏👏 i
@theopisterbulamu9497
@theopisterbulamu9497 2 года назад
Ameen barikiwa mtumishi wa Mungu, hata kama hujui kusali unajifunza
@rehematesha9799
@rehematesha9799 2 года назад
Asante mwenyezi mungu kwa kujifungulia vizuizi vyote amen
@janemagutusinda8092
@janemagutusinda8092 2 года назад
Mwenyez mungu kavunja vizuizi vyote vibaya ktk jina la yesu 🙏🙏
@hildampanda
@hildampanda 11 месяцев назад
Nimepokea Kwa jina la yesu ñimevunja mabaya yote kwangu Kwa jina la yesu wanaonifutilia washindwe na kuvunjwavunjwa Kwa jina la yesu bwana yesu nitangulie
@user-jq8lu7dv2t
@user-jq8lu7dv2t Месяц назад
Nakupenda bwana yesu kwakili zanguzote nakupenda wewe
@user-yg3ob6hr6y
@user-yg3ob6hr6y 7 месяцев назад
Ee mwenyezi MUNGU vunja vizuizi vyoye vinavozuia nisifanikiwe katika maisha maisha yangu
@marywafula2858
@marywafula2858 8 месяцев назад
Napomoa vizuizi katika Jina la Yesu Kristo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@bibethlizzy6936
@bibethlizzy6936 3 месяца назад
Ee. Mungu naomba ukavuje vizuizi vyote ambavyo vinazuia mafanikio kwenye maisha yng
@user-jq8lu7dv2t
@user-jq8lu7dv2t Месяц назад
Asante kwakuniona nasema Asankwakuniweka huru asante Yesu nkukuza
@jacquelinelukambuzi5085
@jacquelinelukambuzi5085 Год назад
Kila kizuizi kwenye maisha yangu kibomoke kwa jina la Yesu Kristo
@hillarimtambo482
@hillarimtambo482 10 месяцев назад
Yesu naomba ulinzi wako roho za kichawi zisinifatilie
@matridaemmanuel659
@matridaemmanuel659 2 года назад
Ahsanteee mtumish naamin milango imefunguliwa na naanza kufanikiwa katika ndoa yangu katika uzaz katika kupata Kaz kwa jina la yesu kristo wa nazalet aliye hai
@paulinafelix3412
@paulinafelix3412 Год назад
Mungu akuzidishi nguvu maana unatuongoza ktk maombi
@user-vy4oy8us3f
@user-vy4oy8us3f 10 месяцев назад
Nimekwama sana maombi haya naona ni yakwangu mungu anisaidia vifungo vitoke
@glorytarimo6354
@glorytarimo6354 Год назад
Amen mtumishi wa mungu maombi haya yamenigusa wakati naomba Kuna kitu kama kichomi nikikisikia katika ya kifua changu,na nikatapika naamini mungu ameniponya na kupitia maombi haya naamini vizuizi vyangu vinaenda kufunguliwa
@user-yl3no6uf5d
@user-yl3no6uf5d 6 месяцев назад
Amina mchungaji kwa kweli sijawahi omba nikajibiwa papo hapo kama leo ubarikiwe sana mtumishi wa mungu,nami bwana akanibariki amen
@LucyJacob-j3n
@LucyJacob-j3n 12 дней назад
Navunja kila kizuizu kilichosimama kwanye maisha yangu
@peninabensonpen870
@peninabensonpen870 Год назад
Amen kwa jina la yesu kristo kizuizi kilicho simama katika ndoa yangu kivunjike katika jina la yesu
@user-jq8lu7dv2t
@user-jq8lu7dv2t Месяц назад
Yesu nasema asante kwa mume hu yesunasema asante nakupenda asante yesu
@ellyp.p2237
@ellyp.p2237 5 месяцев назад
Yesu niteteee niweze kubeba ujauzito na kujifungua salama nipe kama ulivyoweza kuwapa wengine
@user-bu9ir1hp9h
@user-bu9ir1hp9h 6 месяцев назад
Amina vizuiz vyote toweka mbeleyangu
@felisterndeule-oc3yv
@felisterndeule-oc3yv Год назад
Bwana yesu bwana unitangulie ninatamani kufika
@gracesambula1161
@gracesambula1161 2 года назад
Vizuizi vishindwe katika jina lya yesu kirisito mwana wamungu Alio hi
@shukurusimba9866
@shukurusimba9866 13 дней назад
Kizuizi kile kilichofunga njia zetu tuwe na madeni hayo nayawangia damu ya yesu leo hiiiii
@feddymwanga5462
@feddymwanga5462 14 дней назад
Natumia nguvu na mamlala kubomoa na kuharu bizuizi byote kernye maisha yangu
@DemuyuMuyumba-ky5re
@DemuyuMuyumba-ky5re 19 дней назад
Papy Jules
@judithmasaki4449
@judithmasaki4449 Год назад
Kila mlango wa kizuizi uliifungwa juu yangu nafungua Kwa Damu ya Yesu.
@user-qh4de7gz6i
@user-qh4de7gz6i 5 месяцев назад
Ee bwana yusu nakuomba ukaondoshe kila vizuizi vyote kwenye ndoa ya ngua na maisha yangu pamoja na family yangu
@ivanfaustin9717
@ivanfaustin9717 3 года назад
Kwajina la Yesu navunja kila vizuiz vyote vilivyoko mbele yangu kweny biashara zangu navunja navunja kwa kuna La YESUkristo wanazalet Mungu alie hai Mweza ya yote mmliki wa kila kitu! Pumzi yangu , uhai wangu watoto wangu wazaz wangu kila kitu kiko mikononimwako🙏🙏 navunja leo miamba yotee naaungusha chini kwajina la Yesu🙏🙏🙏
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect 3 года назад
Ameen
@amanimwakitalima1415
@amanimwakitalima1415 3 года назад
Grory to God
@emanuelgerad7109
@emanuelgerad7109 2 года назад
Amina
@ruth2578
@ruth2578 Год назад
Allelujah barikiwa sana pastor am so blessed
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Год назад
Ameen
@user-uk2di2jn5n
@user-uk2di2jn5n 11 месяцев назад
Mungu anisaidie kuvunja miamba na milima yote katika maisha yangu na yote wote pia kwani ninaamin anaweza kufanya katika maish yetu kama neno lake linavy sema
@VeronicaNyirawila
@VeronicaNyirawila Месяц назад
Kila kizuizi kilicho kamata watoto wangu kinakwenda kuharibika kwa damu ya Yesu
@AnnaShahidi
@AnnaShahidi 3 месяца назад
Navunja kila kizuwizi kinachozuia watoto wangu wasipate kazi vishindwe kwa nina laYesu
@joycenose2356
@joycenose2356 14 дней назад
Tuongoze Bwana yesu mponyaji watu
@Matilda-vw5gf
@Matilda-vw5gf Месяц назад
Bwana yesu nitangulie Amen 🙏🙏
@user-hx1sj2rr6f
@user-hx1sj2rr6f 2 месяца назад
yesu takuria maisha yangu
@AlphoncinaMbunda
@AlphoncinaMbunda 4 дня назад
Kila kizuizi kilicho weka ili kuvunja uchumba wangu navingoa kwa jina la Yesu nataka sa kwa Damu ya Yesu
@hillarimtambo482
@hillarimtambo482 10 месяцев назад
Aleyuya Mchungaji ubarikiwe sana 💛💛💛💛
@esterjuma827
@esterjuma827 5 месяцев назад
Amen barikiwa sana mtumishi wa mungu
@mamaziada134
@mamaziada134 5 месяцев назад
Mungu tuondolee vizuizi kwenye afya zetu
@zainatyzaza5811
@zainatyzaza5811 9 месяцев назад
Amen Amen ninafurahi milango yangu imefunguka Asante munguwangu kwakuni funguwa milango yangu imefunguka aleluyaaaaa💃💃💃💃💍👰‍♂️🗣
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect 9 месяцев назад
Ameen ameeen
@AishaJumbee-pf4ss
@AishaJumbee-pf4ss Месяц назад
Ni mimi baba nimeweka bable chin y mto na kikarats cha maomb ya ndoa , napata wachumba wakifikia atua ya kuja nyumbni gafla ananikataa😢😢 eeh yesu unitembelee na mimi
@PaskalinaNesphory
@PaskalinaNesphory 3 месяца назад
Damu ya yesu na bomoa na kuvunja na kuangamiza milangu iliyote iliyofungwa ndani yangu
@moreenkasekwa7614
@moreenkasekwa7614 2 года назад
Amen leo navunja mrango unaonizuia nisisimame katka wokovu
@julianapenza1223
@julianapenza1223 2 года назад
Amen Natangaza katika ulimwengu wa Roho na mwili kwa kunifungua kwa Damu ya Yesu
@kisurajohn-ws5pz
@kisurajohn-ws5pz Год назад
Natangaza ktkt dam yayesu nimefunguliwa ktk vizuizi
@minzaharuni2820
@minzaharuni2820 2 месяца назад
Kila roho ya vizuizi maishani mwangu na kwenye familia yangu vivunjike Kwa jina la yesi
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 3 года назад
Damu ya yesu initetee, kila mlango uliofungwa juu yangu, nafungua kwa damu ya yesu
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect 3 года назад
Amen
@urusulafranco2941
@urusulafranco2941 3 года назад
@@holyspiritconnect amen
@priscahdama4355
@priscahdama4355 3 года назад
Naomba Jehova unitangulie
@anifa2507
@anifa2507 3 года назад
Amen
@haidabezuidenhout7896
@haidabezuidenhout7896 3 года назад
E bwana yesu kavunje vizuizi katika maisha yangu kwadamu yayesu
@FannylaNiFa
@FannylaNiFa Год назад
Ameeena, ninajisikia na ninaamini yakwamba mirango mibaya yote Papa God amefunga na akafunguwa mirango mipya halleeluiaaa ninakushukuru Baba na tunabariki pia mchungaji umutendee wema......Mungu tunakushkuru milele Amen🙏🏽😭
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Год назад
Ameen
@mariaarsen1470
@mariaarsen1470 9 месяцев назад
Mungu niokoe nisimamie🙏🤲
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 9 месяцев назад
Amen Amen I receive I receive
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect 9 месяцев назад
Ameen
@user-eb3fh7vf1h
@user-eb3fh7vf1h 2 месяца назад
Mungu wa rehema nisaidie
@minzaharuni2820
@minzaharuni2820 2 месяца назад
Kwa mamlaka ya jina la yesu na Kwa damu ya yesu navunja na kuharibu Kila vizuizi kwenye uchumi wa familia yangu
@MarthaJoseph-c2u
@MarthaJoseph-c2u Месяц назад
Naitwa Martha namba mungu aniondolee vizuizi nipo na mchumba najiandaa kumpeleka kwa wazazi emungu nisaidie bila wewe siwezi
@AdrianaProsper
@AdrianaProsper 5 месяцев назад
Amen, ubarikiwe mchungaji
@3brothers585
@3brothers585 3 года назад
Milango iliofungwa nifungulie yesu mwana mungu uliye hai
@queendavid6717
@queendavid6717 3 года назад
Navunja vizuizi vyote vinavyozuia nisisonge mbele in Jesus name I pray Ameen
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect 3 года назад
Amen
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 5 месяцев назад
Ameeeeeen pstr barikiwa sana mumishi wa mungu ❤❤❤😂
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 11 месяцев назад
Ameeeeeeeeen thank you dear lord kwa kunifunguwa
@mamaziada134
@mamaziada134 5 месяцев назад
Ee yesu naomba mfungue mtoto wangu anitafute mama yake nampenda mwanangu roho inaumaa baba
@PaskalinaNesphory
@PaskalinaNesphory 3 месяца назад
Nnaondoa vizuiziyl yote,katika maisha yangu
@neymakisuka
@neymakisuka 16 дней назад
Ameen nimebarikiwa
@johnnyika9949
@johnnyika9949 2 года назад
Ameen mlima lazima ushuke nashukuru kwa maombi hayo
@rehemasilasi2985
@rehemasilasi2985 6 месяцев назад
Navunja kila vizuzi kwa jina la yesu
@hidayababu9477
@hidayababu9477 9 месяцев назад
Kila kizuiz kilichosimama ktk maisha yng nakivunja ktk jina la yesu
@user-ev9os3yv3u
@user-ev9os3yv3u 4 месяца назад
Yesu naomba nitangulie
@user-js9iz9qb9j
@user-js9iz9qb9j 7 месяцев назад
Milango yangu yote imefunguliwa kwa jina la yesu
@nextlevel3464
@nextlevel3464 2 года назад
Yesu tufungulie milango na pia vizuzi zinazo fanya tusiendele mbele.tunaomba hao kwa njia bwana Yesukristo Amina
@nextlevel3464
@nextlevel3464 2 года назад
You have touch me Apostle
@DevothaModestus
@DevothaModestus 2 месяца назад
Kiukweli haya maombi nimesikiliza nimemaliza kusikiliza mpaka sasa hivi sina nguvu naandika huku mikono inatetemeka nimefunguliwa asante mungu kwa maombi haya from Malaysia 🇲🇾 🇲🇾🙏
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect 2 месяца назад
Ameen ameeen
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect 2 месяца назад
Mungu akubariki sana sana
@gracepeter7329
@gracepeter7329 2 года назад
Amen amen
@amanipaul
@amanipaul 2 года назад
Asante Bwana Yesu kwa kunifungua
Далее
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Просмотров 717 тыс.
MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA GIZA by Innocent Morris
28:01
Китайка Шрек всех Сожрал😂😆
00:20
🎸РОК-СТРИМ без ФАНЕРЫ🤘
3:12:10
Просмотров 1,4 млн
MAOMBI YA KUOMBEA UFAHAMU by Innocent Morris
43:52
Просмотров 16 тыс.
MAOMBI YA KUVUNJA VIFUNGO by Innocent Morris
29:18
Просмотров 102 тыс.
Maombi Juu ya Mashambulizi ya Ndotoni by Innocent Morris
1:11:14
MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI by Innocent Morris
1:33:17
Китайка Шрек всех Сожрал😂😆
00:20