Mungu wa mbinguni akupe maisha marefu kwani ninachokipata katika mafundisho yako ninaamini nitafika mbali sana na hii ndio ilikuwa kiu ya muda mrefu kupata mafundisho haya asante Mungu kwa kunipa mtumishi wako huyu, barikiwa mtumishi wa Mungu
Asante mtumishi kwa mafundisho haya Hasa mimi binafsi nachukua note 4 , Kabla sijatamka kwa kinwa changu Mungu wangu alie sirini amekwisha jua, Mungu nisaidie
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu hakika Mungu anakutumia sawa sawa Mungu wa mbinguni Mungu wa lbrahim lsaka na Yakobo asikupungukie akupa mahitaji yako yote uishi miaka mingi mpaka Mungu atimize kusudi lake juu yetu sisi wanadamu nabarikiwa sana na kuinuliwa kwa amani yangu
Mchungaji Mtumishi wa Bwana Mungu akupe siku nyingi za kuishi kwaajili ya kusudi aliloweka ndani yako mafundisho ninamshukuru Mungu sana kwa ajili yako mafundisho yako yamenisaidia sana Mungu akubariki Judith silayo
Pastor John, Mungu akubariki sana akutunze na aendelee kukupa maono makubwa.Baba, tangu nimeanza kufuatilia mafundisho yako ukweli ninamuona Mungu akinibadirisha ninahitaji mafundisho mengi zaidi na vifungu vya maombi vya kusimamia kwa kila maombi nitakayo kuwa nayafanya
MUNGU akubariki mtumishi , hakika kuna jambo roho wa MUNGU ameliweka ndani yako, kwa ajili ya ulimwengu wote na kizazi cha baadae . pokea neema ya kuzidi kuinuliwa zaidi kwa jina la YESU KIRISTO amina.