uko vizuri sana dada unamuelekeza mtu hadi anaelewa ukotofauti sana na wapichi wengine sehemu nyingine wanaficha unabaki ukiona wakimalizia lakini wewe nitofauti sana mungu akuzidishie mara dufu
Duuuuu Kochi mili siifaham, uwe unafafanua vizur basi viungo ambavyo sio maarufu sana kwene jamii zetu za mtaani uku ili tujue jinsi ya kuvipata ama mbadala wake. Asante kwa somo zuri
Nimekupenda bure dada na nimefurahi kwa kuwapa fursa wasio na kazi mana wanawake wengne wamezoea kuomba hela kila siku kwa wanaume ndo vile inafika mahala mwanaume anakuchoka changamken kina dada achen usister du! Uzeni bajia mpate hela ya mawigi hahahahahaa