Reminds me of the days I used to listen to Radio Tanzania Dar-es-salaam (RTD) (now TBC) despite tha fact that I'm a Kenyan and that we had our own - Sauti ya Kenya (now KBC). In fact even our own station used to play much of these songs daily. Ask Ali Salim Manga.
Abdallah Ally, shukrani kibao kwa kazi jema unayofanya kutukumbusha tuliko toka. Naomba utuchambulie wimbo "Manyala mke wangu nakupenda sana..." na Orchestra Marquis Original. Wimbo huu wanikumbusha ujana wangu miaka ya 80s nikiwa shule ya upili Kenya kama moja wapo wa nyimbo zilizofana sana wakati huo na kiburudisho wakati wa likizo. Huu muziki ulitambulika sana katika Redio ya Sauti ya Kenya(VOK/KBC) Idhaa ya Taifa,na hata Redio Dar es Salaam.
Ni kweli hua napenda miziki ya marquis du zaire, hawa waume walikua wamekomaa kimziki na utunzi wa nyimbo. Nikiwa hapa msa kila off yangu nikua nasikisa radio rtd na ndio nikausikia wimbowao "shemenji". Haki mziki ni zamani, siku hizi ni upunzi tu !
hapo mm nakumbuka nilivyokuwa mtoto nishaaribu sana redio ya baba kwahajil ya utundu nakumbuka marehebu baba alipokuwa anaanika betri juani hata mm nshafanya hivyo kwasababu nilianza kupenda radio na muziki tokea nikiwa mdogo kabisa
....the time when there was a distinction between music and noises....listen to the words intertwined with melodious rhythm of musical instruments ....that was music
This was music,very cool,educative,well planned,sweet voices cant be compared to what small small boys sing in the name of music.i dont listen to their nonsense at all.
@oyiengojack i was thinking the same thing just right before i read your comment. I totally agree with you. In addition, Makumbele had to be one of the best song ever made by them or any other band in tz..