Тёмный

Martha Mwaipaja - NITOFAUTISHE ( Official Video ) 

Martha Mwaipaja
Подписаться 650 тыс.
Просмотров 610 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1 тыс.   
@CentrineMuhele
@CentrineMuhele 3 месяца назад
Kenyans we are in the house 🇰🇪🇰🇪piteni na likes za martha
@XenoGohan231
@XenoGohan231 2 месяца назад
Tuko ndani
@newtonsimba7930
@newtonsimba7930 2 месяца назад
Amen ❤🇰🇪.
@dukeof032
@dukeof032 3 месяца назад
Why am I crying 😭 This song is a blessing Lord please nitofautishe 🙏 Any Kenyan here Martha Mwaipaja more love ❣️
@MwalimuPastorSam
@MwalimuPastorSam 3 месяца назад
Najitahidi Mimi ili nifike mwisho mwema, Baba naomba NITOFAUTISHE na wengine. Amina . mtumishi Mungu akubariki.
@BadoMartense
@BadoMartense 3 месяца назад
Nimependa ❤
@queenmilly9362
@queenmilly9362 3 месяца назад
Ombi langu hili Baba nitofautishe na wengine .......hongera dadangu kwa wimbo huu🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@maureennawire1625
@maureennawire1625 2 месяца назад
Kenyans let's gather here for the love we have for Martha ....Gods message at home
@MwaaziElisha91
@MwaaziElisha91 3 месяца назад
Wa Zambia🇿🇲, Tanzania🇹🇿, Kenya 🇰🇪, Uganda🇺🇬 Na Inchi zingine njooni apa tuseme Mungu ni wa milele and apewe sifa. Thank you woman of God👏👏👏👏
@SakayoDaudi
@SakayoDaudi 2 месяца назад
Aya ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@miriamalute1540
@miriamalute1540 2 месяца назад
Ameen
@evemasibo8009
@evemasibo8009 2 месяца назад
🙏🙇👏🇺🇬🇺🇬
@esthermwau4315
@esthermwau4315 3 месяца назад
Nitofautishe Yesu Amen,Mko wapi wakenya tubariki dada Martha kwa likes na subscription??
@azizamohamed9362
@azizamohamed9362 Месяц назад
❤❤
@JohnPasteur-h4c
@JohnPasteur-h4c Месяц назад
0:00 0:00
@monicakuziwa4434
@monicakuziwa4434 2 месяца назад
Mungu watofautishe watoto wangu na wengine,kuongea kwao,kutembea kwao ,ujana na ubint wao uwe wa tofauti na wengine ,Mungu wakumbuke watoto wangu wakutumikie
@chimwemweharawa9084
@chimwemweharawa9084 2 месяца назад
Amen and Amen
@beckynelly4406
@beckynelly4406 3 месяца назад
Much love from KENYA 🇰🇪 I do really love this song GOD bless you Martha TANZANIA wapi likes za KENYA 🇰🇪
@evanmaniac2549
@evanmaniac2549 3 месяца назад
❤❤❤❤
@SarafinaNyamvula
@SarafinaNyamvula 3 месяца назад
Watching from Kenya,dada huyu nyimbo zake zagusa moyo ❤wapi like zake martha ❤❤❤❤🎉🎉
@PrudentsHanzira
@PrudentsHanzira 2 месяца назад
I remember one day you came to the international airport of Goma 🇨🇩🇨🇩when I was sick you prayed for me and I was so healed in the name of Jesus Christ
@husnarashid759
@husnarashid759 3 месяца назад
Hii nyimbo Jana kawe kwa Mwamposa ulipoimba kwa Mara ya Kwanza nilisisimkA kwa hisia nyimbo nzuri❤
@manenopaul4599
@manenopaul4599 2 месяца назад
Amen hatar mm pia nifika mbalisana
@medinamohammed1800
@medinamohammed1800 3 месяца назад
🇰🇪Nitofautishe na wengine yesu.Nitofautishe Baba niwe baraka kwa wengine🙏Amina
@AthamanRamadhani
@AthamanRamadhani 3 месяца назад
Nahisi uwepo wa Munyu niilipousikiliza huu wimbo,Yesu naomba nitofautishe na wengine ,amen
@dominiclusenji8089
@dominiclusenji8089 3 месяца назад
From Kenya 🇰🇪🇰🇪Mungu azidi kubariki huduma yako @Martha uzidi kubariki wengi kupitia nyimbo
@edithmalei
@edithmalei 3 месяца назад
Martha mwaipaja barikiwa sana Kenya 🎉🎉tunakupenda sana,,,,,, wapi likes za wakenya
@CharityMwakina-cv3hl
@CharityMwakina-cv3hl 2 месяца назад
Pamoja kenya nipo ndani ndani na likes zote atahazitoshi nyimbo za martha zinanitia nguvu sana❤
@ronaldchweya5853
@ronaldchweya5853 15 дней назад
Wow a very powerful song,naomba nitofautishe na wengine yesu
@raphaelkotioko9341
@raphaelkotioko9341 2 месяца назад
This song take me to 2011 when i was in high school when i used to beg for neighhood school fees .and knowbody didnt help me i used to cry day and night for GOD and now im working in Government officials and now im paying 4 neighboouring schoolfees .and has turning my crying to help the needy😢
@FaithNyabuto-cw2po
@FaithNyabuto-cw2po 2 месяца назад
Amen
@MathewKitaka
@MathewKitaka 3 месяца назад
Wangapi wamewatch this song then wakapiga magoti wakaomba Kaa Mimi🧎🧎nipe like tu!nitashukuru🙏
@JohnJohnkyalo
@JohnJohnkyalo 3 месяца назад
Kweli kaka hii wimbo imenifanya nilie tena na kuomba
@AbidanWamukota-uk5su
@AbidanWamukota-uk5su 2 месяца назад
Kaka hi wimbo umebeba ujumbe mzito sana Mungu amjalie sana
@MathewKitaka
@MathewKitaka 2 месяца назад
Amina​@@AbidanWamukota-uk5su
@MathewKitaka
@MathewKitaka 2 месяца назад
​@@JohnJohnkyalobarikiwa
@MathewKitaka
@MathewKitaka 2 месяца назад
​@@JohnJohnkyalobe blessed
@malisawajuniorbinmlongeca3594
@malisawajuniorbinmlongeca3594 3 месяца назад
From RDC my name is MALISAWA BIN MLONGECA JUNIOR napenda kazi zako Martha Mwaipaja Mungu azidi kukupa nguvu upige atua zaidi ❤❤❤❤❤
@OFFICIALSEMAH
@OFFICIALSEMAH 3 месяца назад
From Kenya 🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 wapi like za mwaipajaa napenda sana sister unavyoo imbaa unanibalikii SANAA mungu abalikoo sanaaa yakoo jomon gonga ata like khadaa jomoo😔😔😔😑😑😋
@sadaponera8972
@sadaponera8972 3 месяца назад
Mungu anaanzagwa kuandikwa Kwa herufi kuba
@MaryamMgaza
@MaryamMgaza 3 месяца назад
Penda sana❤❤❤❤
@evanmaniac2549
@evanmaniac2549 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@abednecomutuku700
@abednecomutuku700 2 месяца назад
Martha may God uplift you again and again
@SakayoDaudi
@SakayoDaudi 2 месяца назад
,🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Sharonchepkemoi-h8s
@Sharonchepkemoi-h8s 2 месяца назад
This lady is lifting most of us by her songs 😢🙏 God bless you Martha
@mimacengineering
@mimacengineering 3 месяца назад
Waaah data yangu we unibariki sana nanyimbo sako jamani ninani ubarikiwa kama mimi wakenya wenzangu nipe like yako please ❤
@rosemarymghoi3581
@rosemarymghoi3581 2 месяца назад
Umenibarikii sana na hio nyimbo
@FredMuhemed-mf9ez
@FredMuhemed-mf9ez 2 месяца назад
From lubumbashi drc 🇨🇩 Asante sana Mungu kwa kipaji ulimupa sista mwaipaja. Nyimbo nzuri sana na enjoy.
@elizabethabilia7843
@elizabethabilia7843 3 месяца назад
Ni ombi langu mungu nitofautishe na wengii kuongea kutembea kuwaza kwangu niwe tofauti na wengi👏
@GladnessMwijage
@GladnessMwijage 3 месяца назад
Baba naomba nitofautishe na wengine 🙏🙏.......am blessed with the song❤❤❤❤❤❤
@LydiaKioko-c8b
@LydiaKioko-c8b 3 месяца назад
Najitaidi mimi ilinifike mwisho mwema, baba naomba nitofautishe na wengine🙏🙏
@eddynfundiko
@eddynfundiko 2 месяца назад
Na kumbuka wimbo tusi kate tamaa 🤭 ngoja ni utazame tena, kweli huyu mungu ni mwema 🇨🇩🇹🇿✔️🙏
@angelapius7973
@angelapius7973 2 месяца назад
This is so amazing ❤❤ baba naomba nitofautishe na wengi
@kentyinduli8239
@kentyinduli8239 24 дня назад
Mungu Kila siku naomba nikupendeze zaidi na kunitofautisha na wengine kiroho,Kimawazo,Kimaongezi,Kitembea yaani Mila Jambo zaidi Ameen🙏🙏🙏🙏🛏️
@MANISHIMWEEmmanuel-vt8ei
@MANISHIMWEEmmanuel-vt8ei 2 месяца назад
Martha Mwaipaja nakupenda saaaana unanifurahisha sana katikati ka nyimbo zako Mungu Mwenye mbalaka nakuombeya mwisho mwema dada yangu
@CarolineObwanga-k8s
@CarolineObwanga-k8s 26 дней назад
Mungu akuzididhie maisha marefu mamaa nampenda Sana nyimbo zako zanifariji moyo wangu ❤❤ kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
@GladnessMwijage
@GladnessMwijage 3 месяца назад
Naomba nitofautishe na wengine.......am blessed with the song❤❤❤..........
@hamsphinepeter254
@hamsphinepeter254 2 месяца назад
Baba naomba unitofautishe na wengine nifike salama🎉🎉
@SofiaMwanate
@SofiaMwanate Месяц назад
Kwahakika wimbo huu umefariji na kunipa ujasiri 🙏🙏🙏mungu akubariki mama
@marthamuindi9234
@marthamuindi9234 3 месяца назад
Baba naomba unitofautishe Na wengine🎉🎉🎉🎉
@paulmzamilwa3678
@paulmzamilwa3678 2 месяца назад
This song really blessed me 🙏🙏🙏❤ from Mwanza Tanzania 🇹🇿 but am a Kenyan 🇰🇪
@ntakilutandato
@ntakilutandato 2 месяца назад
Iwe kwako kama ndio ombi lako...Amina..usiwe zuzu daraja la waovu kuelekea kuharibu kwa sababu unataka kuwa tofauti...Amina.
@fredyzakaria-g8d
@fredyzakaria-g8d Месяц назад
Mungu naomba nitofautishe na wengine niwe baraka kwa wengne ❤🇹🇿🇹🇿
@HesbonKoros
@HesbonKoros Месяц назад
Nyimbo za Martha inanipendeza nishaapata mawaidha sana, feel love from Kenya mummy jah bless you.
@sarahtony2227
@sarahtony2227 2 месяца назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya tutofautishe na wengi..I love my country ❤
@ChristinaMwaipopo
@ChristinaMwaipopo 2 месяца назад
Nampenda sana dada huyu pamoja na nyimbo zake zinanibaliki sana
@vitalismarunda6760
@vitalismarunda6760 Месяц назад
Dada Martha Na Ndoto siku Moja Ya Kukuona for sure Nyimbo zako zinanipa sana Moyo kusonga Mbele Nakupenda sana dada Martha Live Long Dada Yangu Vitalis from TZA
@estherpeter2542
@estherpeter2542 3 месяца назад
Tulio toka kanisani kwenye mkesha tujuwane hapa. Nilikua nasubili kwa hamu. Ameen ubarikiwe mtumishi🙏
@NelsonbernardoDaleli-jn6ly
@NelsonbernardoDaleli-jn6ly 3 месяца назад
Alaniwe MTU yule anayo mtegemeya mwamposa kuwa kinga yake, atupo KWA mkesha wa mwamposa 😞❌, tupo kwajili ya mungo pekee aliyo mbinguni, etc
@geeoutfitdesgner
@geeoutfitdesgner 3 месяца назад
​@@NelsonbernardoDaleli-jn6lyumelopoka bdo hujasema😏,,yaan umecomment bila kufkiria mara mbili kwa kifup bdo hujajielewa kwa kias chake..and second hucpende kuwasema watumishi wa mungu then hucpende kulopoka hucvyovijua kwsabb kuna kesho😊..km umjui vzr mtu ni bora umtafute mtu anayemfahamu akakueleza kuhusu huyo mtu kuliko kulopoka vitu kiolela ambavyo mwenye akili timamu akikuckilza anakuona hamnazo 😊.jitafakari
@AmosSinkala-lx4sl
@AmosSinkala-lx4sl 3 месяца назад
Mwamposa ni mtumishi wa Mungu, ila wewe kwa kuwa una *mungo wako Kama ulivyosema sio mbaya ila jehanum inakuhusu kwa kuhukumu usipobadilika utahukumiwa*​@@NelsonbernardoDaleli-jn6ly
@ZenaMayeye-db9vi
@ZenaMayeye-db9vi 3 месяца назад
@@NelsonbernardoDaleli-jn6ly utamjua mungu bila watumishi waliofunuliwa maandiko??..Hakuna alokwambia anamtegemea mwamposa ndugu,..ni kiongoz wa dini kama wengine tunafuata mafundisho yake kama mtumishi wa mungu..chunga kinywa chako ndugu muombe mungu akutofautishe kwa hekima ya kutamka yaliyo mema
@gironalifye1322
@gironalifye1322 3 месяца назад
Mm
@stellan5038
@stellan5038 3 месяца назад
Wimbo mwema hakika,baba nitofautishe na wengine🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰Martha barikiwa zaidi.dada♥️♥️♥️
@AliceAwuor-ok5uk
@AliceAwuor-ok5uk 3 месяца назад
From TikTok to here dear blessed Martha Asante kwa huu wimbo saana ..barikiwa saana
@fauziafofo4917
@fauziafofo4917 22 дня назад
ALISHADAI, ADONAI nitafautishe na wengi...n JESUS NAME ❤
@Jamila_hairbeauty6749
@Jamila_hairbeauty6749 3 месяца назад
Huu wimbo unanibariki sana 😌’’Bwana naomba nitofautishe na wengine’’ 🙏
@ireneblessing4777
@ireneblessing4777 2 месяца назад
Am here mourning bishop Allan kiuna, with this song 😭😭😭😭 bishop amefika mwisho mwema 😭😭
@lidyamakundi6787
@lidyamakundi6787 2 месяца назад
Ni maombi yangu, kuwa baraka kwa wengi, Mungu ninaomba nitofautishe na wengi
@geeoutfitdesgner
@geeoutfitdesgner 3 месяца назад
ameen mtumishi Martha..tangu jana kwa Mwamposa nilianza kupenda huu wimbo.umenibariki sana huu wimbo❤❤❤..nakupenda Odo wngu❤❤
@gladysmutia3875
@gladysmutia3875 3 месяца назад
Wimbo mzuri sana...Bwana nitofautishe🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽. Ila nyimbo zako zote nazipenda na huzisikiliza kila wakati
@matanondorerobert2919
@matanondorerobert2919 2 месяца назад
Dada martha acha mungu akutofautishe na kina christine shusho walioacha injili na kufata tamaa ya fedha. May lord God bless you. Watching from +254🇰🇪🇰🇪
@FloraAugustino
@FloraAugustino 3 месяца назад
Daaaah ❤❤ siseme tuu nyimbo ni 🔥 Mungu naomba nitofautishe na wengine😢
@NaommoraaMoraa
@NaommoraaMoraa 2 месяца назад
Najitahidi mimi ili nifike mwisho mwema,amen be blessed 🙌
@henrynjunge8175
@henrynjunge8175 3 месяца назад
Wimbo Wa nguvu sana, nimependa sana mtumushi Wa Mungu Mch. Martha
@Hellenah_Sufii
@Hellenah_Sufii 3 месяца назад
Mpaka nikainama kuomba🙏🙏🙏🙏🙏. Mungu nitofautishe na wengi❤❤❤❤. Amen Natamani niwe baraka kwa wengi
@DavidArthurjr
@DavidArthurjr 3 месяца назад
Her songs are a big motivation and of hope for another day...God bless her so that she continues blessing us too😊 Much love from Kenya 🇰🇪
@ChefGeorge
@ChefGeorge 2 месяца назад
Masterpiece. From 254 naomba nitofoutishwe na wengine.Amina
@InnocentAutumnTrees-ux1jj
@InnocentAutumnTrees-ux1jj 2 месяца назад
Kuzaliwa katika mazingira ya ukristo ,kuongea katika lugha,kusoma neno kumbe bado haijatosha kufikilia ufalme wako Baba ,naomba unifunze na unisaidie nisiikane imani hadi mwisho ,vita vijapo uwe ngao na mtetezi wangu wa karibu
@levinamwamburiamen7377
@levinamwamburiamen7377 3 месяца назад
Najitahidi ili nifike mwisho mwema,baba naomba nisaidie,unitofautishe na wewe,thanks dada mwaipaja nyimbo zako zinaanibariki sana mungu🙌aendelee kukuinuwa kwa kiwango Cha juu🙏🙏
@FAMILYKALEGERA
@FAMILYKALEGERA 3 месяца назад
Mungu akupandishe juu. Nilikuwa niki isubiria sana.
@Owinojakasigu
@Owinojakasigu 2 месяца назад
This is my prayer at the moment. Thanks for the touching lyrics and prayer.
@rehemanyika7652
@rehemanyika7652 3 месяца назад
Tuliousikiliza kwa mwamposa live ukiimbwa mkuje hapa na like❤❤❤❤❤
@JasmineChawala
@JasmineChawala 3 месяца назад
👋🏻
@beatricemrisho8431
@beatricemrisho8431 2 месяца назад
Amina
@sophiatesha6572
@sophiatesha6572 2 месяца назад
Tuko hapa
@CristerTheresfory
@CristerTheresfory 2 месяца назад
Pamoja
@manenopaul4599
@manenopaul4599 2 месяца назад
Amen
@julianamushi4869
@julianamushi4869 3 месяца назад
Mungu azidi kukuinua... jana ulinibariki sana huu wimbo kwenye mkesha wa chako ni chako ❤
@SylviaBlessed-wb7xo
@SylviaBlessed-wb7xo 2 месяца назад
Any Kenyan please like tukisonga👊🙌🙌
@HarrisonMurunga-xn9tj
@HarrisonMurunga-xn9tj 2 месяца назад
utawezana 😅😅tuko wengi
@SylviaBlessed-wb7xo
@SylviaBlessed-wb7xo 2 месяца назад
@@HarrisonMurunga-xn9tj 😂😂😂😂lazima nianguke nao wote 😎
@sheilawanjiru6025
@sheilawanjiru6025 2 месяца назад
This lady makes me feel blessed. The kind of songs you listen to and feel the presence of God in your life.
@franciswanyonyi-x1x
@franciswanyonyi-x1x 3 месяца назад
🙏Emwenyezi mungu naomba nitofautishe na wengine katika kila kitu nikifanyacho.Heko dadangu
@MaryMak-ul6ly
@MaryMak-ul6ly 2 месяца назад
I like the song
@PierrotMukonkole-zy8pe
@PierrotMukonkole-zy8pe Месяц назад
Mungu wangu please baba yangu Nitofautishe yesu wangu Amen
@marthanzuma
@marthanzuma 2 месяца назад
Baba naomba ukanitofautishe na wengine 🙏
@EnocMushagalusa
@EnocMushagalusa 3 месяца назад
Natamani kuimba pia mbinguni mimi ninapo sikiya wimbo huu I am feeling in the heaven 💕💕💕💕
@StacyKakuu-qz9rn
@StacyKakuu-qz9rn 3 месяца назад
From Kenya, but I love your songs mummy,,, congratulations mum, love you ❤❤❤❤❤, good songs, may God bless you 🎉
@monicahjames7308
@monicahjames7308 2 месяца назад
Halleluyah...Nitofautishe ni wangu Bwana naomba 🤲🤲🤲🙌🙌🙏🙏
@mikeomondi1014
@mikeomondi1014 3 месяца назад
Kongole kongole kongole Martha,nimesubiri hii kibao kwa hamu na gamu. Mungu akunyenyekeze akikuinua kwa utukufu hadi kwa utukufu mwengine
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn 2 месяца назад
Martha hata sasa uko tofauti na wengine kabisa Mungu keshakutofautisha na wengine kabisa! Nakupa Big Up!!Glory to God kwako!! Martha.
@MercyAchieng-s6o
@MercyAchieng-s6o 3 месяца назад
What a worship song, something that I'll play every morning when I wake up
@calebkipkorir1808
@calebkipkorir1808 2 месяца назад
Mawazo yangu zitafautishe na wengine. Wimbo wa baraka kweli 🔥
@jacklinejepkirui4699
@jacklinejepkirui4699 3 месяца назад
Mungu wangu naomba unitofautishe na wengine
@CeciliaMukhobi
@CeciliaMukhobi 3 месяца назад
Mungu naomba unitafautishe na wengine 🧎‍♀️🙌🙌🙌🙌😥
@rachelmliwa-gj1eh
@rachelmliwa-gj1eh 3 месяца назад
Huu wimbo ni mzuri sana niliusikia jana kanisani kwa mwamposa
@BerthaSamwel-wf1zl
@BerthaSamwel-wf1zl 2 месяца назад
nakupenda sanaaaaa😘, MUNGU akupandishe viwango vya juu zaidi........,. Baba naombaaaaaa nitofautishe na wengine,ili nifike mwisho mwema🙏 Amen
@m.biangwamalenso3291
@m.biangwamalenso3291 2 месяца назад
We can’t get there by our own righteousness and good Deeds but from GOD only and his Holy Spirit guidance 🙌🏾🙏🏾barikiwa mama❤
@Ajuamungu-Kaikunja-Vincent
@Ajuamungu-Kaikunja-Vincent 3 месяца назад
Amiiina, nitofautishe tena baba! 🧎🏽‍♂️🧎🏽‍♂️🧎🏽‍♂️🧎🏽‍♂️🧎🏽‍♂️🧎🏽‍♂️🧎🏽‍♂️
@DondeDieuElias-ic3qj
@DondeDieuElias-ic3qj 3 месяца назад
Maman yangu mungu azidikuku ongoza katika nja yakweli n'a haki wala Yesu asikubali upoteye hilini ombilangu kwa mungu usuige dunia wala usiige wanadamu ❤❤❤❤
@evanmaniac2549
@evanmaniac2549 3 месяца назад
👍✔☑✅🏌️‍♂️🏌️‍♀️🤝💗💕💟❤🧡💞🤾‍♂️
@milkahnyambura-cs9rl
@milkahnyambura-cs9rl Месяц назад
😭😭🙌🙌🙌 Baba nitofautishe na wengi nakuomba.Thank you Martha for the touching song
@tomkasyoki6727
@tomkasyoki6727 3 месяца назад
Wow wonderful song.... Nitofautishe na wengne 👏 👏 👏
@alfredirankunda
@alfredirankunda 2 месяца назад
Martha if u disappear for more than a month but once u back our hearts must be blessed 🙌 we love you Mama❤ may God gives you what u deserve 🎉🙏.
@rwa877
@rwa877 3 месяца назад
What is coming from my spiritual mommy is🔥🔥🔥
@Esther-m4i
@Esther-m4i 2 месяца назад
Nitofautishe na wengine amina mungu azidi kuku tia nguvu my matha love you so much
@HappyEzekiel-k4m
@HappyEzekiel-k4m 3 месяца назад
Nakupenda sana dada martha, mungu akubariki zaidi, napenda nyimbo zako
@MercyMumo-qu9tq
@MercyMumo-qu9tq 2 месяца назад
From 🇰🇪 wimbo mzuri sana najitahidi nifike salama....God bless you forever
@CephasKabiki-vo2zg
@CephasKabiki-vo2zg 2 месяца назад
From 🇧🇮 wimbo mzuri Sana najitahidi Nike salama God bless you forever 🇮
@EliasNduwayo
@EliasNduwayo 2 месяца назад
Mungu akuongezeye kipaji. Tunabrkiwa sana kwa nyimbo zako
@nancychiboi7133
@nancychiboi7133 2 месяца назад
Hallelujah hallelujah 😭😭😭 baba nitofautishe na wengine kitabia ,nk in Jesus name 🙏🙏 barikiwa Sana mum ❤❤❤
@phaustineokitwi7043
@phaustineokitwi7043 3 месяца назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Natamani niwe baraka kwa wengi
@lumosinewton9333
@lumosinewton9333 2 месяца назад
❤❤❤❤I love your music 🎶🎼🎶🎼 too okwitwi
@phaustineokitwi7043
@phaustineokitwi7043 2 месяца назад
@@lumosinewton9333 amina Asante saaana 🙌
@paulinenzioka927
@paulinenzioka927 3 месяца назад
Ombi langu siku ya leo baada ya ugomvi mkali,😭nitofautishe ee Mungu wangu🙏
@BenjaminTriomphe
@BenjaminTriomphe 3 месяца назад
Barikiwa zaidi sana dada Martha mwaipaja 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@DomitilaMassawe-v5w
@DomitilaMassawe-v5w 2 месяца назад
Nitofautishe na wengine mungu wangu❤
@davidmupenzi8997
@davidmupenzi8997 3 месяца назад
Amen 🙌🙌🙌🙌🙌🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩Ni kweli Mangu, Mungu atutofautishe kabisa ,
@JoylineMakali-e6t
@JoylineMakali-e6t 17 дней назад
Amen🙏nyimbo zako hunipeleka katika level nyingine Kila ninapo sikiliza barikiwa sana na hiyo neema iendelee kuwa kubwa zaidi na zaidi
@MireilleMukeswa
@MireilleMukeswa 2 месяца назад
Nyimbo uzo imba kila leo,zime ni bariki,MUNGU azidi kuku inuwa
@SammyNdenge
@SammyNdenge 2 месяца назад
❤I really love 💕 the way anaimba hyu mama🎉 mungu amusaidie sana