Тёмный
No video :(

Marufuku ya kutoingia au kutoka nje ya kaunti 5 zilizokuwa zimefungwa imeondolewe 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Sasa wakaazi wanaoishi kaunti tano zilizokuwa zimefungiwa wako huru kusafiri na wakenya kuingia kaunti hizo, baada ya rais Uhuru Kenyatta kuondoa marufuku hiyo. Rais Kenyatta kwenye hotuba yake ya Leba Dei pia ametangaza kuongezwa kwa muda wa kafyu na kufunguliwa kwa hoteli na mikahawa, ila kwa kuzingatia kanuni za kudhibiti corona. Na kama Chemutai Goin anavyoarifu, shule pia zitafunguliwa tarehe 10 mwezi huu kama ilivyopangwa.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@osmanhaji2156
@osmanhaji2156 3 года назад
We have to learn from covid situation in India and Brazil.
@franmdleleni6520
@franmdleleni6520 3 года назад
Totally agree. The situation in India is really despairing. One can just ask, what really went wrong there. It is not helping to see relatives in close proximity to the dead relatives who have succumbed to covid 19. It is just very sad.
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 3 года назад
Great news, let get used to stay with Corona because will be with us for long....
@sharondavis9379
@sharondavis9379 3 года назад
Uuuiii wa2 wa school fee mungu atupatie fee aki
@jannyrose5367
@jannyrose5367 3 года назад
Good job, let's follow the instructions 🙏
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 3 года назад
Sasa uhuru mbona ufungue shule tarehe 10 badala muache watoto washerekee sukukuu mwanzo siku tatu tu
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
Simngengoja watoto wafungue ramadhan ndio mufungue shule
@muniraramadhan7987
@muniraramadhan7987 3 года назад
KWELI KABSA
@augastusmuthui4381
@augastusmuthui4381 3 года назад
My friend tunapigania Elimu. Wewe uko ramadha uko kenya gani??
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
@@augastusmuthui4381 elimu ukwaju
@nancynaipanoi4866
@nancynaipanoi4866 3 года назад
Pesa iliingia.. In case kupatikane mahali pesa inatoka.. Bado utatuchezea Akili Tu.
@azamtn
@azamtn 3 года назад
uhuru ni trial n error president. he got no idea on anything
@franmdleleni6520
@franmdleleni6520 3 года назад
@Azam Tn covid 19 is a new disease. Nobody is sure or 100% of what to do. Check how many times European countries have gone on lockdown. Blaming a person does not help
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 3 года назад
Mliona mkiongezea hizo 3days watoto washerehekee eid mwaona shida ...
@elonouma9701
@elonouma9701 3 года назад
Caption error
@osmanhaji2156
@osmanhaji2156 3 года назад
We still have to be careful. I will urge the president to put more pressure on equipments in our hospitals.
@thomasmarende2445
@thomasmarende2445 3 года назад
Naona tu uongozi duni kenya.wakati ambapo serekali bado inategea misaada zenye huishia mifukoni za watu binafsi ,bado tutateseka hadi mpaka tutakapo pata magufuli wa kutu hokoa 2022.Hii ni gava ni burekabisa!
@kingsan2548
@kingsan2548 3 года назад
Alaa mbona cjakwelewa😳😂😂
@thomasmarende2445
@thomasmarende2445 3 года назад
@@kingsan2548 Toa kwa spectale😎au ukule 🥕 🥕 🥕 kwa wingi ndio uelewe.ama wewe ka ni deepstate ,lets me get 😷
@franmdleleni6520
@franmdleleni6520 3 года назад
@Thomas Marende I can't believe what you are saying about covid 19 in Kenya. You need to apologize to all those who have lost their loved ones due to covid and to those who are still sick with covid in hospitals. You cannot be joking about this
@thomasmarende2445
@thomasmarende2445 3 года назад
@@franmdleleni6520 you haven't understood what I said.l talked about bad leaderships in our country. Visit ouditer general office you will find how our taxes ruined by both governors and National government.ldont know maybe you are among covid19 billionaire .lf not you are in disorders in your mind. 2022 we need people's president like magufuli and not system's president.
@thomasmarende2445
@thomasmarende2445 3 года назад
Ata ivyo corona nia wazungu,china ,waindi na wazungu wafrika madynasties na ka mungu aliamua ni vifo wakufwe tu!nani ajui corona ya kenya ni fake? Nia kutegea Donations na kupora,gava ya uhuru ni sheenzi sanaaa!
@salmasaid7058
@salmasaid7058 3 года назад
Umeonaee wapuuz sn
Далее
لدي بط عالق في أذني😰🐤👂
00:17
Просмотров 4,3 млн
Аруси Точики ❤️❤️❤️
00:13
Просмотров 233 тыс.
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Просмотров 6 млн
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Просмотров 1,8 млн
How to win a argument
9:28
Просмотров 507 тыс.
لدي بط عالق في أذني😰🐤👂
00:17
Просмотров 4,3 млн