HII ngoma ni kali kuliko ndovu kuu bro please fanya jitihadi adi ifikie wakuu... I remember back in the days when you were performing in OSIEKO apo 2020...KAZI SAFI
mwana wa mama orioh muno khandi wedinyee khukiokhola ndi musangafu khulira luno lwimbo,,Kuna massage kalii sana na inajenga Alie na masikio na asikie🎁🎁👍
He wimbo nitamu Sana niliisikia kwa matanga ya shem kule nyumba butula kutoka hiyo siku nilikuwanga nikiitafuta bt sikuwa najua jina yake thank you and big up so that we build our county Busia pullooooo dj