Congrats guys.kumbe hii vita yote Ni ya hii hushindi . God bless you Na ushike Kile umeabiwa n our mum peace mulu ilove that woman of God..peace my God bless you
Masekete umepata mtoto mzuri 👌💪 tunakuheshimu na tunakupenda na kama vile tunajua wewe ni mtumishi wa mungu kuna mahali nitakukosoa tu si kwa ubaya bibi avae mavazi ya kufunika mwili vizuri kama bibi ya mtumishi wa mungu. Asante barikiwa
Masekete wallahi umeweza muema wah!! Muyo niwaku na kindu waku. Ndeto syaw'o 😂😂😂😂😂😂i like the way u handle that interview anyway love ur spirit en strength encouraged ❤❤❤❤❤msalimie sana nimekwama hapo kwa ITAKO YA NDIA😂😂😂
Enyewe kuna kitu sielewi kuhusu wokovu... Au hata huyu atalia kama Joan??? Bora isilete aibu juu waimbaji wa Gospel wamejichanganya na kufanya jina la Mungu litukanwe...all the best