Тёмный
No video :(

MASHAALLAH WATOTO WADOGO WAKISOMA QASIDA LIVE WAMEPENDEZAJE  

Future Media
Подписаться 186 тыс.
Просмотров 3,2 млн
50% 1

SUBSCRIBE NOW KWA KUPATA HABARI PAMOJA NA MAKALA BONYEZA LINK HII bit.ly/3waxCzh
KARIBUNI SANA KWA HABARI ZA BURUDANI NJE NA NDANI YA TANZANIA PAMOJA NA KUJUA HISTORIA MBALI MBALI ZA WATU MAARUFU DUNIANI #@FutureMediatz

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 641   
@HalimaAthuman-g7b
@HalimaAthuman-g7b Месяц назад
Hongel san mpendez sna nime pend san❤❤❤
@halimanchimoni496
@halimanchimoni496 Год назад
Mshaaallah tabarakallah, Allah awazidishie na awakuze na elimu na muongozo wa dini ya kiislamu
@jasminmohamednasour2754
@jasminmohamednasour2754 2 года назад
Mashallah watoto wamependeza na wanaitendeaa haki kabisa qaswida ila jamani mm nimekipenda hicho kitoto cha tatu kinajuwa mashallah 😍😍😍😍😍😍
@Lisajos
@Lisajos Год назад
Hiki kidogo mashaallah kinacheza vizuri ❤️
@sofiasalimchengo3922
@sofiasalimchengo3922 Год назад
Mashaallah watoto wadogo wanamahadhi ya kuimba kaswida vizuri,,nawapa pongezi
@maoulidaattoumani3862
@maoulidaattoumani3862 5 месяцев назад
Masha Allah s'est enfant s'ont incroyable Masha Allah ❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊 que dieu les les bénéfic isha'allah ❤❤❤❤❤🎉
@fatumampumbo2397
@fatumampumbo2397 4 года назад
Mashaallah mungu awakuze vyema in sha allah awazidishie imani na dini yenu
@stevensosipita
@stevensosipita 5 месяцев назад
MA SHAA ALLAH MWENYEZI MUNGU AKUZE VIPAJI VYENU INNSHA ALLAH
@user-fk9vv1sx3t
@user-fk9vv1sx3t 4 месяца назад
Je vous aime ❤️ courage courage 😘 Masha Allah ❤ mai vous pouvez traduire en français s'il vous plaît sa Sarah bien merci 😘 courage 😘
@hassansaid1085
@hassansaid1085 3 года назад
Mashallah mungu awaweke watoto hawa
@aminaalihaji6321
@aminaalihaji6321 2 года назад
Mashaallaa ❤️❤️ mungu awape maisha marefu
@futuremediatz
@futuremediatz 2 года назад
Ahsante
@ashamuya3286
@ashamuya3286 Год назад
@@futuremediatz o
@maoulidaattoumani3862
@maoulidaattoumani3862 5 месяцев назад
Masya Allah semoga Tuhan Yang Maha Esa memberikan umur panjang. Aku cinta. Sungguh luar biasa Masya Allah. Semoga Tuhan memberkati Anda dan melindungi Anda. Masya Allah, Tuhan yang luar biasa ini memberkati Anda . Media masa depan ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ummukhansaa5701
@ummukhansaa5701 4 месяца назад
Amen inshaalla
@user-fk9vv1sx3t
@user-fk9vv1sx3t 4 месяца назад
Salut
@Lisajos
@Lisajos Год назад
2022 and am still here❤️sijui mbna napenda hii qwasida na Hawa watoto pia,❤️ mashaallah mungu na azidi kuwalizidishia Hawa watoto😛
@sophiakilimo7206
@sophiakilimo7206 5 лет назад
Hongera sana watoto wamependeza hao wanaolalamika kazi kwao
@jumaabdulmajidi7359
@jumaabdulmajidi7359 4 года назад
Wamedamshi
@khalidswaleh7035
@khalidswaleh7035 2 года назад
Allahumma swali wasallim alaih,. shukran sana kutujalia kuwa twamswalia mtume pia sisi
@jafferooko4042
@jafferooko4042 4 года назад
Mashallah Allah awakuze vipaji vyao hapa na kesho inshallah
@deqhaomarfarahjjjhyp3372
@deqhaomarfarahjjjhyp3372 4 года назад
😍🤩😁😁😁
@aloycefmoshii2168
@aloycefmoshii2168 5 лет назад
Mashaalaah jamani mungu ape maisha marefu wadogozangu
@batulaallyduba6306
@batulaallyduba6306 3 года назад
MashaAllah 😘 nawapenda saaaaanaaaaa mungu awaepushe na macho ya hasidi AMEEN 🤲
@thomackabila6534
@thomackabila6534 3 года назад
Mashallah watoto wazur
@leylayusuf435
@leylayusuf435 2 года назад
Amin
@halimarashid3728
@halimarashid3728 5 лет назад
mashaallah mungu azidi kuwaongozaa,,,, qasweeder mzuriii
@aishajuma2952
@aishajuma2952 4 года назад
Mashaalwah mungu awajaalie watt haw
@wemajuma9867
@wemajuma9867 Год назад
Mashallah mungu wasaidiye katika mafunzo yao naustadhi wao allah amzidishie
@user-jh3lz1jo3h
@user-jh3lz1jo3h Год назад
Masha allah mungu awape umrii mrefu ❤❤❤❤💌💞💞💞
@husnaomar803
@husnaomar803 2 года назад
MashaAllah mungu awazidishie
@hajiyunus2293
@hajiyunus2293 2 года назад
Amina
@zawadsaid1404
@zawadsaid1404 5 лет назад
Mashaallah wamependeza Allah awajaliie insha-Allah
@talent9018
@talent9018 5 лет назад
Ishalaa awaongezee hekma na hakili chema
@bestayoissa7785
@bestayoissa7785 3 года назад
Ishalaa
@asnatimangoma3315
@asnatimangoma3315 4 года назад
Manshalllah mungu hawafanyie wepes mnaweza
@fatumakanganya8110
@fatumakanganya8110 4 года назад
Mashallah
@omaryabdallah7321
@omaryabdallah7321 3 года назад
Mashallah mungu awabaliki watto wazuli
@ashuraissa4457
@ashuraissa4457 4 года назад
Uislam raha sana najivunia kua mwislam,
@mjitahidiomary8733
@mjitahidiomary8733 3 года назад
Mash Alla wazuri ntakuja Kiowa Huko from kigoma
@talyahal-mhedhery8658
@talyahal-mhedhery8658 Год назад
Mashaallah Allah awalipe mema
@mainaabuu8931
@mainaabuu8931 5 лет назад
Mashallah hawa ndio mahsusi kwa kuimba lkn sio watu wazima kujishebedua kwenye majukwaa ni aibu kubwa kwakweli ,hongereni sana waandaaj nmependa
@adillhabib2006
@adillhabib2006 5 лет назад
Maina Abuu eeeeyv
@mramour7481
@mramour7481 5 лет назад
Maina Abuu awo majitu mazima unaowasema na wao walianzia ivi ivi
@hamidsaed9881
@hamidsaed9881 4 года назад
@@mramour7481 kabisa bana
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 года назад
MashaAllah jadha ka Allah kheir
@mamuuomanyee7435
@mamuuomanyee7435 3 года назад
MaShaAllah TabarakAllah watto wazuri n qaseida nzuri yenye mafunzo mema,,shukran kwenu walimu n wanafunzi Allah azibariki kazi zenu n kuafanyia wepesi InShaAllah 🤲🏽🤲🏽
@asiaafreka3480
@asiaafreka3480 5 лет назад
Mashaallah mungu awabarki watoto wetu
@abdallasalim6543
@abdallasalim6543 5 лет назад
Sy kw muundo huo,wa kisheitwani ,Allah hawanusuru hawa watoto,lkn mfundishaji na muundaji wa usheitwani Atubu,,bila hivyo analo la kujibu cku ya qiyama,msome uislamu unavyotaka sy mnakoment kila kitu
@jenniferahokokisienyi4813
@jenniferahokokisienyi4813 3 года назад
Masha Allah watoto wazuri mola awajalie maisha mema
@lutfiamohd1959
@lutfiamohd1959 2 года назад
Qaswsida pambee 🥰🥰
@futuremediatz
@futuremediatz 2 года назад
Mashaaallah
@monamo5244
@monamo5244 5 лет назад
MashaAllahuuu MashaAllah shukrani saana jazakalluh kheri.Allah awaxidishie kipaji chenu pamoja na Qur'an.
@christopherkideka8055
@christopherkideka8055 5 лет назад
Mona Mo g
@ummoislam4832
@ummoislam4832 4 года назад
Ma shaa Allah
@fatumaswedi9296
@fatumaswedi9296 3 года назад
Watt mashallah
@hajjihassan8669
@hajjihassan8669 4 года назад
Waooo mumeimba vizuli sana allha awaongoze
@almashaaribububu1214
@almashaaribububu1214 4 года назад
Mash-aari hongeraa ukht sunna kwakazi nzuriiii
@jumajuma9988
@jumajuma9988 5 лет назад
Mungu awabariki kwakazinzuri
@aminaabdu5426
@aminaabdu5426 5 лет назад
Juma
@swabrinamohammed1425
@swabrinamohammed1425 5 лет назад
Mashaallah allah awazidishie vipaji inshaallah
@fabiakombo8011
@fabiakombo8011 3 года назад
Masha Allah good and a beautiful qaswida
@benedictalila6215
@benedictalila6215 3 года назад
Mashallah watoto wenye sauti nyororo
@hawaabeid3338
@hawaabeid3338 5 лет назад
Mashaalah Alalah awaongoze na awalinde inshaalah.
@jumashabani1788
@jumashabani1788 5 лет назад
Alaf mi nimeona wengi wanao sapoti upumbavu huu ni wanawake Hu ni msiba kwakweli muogopeni Allah
@cookwithme7470
@cookwithme7470 4 года назад
Qaswida mashaAllah nzuri lakini hii kucheza jamani sio sawa
@muhammadhadiomar5451
@muhammadhadiomar5451 4 года назад
Kweli wote wangecheza pamoja ingekuwa afadhali
@fatumanassoro1230
@fatumanassoro1230 4 года назад
Mashaaallaaah jazaka llaaah khairr
@bekahaxny2167
@bekahaxny2167 4 года назад
mashallah kazi nzuri
@raudhanaly1352
@raudhanaly1352 5 лет назад
hadi raha mashaaallah
@ressymtata1201
@ressymtata1201 3 года назад
Kaswaida mpya
@mbulamtinda3043
@mbulamtinda3043 2 года назад
Maashaallah barakallah
@bandakassim8327
@bandakassim8327 5 лет назад
Nimeipenda hiyo wako vizuri
@justuschrizostomchrizostom9190
@justuschrizostomchrizostom9190 4 года назад
Mashallah nimewapenda
@maida2710
@maida2710 4 года назад
Mashaallah
@alenasabiti9213
@alenasabiti9213 3 года назад
MASHA Allah
@jenipherdawson8403
@jenipherdawson8403 4 года назад
Maashallah Allah awafanyie wepesi
@nassororamadhan2515
@nassororamadhan2515 5 лет назад
Mashallah
@sheikhabubakarshmuhidinshk7371
@sheikhabubakarshmuhidinshk7371 4 года назад
Mungu awazidishie
@barakatumohammed664
@barakatumohammed664 2 года назад
MashaAllah..Mungu awazidishie
@mohamedbakari8679
@mohamedbakari8679 Год назад
Mashallah qasda inapendeza
@aboubakarali2227
@aboubakarali2227 5 лет назад
Mashaaallah kheri na barka juu yenu watt wazury❤
@user-ro7zr8eq5i
@user-ro7zr8eq5i 5 месяцев назад
naipenda sana madrasatul masha-ari lharaam ❤❤❤
@asuminikhamiss5500
@asuminikhamiss5500 5 лет назад
Nimeipenda sana
@sulemohd4812
@sulemohd4812 3 года назад
Watotowafundisheni kuhifadhi.qur an itakuwa bora zaidi
@peterakida1174
@peterakida1174 6 месяцев назад
Naipendaa jmnii hiii gaswid
@saumouramadan4588
@saumouramadan4588 5 лет назад
Mashallah watoto wa zur mumependeza sana
@tumainimasunga4290
@tumainimasunga4290 5 лет назад
Yarabh awanuthul
@rosehamza136
@rosehamza136 4 года назад
Mashaalah watoto wazuri Allah awakuze
@mwanahamisibeautyproducts7421
@mwanahamisibeautyproducts7421 4 года назад
Masha Allah
@allykilua2235
@allykilua2235 3 года назад
Maashaallah
@user-jf6mu7dd2y
@user-jf6mu7dd2y 5 месяцев назад
Mashaallah mwenyezi mungu awzidishie ilmu na wazaza wao pia nawapongeza kwa kuwalea watoto wao vizuri mpaka kufikia hapo mashaallah 🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@vardymuniro3722
@vardymuniro3722 2 года назад
Mashaa Allah Allah awabarik watoto Haw
@futuremediatz
@futuremediatz 2 года назад
Amen
@thebrishersislam9343
@thebrishersislam9343 4 года назад
Mashaallah Allah aendelee kuwaongzaa inxhaallah
@nehemiamagaho9124
@nehemiamagaho9124 2 года назад
Safi sana
@mariammadola6233
@mariammadola6233 4 года назад
Masha allah mungu awezidishie uwezo zaidi
@asifarajabu7845
@asifarajabu7845 5 лет назад
Wamependeza Masha Allah
@ayoubnuru5018
@ayoubnuru5018 4 года назад
Ayubu
@AliKhamis-qu7po
@AliKhamis-qu7po 5 месяцев назад
Mungu awaondolee fitna za walimwengu
@aishamuhamud900
@aishamuhamud900 3 года назад
Mashaallah watoto wazur Allah awahifadhi na awape mwisho mwema
@abdalasady5699
@abdalasady5699 3 года назад
Masha Allah Allah awepe watoto myo zenye kumwabudu Allah kiksmirifu
@rasheedadjdjj5197
@rasheedadjdjj5197 5 лет назад
Mashaallaah mashaallaah mashaallaah Jadhakha llaah watoto wazuri mmejitahidi Allaah awashushie ulinzi 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@mariamabdallah7975
@mariamabdallah7975 5 лет назад
MAshaallah mwavutia
@MISSTOURISMLINDISECOND
@MISSTOURISMLINDISECOND 5 лет назад
mashaallah tabarakaallah
@zainabbakar2434
@zainabbakar2434 3 года назад
Mashalah watoto wadogo nakipaji cha kaswidah.
@hajiyunus2293
@hajiyunus2293 2 года назад
Hhhhh ww unawatk watoto wetu au hhhhhh😀😀😀😀
@naimamunishi1241
@naimamunishi1241 4 года назад
Masha Allah watoto wazur masha allah wamependeza sana😘😘
@mundhirramadhan6258
@mundhirramadhan6258 3 года назад
mash
@halimaathumani3261
@halimaathumani3261 2 года назад
Allhu wajalie maisha maref
@mwemammale921
@mwemammale921 4 года назад
Mashallhmung awajarie watoto hao
@ramadhanishabani8627
@ramadhanishabani8627 5 лет назад
Maashaallah watoto wazuri
@ramadhanishabani8627
@ramadhanishabani8627 5 лет назад
Maashaallah watoto wazuri
@naimasaid469
@naimasaid469 5 лет назад
Mashallah Allah awaondolee husda za mahasid wanapohusudi
@saidrajabu1902
@saidrajabu1902 3 года назад
Mashaallaah Mashallaah Mashallaah 💟💟💟❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@wasilamshamba5400
@wasilamshamba5400 5 лет назад
Allah atupe nusra na vitimbi vya shetani..ni zaidi ya segere.!!wazazi tujue tunalo LA kujibu kwa mola wetu kwa kufurahia watoto wetu kufanya huu upumbavu..walimu tambueni wajibu wenu nanyi mnalo LA kujibu..ni ukumbusho tu
@zuleikhanoordin8638
@zuleikhanoordin8638 5 лет назад
na wewe huna pia adabu hi ni kumsifu nabia ama vipi husiki
@faridaalmaawaly955
@faridaalmaawaly955 5 лет назад
Kumzifu mtume kwa ngoma kufuru tu na kuwafundisha Hao watt vituko tu
@wasilamshamba5400
@wasilamshamba5400 5 лет назад
@@zuleikhanoordin8638 ungejua maana ya adabu usingeshadidia huo upumbavu
@AishaBiasha
@AishaBiasha 5 месяцев назад
Mashaallah Mungu awalinde n jicho la husda mungu awongoze n awepe tabia njema mungu awape umri wazzi wao n awape nguvu Amn
@habibusaid135
@habibusaid135 3 года назад
Mashaallah Allah azidi kuwaongoza watt wazuri👏👏
@hamadialihamad4126
@hamadialihamad4126 4 года назад
Hilo ni zowez tosha LA karati AU ngumi hawachoki mashll
@mpembasultan821
@mpembasultan821 3 года назад
Masha Allah Allah awape afya njema
@almashaaribububu1214
@almashaaribububu1214 3 года назад
Mashallah mash-aari l-harami bububu melinane mko vizuriiii
@lelaallububa5739
@lelaallububa5739 5 лет назад
Mashaaalh mashaaalh
@lelaallububa5739
@lelaallububa5739 5 лет назад
Watot wanipa raha daaaaa
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 4 года назад
Iko 💥💥💥💥mashaallah
@azeezaabdalla4673
@azeezaabdalla4673 4 года назад
Nimewapenda Sana ao watoto
@latifayusufummuta3568
@latifayusufummuta3568 Год назад
Watoto mashaalah wapo vizur kwa kweri
@fatmamarsella9652
@fatmamarsella9652 4 года назад
Mashaallah allah awazidishe wanangu
@alliyahhussein5099
@alliyahhussein5099 Год назад
Mashaalah ❤❤❤❤❤😊😊😊😊
@zulfakhamis6849
@zulfakhamis6849 4 года назад
Mashallah watoto wazuri mnajua kucheza vizuri
@zainabuabdalah1355
@zainabuabdalah1355 3 года назад
Mashallah
@sudijuma9338
@sudijuma9338 2 года назад
Mashaalla allah
@mariamukarimu8596
@mariamukarimu8596 3 года назад
Ni nzuri Sana mashaallah
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 5 лет назад
Mashaallah,MUNGU awaongoze zaidi na mahasidi wawe vipofu kwa husda zao.kweli ni furaha sana♥️♥️♥️♥️
@ShakifuChikoi
@ShakifuChikoi 4 месяца назад
Mashaallah Jan wameweza🎉🎉🎉
@ismacilabdullahi7130
@ismacilabdullahi7130 4 года назад
ALLAHU AKBAR
@hawathabiti3402
@hawathabiti3402 5 лет назад
Ada raha mashaallah
@user-cy7gg5bg4v
@user-cy7gg5bg4v 4 месяца назад
Allah awazidishie
@barakamipawatito7575
@barakamipawatito7575 5 лет назад
Asante mungu
@saidscopion3802
@saidscopion3802 2 года назад
Nimeshaa penda watoto venye wamedance
@ubahibrahim8444
@ubahibrahim8444 3 года назад
mashaalah vizuri sana
@noelsimon4351
@noelsimon4351 4 года назад
Maashaalah
Далее
Wapeni Njia Warembo
13:06
Просмотров 855 тыс.
FIYHUBBY_SAYYIDNA_MUHAMMAD
11:15
Просмотров 1,4 млн
Qaswida.mahari
9:33
Просмотров 3,7 млн
Uke wenza.Qasida inayopendwa na wake wenza.Istiqama
9:17
Ukhty Daynat Akimuimbia biarus live holini
9:03
Просмотров 1,6 млн