Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri MASHALOVE ATINGA NA MAGODORO NA VYOMBO YAKE KWENYE MKUTANO WA WANA HABARI #Bonatv #Exclusive #MashaLove
Kiki za kipumbavu hizi mpaka wakumbebea vitu anao waandishi wa habari kama wote wapi kunaruhusu sehemu kama hiyo mtunkuingia hivyo na ma vitanda tibadili Kiki kidogo hizi za kujiandalia mpaka waandishi wa habari tuache by the way haija make sense kabisaaa hapo hapo anatangaza sidiria kafungasha sidiria kama lote 🤣🤣🤣atar