Тёмный

MASHEIKH WA BAKWATA KUBOMOANA KISA MUFTI 

SHEIKH MWAIPOPO TV
Подписаться 46 тыс.
Просмотров 2,1 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@ismailhaji-b4s
@ismailhaji-b4s 5 дней назад
Ma sha Allah..Assalam alaykum muhadhir wetu...hakika haupoi wala hauboi..akuhifadhi Allah(s.w)
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo 4 дня назад
Good luck,,,, sheikh Mwaipopo 🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪 Allahu-akbar
@michaelkibiki3309
@michaelkibiki3309 4 дня назад
Jihurumie Mwenyewe na Upotoshaji wa Uganga wako wa Kienyeji
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 5 дней назад
Masha'allah
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 4 дня назад
Daaa hii din kwr ya mchongo yn mtume analogwa bd mnasema n mtume damu ya yes wajalie wt wk wamjue yesu
@abdillahiabdallah438
@abdillahiabdallah438 4 дня назад
MWAIPOPO SEMA KWELI YAANI AL HADIY ANA MAADUWI WENGI SANA SANA WANATAKA KAMA LEO ATOKE ROHO NDIO WATAPUMUWA NAFSI ZAO WANAMROGA USIKU NA MCHANA, HAIFAI TUACHANE NA SIASA ZA HUSDA YA MAJI TAKA
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 4 дня назад
Alikuwepo sheikh Aly Mubaraka aliaminiwa na watu wa Kuwait akawa anachimba visima na kujinga misikiti Chizenga na kundi lake walimpiga vita hadi akaondoka bakwata.matokeo yake watu maskini tukakosa huduma za kuchimbiwa visima
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu 3 дня назад
Mchungaji Thomas Nestory Mwaipopo endelea tu kuubomoa uislamu, shughuli uliyotumwa unaimudu
@samjosh12
@samjosh12 4 дня назад
Chuma cha Mjerumani, hao ndio Watanzania😂
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 4 дня назад
Dini ya shetan hyo ww njoo umpokee yes bd nafas unazo
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 4 дня назад
Asalam alaikum sheikh mwaipopo ukweli utabaki kuwa ukweli tu
@abdallahlugongo4738
@abdallahlugongo4738 4 дня назад
Leo nakupongeza kwa mala ya kwanza maneno yako sahihi,
@abdallahlugongo4738
@abdallahlugongo4738 4 дня назад
Leo maneno yako yamenigusa,kabisa
@abdallahlugongo4738
@abdallahlugongo4738 4 дня назад
Ukweli mtupu mwaipopo, Leo nimekuelewaaa,nimependa maneno yako
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 4 дня назад
Hakuna alichokosea Alhady ni fitina tu za sheikh Chizenga hampendi sheikh Alhady na ndio maana hata alivyokua sheikh wa mkoa Chizenga huyuhuyu ndie alieongoza mapambano ya kumtoa sheikh Alhady kwenye usheikh wa mkoa ili amlete sheikh Walidi ambae ni jamaa ake Chizenga
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 4 дня назад
Ww mkengeufu uwez elewa ktu chcht uwez mfananisha yesu na muhamadi muhamadi n pepp mzinifu alokufa mpk leo ajafufuka
@OmariKidamali
@OmariKidamali 3 дня назад
Shida elimu.kabla ya kuongea
@MagawidaSalasini
@MagawidaSalasini 4 дня назад
😂acha nicheke tu kwakwel yesu yuwaja
@prochesernest5439
@prochesernest5439 4 дня назад
Waislamu jameni neno linasema kwamaana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu akamtuoa mwanae hili Kila amwaminie asipotee Yohana 3:16-17nyie waislamu kwani ulimwenguni ni Israel tu? Fungukeni hakili zenu na mathayo 28:19 inasema mataifa yote ni Yesu kasema hapo halfu wewe mwaipopo unasema ulikuwa mchungaji ndio nyie biblia inawaita mbwa mchungaji asiyejua neno isaya 56:11 mwaipopo unaonekana hapo unaposema Yesu ni Kwa wanawaisreal tu ujui neno isaya kashatuonyesha ulivyo
@msambalamjukuu3866
@msambalamjukuu3866 4 дня назад
Sheee mbona wanyama awaingilian kinyume na maumbile
@mrfashion1687
@mrfashion1687 4 дня назад
Unataka akujibu????
@prochesernest5439
@prochesernest5439 4 дня назад
Muhammad alishakufa kwaiyo alishapita ni marehemu je tuongozwe na marehemu? Anasema na nyie waislamu?
@elgringo8592
@elgringo8592 4 дня назад
Yaaani ni uganga unganga tu😂😂😂
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq 4 дня назад
Yaani huyuni akili ndogo, huyu anaongea uongo na sijawahi kuona anatoa mafundisho ya kiislam, yeye kazi yake ni kungelea ukristo. Usilam ulikujà miaka 635 bàda ya ukristo, ni dini changa kuliko dini zote. Nimemchalenge aongelee kuhusu istrael na Palestine lakini anaruka ruka.
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd 4 дня назад
Ni kwel 😂😂😂 hawaelewek wana cheza namba ngapi watanzania na hasa viongoz wa kiislam
@babazungu3180
@babazungu3180 4 дня назад
😂😂 watz ni wanafki kweli
@mindicarrashid3131
@mindicarrashid3131 4 дня назад
Acha chokochoko zakidini, unahatarisha amani
@emmanuelnganya9722
@emmanuelnganya9722 4 дня назад
Leo naona umeamua uwapige maokoto waumini 😂😂tapali wewe😂🇮🇱🇮🇱🇮🇱
@salehothman6144
@salehothman6144 4 дня назад
Mwaipopo anawaumiza sana nyie msiokuwa waislaamu .
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 4 дня назад
Naona umeweka bendera ya kishoga
@emmanuelnganya9722
@emmanuelnganya9722 4 дня назад
@@fatmafatu1128 ndiyo nini?
@qwerqasd8597
@qwerqasd8597 4 дня назад
Unateseka ukiwa wapi
@prochesernest5439
@prochesernest5439 4 дня назад
Mwaipopo asipouza miti shamba na maji na mafuta hao wake atawalusha Nini? Inabidi akawe mganga WA kyenyeji
Далее
MAGIC TIME ​⁠@Whoispelagheya
00:28
Просмотров 7 млн
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Просмотров 26 тыс.
CHADEMA INAWEZA KUISHINDA CCM 2025 WAKIZINGATIA HAYA
3:02
SHEIKH KISHKI AVURUGWA NA MASHARIF FEKI
29:55
Просмотров 16 тыс.
PADRI KATOLIKI AANZISHA VURUGU ZA SIASA KANISANI
45:06
Просмотров 1,3 тыс.
MAGIC TIME ​⁠@Whoispelagheya
00:28
Просмотров 7 млн