Тёмный

MASWALI NA MAJIBU DAY 2 

BIBLIA NURU YA DUNIA
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 2,5 тыс.
50% 1

MASWALI NA MAJIBU DAY 2

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@kombomalangwi233
@kombomalangwi233 2 дня назад
Mbrikiwe sana walimu muendelee kutupa elimu, Mr, Henry kombo kigamboni, d s m,
@macdonaldotieno5010
@macdonaldotieno5010 2 дня назад
Kazi mzuri mtumishi. Mshikane na paulo usimwache
@ericmukuni7245
@ericmukuni7245 3 дня назад
Kazi nzuri walimu, it is written, man shalll not live by bread alone but by every word that procedes from the mouth of God
@iddyhassan7666
@iddyhassan7666 3 дня назад
Yaan kila siku nazidi kuelewa kuwa uislamu ni mtihani
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Час назад
Pia yesu alisema watu watakuja na injili nyingne kwaiy waslam wanainjili nyingine
@hassangalgallo8496
@hassangalgallo8496 2 дня назад
Ahsanteni walimu Mimi nilizaliwa kwa uisilamu lakini niliamini Yesu 2019
@samkims2135
@samkims2135 2 дня назад
Amen Mungu akubariki kaka
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 2 дня назад
umetoka mbali kk angu Mungu akulinde!
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 2 дня назад
Amina
@edinahbonareri2251
@edinahbonareri2251 2 дня назад
tuwachie uislamu waarabu walijitengenezea nabii wala mohammed sio nabii wa kweli hana viegezo vya kuwa nabii wa mungu
@KoomeNzima-e2v
@KoomeNzima-e2v 2 дня назад
Ndugu sangu waislamu ni wapinga kristo
@shirikaniyonkuru5573
@shirikaniyonkuru5573 2 дня назад
What a pour full gospel! Mwalimu Ndacha na Paulo, hongera kabisa! Mungu a wa ongezee nguvu na a wa bariki!
@HappyAlbatross-yx2dc
@HappyAlbatross-yx2dc 3 дня назад
Amina Amina Amina mwalimu kwa kazi nzuri
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 3 дня назад
Ameeeen Ameeeen kubwa Mungu azidi kuwafunulia na kuwaokoa wengine na awape ulinzi wa aajabu katika jina la Yesu
@JosephChai-u1h
@JosephChai-u1h 2 дня назад
Wakristo hawalazimishi kutoka uislamu kuingia umkristo yesu anafanya kazi hiyo mwenyewe Kama alivo mtoa sauli akaitwa paulo
@ekamaismaxwellnangole5727
@ekamaismaxwellnangole5727 2 дня назад
mwalimu yangu ndacha yeye dyo alinibadilisha akanitoa katika mathehebu xa uongo
@dasilvajr9647
@dasilvajr9647 День назад
Amina Mungu mwema kabisa hata mimi pia nimefuatilia mahubiri yake kuhusu kumwelewa Mungu pamoja na uungu wa Yesu na kuachana na fundisho la utatu.
@ekamaismaxwellnangole5727
@ekamaismaxwellnangole5727 2 дня назад
everything is ok mwalimu wangu
@danielbarasam7725
@danielbarasam7725 3 дня назад
Amen
@moonsix9827
@moonsix9827 День назад
1wakolinto 11 14 mwanaums akiwa na nywere ndefu ni aibu kwake ila mwanamke ni m badala wa mavazi
@kariukijohn148
@kariukijohn148 2 дня назад
Ndacha umehubiri ukweli mtupu hadi mwenzangu apa ameukana uislamu. 35 years in Islam ametoka kabisa
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 2 дня назад
Asante sana mpendwa kwa kutupa tarifa!
@HusseinMohamed-sv3gg
@HusseinMohamed-sv3gg 4 часа назад
Mwalimu ndacha nakusalamia kutoka somalia nataka kuuliza swali if possible nikupate wapi ?
@Msemakweli058
@Msemakweli058 2 дня назад
Dada huyu nimependa kwa ujasiri wake na maswali yake ni mazuri na yanawafumbua wengine
@dasilvajr9647
@dasilvajr9647 День назад
Hakika Yesu anatenda kazi nyakati hizi za mwisho
@Msemakweli058
@Msemakweli058 День назад
@@dasilvajr9647 kabisa
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt 2 дня назад
hakuna elimu hapa kichwa chupu wanataka pesa tu duh ila mujuwe kwake tutarudi na ni soon tu insha allah
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 2 дня назад
tuliza majini chini kijana mdogo!
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt 2 дня назад
mimi ingekuwa nina uwezo ninge wafungia hiyo sehemu munayo potoa watu akili zao 🤣
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 2 дня назад
uyu kaumia vibaya kweli,tokeni kwenye vifungo vya dini zenu,mbona sisi wakristo atuumii mkimtusi Yesu?sasa nyinyi akitajwa Muhammad mnawaka shida kweli kweli!
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 дня назад
Uislamu unawekwa wazi ni Dini ya uongo na ya majini Toka huko njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu
@dasilvajr9647
@dasilvajr9647 День назад
Hakuna Mungu wa kulazimisha watu hivyo ukiona mungu unaemwabudu anakuamuru hivyo basi ujue ni mungu wa uongo siyo wa kweli.
@prochesernest5439
@prochesernest5439 День назад
@@dasilvajr9647 mungu allah ajiamini ndiomaana anawalazimisha wafasi wake kutokumtoloka huyo ni shetani ndiomaana amekubaliana na majini mapepo wachafu mashetani wamuabudu
@JosephChai-u1h
@JosephChai-u1h 2 дня назад
Wakristo tubaki huku Na kutulia maandiko yanasema wakati wa mwisho watu watatanga tanga huku Na huku
@AbedibinRamazanisalum
@AbedibinRamazanisalum 2 дня назад
Usilamu ni watu walio tumwa kuwapinga wa kristo so ni wapinga kristo Eti wanasema yesu alikuwa msilam ila yesu kasema yeye ni mwana wa mungu lakini wa islamu eti mungu hana mwana, Sasa yesu atakuwaje Usilamu? Ndo maana tunasema Usilamu sio dini ya mungu kabisa
@stephen-S7n
@stephen-S7n 2 дня назад
Kwanza wanaposema Yesu Kawa muislam nawaona waongo wa mwisho na wapinga kristo kabiza
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr Час назад
Halafu ni kutojua maandiko yao neno Islam ni neno la kiarabu lenye maana ya unyenyekevuu kwahiyo waarabu wanasema manabii wote walikuwa waislam kwa maana walikuwa wanyenyekevuu sio kwamaana ya Dini alieanzishaa Dini ya uislamu ni Muhammad na akaamuriwa awe wa kwanza kuslimu
@YoungAslam11
@YoungAslam11 3 дня назад
Hapo hakuna elimu .mwalimu aelewek .kwa wasomi anafundisha yesu mariam sio mama yake unamuelewa! Tuachen ushabk anasema mtoto wa mungu n mungu .je mtoto wa rais ni rais? Angalia anasema yesu anaemungu wake lakn utawasikia bwana yesu asifiwe. Atukuzwe yesu kristo . Kwajina la yesu yaan wanamuabudu mtoto wa mungu wanamuacha mungu sasa unamuelewa huyu ajulikan anaubil nin
@programminglanguagestutori9118
Unaelewa tofauti ya cheo na asili kweli?
@HoseaNguge
@HoseaNguge 3 дня назад
Urais ni cheo pole tulia na ujifunze kwa unyenyekevu na uruhusu akili yako kujifunza naamini umeelewa amina
@whajavfsb5154
@whajavfsb5154 2 дня назад
Anaeleweka vizuri sana .. Ikiwa utaelewa tofauti iliyopo Kati yako wewe na mwanao ..wote mnakua na asili moja yaan wote mnaitwa wanadamu lakini katika nafsi mwanao ana nafsi yake na wewe una nafsi yako .
@FannyLopez-q1r
@FannyLopez-q1r 2 дня назад
Wakristo tu na mweleya ndacha kwasababu tu na roho mtakatifu waislamu ni ngumu kwelewaya akili zenu zime fungwa na majini mumu kubali yesu ili mupate kwokolewa
@Gesareh-v4d
@Gesareh-v4d 2 дня назад
Rahisi ni cheo, kwani rahisi Hana Jina lake??? Mko na mungu WA ngapi, ndipo a mnatafuta kibra kuangalia makkah, bila hajar aswad hamuwesi omba.. Wacha kuabudu jiwe.. Na mnaenda kupiga setani mawe kuke milima Arafat, umeisawai ona setani sura?
@PeninaElia-v3n
@PeninaElia-v3n День назад
Amina
@muirurifrancis3594
@muirurifrancis3594 3 дня назад
Amina
Далее
Waislamu washindwa kukutea ijumaa
26:24
Просмотров 1 тыс.
Maswali Na Majibu
1:46:13
Просмотров 496
WANAMATENGENEZO KANISANI
1:55:58
Просмотров 1,1 тыс.
SIKIZA MASWALI KUTOKA KWA DADA WA KISLAMU
23:51
Просмотров 2,4 тыс.
UJUMBE WA SASA NI UPI?
1:48:09
Просмотров 1 тыс.
TV | Live | BIBLIA NURU YA DUNIA
1:21:26
Просмотров 16 тыс.
OMOSHI ONE HOUR AMEPATIKANA LEO, JACARANDA
2:07:03
Просмотров 19 тыс.
KWANINI TUPAMBANE NA UISLAMU SIO WAISLMU?
1:12:03
Просмотров 1,4 тыс.