Wallahi ndugu hii kazi inayo fanya hawa ndugu zetu ni kazi nzito..inafaa mimi na wwe tujiulize je ushawai msilimisha mkristo maisha yako na je utakufa ivyo ukose fadhla za kusilimisha mtu maishani mwako? Mungu atupe nasi kheri izi kwa sababu ya kuchangia daawah Allah atuongoze atupe jannah..
Baaraka Allah fiikum. Allah Awahifadhi kwa kazi kubwa mnayoifanya. Tunawakaribisha Thika kisii estate tena karibu na msikiti Amina kendi in shaa Allaah.
ManshaAllah ustadh salim na Alii Mungu awajalie kheri katika dunya na Akhiri.Siku karibu nitawatembelea InshaAllah.All the way from Tana River in Bura Tana huwa nawafualitia kila siku.
Majini na binadamu ni viumbe waliumbwa na mwenye ezzi mungu ili wamuabudu yeye tu! Sasa wakimtwii mwenye ezzi mungu huwa wako sawa na wakikengeuka ni mashetwani au waasi. Kwa ufupi binadamu na majini wote wame umbwa wamwaabudu mwenye ezzi mungu!
Sheikh Salim ujuwe mnafanya kazi kubwa sana, hao ndugu zetu elimu zao ndo kama unavyoziona, huyo kaka yeye anasema jini ameumba shetani..ujuwe kazi unayo kubwa...ikisha ujuwe kuwa walimu wao huwa hawawafundishi biblia wanawafundisha zaidi kupinga ndio mana inakuwa vigumu kukubali na hasa wanapofundishwa na waislamu..ila hayo hayo wakifundishwa na mkristo wanakubali..hawajui kuwa hawajui.
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh...ustadh Salim......Allah awajaalie jannaah.....nilikuwa na swali kwamba iwapo mwanamke hakuweza kufunga Ramadan 2023......kwa sababu ya kuwa mjamzito alafu Ramadan 2024 imefika kabla hajalipa ile ya mwaka jana....je atalipa pamoja na kibaba kwa kuvuka mwak ungine kabla hajalip au hukumu yKe ni upi
Huyu Bosirey ni Pastor wa Maneno mengiiiiii! Huyu Pasta ana 'FAFANUA', ni kama ali kweko wakati WAZUNGU wali kuwa wanai TUNGA hizo verse za Biblia! Na waki anza tuu ku 'fafanua', wa ULIZENI kama yeye ali kweko wakati HUO!??? Na musim patia haka Mini Pastor ku soma, kwa sababu ata anza POROJO zake,! TabarakAllah Team!
Wanasema shetani hakuumbwa na mungu lakini wanasema shetani alikua malaika na alikua anabudu mungu kabla ya kuasi.... sasa kama shetani alikua anabudu mungu kabla ya kuasi si inamaanisha aliumbwa... hawa watu hawaeleweki