Тёмный

Maswali yaibuka kuhusu upinzani serikalini 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 45 тыс.
50% 1

Maswali yaibuka kuhusu je ni asali au shubiri kwa viongozi wa upinzani waliopendekezwa kuendesha wizara mbali mbali zilizo na ahadi kuu za serikali ya kenya kwanza. Wizara ambazo kwa wengi zinaonekana kuwa na changamoto kuu na kuwa chanzo cha lindi la maandamano linalogubika taifa kwa sasa.

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@davidlubanga5527
@davidlubanga5527 Месяц назад
Ruto is a smart politician. Now the economy and finance bill becomes ODM's problem. He is out of it
@Yourexcellencyking
@Yourexcellencyking Месяц назад
😂😂 exactly 💯
@mathiaskyengo-uu5xt
@mathiaskyengo-uu5xt Месяц назад
Let kalonzo not join them with karua
@florawairimu4448
@florawairimu4448 Месяц назад
Kenya MTU hafai kueka siasa kwa roho....you may wake up mpate mm ni prezo
@leahwambui5608
@leahwambui5608 Месяц назад
ODm hapa mumechezwa hiyo midomo mutanyamaza
@Yourexcellencyking
@Yourexcellencyking Месяц назад
Respect of most Kenyans to ODM📉
@Yourexcellencyking
@Yourexcellencyking Месяц назад
Watu wangu tuache kubebewa akili na wanasiasa they are normal people like us tufikirie independently
@GeorgeoyugiAmbwara
@GeorgeoyugiAmbwara Месяц назад
Oparanya Wacha tumbo mbele tuko na nyinyi sawa
@jumaramadhan9368
@jumaramadhan9368 Месяц назад
Kalonzo for president na si tafadhali
@ongedoosungawanangayo3055
@ongedoosungawanangayo3055 Месяц назад
ODM please acheni kujipaka mavi ya Ruto, you did not learn from Uhuru handshake
@Yourexcellencyking
@Yourexcellencyking Месяц назад
ODM iq combined doesn't reach double figures💯
@tobiusjtz7607
@tobiusjtz7607 Месяц назад
ODM will manage it indeed
@anthonymachayo4699
@anthonymachayo4699 Месяц назад
The 2 deputy leaders should first resign from the party. .as their ship sinks politicakky
@mainakihurusia6380
@mainakihurusia6380 Месяц назад
😂😂😂 sasa watakua wanatuambia mbona mafuta inapanda mbona tukue na more tax na mbona hizi pesa tunakopa saana 😂😂😂
@keriakolesh5220
@keriakolesh5220 Месяц назад
Jee izo mikopo WALIKUA wakiitisha ilikua ikifanya kazi gani kama sii kuweka kw mifuko zao waliku wanaweka kukuza biashara zao na wanatumbandizia tax ati walipe deni na ilihali ni wao ndyo pesa izo zinawasaidia. MWIZI RUTO MUST GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
@philipemilio8120
@philipemilio8120 Месяц назад
Kenya ni ya wachache kweli
@leahwambui5608
@leahwambui5608 Месяц назад
Bona ruto analetwa 😂😂akila maidi
@moodsawa
@moodsawa Месяц назад
Genius move by Ruto govt. An advisor somewhere did a great job. Next we want Sifuna given a docket too😂
@ppatop
@ppatop Месяц назад
The four are in the hot seat.
@user-vt4kn7lz4j
@user-vt4kn7lz4j Месяц назад
Walitekwa nyara njiani
@ongedoosungawanangayo3055
@ongedoosungawanangayo3055 Месяц назад
Oparanya please get out from obulosi bwa Ruto
@josephmwangale9364
@josephmwangale9364 Месяц назад
Let them try it if they don't perform they'll step aside.
@jackymonga6971
@jackymonga6971 Месяц назад
Angeweka watu wa chama chake bado mngeteta tu. People don't have a stand,siasa ni chafu!
@nesbitmiriti4366
@nesbitmiriti4366 Месяц назад
Tunahitaji kiongozi na ambaye ako tayari kufanyia wanainchi kazi bila kutazama mlengo wa kisiasa,umri,kabila,au dini na anayependa amani.
@nixonmwanguni3094
@nixonmwanguni3094 Месяц назад
Shubiri
@felixmuiamulinge1128
@felixmuiamulinge1128 Месяц назад
Hii nayo ni mchezo
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 Месяц назад
Don't get into Ruto Trap please AZIMIO
@elviskiplagat8191
@elviskiplagat8191 Месяц назад
Politics is about personal interest
@kiprotichfelix336
@kiprotichfelix336 Месяц назад
sacarstic appointents
@Eagle7-nl4bu3wh8c
@Eagle7-nl4bu3wh8c Месяц назад
No! Let Kenyans serve in any government regardless of their political parties. They are Kenyans first and parties leaders and supporters second. Kenya yetu kwanza.
@ongedoosungawanangayo3055
@ongedoosungawanangayo3055 Месяц назад
Wandayi please do not go to that shit
@Eagle7-nl4bu3wh8c
@Eagle7-nl4bu3wh8c Месяц назад
Mr, your comment is not peaceful and useful because the cooperation between Kenyans to serve Kenyans in a government of national unity is not shit. Instead, it's legal, democratic and constitutional. Sir, I am grieved and sorry to tell you that it is your words that has unpleasant smell.
@LovelyFurryCat-jm8ub
@LovelyFurryCat-jm8ub Месяц назад
We were played
@elizabethowiti5453
@elizabethowiti5453 Месяц назад
Am very much disappointed very disappointed with Raila and the rest of the team you have failed us but will leave you to God
@sponsalfathedj8177
@sponsalfathedj8177 Месяц назад
From yesterday I'm not ODM 🙄
@joycenasambu2658
@joycenasambu2658 Месяц назад
​@@sponsalfathedj8177how to deregister
@elviskiplagat8191
@elviskiplagat8191 Месяц назад
Politics is about personal interest hata wewe ungepewa hio chance ungetumwaga
@Eagle7-nl4bu3wh8c
@Eagle7-nl4bu3wh8c Месяц назад
Furrycat, we are not being prayed. Please don't fear. They know what they are doing. Let us unite under them and give them time.
Далее
Ex-President Uhuru tells President Ruto to arrest him
6:25
НЕДОВОЛЬНА УСЛУГОЙ #shorts
00:27
Просмотров 22 тыс.
Vituko na sarakasi za makala ya mirindimo
4:35
Просмотров 162 тыс.
CHURCHILL SHOW S1E3 PART 1-3
20:29
Просмотров 401 тыс.
Mazingaombwe na maajabu ya Chell De Magician[Part 1]
17:43
НЕДОВОЛЬНА УСЛУГОЙ #shorts
00:27
Просмотров 22 тыс.