Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuendelea kufikisha huduma za jamii ikiwemo Afya, maji, Umeme na Elimu katika maeneo yote nchini.
7 июл 2024