Тёмный

MATARAJIO YA WANAWAKE WANAPO OLEWA KATIKA NDOA || WANAWAKE WANATESEKA WANALISHA FAMILIA"MWL DIMOSO. 

ZVP ONLINE TV
Подписаться 235 тыс.
Просмотров 46 тыс.
50% 1

#MwlDimoso #Zvponlinetv #Tabora

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 66   
@aminajuma1435
@aminajuma1435 3 года назад
Shekhe Dimoso Allah akujaalie pepo kwa kweli dahh!!! yaani umetugusa wengisana ndomana hatakuwaheshimu wanaume inakuwangumu , hakuna wanamke jeuri kwa mwanaume sahihi anaejua majukumuyake.
@swabrinamarjan1974
@swabrinamarjan1974 3 года назад
MashaaAllah kwa darsa nzuri
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 года назад
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@ashurasaidi3038
@ashurasaidi3038 3 года назад
Maashaallah mawaidha mazuri ila sheikh apunguz bwebwe anayatoa thaman manen yak.
@HatungimanaFabrice-ez9hi
@HatungimanaFabrice-ez9hi 5 месяцев назад
Sheikh mungu atupe umri mrefu na waislamu wote
@ubahamisi431
@ubahamisi431 2 месяца назад
Kama umetuonq shekh tunavyoonewq na waume ,allah akujaze heri
@fumbukashangwe3173
@fumbukashangwe3173 2 года назад
Congratulations, Sheikh Ally Issa for preaching Islam.
@mgenihaji9323
@mgenihaji9323 3 года назад
Maneno mazito ila hao walengwa ndio tatizo
@abdoulkarenzo3138
@abdoulkarenzo3138 3 года назад
Asante Sheikh wetu
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 года назад
Mashaallah
@amenamaashaallahyasheikh3457
@amenamaashaallahyasheikh3457 3 года назад
Maa sha Allah tabarakallah
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 года назад
Asalaam alaykum jazzaka llahu kher shekhe ila hujaniunga kwenye group shekhe
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 года назад
Wasiliana nae atakuunga
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 года назад
@@zvpOnlineTv namba yake sina
@mwalimudimoso524
@mwalimudimoso524 3 года назад
Nipe namba y'ako ewe Mohamedy
@bernardyona4564
@bernardyona4564 Год назад
Naomba nami niungwe kwenye group
@bernardyona4564
@bernardyona4564 Год назад
Allah akulindee kwakweliiiiii
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 2 года назад
Nkupenda San mwalim wangu wallah 🤣🤣🤣
@iraakasubete8287
@iraakasubete8287 Год назад
Kweli Mwanamme kumlisha Mume ndio chanzo cha kuporomoka kwa ndoa na ndoa kukosa muelekeo
@zainakuzenza759
@zainakuzenza759 3 года назад
Aaaaa sheikh niko peke yangu lkn unanichekesha sana yaani unanifariji kwa hayo usemayo ni kweli tupu hatuyapati hayo kwa kweli tunanyanyasika sana wengi wetu kama tupo kituo cha polisi au jeshini vile Allah ninusuru mimi
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
utawapataje na uko peke yako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mkokwaclassic5984
@mkokwaclassic5984 3 года назад
Zaina unaishi wapi maan hata mm naishi pekeangu nataka tukamilishe suna yaan nusu ya dini
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Год назад
Nampenda sana sheikh anaongeaga ukweli sana kuhusu familia
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h Год назад
Masha Allah Shukraan sheikh
@mwanaidihassani2217
@mwanaidihassani2217 5 месяцев назад
😂😂😂 mashallh
@rashidalmas3792
@rashidalmas3792 3 года назад
Allah atufanyie wepesi
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 года назад
Amiin
@highmedland9280
@highmedland9280 2 года назад
Hayo ndio mawaidha safi sana mwamba
@zainabuzainabu4372
@zainabuzainabu4372 2 года назад
Wallahi shekh umegusa ndipo waambie ukwel wamezid hawatak kujituma
@zwanemama538
@zwanemama538 2 года назад
😂😂😂😂😂 mashalla shukran 👌
@nurudinimahede9747
@nurudinimahede9747 2 года назад
Maashaallah🙏
@Mbumbuko
@Mbumbuko 3 года назад
Sio mahabusu Guantanamo bay
@bernardyona4564
@bernardyona4564 Год назад
Sheee daah kama umeingia kwenye ndoa yanguu naomba msaadaaa
@HalimaKatotoally200-bw6xj
@HalimaKatotoally200-bw6xj Год назад
Et Domo kama ungoo😁😁
@user-td6tr4kj6b
@user-td6tr4kj6b 2 года назад
Mashaallah
@msinamdehwa5210
@msinamdehwa5210 Год назад
Mungu akubariki
@ibnnjoka7649
@ibnnjoka7649 3 года назад
🤝
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 11 месяцев назад
Huwezi kuacha kumsikiliza. Kipaji
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 года назад
Shekhe anakushushia mictare
@liddamadebe2746
@liddamadebe2746 2 года назад
Hahahaaaaa shekheeeee
@fatmaabdi8813
@fatmaabdi8813 2 года назад
Swadakta
@arafasaidi2723
@arafasaidi2723 Год назад
Kweli. Kabisa. Mpenzi. Yameisha. Sasa
@selemanfunditumepotezadhah7039
@selemanfunditumepotezadhah7039 2 года назад
😀😀
@fadiahshamekhatib3701
@fadiahshamekhatib3701 3 года назад
😆😆😆
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 года назад
Hatari
@hanifa9153
@hanifa9153 2 года назад
Mashallah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@HalimaKatotoally200-bw6xj
@HalimaKatotoally200-bw6xj Год назад
🤣🤣🤣
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
Aise mie kumlisha mwanaume labda nife nifufuke yaan kma hujitumi aise sijui kama hata ndani utalala unababeje mimba na mwanaume kama huyo
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 года назад
Duh
@sakinat2527
@sakinat2527 3 года назад
Heyumi 23 🤣🤣
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
@@sakinat2527 😂😂yapo mijike inafanya hivyo na vile wanaume wenyewe hawabebeki kama gunia la misumar siwezi kufanya kihere here mlishe pesa yake aipeleke nje
@mizamiza6223
@mizamiza6223 3 года назад
Uyo alokaa maziwa wazi ananyonyesha au vp
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h Год назад
😭😭😭😭
@zulfangilo5770
@zulfangilo5770 2 года назад
Ma
@ashurasaidi3038
@ashurasaidi3038 3 года назад
Anaongea kihuni sana
@Zainab_salat
@Zainab_salat 2 года назад
Na sheikh Ibrahim mkongomani je Mambo yake 🤣🤣🤣🤣
@altamando
@altamando Год назад
Mahaba ni uhuni ila uhuni wa chumbani wewe na mumeo tuuu,sio uhuni wa barabarani
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 2 года назад
Nyndo pekeyake wacha kuiga nyundo ww ziko wapi ayaaa
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 года назад
Yani huyu shekhe ni matatizo, eti makenge, yani kunatakikana subra hapo.
@Zainab_salat
@Zainab_salat 2 года назад
Kinauma nn 🤔🤔🤔mwanaume ww
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 2 года назад
Mawiza ya nyundo tu hawa ma comedy tu kazu ya blue hawajui kitu kazi kuiga tu umdomo kambwa mungu ndo ameumba
@shamomar629
@shamomar629 2 года назад
Hakuna mawaidha ya mtu. Ukumbusho utawafaa wanaoutaka
@husseinkazigo6189
@husseinkazigo6189 2 года назад
Umeongea nn sasa apo
@altamando
@altamando Год назад
Naona wewe ndiyo hao wasiojuwa mahaba halisi Bali unamapenzi ya pesa nazani
@maryamsaleh8438
@maryamsaleh8438 2 года назад
😀😀😀😀
Далее
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 3,8 тыс.
SAIKOLOJIA YA MWANAMME
53:34
Просмотров 40 тыс.
WANAWAKE IJUENI HESHMA YA MUME KT NDOA 0715719215
56:57