Тёмный

Mau Mpemba - Maisha Msako (English,Spanish and Italian Subtitle) 

Mau Mpemba
Подписаться 98 тыс.
Просмотров 369 тыс.
50% 1

#maumpemba #makamenuhusi #vitukovyazanzibar
Filamu ya kiswahili yenye dhima ya kuchekesha na kuelimisha, ni nzuri kwa watoto na ata watu wazima ili kufurahia na kujifunza hata kiswahili kwa wale ambao kiswahili sio lugha yao ya kuzaliwa.
Imetengenezwa na ZMOTION STUDIOS kutoka Zanzibar , inachekesha sana na ni miongoni kwa vichekesho maarufu visiwani Zanzibar. Tunatumai utaipenda na kushare kwa marafiki na ndugu ili na wao wapate kufaidika.
Unaweza kumtumia rafiki yako link ya video hia kwa whatsapp, facebook na hata SMS.
Subtitled(Imefasiriwa na): Lily by
Ili kutoa maoni yako, tuandikie kwenda:
saydfx@gmail.com
Kuhusu sisi:
ZMOTION STUDIOS inajihusisha na utengenezaji wa filamu za kiswahili, matangazo, na video fupi za vichekesho na vituko mbali mbali. Ukijiunga na chanali yetu kwa kubonyeza 'Subscribe' utakua miongoni mwa wanaopokea ujumbe wa barua pepe kila tunapoweka video mpya, pia utapata fursa ya kujishindia zawadi ya mwaka ukiwa utakua mfatiliaji mzuri unae 'share', 'like' na kukoment katika video zetu.
Ili kutoa maoni yako na kujua video gani ipo katika maandalizi kwa sasa, usikose kufutailia ukurasa wetu wa facebook link hapo chini
KUTANA WA WASANII WANAOKUJA KWA KASI KATIKA VICHEKESHO
-Mau Mpemba
-Makame Nuhusi
/ zmotionstudios
~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "MAKAME NUHUSI ANAHONGA KIWANJA ZANZIBAR (FUMANIZI)"
• MAKAME NUHUSI ANAHONGA...
~-~~-~~~-~~-~

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 141   
@Asili
@Asili 4 года назад
Hii ndio kazi iliompatia jina MAKAME NUHUSU, jina lake la awali lilikua KIJOTI
@mbaroukabdalla3967
@mbaroukabdalla3967 4 года назад
Asanteniii
@abdillahismail8287
@abdillahismail8287 4 года назад
Aaaa kumbe kka uko saw uko vzr ALLHA akubariki ila kak yule sakuna nimke wako.au
@tauhidakhamis717
@tauhidakhamis717 3 года назад
@@abdillahismail8287 So mke wke yule
@tauhidakhamis717
@tauhidakhamis717 3 года назад
@@abdillahismail8287 so mke wke yule
@hassanhamad3827
@hassanhamad3827 2 года назад
Hhhhh mauu unafurahisha sanaa kk
@SuhenaHemed
@SuhenaHemed Год назад
Mmetoka mbali hongereni makame nuhusi
@habibahmuhammed3534
@habibahmuhammed3534 3 года назад
Hahahaha mvuja mavi Wallah wapemba mna mambo
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 4 года назад
Hahahaha asante wote wahuska nawapenda sana 😁💕👍
@dazuuhmd819
@dazuuhmd819 5 лет назад
Napenda sana moive zetu mashaallah mau kipemba kweli hiyo mamba nilikuwa namsikia bibi eti na mate ya ndudu
@kinyongatibaasili8453
@kinyongatibaasili8453 3 года назад
Mmh hayaaaa iko good sanaaaaa
@abdallaramadhan3850
@abdallaramadhan3850 4 года назад
Hahaha hongereni sana mko vizuri sana mashaa Allah.
@rayyanibra4076
@rayyanibra4076 8 лет назад
ndugu zangu mau na makame kazi zenu ni mzuri sana mm niko belgium
@marceloking5901
@marceloking5901 7 лет назад
napenda xana filamu zenu mm niko zangu America state Boise Idaho
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 6 лет назад
bora huyu kuliko majuto fedhuli nipo pemba😂
@iddyramadhani7637
@iddyramadhani7637 5 лет назад
pamosa sana
@jumamwalim4310
@jumamwalim4310 5 лет назад
Kumbe waganga waongo da! Mau bora tufundishe
@farmersmarkettz3457
@farmersmarkettz3457 3 года назад
Makame upO Vvzur sana
@bintshamte8806
@bintshamte8806 5 лет назад
hongereni kwa kazi nzr makame nuhus na mau mpemba
@salummwalim4618
@salummwalim4618 5 лет назад
Nuhusi doo
@abdullyclassic603
@abdullyclassic603 2 года назад
Kazi nzuri
@TALLUBOY
@TALLUBOY 5 лет назад
Aise uyu jamaa wa kuchania Nywele yupo vzl kwanza yupo Kama katun katun vileee anavyo Yumba yumba yan raah sana
@hudHud-lo3il
@hudHud-lo3il 5 лет назад
Hongereni zmotion .kuku nahuku
@hamzaseleman5604
@hamzaseleman5604 5 лет назад
Hahahahahahaha mau Adi msaidz wko mhhhhhhh mmeo aiseeeee
@mgenimkubwa1243
@mgenimkubwa1243 7 лет назад
nmeamini mau ww n mpemba safi yaan hfla moja umetngeneza pakacha
@halimaissa801
@halimaissa801 5 лет назад
Hata hayaeleweki rudini shule
@cadabra7402
@cadabra7402 5 лет назад
Hahahahaha nzury snaaaaa proud of you from united kingdom
@ceclizbon1783
@ceclizbon1783 Год назад
Ila mau ulikua chikonda!!!
@ahmedyoung7300
@ahmedyoung7300 7 лет назад
wanaweza sana
@mohamedkalume9720
@mohamedkalume9720 2 года назад
Big up mau
@yussuphshilingi3258
@yussuphshilingi3258 2 года назад
Kusi avuma Kama zaruba hetwevua jambo
@vuaikazimoto2469
@vuaikazimoto2469 7 лет назад
mau na makame noma sana
@Dewaoficial09
@Dewaoficial09 2 года назад
Mau upo vyem sn tunakukubl
@salimbakari5612
@salimbakari5612 7 лет назад
Sawa mau una wakilisha nyumbani mm niko Kenya Mombasa
@Asili
@Asili 7 лет назад
Thanks Salim
@allysaidmwalim759
@allysaidmwalim759 5 лет назад
Ama kweli mswahil hampendele mwenziwe kupata mbona wa gombe ume c on I post zenu
@khamismtambwe8316
@khamismtambwe8316 5 лет назад
@@Asili nazar
@khamismtambwe8316
@khamismtambwe8316 5 лет назад
Nazar
@khamismtambwe8316
@khamismtambwe8316 5 лет назад
@@Asili r
@aboubakarmassooud6908
@aboubakarmassooud6908 5 лет назад
Tupe usamu, asalaam aleikum natena Mbavu zangu jamanii humdunguiii
@ramadhanshaibu5831
@ramadhanshaibu5831 7 лет назад
by Ramso from Zanzibar kiukwel komed zimetulia nadhipenda San
@gonzalezee6707
@gonzalezee6707 5 лет назад
Kaz nzr
@fumuali988
@fumuali988 4 года назад
moja haimo
@omarymajiwa3714
@omarymajiwa3714 5 лет назад
Yaani nyinyi ni noma
@jambofilm3019
@jambofilm3019 7 лет назад
Safi sana Mau kaza Buti......
@aboubakarmassooud6908
@aboubakarmassooud6908 6 лет назад
Upepo Leo utuvumia vibaya
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 3 года назад
Much love from Oman 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@mosesmayala2413
@mosesmayala2413 7 лет назад
Nimeipenda move yenu
@Asili
@Asili 7 лет назад
THANKS MAN
@hajiharoub8125
@hajiharoub8125 5 лет назад
Dah hatari sanaaa
@bintmohamedmuhamed6028
@bintmohamedmuhamed6028 3 года назад
Mashallaah😄😄😄😄
@yusrabebito7686
@yusrabebito7686 5 лет назад
Mau usichoke kutafuta mtoto mzur anataka kuku hatar so kucheka ukuuu
@dokitafakishaame7799
@dokitafakishaame7799 5 лет назад
Jamani hee pasayatafutwa
@dokitafakishaame7799
@dokitafakishaame7799 5 лет назад
Sawa
@mohdmohd9210
@mohdmohd9210 3 года назад
Good!!!
@abdul-bz1cy
@abdul-bz1cy 4 года назад
Sasa.mau.unakaa.vijijini.hufugi.kukuwako.
@sherrydaniely9402
@sherrydaniely9402 8 лет назад
Hongeren sana kaz nzr
@mgenimkubwa1243
@mgenimkubwa1243 7 лет назад
nzr san n pia ina funzo
@Asili
@Asili 7 лет назад
Shukran
@dadijrmsomali4914
@dadijrmsomali4914 8 лет назад
Daaaaah mbona kipande hii move ni mzuru lakini mumeiharibu kwa sababu pale pazuri zaidi inamalizia
@Asili
@Asili 8 лет назад
+Dadi Jr msomali Tunategemea kutoa muendelezo wake. Soon
@salmasaid7254
@salmasaid7254 7 лет назад
mashalwah zenj movic
@mohamediddi4171
@mohamediddi4171 8 лет назад
clip nzur sana cjapata ona..
@aliabdallah2220
@aliabdallah2220 5 лет назад
jamani nimecheka sanaaaa
@abdulkarimu7514
@abdulkarimu7514 6 лет назад
Mau umenishinda tabia
@kidaonefadhion866
@kidaonefadhion866 5 лет назад
nimeipenda iko njema sana ila dada ajitahidi kuchangamka kidogo.
@sharcksharckhassanhassan768
@sharcksharckhassanhassan768 3 года назад
Utaitia nukusii makamee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sumeyyamadhrui4448
@sumeyyamadhrui4448 5 лет назад
Mzur kweli
@handhalhandhal4608
@handhalhandhal4608 6 лет назад
Mau mjanja; Makame mjinga.
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 5 лет назад
Maana ya kuchana nywele ninini??
@islamubakarpba9561
@islamubakarpba9561 5 лет назад
Duuuuuh kweli makame una nuhusi duuuuh
@supersamy2004
@supersamy2004 5 лет назад
Madebe
@abdillahkassim5400
@abdillahkassim5400 7 лет назад
Mau unatak mtoto.wa kitanga kuku tu anakushinda hahahahha
@hamadykhamisi4009
@hamadykhamisi4009 5 лет назад
good job
@mohamedalkhaify5635
@mohamedalkhaify5635 8 лет назад
Shukran ZMOTIONS
@show_lava_mdudu6433
@show_lava_mdudu6433 6 лет назад
Mohamed Alkhaify nuhus
@masoudamour8521
@masoudamour8521 5 лет назад
Makameeee
@kassimjuma2858
@kassimjuma2858 8 лет назад
safi
@omarmohdjuma183
@omarmohdjuma183 5 лет назад
Eti ntakujanae hahahahaha
@islamubakarpba9561
@islamubakarpba9561 5 лет назад
Mwamby aje achukuwe huyu wangu ila ni kuku kishingo haaaahhaaaaaah
@omarymajiwa3714
@omarymajiwa3714 5 лет назад
Mnajua nyinyi
@chogokai6767
@chogokai6767 5 лет назад
Makamee wateja hatar
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 5 лет назад
Mi naogopa mazake hujamaa wa kutetemeka
@jumamnyanja4606
@jumamnyanja4606 5 лет назад
daa wewe noma
@muhibujuma3550
@muhibujuma3550 5 лет назад
nc brother form tz 🇹🇿🇹🇿 aty kasema kibanda nn vire
@bintichausa4744
@bintichausa4744 5 лет назад
haha😂😂😂watu bhana ye yuwawambia nimsema huongo we bado waeleza matatizo yako
@dadijrmsomali4914
@dadijrmsomali4914 8 лет назад
Tupo pamoja
@adillhabib2006
@adillhabib2006 5 лет назад
makame wageni waleeee wapo keeee
@thuwaibaabdallah1538
@thuwaibaabdallah1538 6 лет назад
duuuuh makame unanuhusi
@adillhabib2006
@adillhabib2006 5 лет назад
Hahahaha watu wahonga nn
@niyihjji2565
@niyihjji2565 8 лет назад
Asanteni
@dadijrmsomali4914
@dadijrmsomali4914 8 лет назад
Powa tunaisubir
@mgeinmbarouk7628
@mgeinmbarouk7628 5 лет назад
kuku duh! makubwa
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t 5 лет назад
ahahahahaa mau banaaaaa
@abidalsalum95rajab55
@abidalsalum95rajab55 5 лет назад
Zanzibar juu ♥️♥️
@sherrydaniely9402
@sherrydaniely9402 8 лет назад
Nasubiri clip ya 2 pls tuwekehen kama hiko tayar
@mohamedalkhaify5635
@mohamedalkhaify5635 8 лет назад
Assalaam Alaykum warahmatullaah wabarakaatuh kazi nzuri sana Mashallaah kaka sayd fuad Allaah abaarik kazi ya mikono yenu.Aamiin Yaa rabb tunataka nakala kaka au uta upload Full time hapa?
@Asili
@Asili 8 лет назад
Waalaykum salaam, Asante. Hii ni full ni zawadi..enjoy na share
@adammohd2169
@adammohd2169 7 лет назад
Zmotion Studios
@omarymajiwa3714
@omarymajiwa3714 5 лет назад
Sijawahi ona kama nyinyi
@islamubakarpba9561
@islamubakarpba9561 5 лет назад
Kama hy jini ni muongo si kutapeliwa
@abdallahkarabai5310
@abdallahkarabai5310 5 лет назад
Muendelezo wa hii unapatikana wap
@muddaththirhamoud1240
@muddaththirhamoud1240 6 лет назад
Hehehehe yote mtoto wa kitanga uyo
@kassimkhamisi5092
@kassimkhamisi5092 5 лет назад
unanuhusi hasa madame😂😂😂😂
@kassimkhamisi5092
@kassimkhamisi5092 5 лет назад
vungu nyuka😂😂😆
@faizasaid8262
@faizasaid8262 6 лет назад
Sikwataire hii haha
@aboubakarsalum7280
@aboubakarsalum7280 7 лет назад
unaipata wapi move hiii
@nasseraisha6002
@nasseraisha6002 5 лет назад
Watafuta kutafunwa na nyoka t umo
@mansurwahab6867
@mansurwahab6867 5 лет назад
Kwel makame uko na nuhus
@mohamediddi4171
@mohamediddi4171 8 лет назад
mtatoa lini muendelezo
@Asili
@Asili 8 лет назад
Baada ya muda mchache, timu yetu ndio ipo kazini, subscribe ili kupata taarifa
@faizasaid8262
@faizasaid8262 6 лет назад
Haha mbavu zangu
@ndoanirahaonlinetv5031
@ndoanirahaonlinetv5031 5 лет назад
mmmmm
@abidalsalum95rajab55
@abidalsalum95rajab55 5 лет назад
Makame una nuhusiiii 😂😂😂
@hidayasaidsuleiman7727
@hidayasaidsuleiman7727 4 года назад
habàrz za leo
@fundibombazanzbar5717
@fundibombazanzbar5717 5 лет назад
RU-vid madega madega
@ibrahimsheha215
@ibrahimsheha215 5 лет назад
Kuku2
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 лет назад
Sahani ya microwave hahaha
@yussufhimid5676
@yussufhimid5676 6 лет назад
Kweli simba akikosa nyama hadi nyasi ala, yani mau umempiga makame msaidizi wako macho makavu
@mubarakahamis2259
@mubarakahamis2259 5 лет назад
hahahahah nishida
@mohdali7612
@mohdali7612 5 лет назад
jamani hya mambo mengine vituko tu
@bentybenty2343
@bentybenty2343 3 года назад
🤣🤣🤣😁😁
@vicentelias201
@vicentelias201 5 лет назад
Mvuja mavi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abdillahismail8287
@abdillahismail8287 4 года назад
Hahaha
@salmasaleh2400
@salmasaleh2400 7 лет назад
nyngne
@Asili
@Asili 7 лет назад
+Salma Saleh subscribe utapa nyngine pia ingia ndani ya channel hii zipo zaidi ya 90
@aminaomaromar4321
@aminaomaromar4321 3 года назад
Tunasubur nyingin
@allykasumuni2730
@allykasumuni2730 5 лет назад
Haha wamuachiahogo
@saumrashid8086
@saumrashid8086 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 года назад
🤣🤣🤣🤣😂😂😂
@sleymanflash724
@sleymanflash724 7 лет назад
hhhhhhh
Далее
MALI YA BAHILI  HULIWA MARA MBILI- MAU MPEMBA
9:56
Просмотров 123 тыс.
#52 - #MLAFI - #MAU MPEMBA - #FUMBUA MACHO
13:20
Просмотров 57 тыс.
Слушали бы такое на повторе?
01:00
Тренеруем память physics drop 103 - 104
00:51
MSAKO |EP 1|
14:07
Просмотров 86 тыс.
IJUE SANAA YA NGOMA ZA ASILI KUTOKA PEMBA-PART TWO
6:29
#49- WANAWAKE - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
17:57
Просмотров 35 тыс.
#11-SURIA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
13:52
Просмотров 50 тыс.
KINGWENDU ANAUZA MBOGA ZA MAJANI/ EPISODE 04
12:22
Просмотров 1,7 млн
Слушали бы такое на повторе?
01:00