Тёмный

MAUAJI DODOMA: RC MTAKA ALIAGIZA JESHI LA POLISI KUANZA UCHUNGUZI, MAUAJI YA WATU 5 WA FAMILIA MOJA 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 40 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 110   
@gililwise
@gililwise 2 года назад
Maombi yafanyike mungu.aingilie kati Tanzania si mahali salama tena.kila mahali ni mauaji.Ee Mungu naomba ujidhihirishe kwa hili ameen
@swahiliinspirations7953
@swahiliinspirations7953 2 года назад
Vifo Vimekuwa Vingi Tanzania na Wanaokufa ni Watu wa Chini tu.. Mungu atusaidie sana.
@leticiakomba6695
@leticiakomba6695 2 года назад
Tanzania tunaenda wapi? Jamani. Mbona hayakuwepo? Kuna nn nyuma ya pazia?
@gracedonald385
@gracedonald385 2 года назад
Uwiii jamani watu wamekuwaje ,kweli siku za mwisho zimefika,jamani tuombe sana
@nurumwenkale7278
@nurumwenkale7278 2 года назад
R I p magu haya yalikua hayapo tutakukumbuka daima
@ahz6907
@ahz6907 2 года назад
Ulikuwepo kweli wakati wa magu? Watu wasiojulikana unawajumbuka au ulikuwa kiziwi na kipofu wakati huo? Waandishi kuuwawa na kupotea? Tundulisu kushambuliwa kwa risas zaidi ya 20 akiwa makazi ya wabunge. Acha usenge.
@amohammed3390
@amohammed3390 2 года назад
Wee muongo mkubwa una chuki. Ni watu wangapi wamepotea hadi hii leo hawajulikani walipo. Kule pemba ni watu wangapi wameuwawa wakati wa uchaguzi. Kule ziwa Victoria kila uchao tulisikia vifo vya wavuvi. Wacha unafiki.
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 года назад
Serikali naona kama mmeshafeli! Niliwaambia serikali iliyoingia kwa hila madarakani kwa mmtoa aliyekuwepo kinyemera ina roho ya mauti! Sauli aliitawala Israel kwa matakwa ya wanadamu wasoma biblia mnajua kilichotokea! Roho ya mauti kila kona! Mungu atuokoe kwa damu ya Yesu!
@samsonmagesa3959
@samsonmagesa3959 2 года назад
Kwa kweli majanga kila Leo maumivu Mara moto, mauaji, ajari Eee Mungu tusaidie Tanzania
@hijjafakky1381
@hijjafakky1381 2 года назад
Yesu ndio mtu gan??
@hijjafakky1381
@hijjafakky1381 2 года назад
Yesu ndio mtu gan??
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 года назад
so sad and painful surely ooh my God may their souls rest in peace 😭😭😭🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺
@joshuajofrey9832
@joshuajofrey9832 2 года назад
R.I.P Magufuri nchi uliikabidhi kwa MUNGU lakini sasa imekabidhiwa kwa wazungu vifo daily ;ooo my GOD
@husna34562
@husna34562 2 года назад
Tanzania ya sasa sio ile ya miaka ya nyuma mauwaj yamezid
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 2 года назад
Waliohusika mungu awalaani na vizazi vyao.
@peninashungu6633
@peninashungu6633 2 года назад
Inaweza kuwa ata mmoja kahamua kuwauwa wote na yeye akajiuwa umo umo kwenye watano, Yan saiz tz inatisha kila siku mauwauwaji wangu waanze kuwaubilia neno la mungu nyumba ad nyumba itasaidia
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 года назад
Subhanaallah yaarabi tunusuru yaarabi kumekuwa nini duniani yaarabi
@samsonmagesa3959
@samsonmagesa3959 2 года назад
Nashindwa kusema juu yanayoendelea Kutokea kwenye Nchi yangu Majanga ya Moto kila siku ni Vilio tu Jamani ndiyo maana tunamkumbuka Rip Magufuri
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 2 года назад
Kauli yako siyo nzuri muuaji hatoi taarifa kwa majirani ndugu usitoe hukumu kwa majirani serikali ina vyombo acha ifanye kazi yake.
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 года назад
Mungu tusaidie
@amidushaban8081
@amidushaban8081 2 года назад
This is the moment when we miss Magufuli , unfortunately Tanzania has going back the way it was before Baba Pombe please come back 😖😭😭😭🇹🇿
@zabubamudy126
@zabubamudy126 2 года назад
sasa samia ndio anawatuma. watu wanauwa mpaka wazazi kisa mali unasema magu angekuwepo. sasa samia awafatilie mpaka kwenye manjumba yao
@fauzimohamed5757
@fauzimohamed5757 2 года назад
We fala tuondolee umama wako hapa sasa magufuli kwani haya mambo yalikuwa hayapo azilete mambo ya siasa katika mambo kama haya
@fauzimohamed5757
@fauzimohamed5757 2 года назад
We fala tuondolee umama wako hapa sasa magufuli kwani haya mambo yalikuwa hayapo azilete mambo ya siasa katika mambo kama haya
@ahz6907
@ahz6907 2 года назад
Umesahau watu walikuwa wakitekwa na watu wasiojulinaka? Ni katika utawala wa jpm tu ndo tulisikia haya tena sana.
@ahz6907
@ahz6907 2 года назад
Wakati wa jpm maiti ziliokotwa sana kwenye viroba... Jpm hakuwa mungu uache upumbavu. Na lini utaacha kufikiri kwa matako?
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 года назад
Yaaaani natamani kuhama hii nchi sasa mana amani sasa akuna tunaishi kama atupo unaogopa adi mtt ulie mzaa jaman eeeehe mwenyezi mungu tuhurumie
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 2 года назад
Huyu mzee huwa anasema ukweli sana .
@maimunashaban9538
@maimunashaban9538 2 года назад
Upo sawa kabisa jeshi lichukue hatua
@neema_mollel
@neema_mollel 2 года назад
Samia Hana habari yupo anapachikwa uchifu tuu
@peninashungu6633
@peninashungu6633 2 года назад
Iyo kauli sio nzuri, mauaji sio lazima majirani wajue wanaweza kuwa ata wanatoka nje ya mkoa, waachie tu polisi watajua
@radhiyarashid1314
@radhiyarashid1314 2 года назад
Sikiliza vizuri maelezo ya mwenyekiti na huyo anaejiita ndugu alievaa mmasai Kuna kitu kinaendelea
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 2 года назад
Hii roho ni ya ibilisi. Mungu ametuacha maana na ss tumemuacha tunajifanyia mambo yetu. Tutubu tumrejee Mungu yeye ni mwenye rehema atatusamehe na kuiponya nchi yetu. 2 chr7:14
@gezaulole7501
@gezaulole7501 2 года назад
Chanzo nn watanzania wenzangu dah mambo yanazidi kuwa makubwa
@husna34562
@husna34562 2 года назад
Yani inatisha
@saidhamad533
@saidhamad533 2 года назад
Ivi tanzania hi januari nikwamba tunatolewa makafar au mbona seheem nyingine hatusikii bali tz tu jaman
@manjaruu1575
@manjaruu1575 2 года назад
Hivi kuna raisi kweli?mbona hatoi tamko?mbona mauaji yanazidi,?au tuaendeshwa kisela ?
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 2 года назад
Naongea tena dunia kma haita kibali kutumia sheria za Mungu abayo ni anae ua auawe tusifuate mashetani Yale yanayotuletea sheria zao za kutetea wakosefu eti mtu akiua asiuliwe anaua makusudi auliwe hii ni Sharia ya Allah aliwaumba wanadamu alijua kuna watu watakosa kuthamini roho za watu akasema alieua auawe
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 2 года назад
Hizo ni sheria za watu,,zimetungwa na watu na wakaamua kumsingizia Mungu ili ionekane Ni Mungu kaamua,,Mungu hana sheria na Mungu hayupo kama hivyo vitabu vinavyomuelezea,,,,Ni ubatili mtupu na ipo siku utaijua kweli!!!
@laymashabani832
@laymashabani832 2 года назад
Yaani itakuwa kweli kabisa ndugu wanahusika apo
@shadrackfimbo1726
@shadrackfimbo1726 2 года назад
Rip our family Ila akumbukwe magufuri amani imepotea sana
@sinanindola93
@sinanindola93 2 года назад
Haya matukio sas too much 😥😥
@umibana6759
@umibana6759 2 года назад
Haaaah Tanzania kunanini??? Shetani gani huyu
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 2 года назад
Jamani Tanzania imepatwa na nini jamani
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Subhannallah, nchi inatisha
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 года назад
Kiongozi mzur ni mwenye kauli safi na ukweli mungu azid kukuongoza na ukweli wako na ujasr ndio kinahtajka kwa jamii
@jaz9974
@jaz9974 2 года назад
Innalilah waina lillah rajiun...
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 года назад
Ni kweli na majirani wanahusika
@ashamakwaiya8749
@ashamakwaiya8749 2 года назад
Mtaka huwa namuelewa sana .wahusika wamo humohumo.
@dicksonlesijila4542
@dicksonlesijila4542 2 года назад
Naanza mm kukupa ushirikiano bw. Mtaka. Kwanza kupigwe Kura ya Siri hapo kijijini itangazwe kuwa kalatasi itakayo andikwa Jina la mtuhumiwa isiwe na anwani au namba za simu.Zoezi Hilo kifanyike tarafa YOTE hapo lazima watakamatwa tu
@rachaelw580
@rachaelw580 2 года назад
Uuuiii 5 people jesus
@inongee1141
@inongee1141 2 года назад
MUNGU wangu ni nini hii Tanzania hii juzi wameuliwa watu watatu familia moja leo watu tano familia moja uwiiii uwii hapana kuna kitu sio bure.
@pendojeremia3150
@pendojeremia3150 2 года назад
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 2 года назад
kweli kabisa lazima alikuwa na mwenyeji
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 2 года назад
Innalilah wallah eajuun
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 2 года назад
Jmn hivi tanzania kuna nin????? Emungu tsaidie mm naskia ktetemeka
@sanisani5266
@sanisani5266 2 года назад
Ningekuwa polisi nadhani ningekuwa CID kama malehm baba yangu
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 года назад
Jaman mbona mauwaji yamekuwa mengi sana jamani
@projestkashumba8893
@projestkashumba8893 2 года назад
Kiukweli binadamu tulipofikia,ni bora ukaishi porini na wqnyama,kuliko kuishi na watu.hiv no kosa gan mtu amefanya mpk akastahili hukumu km hii?mauajikila kona ni nn lkn
@Safaricom_
@Safaricom_ 2 года назад
Damu ni nzito kuliko maji
@smaihsmaih2815
@smaihsmaih2815 2 года назад
INNA LILLAH WAINNA ILAYH RAAJIUN KUNA NINI TANZANIA YETU TANGU MAGUFUL AONDOKE,NI MAUAJ ROHO ZA WATU ZIMEKUWA KAMA KUCHINJA KUKU,MOLA WETU TULINDE
@isaachayes9783
@isaachayes9783 2 года назад
Anzeni na kaka mtu atakua anajambo
@allybilali9212
@allybilali9212 2 года назад
Innalillah wainnailaih rrajiuun
@othmanshahib1115
@othmanshahib1115 2 года назад
Mkiwabaini hao wauwawe mbele ya watu ili iwe fundisho
@elidaburton8737
@elidaburton8737 2 года назад
Jamani Tanzania Kuna nn 😔😔😔
@yasintasamson9178
@yasintasamson9178 2 года назад
Ee M/ Mungu wa rehema tunaomba huruma yako ktk hayo yanayotendeka nchi kwetu maana wanao hawana huruma tena wa hofu yako ,, Baba wewe pekee ndo msaada kwetu 😭😭😭😭🧎🙏
@pamelammari6301
@pamelammari6301 2 года назад
Mweshimiwa ondoka na huyo mdogo mtu anaujua ukweli
@husseisalimumaula3867
@husseisalimumaula3867 2 года назад
Kwanini matukio ya kuuwana yamekithiri Sana eee mungu tusaidie.
@TeamKRX
@TeamKRX 2 года назад
Inalilah waina ilaih rajiun Watoto daah sijui walopigwa VIpi 😭😭😭😭
@bentiger5464
@bentiger5464 2 года назад
Paka akitoka panya hujitawala
@aminahahlubayt7399
@aminahahlubayt7399 2 года назад
Innalillah wainnaillah rajiuun 😭
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 года назад
Wanaua watoto taifa la kesho kwa visasi vyao😢so sad aiseee muongope mungu jaman sio Haki
@asiashaban5809
@asiashaban5809 2 года назад
Duuuh naumia Tz ya asaiv nishetani kabisa aliyeingia kiulaini haagaikii kabisa na wananchi vifo vyakikatili ni vingii asaiv jmn heee rest in peace jpm 😭😭
@mwandushimba8372
@mwandushimba8372 2 года назад
Jaman mbn watu wana roho ngumu hivyo
@missmrs829
@missmrs829 2 года назад
Watu wanakufa et nyinyi ni uchunguzi 😏
@drdavidomuswahiliofficiel8645
@drdavidomuswahiliofficiel8645 2 года назад
😂😂😂 Vincent kigosi afuraishwa sana na maigizo ya uyo kijana mkongo bonyeza hapa uone 😂😂👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-WbGSs1CFdeQ.html
@sultankindamba7919
@sultankindamba7919 2 года назад
Serikali Inawachekea hawa wauaji.. Kungekuwa anayekamatwa na yeye anauliwa kusingekuwa na mambo hayo!! Maana kila kukicha tunapoteza ndugu zetu harafu serikali inachukuliwa poa.. Wallah mm ningekuwa kwenye mamlaka wangenichukia ningewauwa hadharani kila anayemuuwa mwenzie..😭
@fortunatadispensary9614
@fortunatadispensary9614 2 года назад
Pepo gani jamn Tz...,mashehe,mapadre na manabii tusaidieni
@suleymankham3925
@suleymankham3925 2 года назад
Au niyule dada wa south Africa aloambiwa nijambaz kaingia tz?
@steffaballerankadda160
@steffaballerankadda160 2 года назад
Unaweza nipa detailz za uyo dada au habari nikasoma nielewe mkuu?
@provianapaul6634
@provianapaul6634 2 года назад
Na naskia yupo dodoma hii mda tuu hakuna ukweli lakin sijui nn hii jaman mungu tusaidie
@sabahiali6021
@sabahiali6021 2 года назад
Htr
@leilathomas4950
@leilathomas4950 2 года назад
Mbona hivi jamani Mara kwanza Mara arusha Dodoma tumuombe mungu atusaidie.
@amohammed3390
@amohammed3390 2 года назад
Kule ziwa Victoria kila siku walikuwa wanaokotwa wavuvi wameuwawa wakati wa Magufuli
@hadijajohn7434
@hadijajohn7434 2 года назад
Tanzania jamani Tanzania mnakosea wapi jamani vifoo vimezidi tanzania jamani yani ni tanzania. Watuu. Wa tano wotee mmmm nihatari sana watu wamegeuka. Simba .au wanyama pori kutowa rokho xa watu watoto maskini hawana hatia lakini sasahivi nao wanachanganywa kwenye visasi vya watu wazima eweee mwezingu Tanzania inaangamia kwa mateso ya mauwaji kila siku matukio mabaya iko wapi awamu ya tano ya magufuri .R.l .P R.I.P. jpm unakumbukwa kwa ulinzi ulikuwa ni .kali sana hakukuwa na matukio haya ya mauji
@larickmtui2852
@larickmtui2852 2 года назад
Hapo ndio makao makuu au
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 2 года назад
Unamuondoa Mungu mawazoni na mdomoni ndio MATOKEO yake haya!
@ladislauspastory7249
@ladislauspastory7249 2 года назад
Kikulacho kikungoni mwako
@jastinpiniel4447
@jastinpiniel4447 2 года назад
Serikali sasa iangalie hii mambo kila kukicha watu ni kuuwawa tu
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 года назад
Tanzania ushirikina umezidi, watu hawafanyikazi wote wanataka kuwa waganga, ili wasitumie nguvu kufanya kazi, haiwezekani kuua watu bila hatia kama hajatumwa na mganga serikali iingilie kati hakuna mtu kuwa mganga akigunduliwa tia ndani bila hivo tutaendelea kufa na jela zitajaa wauaji
@zenaabdallah3797
@zenaabdallah3797 2 года назад
WATZ TUNAENDA WAPI JAMANI KUUANA KAMA KUKU.HEMBU FIKIRIA UNAPOTOA ROHO YA MWENZAKO UNAONARAHA GANI.AMEJITETEA KWA UCHUNGU MKUBWA HADI ROHO INATOKA JAMANI
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 2 года назад
Tulisema Toka mwanzo serikali hii ni dhaifu Sana. Naifananisha na Ile ya awamu ya pili na ya nne.
@jilalajalu2756
@jilalajalu2756 2 года назад
Huyu anafaa urais 2025
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 2 года назад
Tanzania wanasema kuna waganga na wachawi sasa kama kweli wakweli hii ndio time yao yakutowa ushirikiano lakini waganga wa sasa wote matapeli😁
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 2 года назад
Waganga wetu na wachawi wetu kazi yao ni kuwatesa wasio na hatia lakini kwa wanao mwaga damu za watu,,,uchawi na uganga wao haufanyi kazi,,,lakini wapelekee tatzo la nguvu za kiume utalishwa mizizi hadi ya mawe,,,Mamaeee zao
@zuenaramadhani4835
@zuenaramadhani4835 2 года назад
Mbona mauaji yamezidi
@meryosca4546
@meryosca4546 2 года назад
Mpaka unajuta kuzaliwa
@sadafrancis8309
@sadafrancis8309 2 года назад
Mauaji Kila mkoa Kila cku
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 года назад
Rais tungeomba atowe tamko, mauaji yamezidi mno
@rinaldaoman7892
@rinaldaoman7892 2 года назад
Wote wasombwe wakafilwe na chupa watatajana tuuu
Далее
Они захватят этот мир🗿
00:48
Просмотров 801 тыс.
Why Egypt and Somalia are Teaming Up Against Ethiopia
10:50