Wa wanjaro jipee nguvu bibi wa pili hakuna siku anapwendwa,na familia au kijiji sukuma maisha ulele kijana,maisha nikusonga na Mungu akiwa pamoja na nyi
Story yako na yangu ni 🤞ata mimi 16 years ago bwanangu alikufa nikiwa na mtoi wa 8 month, ile siku tulimzika tu vile watu hupumzika ndiyo kila mtu arundi nyumbani mother in law hapo papo aliniabia mbele za watu mambo yake na mimi kwisha aliyenileta kwake ameenda😢hiyo siku nilirudi kwetu na mamangu but namshukuru mamangu sana alinishikiria hakuniacha ata akiwa ma shida, saa mtoto nimkubwa yuko form 4 namshukuru mungu sana, na haria eikagio tiho iguaga manyendagira mauru nake ngai ndahana mundu wathi, sahii niko job Dubai nilinunua plot na nikajenga bonge la nyumba🏠
@@maureenwanjaro kwanza familia ikijua kuna pesa wataifuatilia mahali utafukuzwa ndiyo wafuatilie hizo pesa walipwe kama hauko, but mimi namshukuru polis mmoja wa mariakani polis station na polis mmoja wa nyali polis station mombasa walishika hio kesi yangu kama wazazi hao polisi 2 mungu awabariki walisimama na mimi wakahakikisha hakuna kitu changu ata kimoja wamechukua ata nikae 20 years hao polis nitakuja kuwaletea zawadi ni polis wa nguvu
@@marywairimu5178 Kamati ya roho chafu,huwa analipwa pesa ngapi juu ya kuongea ukweli,before our artist passed,he was staying with his son,kama Maureen alikuwa na utu,angesomesha huyo mtoi pamoja na wake iliatimize mapenzi ya marehemu kusudi huyu mtoto
Jeff's mother was alive and still alive!!!!!!!!. Why didn't she go and rescue the son?????Maureen is not in a competition with Jeff . So let Maureen be!!!!
Now Jeff and co got new shelter and a piece of land and just cant imagine how this makes you feel..bitter perhaps..you are too bitter woman. Heal and God will use you.
for your information this woman don't stay in forest People of good hearts joined together purchased land and built her a house 😃😃😃😃does she look kúhúríka sahulika na mama yako
@@conymachaa3900 usituletee ujinga Yako kwa Kila comment unajifanya kumujuwa sana alishinda after kundanganya na kushinda case alishinda juu ya benefited za goerge na kundanganyana kwa Kila media kuhalimbia familia ya goerge jina na ata hananga adabu anajiitanishangatu na na Iyo familia especially jina ya father in low
@@ireniren1140 jinga wewe yourself what are you doing Malaya wewe benefit za wenye inakusubua nini ??? keep on following me like a dog🐕gathia ino reke tútwarane Nyina wa uiru jelousy will take nowhere
@@conymachaa3900 hats umtetee na njia Gani mavi ata uifunike aje wakati utaifunua utapata tu ni mavi mahali mulikuwa munarusha Jeff mungu alimchukua kiherehere kama ya mwanamke
Ama hii mauchugu tote nivile haukuhusishwa kwa mipango yote ya kumsaindia Jeff na familia yake ukae ukinjuwa ata goerge mwenyewe kupitia kwa wimbo yake ya KAANA KA WANJARO alikelezea vizuri moto was maisha yake ni mgani
it's ashamed a woman pointing a widow , their case is only God judge no one choose to be a widow !!! Maureen help come from heaven not from earthly people
@conymachaa3900 and God hate wicked people na by the way wanjaro family wakienda kotini huyu atabaki bila kitu juu new law says that kama bwana yako hakupeleka ruracio kwenyu wewe si bibi so huyu ni baba mama ni hayo tu kwa sasa
@@magdalenelohman8240 ndiyo sababu nyinyi wana wake mnafanywa mdalau na in- laws wivu kwa wengine kumtakia Mabaya kama wewe ni special na by your informations benefits zote Za wanjaro was shared and those you see like saints they misiused their share evil woman enda kortini ukasema hakufanya ruracirio wewe ndiye ulifanya arusi na yeye yourself you're evil !!! where was his real malaya mother ?? enda wewe umefanya arusi likini kufanya arusi Sio big deal
@@conymachaa3900 shame on you WANJARO alikuwa na bibi yake mwenye alikuwa ametolea ata Mali yaani ruracio mama yake Jeff huyu alipoingilia iyo familia mama Jeff akakasilika akatoroka uyo ndiye alitoa mama Jeff kwake shame on you all alikuwa goerge wakati alikuwa mwalimu wake lakini hakujuwa bibi yake na walikuwa wanakaa na yeye uko migori
@@conymachaa3900 wewe kama huwelewi kitu tafathali better you keep quiet nani alikundanganya benefit za WANJARO ziligawa wacha kundanganya watu huyu .mwanamke alichukuwa Kila kitu familia ya WANJARO haikupata chochoteata vile walikuwa wanangangana Zigaiwe watoto Maureen alik ata akambaki na everything ata firstborn ya goerge hakumaliza masomo unamtetea kwani wewe ndiye ulimchukuwa siku hizi