Mume wangu anapenda kutumia simu mara mingi game na nikimuuliza anasema eti kabla hajanioa alizoea simu yake ....basi sai amenioa na bado anatumia simu kwa saana.
Na when someone receives calls zote lkn Kuna Ile moja hawezi itika heri aweke block ataongea baadae ama when far from you akiwa karibu hapo hawezi pick anaanza kutoa reasons ama kukasirika kasirika uyu nae anapiga juu ya Nini and when far anachukua