Тёмный

MAWAKALA WA UKOLONI 《3》 

WACHOKONOZI
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 80   
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw День назад
Kabisa Kaka hao ni wahuni hata ukiwasikia ma missionary wakeelezea Africa kwao wanaongea umaskini WA Africa na maskini wakubwa sasa utaona malengo Yao hayakuwa mema kabisa hongera zenu
@AbdonKamasho
@AbdonKamasho 13 дней назад
Tàñzàníà kwéli kuñà wàtu wényé àkili. Yàañi huo upéo unàouzúñgumzia kwéli uñà úpéo kakà mchokonozi! Mnàzuñgumzà ukweli tupu. Éñdélééñi kutóà Élimu hii kwañi kàmà kwéli mtu àñàwaskilizà Kwa màkini àtàéléwà kuwa mñàçhozungumzà ñi uhàlisià wà màishà
@mckobatz5861
@mckobatz5861 2 месяца назад
"Mpumbavu unauangalia msalaba unaacha kuangalia madini" bonge moja ya quote 😂😂😂
@wachokonozi_
@wachokonozi_ 2 месяца назад
@@mckobatz5861 😅😅🙌🙌
@mckobatz5861
@mckobatz5861 2 месяца назад
@@wachokonozi_ you guys kuna sehemu kubwa sana ya elimu ambayo imefichwa mnaifunua vyema sana I wish peo za watu zifunguke zaidi ili waafrika tujitambue zaidi naamini ipo siku itakuwa wether tuwepo au tusiwepo as big thoughts live forever. I wish wapumbavu wasiguse hii channel kuiharibu either kwa kuifungia au otherwise ila hekma iwaingie ili elimu iendelee kuishi
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 месяца назад
Kila Siku Nakuwa Mpya Ninapoisikiliza, Kuiangalia Chaneli Yenu..🙏🙏
@KanteTriphone-it5wj
@KanteTriphone-it5wj 3 месяца назад
Huu ndio mwamuko wa Africa siku watu wengi wakijua kua dini zote ni mchawi wa waziwazi tutaendelea mapema sana, mko poa san
@GodlistenYona
@GodlistenYona 3 месяца назад
Nawakubali wakuu kama mmegundua kua tulikua tunTazama move kama halisia
@johnmunga1857
@johnmunga1857 3 месяца назад
Mm ni mkristo katika malezi ila najarib kuwasikiliza mnakitu si kwa ubaya lkn
@MAKANZAGULWAMAYALA-fm5ns
@MAKANZAGULWAMAYALA-fm5ns Месяц назад
Tuendlee kuchokonoa mpk kieleweke bigup
@UpendoTonny
@UpendoTonny 16 дней назад
We ni fundi dadeki😂😂😂
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 2 дня назад
🙏🙌
@wisdomfolks
@wisdomfolks 2 месяца назад
Mkataba wa bandari wahuni wakisasa
@RubenIbraim
@RubenIbraim 2 месяца назад
Niliwahi kusoma vitabu vingi nikawa hivi niliishi Hulu sana na mpaka sahivi nipo huru
@RubenIbraim
@RubenIbraim 2 месяца назад
Jamaa anafikiri sana
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 3 месяца назад
Mpo vizuri sana tunataka mada kama hizi wakuu
@joshuamshani2686
@joshuamshani2686 2 месяца назад
Aisee yani tunakuwa programmed kifkra mpaka tunaona kama Afrikaa pabaya kumbe ni sehemu nzuri sana
@mkapaamollelmollel6038
@mkapaamollelmollel6038 3 месяца назад
Somo nzuri kwa sisi waafrica
@sureboyofficial6473
@sureboyofficial6473 3 месяца назад
KWAKWELI
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 2 месяца назад
Facts
@sureboyofficial6473
@sureboyofficial6473 3 месяца назад
WENYE DINI NI WAPUUZI NA MAWAKALA WA UKOLONI YAANI SIKUHIZI WAARABU NA WAZUNGU WANACHEKA WANAVYOONA TUNAJIKOLONI WENYEWE
@LushidulaJidamawi
@LushidulaJidamawi 15 дней назад
Sawasawa kabisaa kabisaa
@SaidTwaha-s6w
@SaidTwaha-s6w 3 месяца назад
Mko vizuri asiiii
@LushidulaJidamawi
@LushidulaJidamawi 15 дней назад
Kaka mimi nimwana funzi wako mutiifu kabisa
@justinmganiwa2790
@justinmganiwa2790 3 месяца назад
😂😂😂😂 napenda sana
@DavidDavid-i1t
@DavidDavid-i1t 2 месяца назад
Muko good sana
@LucasNgoda
@LucasNgoda 3 месяца назад
Kweli binadamu hafi anaishi milele
@DahHodges777
@DahHodges777 3 месяца назад
Akili pana sana ila wafia dini hawawezi kuelewa maana gereza waliopo ni zito sana..
@mohamedbakari2874
@mohamedbakari2874 16 дней назад
Aisee mlindoko naomba nitoe namba zangu tuwasiliane kaka madini yako hatari nataka nipate vitabu vyako nisome.
@alexmahenge9408
@alexmahenge9408 9 дней назад
Dhambi ya Adam ya wote utajiri wa Solomon hautu husu😂😂
@AnttonyEsau-t2j
@AnttonyEsau-t2j Месяц назад
Ninyi watu nimegundua mna kitu
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 15 дней назад
Wasomi wengine wamekuwa kama matahila maana ajira hakuna ndiyo maana wameanza kufanya haya
@RenatusRugemalira-ef1fq
@RenatusRugemalira-ef1fq 2 месяца назад
Ndio maana kuna amri wana sema usiibe ila ni kinyume chake. Kiukweli ile amri ...ni utaiba kisicho chako ,walifanya ivyo na wana endelea kufanya ivyo
@farajansekela5763
@farajansekela5763 3 месяца назад
Duuh!!! Nyie ni hazina uelewa ni mkubwa mno,,,🎉🎉🎉🎉🎉Wachokonozi ni balaaa❤❤❤
@DjFae.b255
@DjFae.b255 3 месяца назад
Nyie jamaaa mungu Kawa bariki Dana 🔥🔥🔥🙌
@MajiTakaMaji
@MajiTakaMaji 3 месяца назад
Mungu yupi tena wakati wanasema hakuna Mungu
@wachokonozi_
@wachokonozi_ 2 месяца назад
@@MajiTakaMaji kweli hayupo huyo wa kwenye Biblia na quran.
@PatrickIssafungameza
@PatrickIssafungameza 2 месяца назад
Daaaah kwakweli hakuna anae tambua lolote kuhusu mungu na shetani
@JovinMaftah
@JovinMaftah 2 месяца назад
Hawajamaa ni zaidi bbc
@eliudicharles4936
@eliudicharles4936 10 дней назад
Huu ndio uamsho wa bongo za watu
@BIGBon-d8e
@BIGBon-d8e 11 дней назад
True
@MartinPetro-o5b
@MartinPetro-o5b 2 месяца назад
Nawakubali sana
@ammaherman3391
@ammaherman3391 3 месяца назад
😂safi
@JoshuajastinMartin
@JoshuajastinMartin 3 месяца назад
Mpo vizuri
@AmadeMbezy
@AmadeMbezy 22 дня назад
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏nawapata wana
@ezrakiduko6135
@ezrakiduko6135 2 месяца назад
Your genius
@MussaIssaya-up1zu
@MussaIssaya-up1zu 17 дней назад
Ko unashauri Nini katika nchi yetu
@AdamMwisimba
@AdamMwisimba 3 месяца назад
Kuanzia leo? Mm ni ???????
@MAKANZAGULWAMAYALA-fm5ns
@MAKANZAGULWAMAYALA-fm5ns Месяц назад
Nilowahi kusoma nao wanajua ckuwahi kuelewana na viongozi wa dini kweny vipindi vyao ilkua nimaswali juu ya maswali mpk nlikua nafukuzwa kwenye vipindi nawavurugia amani lkn Mimi nlikua nimesimama kwenye ukweli ila wao kweli ndo ilkua imetawala vichwani mwao
@eksielo
@eksielo Месяц назад
Kirefu cha N G O ni nini?
@stanleyayo8653
@stanleyayo8653 12 дней назад
Kabla ya Wakoloni hawajaleta DINI zao huku kwetu Afrika kakukua na DHAMBI bali afrika kulikua na MIIKO (Dhambi ni nini?) ni kosa la kiumbehai mwenye hiari dhidi ya uadilifu unaompasa.... (Mwiko ni nini?) ni jambo au kitu kinachozuiwa mtu kutumia au kutenda kwa kuogopa kudhurika. Ndio maana waafrika hawakuwa Wizi, Mauwaji, Ubakaji, Ufisadi, Ushoga, Umalaya, Ubinafsi nk kwa sababu waafrika walijua endapo watavunja miiko watadhurika... Bali walipoleta DHAMBI ndipo haya mambo kama Wizi, Mauwaji, Ubakaji, Ufisadi, Ushoga, Umalaya, Ubinafsi nk yakawepo kwa sababu tuliambiwa kwenye dini ukitenda dhambi UNATUBU na baada ya hapo UNASAMEHEWA...
@evaristfabian6125
@evaristfabian6125 2 месяца назад
Naomba kujua vitabu mlivyonavyo na bei zao
@PatrickIssafungameza
@PatrickIssafungameza 2 месяца назад
Non but our selves can free our mind
@CammieGee-mv2xt
@CammieGee-mv2xt Месяц назад
Unyama
@Bahati-ms6vk
@Bahati-ms6vk 2 месяца назад
Ningeomba wandugu wachonozi undeni group kama ni whatssp sawa ili tufundishwe mengi naisi tulizaliwa katika upumbavu na tunakuliya kwenye ubumbavu mambo yenu yanazidi kutufunguwa akili sana
@wachokonozi_
@wachokonozi_ 2 месяца назад
@@Bahati-ms6vk group lipo WHATSAPP
@wachokonozi_
@wachokonozi_ 2 месяца назад
0689716565 WhatsApp
@BenardEnos
@BenardEnos 8 дней назад
11:42 ​@@wachokonozi_
@petroteveli8670
@petroteveli8670 Месяц назад
❤❤❤
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 3 месяца назад
Mimi mmenifunuwa mengi sana uku mtaani wajinga wengi hawawezi kuwalewa nyie jamaa zangu
@officialkishomonster3831
@officialkishomonster3831 Месяц назад
Broo naweza pata namba zako ili nipate madini zaiidi
@adambaton5521
@adambaton5521 3 месяца назад
Pamoja sana walimu wangu toka nianze kuwafatilia hakuna fala ananisumbu Sasa hivi
@designdesign4426
@designdesign4426 3 месяца назад
😂😂😂 Toka mda nishazishtukia dini na uzuri vitabu vyote nimevisoma nilichokigundua yaliyoandikwa ni akili namipango ya watu waelewa
@ammaherman3391
@ammaherman3391 3 месяца назад
😂😂😂😂
@josephmarigi6374
@josephmarigi6374 2 месяца назад
😂😂😂😂😂 Ma Kenge n wengi Brother😂😂😂😂😂😂​@@designdesign4426
@Joh-j9s
@Joh-j9s 3 месяца назад
WACHOKONOZI😂😂 Andikeni kitabu cha wahuni watatu, waliokuja AFRICA kutuibia.kitaelimisha sana jamii yetu.😅😅😅😅
@Joh-j9s
@Joh-j9s 3 месяца назад
Sawa mkuu tutafanyia kazi.😅😅😅
@wachokonozi_
@wachokonozi_ 2 месяца назад
@@Joh-j9s 😅😅🙌
@kyandotv3261
@kyandotv3261 Месяц назад
Mi najiulizaga awa viongozi wakuu wadini zote kubwa mbili zinazo fuatwa duniani viongozi wake wakuu wanatoka kwao tunakua wajinga kiasi gani anzisheni group tujadli kwa pamoja swala la Africa ukombozi kwa wote upo mikononi mwetu wachache
@SephaniaMsigwa
@SephaniaMsigwa 16 дней назад
Nakubari tunaibiwa
@JovinMaftah
@JovinMaftah 2 месяца назад
😂😂😅❤❤❤
@SaidAlfan-d1r
@SaidAlfan-d1r 3 месяца назад
Lakini hizi dini sio histori niukweli kwa sababu hivi vitabu mfano msahafu kuna maandiko ukisomewa kwania ya kupewa hukumu furani lazima upatwe na matatizo ingekua ni mipango visinge kua na nguvu yoyote
@fredysigy4771
@fredysigy4771 3 месяца назад
ukiamin na ukinenewa hofu yako ndo inakumaliza wala sio msaafu
@Pablolookman
@Pablolookman Месяц назад
Na miongoni mwao binadamu Kuna Majini
@ray9738
@ray9738 5 дней назад
Nani alie kuletea huo msaafu?
@Kakajambazitv..
@Kakajambazitv.. 3 месяца назад
Seen by me Nlianza chini adi nimekua wa kwanza ku comments Nlifuatilia channel yenu kwanzia mwanzo adi mwisho
@wachokonozi_
@wachokonozi_ 3 месяца назад
@@Kakajambazitv.. karibu na endelea kutufatilia.
@angelousfrank6945
@angelousfrank6945 3 месяца назад
❤❤❤❤
Далее
UISLAM SI DINI, NI UTAMADUNI
14:53
Просмотров 11 тыс.
NYUMA YA PAZIA.
15:26
Просмотров 12 тыс.
MAWAKALA WA UKOLONI
10:17
Просмотров 6 тыс.
WATU WAELEWE WASIAMINI.
10:30
Просмотров 9 тыс.
HIJA
8:30
Просмотров 6 тыс.
WENYE AKILI NDOGO WAENDELEE KUAJIRIWA
12:11
MWANAMKE NDIO MAISHA.
10:09
Просмотров 9 тыс.
VITA YA DUNIA HAIKUWEPO
8:21
Просмотров 6 тыс.