Тёмный

MAZIMBO AMCOS MFANO WA KUIGWA: TAASISI NYINGINE JIFUNZE KWA CHUTCU 

Chunya Dc Online
Подписаться 481
Просмотров 140
50% 1

Katibu tawala wilaya ya Chunya Ndugu Anaklet Michombero amewapongeza Chama Cha Ushirika Cha Mazimbo chini ya Mwenyekiti wake Bwana Sebastian Masika kwa kusimamia Vizuri Fedha za Wananchama wake jambo ambalo Limepelekea kujenga ofisi kubwa na Nzuri kwaajili ya kuendeshea shughuli za chama hicho
Aidha Michombero amewapongeza Chama Kikuu cha Ushirika Cha Tumbaku Chunya (CHUTCU) chini ya mwenyekiti wake Bwana Sebastian Masika kwa namna ambavyo kimeendelea kuwaongozwa vyama wananchama kushirikiana na Serikali maeneo mbalimbali ikiwepo kuondoa Changamoto za Wakulima lakini kujenga miradi mbalimbali ili kuongeza kipato kwa wanachama wake
Moja ya maeneo ambayo Chama hicho kimeshiriki vizuri ni katika kipindi cha Kuhamasisha wanachama wake kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ambapo afisa uendeshaji wa Chama hicho Ndugu Juma Nshinshi aliongoza ziara ya siku tatu kutembelea vyama wananchama ili kuhimiza wanachama kujitokeza kwa wingi na ziara hiyo ilikuwa na mafanikio makubwa Chunya

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Думайте сами блин
18:15
Просмотров 468 тыс.