Тёмный

MAZINGIRA: ZIWA MANYARA LAJAA NA KUATHIRI NYUMBA ZAIDI YA 200 

SOPHY TOURS TV
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 215
50% 1

Nyumba zaidi ya 300 katika kata ya Magara Wilayani Babati mkoani Manyara zimeadhirika na mafuriko Kufuatia kujaa Kwa ziwa Manyara na kupelekea uharibifu wa makazi pamoja na hekari zaidi ya 200 za Mazao Mbalimbali
Mbunge wa Jimbo la Babati na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo ametoa magunia 10 ya mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha Manyara.
Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho Mei 19, 2024 katika Ziara Maalum ya Kikazi ya kutembelea na kukagua uharibifu wa mali uliotokana na vyanzo mbalimbali vya Ziwa Manyara kuzidiwa na mvua zinazoendelea kunyesha, amewataka Wananchi kupokea kiasi cha chakula kilichopatikana huku Serikali ikiendelea kufanya jitihada nyingine.
Naye Mwenyekiti wa Kijiji cha Manyara Ndg. Juma Jorojik alisema takribani kaya 300 hawana pa kuishi wala chakula kwa kuwa mashamba yao pia yamefunikwa na maji yakiwa na mazao mbalimbali ikiwemo mashamba ya mpunga.
KWAHISANI KUBWA YA MARCEL LAZARO KUTOKA MANYARA ANATUELEZA KWA KINA.

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Russian soldiers get chased by Ukraine drone
00:28
Просмотров 65 тыс.
This DEAL will bring Ruto DOWN
16:33
Просмотров 37 тыс.
DUKANI KWA MEKU
11:05
Просмотров 337 тыс.
Riggy G Ananyolewa Bila Maji!! - Eugene Wamalwa
43:17
Просмотров 2,9 тыс.
Historia ya Mkoa wa Manyara
2:13
Просмотров 21 тыс.
Ziwa Natron lafanya maajabu
1:02
Просмотров 492