Тёмный

MAZITO! LISSU KUMSHTAKI RAIS SAMIA UMOJA WA MATAIFA ASIMULIA ALIVYOPIGWA NA POLISI MATESO ALIOYAPATA 

John Ngollo
Подписаться 66 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@rithaurassa
@rithaurassa 2 месяца назад
Pole kamanda wetu Mungu akubariki mtetez wawanyonge akupe afya njm.
@abelmbega3707
@abelmbega3707 2 месяца назад
Hatari sana Jamani daaa Pole sana
@EliaHiluka
@EliaHiluka 2 месяца назад
Poleni sana viongozi wa cdm
@lemamolelilemamoleli7740
@lemamolelilemamoleli7740 2 месяца назад
poleni sana
@gracelukumaybarikiwasanara7114
@gracelukumaybarikiwasanara7114 2 месяца назад
Acha kuita watu aramu ni mbaya sana unakufuru uumbaji wa mungu
@dianamakyara4210
@dianamakyara4210 2 месяца назад
😢😢
@StevenWimbe
@StevenWimbe 2 месяца назад
Pore Sana makamu mwenyekiti iposikuyao mungu yupamoja nasi
@janeshija6638
@janeshija6638 2 месяца назад
Hii nchi lazima LAZIMA washtakiwe THE HEAGUE maana hapa wanasheria wengi wamewekwa mifukoni mwa serikali na wako kwa kupindisha sheria. Jata huyu AWADH na MSAJILI wasishtakiwe hapa wapelekwe huko THE HEAGUE.
@jarnskorelly464
@jarnskorelly464 2 месяца назад
Unyama huo jamani duuu😢
@MsekenyuLimbe
@MsekenyuLimbe 2 месяца назад
Uyo ashitakiwe tuuu watu wake wanamtia haibu mama haya yanatokea na utendi haki uko wap wew rais wa haki mona ufuati nyanja za magufuri sasa
@haruntongo6703
@haruntongo6703 2 месяца назад
Tudu lisu kumbe hiitakii .heli Tanzania
@pwaniseries
@pwaniseries 2 месяца назад
Pole sana Ndug Makamu tatizo unaowapambania ndio hawajielewi
@lemamolelilemamoleli7740
@lemamolelilemamoleli7740 2 месяца назад
sisi watanzania wengi atujielewi iccm aifai kabisa
@michaelkisesa3959
@michaelkisesa3959 2 месяца назад
Ocd na mkuu wa operation tz nani mkubwa? Akisema mkubwa hakuna haja ya ocd kuongea anapashwa kutekeleza tu, we taratibu za kijeshi huzijui kaka.
@BensonDickson-xf1ge
@BensonDickson-xf1ge 2 месяца назад
Hamia kwa wazungu hawatakupiga
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 месяца назад
Pumbavu huna akili.
@LameckMbele
@LameckMbele 2 месяца назад
waafrika tuliwafukuza wazungu kwa kisingizio wanatunyanyasa yako wp sasa bora wazungu mweusi sio mtu
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg 2 месяца назад
Mungu nimwema atawapambania
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 месяца назад
Nimeshawaambia kuwa Lissu ni chizi kichwani kumejaa valium nk masaa 24.ni mlevi muda wote😢😢.
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 2 месяца назад
Naami dhihaka zenu mtazilipia siku moja
@michaelkisesa3959
@michaelkisesa3959 2 месяца назад
Sasa boss wa ocd akitoa amri hapo ocd anatekeleza tu ndio mfumo, sa huyu sijui anaongea pumba gani.
@Mbwana-w7q
@Mbwana-w7q 2 месяца назад
umemuuzia kojag nn
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 месяца назад
Mlefu wewe na chawa wenzako
@loserian-mj1gj
@loserian-mj1gj 2 месяца назад
Ukiwa Rais wa NCHI utatuongoz kwa Hali hii tamaa mbaya
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 месяца назад
Nani mwenye tamaa? Uchawa kitu kubeba sana. Huwaoni wenye tamaa?
@YunussefuNagawa
@YunussefuNagawa 2 месяца назад
Ccm hawajitambui
@Mbwana-w7q
@Mbwana-w7q 2 месяца назад
kwel kaka
@SakinaHassan-xc2in
@SakinaHassan-xc2in 2 месяца назад
Pole sana kiongozi naamini ipo siku watailipia hii kama sio hapa duniani basi akhera mungu anawasubiri Kwa hamu na tunawaomba hao wote waliofanya hivyo mungu aanze na familia zao
@Mbwana-w7q
@Mbwana-w7q 2 месяца назад
ukwel mtupu uyu jamaa anafaa
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 месяца назад
Tumechoka kumbe huwa mnayafata Mtatizo kwa Nini mkatae Amri ya polisi hii Nchi inaendeshwa ki sheria bwana!
@LameckMbele
@LameckMbele 2 месяца назад
@@kassidpandu866 ulisoma mkp la ngp msela rudi tena hukupata kitu pole kwa wazazi wako kupoteza ada zao
@WilliamSENYE-yk8pb
@WilliamSENYE-yk8pb 2 месяца назад
Kasid kumbe Bado hajatoka ulimwemgu wahiza kwanini uelew awako Bado ni wachekechea
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 месяца назад
Sherrie zipi?
@lawskuli9876
@lawskuli9876 2 месяца назад
Nenda ukawashtakie Wazungu kama ilivyo kawaida yako
@AlumanaPilla
@AlumanaPilla 2 месяца назад
Mmm hupendi wewe wengi tunampenda sana tena sana
@Mbwana-w7q
@Mbwana-w7q 2 месяца назад
mungu2 anatosha
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 месяца назад
Anakupigania hata wewe usiyejifahamu
@NoahSeludao
@NoahSeludao 2 месяца назад
The heg inatosha
@FellaMbogela
@FellaMbogela 2 месяца назад
Pole sana MH. T A LISU MAKAMO M/K CHADEMA KWA MAGUMU UNAYOPITIA, WEWE NDIYE SHUJAA PAMOJA NA MAGUMU UNAYO PITIA NDIO MAANA MUNGU AMEKUACHA HAI , WAKATI WA MUNGU UKIFIKA HARA WAPANGE MAJESHI HAWATAWEZA JIPE MOYO USHINDI UPO MBELE YAKO ILI KULIOKOA TAIFA HILI NA MUNGU AZIDI SANA KUKUBARIKI
@issakazi2758
@issakazi2758 2 месяца назад
Mnatakiwa mjitathimini.msitulazimishe watanzania kuwachukia chadema endapo mtatulazimisha inaweza kuwa mbaya kwenu genge la wahuni kama nyiye.
@FrankEdson-l2o
@FrankEdson-l2o 2 месяца назад
Kwakweli ccm hawana akili jamani, eti mtu nimtanganyika anaibiwa sasa watu wanasema halafu badala muungane kupigania haki eti unasimama upende wawahuni.
@YunussefuNagawa
@YunussefuNagawa 2 месяца назад
Ccm hawajitambui
@Mbwana-w7q
@Mbwana-w7q 2 месяца назад
watajuta sikumoja2
Далее
А вы знали что металл тонет?
00:32
Физика пасты Карбонара 🧪🔬
00:57