Тёмный

MBINU MPYA YA KUMALIZA MUGUKA MOMBASA 

Al Shifaa Media Kenya
Подписаться 13 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 80   
@firdaushamid8200
@firdaushamid8200 4 месяца назад
Sawa sawa hivo hivi musikate tamaa sisi watu wa mombasa tuko nyuma yenu
@nyembomajid1262
@nyembomajid1262 4 месяца назад
natoa mchango wangu Kama kweli wana taka kusaidia vijana ,swali tunauhakika mungukaa ndo dawa pekeaka inao haribu vijana ? kama kweli tuna taka kusaidia vijana wetu baada marufuku wamungukaa tuta pata jibu ? Dunia tuna madawa mengi tuki funga mungukaa hakuna dawa lengine vijana wanaweza wakatumia? madawa ulevi tunao na ni hatari Kwa afyia yetu kama bangi ,pombe,cocain,hiyo mungukaa,cigara,na kazalika amboa hatujui linauza kifichoni bila sisi kujua haya yote ni madawa na inamazara tunakuja kwenye majibu yakutosha baada marufuku wamungukaa tuki waona vijana wetu wanaendelea na kua machizi tutasema ni Nini ,kabla mungukaa kuingia hakukua machizi? ni jambo lakila mtu afikrie kiupana zaidi sio tuliona watu wakipita bara bara wakilalamika haki yetu haki yetu na wewe unaigia Kwa hiyo mandamano wewe pia haki yetu haki yetu ukiuliza haki yako ni upi oooooh niliona watu wakisema haki yetu na Mimi pia nimeingia so tuwe na watu wengine wakufikiria zaidi sio walivo SEMA mungukaa ni mbaya basi Kila mtu ndio ndio ndio ..... Kwa mwisho nimesapoti marufuku wamungukaa lakini baada marufuku tutapata jibu zuri ?
@kisimamqhealthfacility1458
@kisimamqhealthfacility1458 4 месяца назад
Thats the way to go. Lets cut down on demand as we reducing the supply
@tsumaanthonyndewa9696
@tsumaanthonyndewa9696 4 месяца назад
Siwao wanasema wanakula huko kwao na haidhuru mtu,,, sasa waendelee kukula hio salads yao huku kwetu haitakiwi. Free Muguka Coast yote. Kudos Bwana D governor.
@abdikadirgaleef3966
@abdikadirgaleef3966 4 месяца назад
Not only mogoka even miraa
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 4 месяца назад
Mudikubali bro waiuze uko kwao kama noma iwe noma anavo sema joho
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 4 месяца назад
Musikubali
@arafatally3723
@arafatally3723 4 месяца назад
Mbinu nzuri kabisa.Hii itafaulu Kwa sababu hata kabla county 001 kuchukua hii hatua kuelimisha mashinani Kuna idadi Fulani ya waraibu wameacha ulaji moguka.Huyo zakayo kwa kuwa anathamini hela kuliko afya ya wapwani 2026 lazima nae apigwe marufuku katika kura zetu.Kataa moguka kataa zakayo.
@faizalabdi7873
@faizalabdi7873 4 месяца назад
MADAWA must STAY....................
@lordenoughforme4417
@lordenoughforme4417 4 месяца назад
Choma magari yao uko inje ya boarder.wameru waembu piga kichapo washenzi
@EricAbega-n1e
@EricAbega-n1e 4 месяца назад
Sio kupenda kwako,hapo ndio akili yako inafikia
@KenJuma-tz2hg
@KenJuma-tz2hg 4 месяца назад
Yeah
@rukiaabdul7191
@rukiaabdul7191 4 месяца назад
​@@EricAbega-n1eNa yako inafikia wapi?
@Mukuvakyandangwaband
@Mukuvakyandangwaband 4 месяца назад
Mboro ww
@oyay2821
@oyay2821 4 месяца назад
​@@Mukuvakyandangwaband hio ndio respond ya wa Mombasa. Mukileta matusi tunawa fanyia kweli malorry yenu
@bensonosure
@bensonosure 4 месяца назад
Hamjui kazi yenu nyinyi cc ndo mabos zenu alafu mnatupangia starehe kama mungu .shule za msingi hamlipi ata stima Wala zengine azina maji acheni ubwakni
@mawndiswalhi9192
@mawndiswalhi9192 4 месяца назад
Tuko pamoja viongozi wetu wema ..msirudi nyuma Mungu Yuko pamoja nanyi mtashinda hii vita..hata Rais Hana Sauti mbele ya Mwenyezi Mungu..
@Sal.0
@Sal.0 4 месяца назад
MAJOR declaration ita kuwa ni: 1) Lorry ambazo BADO zinazo jaribu kuleta Migoka na MIRAA, should be SIEZED by POLICE. Then the DRIVER must be fined 150K, and Lorry owner fined 300k. 2) Lorry isipo lipa Fine ya 300k in one month, then sell Lorry by Auction. 2) Announce Miraa pia ime BaN! Banning MIRAA also will be a MAJOR announcement. At the end of The Day, YOU are The MSA001 Government! So BAN MIRAA too!
@davidkithikii8384
@davidkithikii8384 4 месяца назад
Nayo magari yaje meru tuone
@michaelkauku9714
@michaelkauku9714 4 месяца назад
Why do you want to meet with ruto surely? Has anyone seen his children enjoying muguka? It's our responsibility to take care of our children and we don't need to negotiate with anyone on matters concerning the future of our children. Ruto is properly taking care of his children, even taking them to America in private jets.lets wake up and deal with these moguka dealers
@SudiOmar-nl3xi
@SudiOmar-nl3xi 4 месяца назад
How many childrens do you have?
@Sal.0
@Sal.0 4 месяца назад
EXACTLY. There is a County Government in MSA001. Therefore, as A Government, you do NOT need to negotiate ANY Decisions made by the GOVERNMENT of MOMBASA County!
@bravinotichilokeya1717
@bravinotichilokeya1717 4 месяца назад
Muguka lazma tule tu bwana Mashinani ni wapi
@omarmbarak1579
@omarmbarak1579 3 месяца назад
Inshaa Allah Allah ajalie ushindi this drugs is so bad not only mugoka hata heroine pia ipigwe vita sio siayasa ya mugoka na miraa any drugs should be abandoned
@suuahmed71
@suuahmed71 4 месяца назад
Riggy G. Yuko Mombasa mbona haji kuongea na watu wa mombasa. Alijuwa tu kuondowa tembo haramu.
@mkonjoliaysha678
@mkonjoliaysha678 4 месяца назад
Rogeni hao wabara wafilie Kwa Maajali tusahau
@oyay2821
@oyay2821 4 месяца назад
Na raisi akizungumza na Mombasa mwanzo aweke milioni 500 mezani za minazi kama alivyo wapea waembu za Mogokaa
@husnaabdlla4508
@husnaabdlla4508 4 месяца назад
Ameen to that ❤❤❤❤👍👍👍👌👌👌🙏🙏🙏
@ADILIMWASHEE
@ADILIMWASHEE 4 месяца назад
Wakilazimisha tuñachoma hzo gaei
@EmeldaOntita
@EmeldaOntita 4 месяца назад
Tuko nyuma yenu 💯 tuokoe watoto wetu
@msonocollo9551
@msonocollo9551 4 месяца назад
Naona hapa magari yatachomwa haki
@BranMayn
@BranMayn 3 месяца назад
Watu wa mombasa hamna mjadala mwingine ila mogoka leteni issue nyingine hizi no wonder i hate coast wanaume wadaku si mukomeshe ushoga hapo cassblanca nijuwe ubingwa wenu nkt
@mohafunnyvideos8432
@mohafunnyvideos8432 4 месяца назад
story ya jaba😂
@MeMe-xi6tx
@MeMe-xi6tx 4 месяца назад
Hatitaki mkokaa
@HiHi-py8dg
@HiHi-py8dg 4 месяца назад
izo drugs mwatuuzia nyinyi wa meru n embu
@munoruelias283
@munoruelias283 4 месяца назад
Kwa mdomo mko mbele matendo tuachieni
@lordenoughforme4417
@lordenoughforme4417 4 месяца назад
Wavamiwe uko boarder wapigwe na magari yao fire.maadui mashoga hao
@salimsibabu9027
@salimsibabu9027 4 месяца назад
Create awareness haitoshi mhesh even cigarette imeelezwa kwenye paketi but hawasikii .Don't fear say NO MUGOKA FULLSTOP. ukishikwa fine ya 1m
@wilsonkombeyeri4623
@wilsonkombeyeri4623 4 месяца назад
Pwani na itengwe coz viongozi wamelala na wanaitawala kiislamu sana hii pwani paka wameharibu
@rashidhamad3538
@rashidhamad3538 4 месяца назад
msijali tuko pamoja
@kuschprince3216
@kuschprince3216 4 месяца назад
" Kufanya kesi na nyani shahidi ni yonda!! Block all highways from Voi/ Taita taveta hata hapo Mariakani na choma hiyo takataka/ mavi yao!! Wababa aa manahenza Kijego, sio kubembeleza vinyo zhao zha mamizao!! Ara nyuchi maremwangira uhuru mahiko?
@ShimwaSamm6
@ShimwaSamm6 4 месяца назад
Mbona mnapiga mugukaa vita peke yake na Kuna madawa ya kulevia mengi sana yanaadhiri vijana wa puwani. Nyinyi wenyewe ndio mnaharibu vijana wenu. Si story na mugukaa Wala mira.
@kombomwakaribu8252
@kombomwakaribu8252 4 месяца назад
Waeza yaona hayo madawa wewe....Mugukaa uko waziwazi kila mahali
@kadijaa7771
@kadijaa7771 4 месяца назад
Musituletee porojo tumesema hatukaki mugukaa ndio mwasema madawa hatutaki na hatutaki basi tu kama madawa wayajua pale ya padwa tuambie
@denismutuku2723
@denismutuku2723 4 месяца назад
Wajinga Tu unga inamalisa watu wakwede uko
@andallaathman3856
@andallaathman3856 4 месяца назад
Tunajua kitambo pwani sikenya Hilo mlijue they just used WA pwani ingekua Wana uwezo hata kutuwa sote wangetumaliza
@KenJuma-tz2hg
@KenJuma-tz2hg 4 месяца назад
Moguka Na miraaa ndizo hatutaki
@subiralema
@subiralema 4 месяца назад
Nendeni mashambani mkangowe
@Kamanda.45
@Kamanda.45 4 месяца назад
Sawa sawa
@kinara5365
@kinara5365 4 месяца назад
thats wasting money
@KiokoMbuvi-z3b
@KiokoMbuvi-z3b 4 месяца назад
Why is joho quite on mugukaa?
@Sal.0
@Sal.0 4 месяца назад
Because this MwanaHaramu JOHO is the One who wanted Mogoka and MIRAA to be distributed in Mombasa! Then he also Disteibuted the HARDS DRUGS imported by RAILA and UDA, into JOHO'S BERTH at the Port! JOHO is the ONE Responsible for POISONING the Children of MONBASA, because RAILA told him that if JOHO Drugged and STEAMED the SWAHILIS, it would be EASY for ODM and Joho, to get the SWAHILI VOTES! AND that's EXACTLY what happened, when all the STEAMED UP Mombasans, VOTED for ODM, and WON RAILA the Mombasa Town!
@davidkithikii8384
@davidkithikii8384 4 месяца назад
Ujga tu kushindwa kunaziaga apo
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 4 месяца назад
Wanarema eti wanauza wasomeshie watoto wso ,je wao uziwa sio watoto wa watu?kwa ruto ata pombe pekee haipo ,mbona anakubalikuangamiza wa puani
@TatuOmar001
@TatuOmar001 4 месяца назад
Anzeni na madawa kumaliza
@SaidOmari-sx4ix
@SaidOmari-sx4ix 4 месяца назад
thoya ww tumewa na ma bwambadi alafu utaona mathara yake baadae giriama bure kabsa
@denismutuku2723
@denismutuku2723 4 месяца назад
Maliseni unga kwanza muguka aina chida
@AbdullahiHassan-k2l
@AbdullahiHassan-k2l 4 месяца назад
Jifunze kiswahili kwanzi eti Chida maliseni😂 rudia school fees yako
@rukiaabdul7191
@rukiaabdul7191 4 месяца назад
SAWASAWA TUPO PAMOJA NANYI VIONGOZI WETU WA MSA NA PWANI KWA JUMLA...
@KiokoMbuvi-z3b
@KiokoMbuvi-z3b 4 месяца назад
You people look for something else to do nuguka is there to stay
@wilsonkombeyeri4623
@wilsonkombeyeri4623 4 месяца назад
Madawa ya kulevya imewashinda watu wamekuwa mateja kila mahali tu
@vinificent
@vinificent 3 месяца назад
Wewe no teja?
@KoomeNzima-e2v
@KoomeNzima-e2v 4 месяца назад
Kwedani uko
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 4 месяца назад
Mimi ni mpwani na napinga sana mti huu kufika pwani....ila kumlaumu raisi hapo napinga kwasababu hii. Raisi lazima tumvumilie na tusipende kumuongolea wacha tusikie sauti yake hata japo alienda meru. Mwisho tusikate tamaa ALLAH ako nasi.
@EricAbega-n1e
@EricAbega-n1e 4 месяца назад
Ni lipi lingine umefanyia watu wa Mombasa kama d/g?Leo ndio umeamka kutoka mangweni
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 4 месяца назад
Mangwe yako
@EricAbega-n1e
@EricAbega-n1e 4 месяца назад
@@MuniraShughuli-kc7vj Ukweli Munira ni lini uliona huyu dg.akiongea?
@aaa64sa13
@aaa64sa13 4 месяца назад
Kwa D/g bado ni mapema kumuhkum yenyewe sai ndio yrs. Mpe wakti....
@andallaathman3856
@andallaathman3856 4 месяца назад
Hilo kwetu NI kubwa Sana kushinda hata kuajiri vijana
@andallaathman3856
@andallaathman3856 4 месяца назад
​@@EricAbega-n1ewajua kazi ya dg ww hebu niambie DG WA Nairobi ni Nani na umeona lini ?
@DaphneMasogange
@DaphneMasogange 4 месяца назад
What about bangi unga and cocaine
@andallaathman3856
@andallaathman3856 4 месяца назад
Umeona kibanda cha kuuzwa bhangi na unga utuoneshe plz tukakichome sahiii pia muulize ruto na gachagwa hyo mambo pamoja na kindiki coz is not halal in Kenya
@tsumaanthonyndewa9696
@tsumaanthonyndewa9696 4 месяца назад
Haaaa sasa mtaendelea kula hizo salades zenu huko mbele sio Pwani
@rukiaabdul7191
@rukiaabdul7191 4 месяца назад
Taja wenzako tuje kukamata
@Mukuvakyandangwaband
@Mukuvakyandangwaband 4 месяца назад
Wewe naibu gavana,mjinga wewe!kwani haujui miraa yenye mnasema ndo mzuri ikienda north eastern inapitia embu?? Pia mabasi yanaokuja mombasa kutoka meru pia haipitii embu??
@davidkithikii8384
@davidkithikii8384 4 месяца назад
Muabie tena
Далее
Dragon Blood Whitening Cream
00:35
Просмотров 5 млн
Satisfying DIY Earing for the Little Ones! 😲
00:33
MRADI WA MAJI SAFI KIBOKONI - MOMBASA
2:28
Просмотров 2,1 тыс.
KEMNAC YAKEMEA UBAGUZI WA AJIRA KPA NA IEBC
5:32
Просмотров 1,8 тыс.
HOW I GOT HERE - KINYOZI BILA SURA
17:20
Просмотров 338
Ilwad Elman | Fostering Hope and Peace in Somalia
32:34
Dragon Blood Whitening Cream
00:35
Просмотров 5 млн