Тёмный

Mbosso Alipotembelea Kiwanda Cha Diamond Karanga 

Mbosso
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 113 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 138   
@remanansubuga7106
@remanansubuga7106 2 года назад
Wow👍👍👍❤
@sallygoldwawatu4372
@sallygoldwawatu4372 6 лет назад
Mm nilikukubali kwanzia 2008...Wenye roho zao chafu wakule karanga na macho..Cmba ndio maanake naishi kukupenda bure....💃🙏👄❤#Cmba
@furahayamoyo9193
@furahayamoyo9193 6 лет назад
Mbosso ako na energy nzuri ndiyo mana napenda akiwa presenter. Napiya songs zake powa sana.
@fababindawood5842
@fababindawood5842 6 лет назад
Izi karanga cku nikisahau kununua bx wananangu wanagoma kwenda shule ha ha ha simba mungu anakuona.hongera xana.
@fatihiaanwar8879
@fatihiaanwar8879 6 лет назад
we mboso usile hizo karanga mana una hatari wazalisha wawili kwa mwezi mmoja hatari sana
@ahadiesube7919
@ahadiesube7919 6 лет назад
Mbosso mwenye tabasamu
@silasomolo3095
@silasomolo3095 6 лет назад
Vijana wapate ajira kupitia wasanii. # Diamond Karanga
@wangeuye6015
@wangeuye6015 6 лет назад
#Mofaya mnasema ya Alikiba naomba nionyesheni kiwanda chenu plz
@theonlydayonicedionis3294
@theonlydayonicedionis3294 6 лет назад
wange uye Fuatilia mambo,simu unayo unataka nn mbona lishawekwa wazii,,hahaaa
@vascogomano8089
@vascogomano8089 6 лет назад
wange uye 😂😂
@wangeuye6015
@wangeuye6015 6 лет назад
Bado mashabiki wa bishi mimi najua #Mofaya ipo South Africa tangu 2014
@againstallodds8548
@againstallodds8548 6 лет назад
wange uye nikweli usemayo lkn Alikiba ameingia hapo na yy kama business partner so naye anamiliki kiwanda hicho kwa sasa coz ana shares zake,tunakula karanga za diamond twateremsha na mofaya ya Alikiba hawa wote ni ndugu zetu lazma tuwasupport
@theonlydayonicedionis3294
@theonlydayonicedionis3294 6 лет назад
ABCD 000007 Ndo maana nimemwambia simu anayo hafuatilii mambo anakulupukaa,,nafikr ameelewa
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 лет назад
Iki kiswahili cha mfanyakazi wa kiwandani vipi.....?
@salumallymngumba
@salumallymngumba 6 лет назад
WAMALIKO LUMUMBA mkongo
@josephcharles6443
@josephcharles6443 6 лет назад
Duu kwahiyo m nimekua wa mwixho kukoment
@rahmatumam357
@rahmatumam357 6 лет назад
Mtabishana ooh diamond anaviwanda ooh kiba hna kitu at the end of the day they're moving forward ww unabaki kununua voucher daily kuingia u tube kuangalia mond kafanya nn kiba kafanya nn they even hv houses for their families maybe ww inabishana Huna hta kibanda cha kuku instead of kubishana take a step do something altleast even u anza kuuza karanga slowly by slowly and gradually u will find yourself unamiliki kiwanda kma him
@rahmatumam357
@rahmatumam357 6 лет назад
Even mond alipoanza hakutegemea kma atafika pale alipo watu walimcheka buh Allah kamjalia instead of kubishana mitandaoni try to get what u want with what u hv anything even if is kuchonga vichago kuuza mihogo
@salumnassornassor9733
@salumnassornassor9733 6 лет назад
Mimi nnaushauri mkiwa kiwandani funikeni vichwa vyenu. Maana nywele mbaya katika chakula
@jessicamm3171
@jessicamm3171 5 лет назад
Great
@5starsmoviecenter714
@5starsmoviecenter714 6 лет назад
Mbosso nywele hamjaweka chochote
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 6 лет назад
mmmmh namm nangoja siku yangu ya kupewa ifike
@esposwit5213
@esposwit5213 6 лет назад
##karanga it moja tamu....mungu tu....##jamani onja.....
@zaynabaly7319
@zaynabaly7319 5 лет назад
ngoja nikanunue kwanz saiv izo karanga nakujaaaa
@dianaclara1413
@dianaclara1413 6 лет назад
Wow they look so sweet I wish to eat
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Mashallah, kila la khery Baba Dylan
@qemueliemanueli5747
@qemueliemanueli5747 6 лет назад
simbaaaaaaa big up brooooooo
@Wastara001
@Wastara001 4 года назад
Mpiga picha arudi kujifunza. Wewe mboso wapewa maelezo au ni wewe utowae maelezo. Maana naona wajipendekeza kwa boss wako.
@jifunzetv5041
@jifunzetv5041 6 лет назад
Congratulations diamond on your Business @Jinfunze TV 📺. This natural food
@hassanissah7064
@hassanissah7064 6 лет назад
msijipee sifaa mond yeye ni balozi uo uomladi ni wa clouds clouds media
@fatihiaanwar8879
@fatihiaanwar8879 6 лет назад
nimechelewa kucomment lakini sikitu siku ni siku muhimu ujumbe ufike tu
@jeanmalilo6128
@jeanmalilo6128 6 лет назад
Diamond Karanga
@blacksonismael2501
@blacksonismael2501 6 лет назад
Nogewa jirambe peace and love
@dullahkitabu8939
@dullahkitabu8939 6 лет назад
Nawe mshikaji wangu mbosso unapenda kula Hahahahhaha duuu kila unachokiona unataka kula haaaa ndio maana ile siku ulipofika nangurukuru ukala ngisi mix samaki mwishowe ukawa unahalisha
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 6 лет назад
Hicho kiwanda kina wafanyakazi wangapi
@latifamtanda6312
@latifamtanda6312 6 лет назад
Nice
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 лет назад
Sehemu inayotengenezwa chakula km hvo kiwandani nguo zenu mlovurugia nje huko wee mnaingia nazo.
@kaulimbiu181
@kaulimbiu181 6 лет назад
Waambie watumie disposable hair net kufunika nywele. Mutalisha watu nywele.
@Noname-gg6bx
@Noname-gg6bx 6 лет назад
Mbona kama mazingira machafu hivi
@kingbarostz3420
@kingbarostz3420 6 лет назад
Hi mbosso
@hassanlikaba9813
@hassanlikaba9813 6 лет назад
Ivi amna wa Tanzania wa kufanya kazi iyo had wageni
@alvismumkaranja3360
@alvismumkaranja3360 6 лет назад
Natafuta job diamod nisaidie kwenye kiwanda chako pliz
@perpsgiovanna1933
@perpsgiovanna1933 6 лет назад
Jamani hizi karanga zauzwa wapi Nairobi? Zimenipendeza sana
@ezapesambili2902
@ezapesambili2902 6 лет назад
Nime amin Cjui Diamond uwafanyie nn ili wakukuBali kwel kalanga zako kabisa
@hassansalehe2383
@hassansalehe2383 6 лет назад
Kuma wew kiwanda siyo chenu icho
@bonydimoso4781
@bonydimoso4781 6 лет назад
hassan salehe punguzamatusi. ndugukiba. namondi. oteewadogozakotu. ivomsiwagombanishee
@zeralucyntazimila6600
@zeralucyntazimila6600 6 лет назад
hassan salehe mama yako ana nini mpaka utukane hivyo?????
@AloisNashali
@AloisNashali 6 лет назад
Tour guide mbona kama ngarenaro arifuu
@gloryanney5801
@gloryanney5801 6 лет назад
kazi Veep jmn
@godsonshoot7438
@godsonshoot7438 6 лет назад
Tucheki kuwa wa kwanza kutazama videoMOVIES zote Mpya za Bongo!!!!
@hamiswawa5872
@hamiswawa5872 6 лет назад
yani star anaenda kiwandani na ist wakati kuna bmw x6 haina kazi yeyote ile halafu kaongozana na meneja wake ricardo momo , mnaishuxha brand
@ShosiRashford10
@ShosiRashford10 6 лет назад
Nogewa jirambe🔥🔥🔥💯
@elizabethpaul5551
@elizabethpaul5551 6 лет назад
sili tena kalanga zenu kiwanda kichafu sana duuuuh
@jumashedafa5945
@jumashedafa5945 6 лет назад
elizabeth paul wewe mwenyewe mchafu uktaka uamn jitie kidole alafu nusa
@khalifajuma5569
@khalifajuma5569 6 лет назад
heee!! hongera diamond kwa kumiliki kiwanda kikubwa hivi... na umeajili sijui mkongo uyoooo.... hongera sana.
@hamzaseifrwambo5657
@hamzaseifrwambo5657 6 лет назад
Mwanzo mgumu mtafika tu ........hongereni sana
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 лет назад
Nogewa jirambe😋😋😋😋👍
@sylviaogolla4335
@sylviaogolla4335 6 лет назад
Twende kiwanda cha juice ya Mofaya ya kiba mwelekezi kwenye kiwanda hicho sikosei huenda Ni Hamorapa
@hayatmohammed388
@hayatmohammed388 6 лет назад
Mboso umetia kampuni asara mana umetembea ukila karanga umo ndani😅
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 6 лет назад
Anaejua hiki kiwanda kipo maeneo gan kwa Dar anjulishe
@beatricemassawe601
@beatricemassawe601 6 лет назад
Mofayàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwanda gan kichafu kama mmiliki
@ramacomedsaid1903
@ramacomedsaid1903 6 лет назад
aminia
@Millidady
@Millidady 6 лет назад
mbn local san
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 6 лет назад
mbona hamvai kofia nawakati mwatengeneza chakula,manywele sasa kwenye karanga
@mdl6463
@mdl6463 6 лет назад
samahani lakini pachafu sana !!!!!
@davidmshiu6204
@davidmshiu6204 6 лет назад
Mabulah Leonard kasafishe
@Swahiliplay
@Swahiliplay 6 лет назад
first comment first viewer
@ChristianOzil
@ChristianOzil 6 лет назад
1
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 6 лет назад
ninacho kijua mimi Kiwanda cha Diamond karanga ni cha mr Hassan mlebanoni miliki wa chipssi Snaks Zile chama na Kiwanda kinaitwa Smart Indastrt kipo mwenge Diamond Plutonium ni balozi Sio mmiliki Wa Kiwanda cha Smart Na kuusu Ally na kiwanda cha mo faya kipo South na video za kiwanda you tobe zipo na mimi ninazo ally akiwa kiwanda fala uwezi Elewa
@christmasmachele5589
@christmasmachele5589 6 лет назад
Hicho Kiwanda ni cha huyo mzungu alievaa koti jeupe diamond hatoe wapi pesa ya kuanzisha Hicho Kiwanda? Diamond ni jina tu kwenye hiyo product Kiwanda kina wenyewe
@inocentmwalongo5320
@inocentmwalongo5320 6 лет назад
christmas machele wefala umekariri sokilamzunga mmiriki w kiwanda
@matesokamonga8101
@matesokamonga8101 6 лет назад
Kwan hicho kiwanda kinaizidi tv mbona Cha kawaida Kwa simba
@dianaclara1413
@dianaclara1413 6 лет назад
The way you are talking to me its like you are jealous
@mzungualex3373
@mzungualex3373 5 лет назад
Illiteracy no doubt
@sisihaogroup1538
@sisihaogroup1538 6 лет назад
mbona viroba vya azam
@yusufalmamari4236
@yusufalmamari4236 6 лет назад
Safiii diamond platinum
@godgreyfwila6872
@godgreyfwila6872 6 лет назад
usipokubali mafanikio ya mwenzako lazima utapata taabu xana nakukubali xana simba endelea kufanya yako ili wenye akili utupe hasira kufikia ulipo na pengine zaid. lkn wenye vijiroho mhh
@moedavie1165
@moedavie1165 6 лет назад
wouyooooo wakwanza kucomment mimi
@mwanamissefu4775
@mwanamissefu4775 6 лет назад
Moe Davie saf
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 лет назад
Sasa mmevaa gloves, mask, mbona hamjakava nywele zenu?
@hassansalehe2383
@hassansalehe2383 6 лет назад
Kalanga zenyewe ngumu kama jiwe kuma nyie wcb wote
@dianaclara1413
@dianaclara1413 6 лет назад
Listen for your words before you bring out control your mouth
@alvynewilliams9376
@alvynewilliams9376 6 лет назад
Pwahahahaha acha nicheke
@boniphacetv739
@boniphacetv739 6 лет назад
Daah sasa ukienda kiwanda cha condom Utafanyaje Kama Umezoea kuonja mofaya
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 6 лет назад
Hata mie fan wa Mond ila nimekula karanga zake sio tamu, sijui Ni zangu tu packet nliouziwa au?wengine mnasemaje kwa utamu na ubora kama mmezila? Nimeisha kula better than hizo aina nyingine
@kiluwasalum5002
@kiluwasalum5002 6 лет назад
Uyo jamaa ni mkongo au simuerewi
@nasbakari1849
@nasbakari1849 6 лет назад
Mod ni balozi tu
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 6 лет назад
Dah! huu mradi wote ni wa SIMBA!!?? hakika aliyepewa hapokonyeki
@juoanjuo
@juoanjuo 6 лет назад
Masen Kaitaba jina tu ndilo la Diamond.
@hassanissah7064
@hassanissah7064 6 лет назад
kiwandaa ni cha clouds media yeye yeye mond ni baloz 2
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 6 лет назад
Hassan Issah una akili za ucku umasikini wako usiwe kikwazo kwenye maendeleo ya watu 😎
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 6 лет назад
Joan Gatwiri umeambiwa na nani?
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 лет назад
Hassan Issah kama mofaya sio
@kizugecomedianholysmile595
@kizugecomedianholysmile595 6 лет назад
safi Sana
@cleophacedarstan6524
@cleophacedarstan6524 6 лет назад
M b O s S o_
@chibutvonline8710
@chibutvonline8710 6 лет назад
lazima akauke hahahahaha
@ashuramamaashuraaachekuvaa7798
kwaiyo hii kampuni ukoapi?
@rashidwasarashid8358
@rashidwasarashid8358 6 лет назад
karanga na zikubari sana
@samueltumaini3396
@samueltumaini3396 6 лет назад
Kiwanda chenu ni kali
@Aaa-nh7gw
@Aaa-nh7gw 6 лет назад
Usinzipimieee kwautam
@yohanalapei3992
@yohanalapei3992 6 лет назад
Fisi mkle uozo
@mapendoshantale8969
@mapendoshantale8969 6 лет назад
??
@subirajohn728
@subirajohn728 6 лет назад
wenye wivu wajinyonge
@nickymeel986
@nickymeel986 6 лет назад
Upate mofaya plus mondi karanga..utamu mtupu
@yonathanyona2926
@yonathanyona2926 6 лет назад
baada ya kuona alikiba- anaonyesha kiwanda chake wameamua kuonyesha chao🐹🐹🐹🐹wamedadavua wakamchukua mbosso ili tusiwagundue kiurahisi@msema kweli
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 лет назад
Elisa Shekusa sasa point yako ni ipi????? Kiba ndo kaanza au kamkuta Mondi kwenye uanzilishi wa viwanda
@stevenlyando1801
@stevenlyando1801 6 лет назад
acha hizo kwani mondi hajawahi kutembelea hiki kiwanda????we wawapi?????
@kagileman5798
@kagileman5798 6 лет назад
Elisa Shekusa Acha ushabik wa Kijinga Kile kiwanda cha kiba Wakat kiwanda kipo South africa Na hawakusema Km cha kiba ilioneshwa Ilipotengenezwa Tena wamesema Co yake na ile Kampun Ishatengeza Vtu ving tu Kiba ni Baroz Unakataa ukweli unaokuuma Unakubal Uwongo ili ufulai 😂😂😂😂
@godfreychristopher4733
@godfreychristopher4733 6 лет назад
Kwel aisee,walikuwa wap wasionyesbe icho kiwanda?
@yonathanyona2926
@yonathanyona2926 6 лет назад
oky lkn hatukuwahi ona kiwanda cha mond hadi baloz wa mofaya (ka unavyosema ) aanze kuonyesha kazi yake huo ni utoto mjipange ma brooo pesa minazo ila ndo basy 2 mnapenda upimzani sana
@daviddaud3624
@daviddaud3624 6 лет назад
poa mkaki
@jsggroup3702
@jsggroup3702 6 лет назад
Aka kamchina kanalipwa na mondi da nkma sana
@chibutvonline8710
@chibutvonline8710 6 лет назад
nogewa ujirambe kumamae
@omondiomondi1903
@omondiomondi1903 6 лет назад
Nogewa jirambe
@chikidahboy9969
@chikidahboy9969 6 лет назад
Mumuzidi na masifa sana mume anza kuni chosha
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 6 лет назад
chikidah boy umaskini wako isiwe sababu ya kutuletea shombo sie
@chikidahboy9969
@chikidahboy9969 6 лет назад
Masen Kaitaba kaka mimi sina umasikini ila na sema kweli mimi na pends ngoma zao but ubishow ume zidi kama hela niko na hela mimi sio kama wale wakutegemeya watu
@abdallahsaidaowamekosanaki9601
chikidah boy Kwan ww nani hasa hadi una sema ivyo
@munashabanimunashabani9976
@munashabanimunashabani9976 6 лет назад
chikidah boy unatumwa utizame
@emmanuelmanga25
@emmanuelmanga25 6 лет назад
Unavyoonekana km shoga hivi, halafu nilishawahi kukuona pale Sinza makaburini j'mos moja usiku ukiwa umejipodoa.
@clementarts131
@clementarts131 6 лет назад
Nomanoma
@uwimanarodriguez2615
@uwimanarodriguez2615 6 лет назад
You
@uwimanarodriguez2615
@uwimanarodriguez2615 6 лет назад
Noma
@youngmadibajr.2481
@youngmadibajr.2481 6 лет назад
Mofaya
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 6 лет назад
Sombaaa
@athanastheonest6728
@athanastheonest6728 6 лет назад
Chibu karanga usisahau kusubscribe account yangu
@mapendoshantale8969
@mapendoshantale8969 6 лет назад
??
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode /45/ #love
20:10
Просмотров 190 тыс.
НОВАЯ "БУХАНКА" 2024. ФИНАЛ
1:39:04
Просмотров 475 тыс.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 4,7 млн
Mbosso - Ova (Official Lyric Video)
3:29
Просмотров 329 тыс.
DIAMOND KARANGA TVC 2
1:07
Просмотров 72 тыс.
S02 EP07 - MBOSSO KHAN
31:25
Просмотров 317 тыс.