Nakumbuki kipindi fulani baada ya yamoto band kutengana, mbosso aliamua kurudi kwao kibiti, vanny boy akamfuata na kumwalika wasafi. Sasa hivi mbosso amekuwa star wa kimuziki...much love to Mbosso Khan❤❤😊😊
Mbosso wa sasa nihatari zaidi yani ❤❤❤❤❤❤❤❤video imeenda mulemule nilimokua nataka mbosso sasa nimsaanii mkubwa zaidi nazaidi show zako vibe lakutosha🔥🔥🔥🔥🔥ukitoa diamond ww unafata kwasasa
Namuona mbosso katika hii ngoma kuna sehem inakutambulisha ujuzi na uandishi wako mkubwa na jinsi MTU unavyocheza na beat na melody hakika hii ngoma ya watanzania ndio maana jukwaani unawakimbiza wasaf woote kupitia hii