Тёмный
No video :(

MBOSSO: Sikuwa na ushkaji na Harmonize, Aslay alinunfollow Insta nikashangaa, Tanasha naye kuniblock 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 147 тыс.
50% 1

Sehemu ya pili ya #ChillnaSky ambapo Mbosso anafunguka kuhusu kutokuwa karibu na Harmonize licha ya kuwa label moja ya WCB, kwanini yeye na Aslay si marafiki tena na jinsi anavyoimiss Yamoto Band, alijisikiaje baada ya Tanasha kumblock Instagram, iwapo anapendelewa na Diamond pamoja na mambo mengine

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 214   
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 4 года назад
Sky kila mwezi utuletee mbosso khan,tunampenda sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@hellenagabriel7321
@hellenagabriel7321 4 года назад
Ok
@hellenagabriel7321
@hellenagabriel7321 4 года назад
Mbosso yupo vzl San
@bellaesco8799
@bellaesco8799 4 года назад
Sky jaribu kila mwezi utuletee mbosso khan tunampenda sana
@susanruo8087
@susanruo8087 4 года назад
Yaani interview za Sky huwanga na utulivu mwingi.. Yaani mtu anaeza mskiza siku yote. Alafu mboso is very interesting to listen to ...
@Tamaxali
@Tamaxali 3 года назад
Very true. He is wise. Answering exactly what he is asked and making sure anaeleza precisely and comprehensively
@Liz-2315
@Liz-2315 4 года назад
Yani mbosso mtu mzuri,anajua kujibu maswali.God bless you
@janewashe7276
@janewashe7276 4 года назад
Mbosso unajua kujibu maswali vzr 🇰🇪👌
@christinayesuanatendachiwa3493
@christinayesuanatendachiwa3493 3 года назад
Mboso ni kijana mzuri anakumbuka alipotoka.big up
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 4 года назад
Mtoto mzuriiiiiii. Mbosso tunakupenda. Kumbuka kusali sala 5 usiache. Mungu akuongoze ktk kheri in sha Allah
@hajivuai3454
@hajivuai3454 3 года назад
Na wakati kusali hizo herine avue ama
@kutokaughaibuni
@kutokaughaibuni 4 года назад
utofauti wa Fredrick Bundara anaskiliza mtu akiongea ile presenters wengine wanaongea tuuu godbless you bro
@hopechidera
@hopechidera 4 года назад
Sky ni professional.
@itshaluastyle
@itshaluastyle 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-AiAMUOzzAFs.html
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 4 года назад
Mashaallah mbosso unaongea cna point hongera cn broo💯
@florarose1626
@florarose1626 4 года назад
Kweli jamani mfanye kazi pamoja 🥺🥺🥺🥰🥰🥰 nawapenda Sana
@hopeobeth9806
@hopeobeth9806 4 года назад
Mungu akulinde na akuinue sana kwa kazi zako nzuri
@annacarren9892
@annacarren9892 4 года назад
Unaongea sana point mdogo wangu
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 4 года назад
Masha Allah, mbosso ni kijana mwenye busara na hekma ,nakupenda sana ila usikose kumsujudia mola wako
@nellyflo9736
@nellyflo9736 4 года назад
👈👈🙏🙏wacha tumuachie mola kamzidishie nguvu n katika kazi lake
@sofiahbaariu2976
@sofiahbaariu2976 4 года назад
Mwenye ameskia mbosso alikuwa mpenzi mtanzamaji kwa kipindi kile agonge lyk tukisonga
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 года назад
Nampenda sana mboso anaheshima sana
@quarantine325
@quarantine325 4 года назад
This guy is smart upstairs!!!
@ezradaniel4613
@ezradaniel4613 4 года назад
Aslay hawez kuwa na ushkaj na WCB coz yule pandikizi la radio flan hv.
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 года назад
Kabisa na hivi kashatupiwa pembeni
@neeysahbenson3467
@neeysahbenson3467 4 года назад
OfficialmrTop 10 yaan wew kwakukoment🤣🤣🤣
@davieskwayu8947
@davieskwayu8947 2 года назад
Big up mboso umeonesha kukua katika hekima na busara ur so great full for those who raised up
@rosemofuga6313
@rosemofuga6313 4 года назад
Brother Fred uko vizuri sana
@thee_ultimatespectrums2545
@thee_ultimatespectrums2545 4 года назад
The best artist ever.mbosso napenda mziki wako.mbosso mwalimu wa swahili.#kenya listening you.
@holinessngite9699
@holinessngite9699 4 года назад
Mbosso yani napenda unavyojibu You look sharp kudos!!!
@ramsoshenge387
@ramsoshenge387 4 года назад
Mbosso anajua kujieleza sana👍
@simp1eone
@simp1eone 4 года назад
Such a humble guy i hope he remains like this and fame doesn't change him. Hes fantastic. I don't speak Swahili but i listen just to learn
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 4 года назад
Usingizi wa Boss😂😂😂muhindi wa kusini
@kevinjamal2355
@kevinjamal2355 4 года назад
Nipe like kama uligundua mbosso kafanana na lil ommy👍
@saumuabdi1802
@saumuabdi1802 4 года назад
Kweli
@gracesamwel1338
@gracesamwel1338 4 года назад
Interview nzuuuri Kama za millardayo💪
@barakalukosi2251
@barakalukosi2251 4 года назад
Mboso mshairi mzuri sana namkubali mondo wekeza sana hapo halafu anahekima sana Hutu dogo
@leilahsaidina9920
@leilahsaidina9920 4 года назад
Unaongea point sanaaaa brooo
@barakabaraka9290
@barakabaraka9290 4 года назад
Mbosso nakukubali
@davillemas
@davillemas 4 года назад
SITASAHAU irudi tu. nakumbuka tulikua shule muda wa kunywa uji tunafunga redio juu ya mti tunaizunguka washkaji kama 70 kufatilia story
@official_kigonela5123
@official_kigonela5123 4 года назад
Anastate very much mbosso very good
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 года назад
Mbosso anabusara sana mstaharab anaonyesha ni ngumu kukukasirisha Yan haraf diamond anampenda mbosso zaid me naona hata ukiona video zao za kawaida hizi jins wanavyoongea
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 4 года назад
Mbosso is so humble jamn dah Mungu akuongoze kwa kila jambo n pia ulivyosema Corona imekuja kama somo ni kweli kbsa akili saa ivi zimechangamka
@daktarij381
@daktarij381 4 года назад
hapo ndo mnapokosea kuhis hamo kamsaliti wbc ishhhhh nisawa na kumlaum mwanafunz anahiti chuo,,,,, eti siwez kutoka wbc hiyo ni kukiri roho ya utegemezi,,, kua ondoka kasaidie wengine ww kubaki 20yrs wbc unawaziba riziki kwa up coming artist wanaotaka kuja chuo cha mziki hapo wbc,,, nisawa na mtu ana 40yrs yuko kwao anakula ugali wa baba,,,, cmon you need to grow up harmonise hajakosea kutoka ameonyesha roho ya kuridhika na elimu aliopewa wbc na yuko tayari kusaidia wengne,,,grow up
@buganyatherealer
@buganyatherealer 4 года назад
Wbc ndio nini
@daktarij381
@daktarij381 4 года назад
@@buganyatherealer ou know better than me bro,,,, take your time
@officialmpbaraka2999
@officialmpbaraka2999 4 года назад
@@buganyatherealer 😅😅😅😅
@emilymideva8783
@emilymideva8783 4 года назад
Congratulations mbosso khan keep it up.
@gaferejustin1344
@gaferejustin1344 4 года назад
Nakumbali mbosso
@shabantv3733
@shabantv3733 4 года назад
Nami pia nilkua napenda sana stosahau had nakopa betr za redio niskilize
@dangotetv9461
@dangotetv9461 4 года назад
Mbosso ,,,Mwenyez Mungu azidi kuibariki nafsi yako Khan..
@faithnduka153
@faithnduka153 3 года назад
Mbosso mtu mzima kwa mjibu ya kujibu maswali daaa! Napenda ivo kashinda watu wengi Sana napenda msanii huyu Sana
@paschalmichael4283
@paschalmichael4283 4 года назад
Mbosso ni mshairi mzr sana
@issadebau3643
@issadebau3643 4 года назад
Mbosso ni kijana mwenye busara
@msusu1994
@msusu1994 4 года назад
Nakukubal sana Broh hata cjui y watu wanachelewa kujua una nn ndan yako .....nataman nijue kutangaza ila nikikucklza nahic cna hko kpaj
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 4 года назад
Nice interview
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 4 года назад
Yani Mbosso nice 😍😍😍 umejieleza vizuri sana tangu leo niko Shabiki yako ❤ from UK
@robbyhushpuppy991
@robbyhushpuppy991 4 года назад
HAO WENGINE NIMA BOSS WAKOO WEKA WAZIII
@nellyflo9736
@nellyflo9736 4 года назад
I love these conversation alot.....❤❤❤❤much love mbosso from Kenya we love you most humble guy respect end good answer question.....all the best to your music...🙏🙏🙏
@ibrahimabdikadir3566
@ibrahimabdikadir3566 3 года назад
Mboso kijana mzuri Hana maringo He is very Humble Ma sha Allah Mungu Akulinde Indelea na hiyo Roho bro in sha Allah
@Meaw687
@Meaw687 4 года назад
Doktari khan nimugwana sana!💚
@langwenyacharlie6767
@langwenyacharlie6767 4 года назад
Appriciate Mbosso
@habibasallah8139
@habibasallah8139 4 года назад
Mashaallah mtangazaji nakupendaga unavyo hoji umetuliya
@zuwenaally6403
@zuwenaally6403 Год назад
Mashahallaha mashahallaha mboso 💯💯💯❤️❤️❤️💃
@parismovies809
@parismovies809 4 года назад
mboso kasha sema ukiwa mpenzi mtazamaji kaa kimya tuu
@adnanbossy4097
@adnanbossy4097 4 года назад
Mm ningekua na uwezo ningewarudisha pamoja qwa yamoto band mlikua mnafanya kazi nzuri
@janatahmad7048
@janatahmad7048 4 года назад
mbosso acha ww simba anakupenda😂😂kuzidi we zako
@hassanmapenzi6188
@hassanmapenzi6188 4 года назад
Haha kweli kabsa mboso na zuchu wanapendwa sana
@yirgayemyirgah7820
@yirgayemyirgah7820 4 года назад
Hanipendi kiivo ila ananipendapo pendapo nisiwe muongo
@aminajuma1435
@aminajuma1435 4 года назад
Ukimsikiliza vizuri anavyoongea anahaki apendwe sana , nimstaarabu muelewa ananidhamu na anajitambuazaidi. Maashaallah.
@danymak5800
@danymak5800 4 года назад
Mbosso is really cool and smart guy. Good interview.
@MTOTOWAKISHUAtv
@MTOTOWAKISHUAtv 4 года назад
Mambo vip guyz
@namsintimbwa3040
@namsintimbwa3040 4 года назад
Mtangazaji unahoji kwa utulivu sana sana, interview zako ni nzuri sana
@jinaanhkareem3650
@jinaanhkareem3650 4 года назад
Your smart mboso mndengereko mwenzangu
@sharinv8864
@sharinv8864 3 года назад
Yes mbosso unyenyekevu ni kitu nzuri sana utafika mbali mungu akubariki.
@bechuirakoze4981
@bechuirakoze4981 4 года назад
His so humble and polite about the way he answered, 👌🇧🇮
@joefredrick3110
@joefredrick3110 4 года назад
Sky sjui kama unasoma hizi comments kuna jambo kubwa sana nimejifunza n nataman kushare na ww but untill I'm sure ujumbe utakufikia
@plorynahgepchad8189
@plorynahgepchad8189 4 года назад
Uko makini sana
@hamisingomero3935
@hamisingomero3935 4 года назад
Mbosso mtu wa busara sana %
@kennedymwagambo7197
@kennedymwagambo7197 3 года назад
This guy knows the game ,poetry ,creativity and he's real .
@user-cl9xz5tv3t
@user-cl9xz5tv3t 3 года назад
Uko smart mbosso
@rosemofuga6313
@rosemofuga6313 4 года назад
Mboso nmekupenda bure umeongea kwa hekima na busara sana good boy
@messaabbas8346
@messaabbas8346 4 года назад
Much love 💕 mbosoo khan 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@deibscassie649
@deibscassie649 3 года назад
Mcha Mungu kweli❤️❤️❤️💯 Interview iko sawa kabisa Khan❤️🔥🔥
@ibrahimkikondo3865
@ibrahimkikondo3865 2 года назад
umetisha kaka Mimi Ibrahim apa
@faithchelangatkipkemoi3741
@faithchelangatkipkemoi3741 4 года назад
Aki Mbosso mpole aki
@baloziwakendubay9456
@baloziwakendubay9456 3 года назад
Napenda mbosso Sana.🇰🇪🇰🇪
@angelohakizimana472
@angelohakizimana472 4 года назад
Napenda unavyo hoji SKY
@rajabshemsa5662
@rajabshemsa5662 3 года назад
Safi sana Mbosso kwa kujali wazazi wako ! Wao ndo kila kitu kwako ! 👍
@sadiyakb8498
@sadiyakb8498 4 года назад
Nimechelewa
@aristotemohamedmz5979
@aristotemohamedmz5979 4 года назад
All the best mbosso
@hezronwasonga3250
@hezronwasonga3250 3 года назад
Just listened to this....and for sure mbosso is humble....nampenda sana.
@queenb1450
@queenb1450 4 года назад
Always Open minded,on Facts and points be Blessed
@benjaminmunyao4301
@benjaminmunyao4301 3 года назад
Mbosso una lugha bro
@latifahalitsi7986
@latifahalitsi7986 3 года назад
Mbosso ana busara Wa kujieleza.Ndio corona imetufunza mengi.I wish Yamoto could be together as before.
@youareoneinamilliontv1950
@youareoneinamilliontv1950 3 года назад
Mbosso is one of the best artist in Africa and his humbleness and hard work is Soo amazing. Continue bro
@philemonnyankuru5042
@philemonnyankuru5042 3 года назад
Sijui kwanini nikiona any interview ya mbosso I must watch it I really like the way the guys answers his questions
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 4 года назад
Mbosso nakupenda sana hunaga makuu
@awadhijumaa939
@awadhijumaa939 3 года назад
Saf sanaa mbosso Akil tupu🤝🙏
@alymusaa9524
@alymusaa9524 2 года назад
Good work mbosso ❤
@tedinasebastian8121
@tedinasebastian8121 4 года назад
Nakubali
@daudphilipo7079
@daudphilipo7079 4 года назад
Kijana wetu yupo vzr sana. Penda kaz zake sana bro..ongeza bidii usilale
@janatahmad7048
@janatahmad7048 4 года назад
huo aslay warimushik masikio wa clou eti yuko juu kushinda simba wakamushawishi wakavunja yamoto sasa hivi yupo wapi aslay mimi ndo.sijui
@katealias5255
@katealias5255 4 года назад
wasafi watu nao waheshimu sana ni Mbosso na Romeo
@mayasamgita8256
@mayasamgita8256 4 года назад
Unajibu vzuri sana mbosso
@najmagudeh203
@najmagudeh203 4 года назад
Bonge moja la interview
@fredrickfzgodfrey2435
@fredrickfzgodfrey2435 4 года назад
Jamaa ana jielez vizur san
@gwangtaek1564
@gwangtaek1564 4 года назад
Mbosso khan salute
@pamelakarimi3605
@pamelakarimi3605 3 года назад
Nawaombea sanaa mkaweze kufanya kazi kwa pamoja soon Inshallah 🙏
@safariadrien5348
@safariadrien5348 4 года назад
Maisha bwana aslay katangulia, ila umemuacha kitambo 😀
@justinechanelcom
@justinechanelcom 3 года назад
Kwer mshukuru mungu wako
@Vince-kw9hu
@Vince-kw9hu 4 года назад
Miwani ni fenty nani anakubali 🥰
@shakilaburhan9552
@shakilaburhan9552 4 года назад
Hongera mboso
@hollymore4904
@hollymore4904 4 года назад
The best interview of the month
@bujsaudaselemani5562
@bujsaudaselemani5562 4 года назад
Ongera sana kaka
@divinebernard1047
@divinebernard1047 3 года назад
Wasafi watu wana ekima saaaaana kama boss wao wanaongeya na busara,ndiyo mwanadamu hakosi kasoro Ila kweli awa wanaongeya kistarabu saaaaana,nimeshawai kusikiya ma interview za dai nazo walayi huamini kwamba yy ndo dai anaongeya simple saaaaana,yani wasafi naipenda saaaaana
@Tamaxali
@Tamaxali 3 года назад
Honestly I like the way he answers questions . I call him wise
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 4 года назад
Maojiano mazuri sana yaleo
@alistidiusjohnkaroly6736
@alistidiusjohnkaroly6736 3 года назад
Woooow! kumbe ndo jamaa huyu wa sitasahau jamaa fundi sana huyu
Далее
Х.евая доставка 😂
00:23
Просмотров 1,3 млн
ПАВЕЛ ДУРОВ АРЕСТОВАН
1:45:21
Просмотров 114 тыс.
HOW DID SHE DECIDE TO DO THIS?!
00:27
Просмотров 7 млн
USWEGE MURDERER - STORY STORY TU NA MBOSSO (S01Ep02)
4:46