Bashing or kuonea gender moja or, vs. the other, si fiti. Hata km ni joke. Ina lead to domestic violence. Please to desist. Jokes ziko nyingi sana, tu avoid za kuthuru. Please. // Na ati: Nikama wewe (man), ndie umeolewa. I think alipokua aongelea elbow/ 'elbowing' - km inaitwa hivyo.
Nikweli Kisii ni wengi USA. Niliwaona New Jersey zamani. Na walinishika kabisaa km mtu wao. Big up watu wetu. By the way, mlinifunza the necessity za how kunaendanga. Mungu aendelee kuwaonekania. ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉.
Ngugi, lakini muambie Mbote, east or west, home is the best. Haswa men walio huku, watakuambia hivyo na *volume. Labda ni vile, hawapendi haki zile ladies hupewa huko. Mwanamke, huwa na sauti kwa nyumba. Sio waume tu. 'Ukikohowa nae anakohoa'. Na ukimdara ati kwa nini nae pia amekohoa, *utajua ujui*.