Тёмный

MBOWE AIBUKA NA SAKATA LA ALIYECHOMA PICHA YA RAIS | BILA UWOGA ASEMA UKWELI KUHUSU MNYIKA 

EastAfricaRadio
Подписаться 520 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 2 месяца назад
Mbowe umeongea vizuri
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 месяца назад
POLIC wenyewe wamemezwa na CCM hawafati hata katiba wana fata oder ya chama
@AndrewShiratu
@AndrewShiratu 2 месяца назад
Lakini pia ajira ndani ya jeshi la police ingefaa sana wabadiri vigezo vya elimu. kidato cha 4 na 6 waachane navyo.kwa maana hiyo elimu inakuwa haina elimu ya uongozi au utawala.
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 2 месяца назад
Mhandishi ,katiba ndo inavunjwa na polisi
@marybalya2371
@marybalya2371 2 месяца назад
Ulizia maswali siyo kuruka ruka kwa hofu Fulani.
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 2 месяца назад
Watz ? Pongenezi polisi na jeeshi pamoja na ulinzi watz hivo wanavofanya kazi vizuri kwa kulinda amani na usalama watz vijana wa chadema na viongozi wawo lengo lao nikuiharibu nakuleta vita na vurugu tz kama ilivio sasa hivi kenya ulinzi woote watz ! endeleeni kwa Kazi nzuri kwa sababu ya amani na usalama
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 2 месяца назад
wewe malaya itakuwa baba yako ni dalali wakuiuza tanganyika
@ProsperUlungi
@ProsperUlungi 2 месяца назад
Akili za kike
@AndrewShiratu
@AndrewShiratu 2 месяца назад
Jeshi la police limekiwa na tabia kama ya fisi.fisi akishika nyama hachii.mpaka kelele za mbwa mwitu zikizidi ndo anaachia huku akiunguruma.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 месяца назад
ujinga,ujinga tu jinga haliwezi kuchoma picha ya mh raisi halafu mnamsifu eti kafanya jambo jema!!mnachochea uvunjivu wa amani,na hakuna uhuru usiokuwa na mipaka!! Nyie mnachochea uvunjivu wa amani!kwa kisingizio cha uhuru demokrasia!!
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 месяца назад
Kuna watu wanatekwa na kuuwawa hakuna hatua ya haraka inayochukuliwa! Ukiwa mpumbavu unaweza kuona thamani ya picha kuliko watu.
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud 2 месяца назад
Picha nini ww yote hayo yanatikana na kutowepo kwa utawala Bora
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 месяца назад
Huyu Hana utambuzi. Mwanadamu ni nini? Hata Yeye mwenyewe hajijui tofauti aliyopo Kati yake na mnyama kama mbuzi. Tuheshimu utu jamani tusipuuze utu wa mwanadamu. Tatizo hilo halituachi salama. Damu za watu ni mkosi mkubwa taifa. Tusicheke na hilo atulindi amani bali kido kidogo tunaiweka mashakani.
@JofreySanga-lu8pn
@JofreySanga-lu8pn 2 месяца назад
Tukiwapotezaaa... police msiwatafute manaake Kuna watu wanawapotezaga police inawatafutaga..ila tukiwapoteza Hawa police msiwatafute lumber wao ndio wanapotezaga watu. Police ilibidi wa anzie hapo
@fredtarimo1738
@fredtarimo1738 2 месяца назад
Dx
@TimRajabu
@TimRajabu 2 месяца назад
Mimi nawashauri vijana wenzangu awa wana siasa niwahongo wasitudanganye kuwa ukisoma selekali itakutengenezea ajira kikubwa tujifunze kazi za vitendo uweze kujiajiri
@emanuelnisetas7510
@emanuelnisetas7510 2 месяца назад
Nikwel ila lazima watuekee miubdombinu rafiki ilituweze kujiajir
@ramadhanichuma7925
@ramadhanichuma7925 2 месяца назад
Akili huna hatakama umejiajiri kama mazingira sio conducive utapaka rangi upepo 2
Далее