Тёмный

MCH HANANJA ATOA NENO KUHUSU MANDAMANO YA CHADEMA, WATU KUPOTEA NA TABIA ZA KI "P DIDDY KWA DIAMOND" 

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Подписаться 223 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

HUYU HAPA MCHUNGAJI HANANJA AKIZUNGUMZIA KUHUSU MAANDAMANO NA TABIA MBAYA ZA KIJAMII ZETU SIKU HIZI KUSABABISHA MAJANGA KWENYE JAMII

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@sylvesterkalagila4459
@sylvesterkalagila4459 9 дней назад
Mmmh! MCHUNGAJI HUYU ASIKILIZWE SIO KICHAA! Kauli zake ziko urari-balanced. Hamung'unyi maneno wala hatafuti yakunena/kuzungumza.
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 9 дней назад
Kweli tunaona vijana wengi wasomi ila maisha hawana , hivyo kuna wakati watachoka maana wana waswali mengi yasiyo na mtu wa kuyajibu. POINT MUHIMU.
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 9 дней назад
Ukweli mchungu
@NdayishimiyeLookman-g3w
@NdayishimiyeLookman-g3w 9 дней назад
Kweli kbc
@simonnjovu586
@simonnjovu586 9 дней назад
Rum. 13:1-mamlaka ni mfumo na siyo mtu. Serikali inatakiwa kuitii Katiba iliyopo kwa wakati huo hata kama kiongozi mkuu hakubaliani na baadhi ya mambo yaliyomo humo ni lazima aitii. La sivyo kufanyika mabadiliko ya Katiba na siyo kutumua amri zake.
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 9 дней назад
HUYU JAMAA ALIPASWA KUWA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 9 дней назад
Kanisa ni hospitali ni kweli❤
@nozesybafikege8417
@nozesybafikege8417 9 дней назад
Uko sahihi Ndugu Ubarikiwe
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 9 дней назад
Huyu jamaa namkubali sana Wakosto wange mwelewa huyu jamaa wange kuwa na kafaida
@yassinm69
@yassinm69 9 дней назад
Tatizo mhalifu ukimpa upenyo wa kupita atakushambulia .
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 9 дней назад
Miaka ile kulikuwa na maandamano Julai mosi kila mwaka al-maarufu kama matembezi ya mshikamano. Tulikuwa tunahamasishwa tuandamane. Leo mambo yamebadilika tukitaka kuandamana tunakatazwa!
@jumasaghida5492
@jumasaghida5492 9 дней назад
Safi sana mch
@samxx411
@samxx411 8 дней назад
Mie muislam ila huyu mzee mara nyingi husema ukweli tofauti na wengine
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 9 дней назад
Huyu ni mchungaji wa kweli🎉❤
@IsmailMjeshi-y6d
@IsmailMjeshi-y6d 9 дней назад
Namkubali sanaaaaaa, anasema shetwaaaaniii😅😂😂😂
@rabaniAmri
@rabaniAmri 8 дней назад
Nikweli sahihi kambisa❤
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 9 дней назад
Points 👉
@suleimansamweli7316
@suleimansamweli7316 9 дней назад
Shetwani😂😂😂😂😂
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 9 дней назад
Sijawai kutoa kasolo kwa neno lako humng^nyi maneno
@germanusmtono6352
@germanusmtono6352 9 дней назад
Fikra tunduizi
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 9 дней назад
Mchungaji msema kweli
@AllyUliza
@AllyUliza 9 дней назад
Viongozi wachukuwe madini hayo.
@MakuoeJafary
@MakuoeJafary 5 дней назад
Nikukumbushe kilichosababisha wasitishiwe maandamano ni Neno Samia masti go
Далее
очень грустно 😭
00:12
Просмотров 71 тыс.
ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?😁​⁠​⁠@osssadchiy
00:20