Тёмный

Mch Moses Magembe - MPINGA KRISTO NA UTAWALA WAKE | MAFINGA 07 

Rev Moses MagembeTv
Подписаться 32 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Siku ya saba Mkutano wa Uponyaji na Miujiza Mafinga-Iringa chini ya Mch Moses Magembe.
Ujumbe: MPINGA KRISTO NA UTAWALA WAKE
Andiko: UFUNUO 17:9-11, 13:1-18
Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
Tarehe: 13.08.2023

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@SAAYAUAMSHOULIMWENGUNI
@SAAYAUAMSHOULIMWENGUNI Год назад
Unatubariki SANA baba,, MUNGU bado anamasalia Tanzania
@catherinenestory9514
@catherinenestory9514 Год назад
Baba angu Mimi naitwa ngosha Japhet siku Moja nitakuja kumshukuru Mungu,maaana tangu nianze kukufatilia aaah!!!! Sio Mimi yule maana nami ni mzaliwa wa shinyanga bariadi ruguru jineli kwa kweli kama unavyojua maisha na Mira zetu ni Neema tu Baba,Sasa Kuna mtu nilikuwa nafundisha habari za unyakuo kwamba Kanisa litaondoka kwa kusitukiza lakin wanasema eti YESU anakuja wazi kwa ushindi lakin Mimi najua atakuja kama mwivi na badae atakuja kama mfalme Mimi nakupa mzee wangu hivyo huwa nachukua sim ya mama ili nione umefundisha nini Leo najua tuko mafinga
@jumbemakindi5582
@jumbemakindi5582 Год назад
Ameen mungu akubalini sn baba angu
@JohnKapinga-wo1ow
@JohnKapinga-wo1ow Год назад
Amina baba Mungu aendelee kukutunza na kukulinda na kwasasa injili kama hii ndio inayotakiwa
@bumikasege3088
@bumikasege3088 Год назад
AMEN mtumishi wa MUNGU, HAKIKA NEEMA YA MUNGU IZIDI KUTUFUNIKA TUISHI MAISHA YA UTAKATIFU
@anordicreophasi
@anordicreophasi Год назад
Amina baba Mungu atusaidie
@NicholausMbalani-u5k
@NicholausMbalani-u5k Год назад
Bwana akutunze salama mchungaji
@mirindiabeli3195
@mirindiabeli3195 Год назад
Baba Naku fataka sana ,na nime farijiwa na mafundisho toka kwenu.ila kuna kitabu ume andika sijuwi tunaweza kuipata namna gani.Kanisa la kweli.
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Год назад
Amina Baba Mungu akubariki Sana 🙏
@ShukuruHangi-re3gs
@ShukuruHangi-re3gs Год назад
Amen amen 🇦🇺 Mungu akubariki baba
@catherinenestory9514
@catherinenestory9514 Год назад
Baba Mungu akubariki sana
@SengaLukomya
@SengaLukomya Год назад
Amina
@Yona-h1f
@Yona-h1f Год назад
Amen ubarikiwe sana mchungaji
@kapingalucy2707
@kapingalucy2707 Год назад
Amen
@chungabrand9838
@chungabrand9838 Год назад
Asante
@brisonchiniali
@brisonchiniali 6 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@liberiuslaurian1908
@liberiuslaurian1908 Год назад
Sema baba
@danielnyabungi693
@danielnyabungi693 Год назад
2Wathethalonike 2:1-3 Basi ndugu tunakusihini kwa habari ya kuja kwake bwana yesu kristo na kukusanyika kwetu mbele zake kwamba msifadhaishwe upesi hata kuiacha Nia yenu Wala msisitushwe kwa roho Wala kwa neno Wala kwa waraka uliodhaniwa kuwa ni wetu kana kwamba siku ya bwana imekwisha kuwepo mtu yeyote asiwadanganye kwa njia yoyote maana haiji isipokuwa Kwanza ule ukengeufu akafunuliwa yule mtu wa kuasi,mwana wa uharibifu.
@danielnyabungi693
@danielnyabungi693 Год назад
Kanisa likinyakuliwa Kuna hekima gani ya inahitajika kumgundua mpinga kristo?
@annkim2690
@annkim2690 Год назад
🤣🤣🤣baba Yohana leo umenichekesha kweli
@musumijohn7646
@musumijohn7646 Год назад
Amina
@mastorymlilo009
@mastorymlilo009 Год назад
Amen
Далее
Mch Moses Magembe -  | SUMBAWANGA 04
2:27:24
Просмотров 806
Авто уровни Happy Glass level 604 - 606
00:49
Mch Moses Magembe  - FALME KUU DUNIANI | MLOWO 05
2:44:08
Mch Moses Magembe - UKUU WA YESU KRISTO | SUMBAWANGA 03
2:22:46
Mch Moses Magembe  - KITABU CHA UFUNUO NA KUTIMIA KWAKE
2:28:51
Mch Moses Magembe  - KUMUONA YESU KATIKA UTUKUFU WAKE
3:10:51
Mch Moses Magembe -IBADA YA KWELI | SUMBAWANGA 01
1:40:04