Kwa kila anayesikia mahubili kama haya mwenye ufahamu wa kutosha atajipambanua afahamu maneno ya manabii Yana nyakata ndio Sasa tuyatambue maneno ya yesu kristo na nyakati zetu tumutukuze mungu
Hii ndio injili ninayopenda kusikiliza, injli za mafanikio ya kimwili zimenichosha, kwenye injili ya namna hii itanifanya niwe nakufuatilia sana mtumishi Bwana Yesu Kristo akuzidishie marifa yake
Mbona kama msabato huyu!!? anahubiri ujumbe wanaouhubiri wasabato kabisa, ni gomba za mama Ellen g White hizo!! Duh! Aisee kumbe kweli ya Mungu inabaki kuwa kweli tu, Barikiwa mchungaji endelea kula gombo hizo lisha na kondoo wa bwana hao Ipo siku watawakubari wasabato kuwa ndo waliobeba kweli ya Mungu
@@magenierick5939 Wamwabuduo halisi watamwabudu Mungu katika roho na kweli, kilichoandikwa na Mungu katika biblia kitafundishwa na kuwafikia watu bila kujali madhehebu yao
Si dans chaque pays on pouvait avoir 10 hommes de DIEU comme Moses Magembe la planète terre changerait a 70 % . Soi louer CHRIST d'avoir ces exceptions.
Huyu Mchungaji amefika karibu na kiwango cha juu cha imani. Ubarikiwe sana. Mimi ni msabato naishi Canada, nimefarijika kuona kuwa Mungu ana watu wake wengi makanisa mengine. Majina ya makanisa ni label tu, SDA, AGT n.k kubwa ni imani iliyijengwa katika ukweli wa neno la Mungu. Pengine wewe ni wa kwanza kwa makanisa ya J2 kufundisha kwa usahihi hivi Daniel 7 (ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-6KWaWV8eY9o.html). Mungu akuinue zaidi ili uinue na wengine wengi. Asante kutuongoza katika toba ya kweli.
Bwana yesu lisaidie kanisa lako tupitishe katika njia zako ili siku utakapo rudi kulichukua kanisa lako tuwepo, naomba ndugu zangu tuishi katika mapenzi ya mungu mana nyakati izi ni za mwisho kila mmoja amtafute mungu kwa bidii.
Hii ndio Injili inayohitajika sana nyakati hizi ,kuliweka Kanisa tayari kwa UNYAKUO . Bwana Yesu akubariki Mch Moses Magembe kwa ufafanuzi mzuri Wa somo hili na kwa namna unavyolihubiri.Nimejifunza na nimebarikiwa
Hallelujah sifa na utukufu ni vyake Mungu YESU atusaidie tumuishie,asante sana baba kwa injili isiyo na kupepesa macho, injili ya kishujaa iletayo wokovu oooh Hallelujah
THIS IS THE TRUE MESSAGE THE WORLD SHOULD HEAR,PREPARING THE CHURCH FOR THE SECOND COMING OF JESUS, IAM BLESSED TO HEAR THIS MESSAGE. IAM GETTING YOU CLEAR FROM NAIROBI-KENYA
Un Niko mashariki DRC,ni ajabu kusikia mahubiri ya mzee Magembe, si ajabu hâta mahubiri Mises Kulola ninayezania kuwa baba yake,ilinibariki sana. Mungu akuongezea maisha
Hata mimi nimemkubali mafundisho yake yameniongezea Imani tunakiu sana kulijua neno la mungu mungu akutunze ili uendelee kumuhubiri kristu neno lake lisonge mbele na kuokolewa
Mataifa mengi Afrika zikiwemo Afrika mashariki kutoa.Tanzania viongozi wakiroho wamesimamaimalakutetea kweli yaMungu hasa nchi za Afrika magharibi nakusini na kati.
Bwana wetu YESU kristo asifiwe # ombi kwa kitengo cha habari tunaomba mtufikishie taarifa kwa baba mchungaji juu ya kufundisha vitabu vya ezekiel na zakaria
Ubarikiwe sana Mchungaji, tunachunga ukweli kuusu sabato ya kweli ni ipi ijuma pili au Jumamosi, kwa sababu kuna Wakristo wanao sema siku alio fufuka Bwana wetu YESU KRISTO ndiyo sabato ya kweli, lakini tunavyo juwa sabato ya kweli ambayo iko katika Biblia ni siku ya juma mosi.
@@magenierick5939 Mchungaji ana hubiri Injili vizuri lakini kuusu sabato ya kweli ajawayi kusema. Mimi ni wa kanisa la PENTECOST lakini nilipo juwa ukweli kuusu siku ya juma mosi ndiyo sabato ya kweli nimekuwa huru. Ingekuwa vizuri sana wa chungaji waubirie watu ukweli kuusu sabato ya kweli.
@@jeanefelix70 wachungaji wengi wanatambua ukweli wa sabato ya kweli lkn wanapindisha maandiko au wanashindwa kuwambia waumini ukweli kuhofia watakosa ulaji. Ila Mungu azidi kuwafumbua watu macho ili wasome Biblia na kuielewa.
Ubarikiwe baba, najiuliza mbona kanisa halihubiri injili kama hizi zinazowaandaa kuingia majira mapya. Watumishi wengi ni habari za kupata majibu ya matatizo yao ambayo hayawezi kuwaingiza ktk Ufalme wa Mungu. Hard gospel in a hard season.
Amen and Amen 🙏!! The message that’s relevant right now is the coming back of our Lord and Savior Jesus Christ son of the most high God!!! His coming back is eminent and the body of Christ aught to discern it! Change your messages from prosperity to putting our houses in order for Our Redemption draws nigh ! Luke 21:28!! Because in a very short time He who is coming will come soon and will not delay! Hebrews: 10:37! Let’s hold fast to our faith even in the face of persecution!!! I thank the Lord so much for this man of God!! How I love to hear him preach! The Full gospel with a holy zeal!