Тёмный

MCH. NDACHA ATOA SIRI ZA UKRISTO KUCHEZEWA NA WACHUNGAJI FEKI NA MANABII FEKI TOFAUTI NA UISLAMU 

SIMULIZI ZONE
Подписаться 220 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 116   
@sethngolo6558
@sethngolo6558 5 дней назад
Amen, barikiwa mtumishi wa Bwana!!
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 дня назад
Ndacha .... Namkubali sana huyu mwamba
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 5 дней назад
Mungu akutunze, akubariki na aibariki kazi aliyo kukabidhi.
@DanielMlelwa-p6w
@DanielMlelwa-p6w 5 дней назад
Huyu Ndacha sio wakawaida amechaguliwa na Mungu ana HUBIR injili ya kweli lakin bado watu tuna kimbilia Gizani heri yake Ndacha haubirie injili ya Bwana apate uzima wa milele amen❤🙏
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 5 дней назад
❤❤
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 5 дней назад
Injili ipi??
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u 5 дней назад
Injili iliyo nenwa
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 4 дня назад
@@AmmarSadik-x5u Wakristo hawana injili wana Bibilia.
@HellenaMky
@HellenaMky 5 дней назад
Amina barikiwa sana
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 5 дней назад
Shida ya wakristo wengi wanategemea miujiza ndio waamini na hilo Yesu alishalisema " kizazi kibaya Cha Zina chatafuta ishara
@NiyongaboRadjabu-z5q
@NiyongaboRadjabu-z5q 5 дней назад
@@nassorsharifu9837 kabisa br nisaidie hio Raini niisome
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u 5 дней назад
Kuna wakristo ambao hawaamin miujiza,ila hao wanao amini miujiza nni wale walio tabiriwa,kua wapo nasi lakin si wakundi letu
@joezeno8
@joezeno8 5 дней назад
Mwalimu Ndacha Mwenyezi Mungu akubariki 🔥🔥🙏🏿👍🏿💯💯💯💯💯
@williamjamanda8892
@williamjamanda8892 3 часа назад
God bless you mwalimu ndacha
@muznazahra455
@muznazahra455 5 дней назад
Ukweli kabisa Akili tunazo lakini hatuzitumii wengi wangejua M .Mungu ni mmoja❤
@nestoryfrancisco3528
@nestoryfrancisco3528 5 дней назад
Endelea kueneza injir mchungaj
@ginazngo4317
@ginazngo4317 День назад
Fisabi mwenzio kaenda pata kiti moto 😂😂
@LoezjosemwalapwaMwalapwa
@LoezjosemwalapwaMwalapwa 4 дня назад
Amén 🇲🇿🇲🇿
@YoaneMwepeli
@YoaneMwepeli 3 дня назад
Amen..amen..amen
@njuhinyararaofficial
@njuhinyararaofficial 5 дней назад
He gave us free will,to choose between life and death.
@muznazahra455
@muznazahra455 5 дней назад
Mchungaji dacha amesema vizuri sana AKILI NA UAMUZI AU IRADA..NA ALLAH SIYO MWENYE KULAZIMISHA..KAMA ALIVYOSEMA MCHUNGAJI ,NJIA YENYE HUDAYA NA DHWALALA...UWAMUZI UKO MIKONONI MWETU...❤
@erickagwe8841
@erickagwe8841 5 дней назад
Atakaye nionea haya mbele za watu, nami nitamuonea haya mbele za Baba yangu.
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 5 дней назад
Hata huyo ndacha mwenyewe feki hana lake moja
@user-hw3wn8ms6j
@user-hw3wn8ms6j 2 дня назад
💯💯💯👏👏👏
@basilejuma
@basilejuma 2 дня назад
Ndacha umenena ukweli, wale wanasema we ni mwongo ndo wanabi waongo waliyo tahabiriwa Kwa bibilia.. endelea kuendza injili ya Mungu
@richardodoyo7558
@richardodoyo7558 4 дня назад
Kwakweli siku za mwisho zimekaribia YESU anarudi siku sinyingi wa sabato ndyo wana wa MUMNGU walio baki duniaani
@julesngama2508
@julesngama2508 День назад
Uyu jama ata na yeye aja mujuwa Yesu ni Nani. Ukiwa na roho mutakatifu njo Uta mujuwa Yesu ni Nani. Yesu ni Mungu ame vaaa mwili . Sasa mafundisho ya Yesu mwenyewe Ana sema wako na macho awaone na wako na masikio awa sikiye .
@aminiahmad-i9q
@aminiahmad-i9q День назад
Hiyo ndio maana uisilamu dini ya haki
@YonaNgambi-m6m
@YonaNgambi-m6m 3 дня назад
Mutumishi Mii nakufata saana ubalikiwe na bwana Mii muzambia nayitwa Yona ng'ambi
@PeterMashiku-qx7xw
@PeterMashiku-qx7xw 5 дней назад
Islam hawakumuua Yesu maana waliomuua Yesu ni watu walioishika sabato acha kupotosha moja ya Vitu vilimuua Yesu ni sabato
@Kutaila99
@Kutaila99 5 дней назад
Kwanza yesu hakuuawa😊
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 5 дней назад
Unatuletea hapa hadithi za msikiti kutokuwawa kwa yesu kunapatikana TU kwa Quran lakini vitabu vyao kale yesu alikufa msalabani
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 5 дней назад
​@@michaelamiani6755Aende na uko hata Quran watafsri wengi wa Hadithi wanakubali yesu aliuawa n vile hasomi, tena dini ya kishetani kama Islam hata si ya kuzungumzia mbele ya watu labda maiti
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 5 дней назад
@@filexbenefits5612 Kabisa hawana lolote la kuamboa watu comedy ndio wanajua
@presenttruthloudcryforthel5338
@presenttruthloudcryforthel5338 5 дней назад
Yesu kwani ni siku???mmepotea nyie Yesu sio siku,,sabato bado ipo Mungu aliibariki na kuitakasa,,Sunday law ikipitishwa ndo mtaja kuja kuelewa nawaombea mpate nuru mapema maana itakua kati ya Amri ya mwanadamu dhidi ya Amri ya Mungu
@VIJANAWAYESU12
@VIJANAWAYESU12 5 дней назад
Mch ndacha uko saa hii katika kz ya BWANA
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 5 дней назад
Hamna mchungaji hapo ni Malaya tu huyo
@MeshackKaboja
@MeshackKaboja День назад
Ndacha umejaa ukweli wamungu
@ginazngo4317
@ginazngo4317 День назад
Waislamu muwe makini na Ndacha na wafuasi wake
@MesaIdd-dn3vt
@MesaIdd-dn3vt 2 дня назад
Wow!!! Ndacha kumbe hta wwe hua una wadanganya waumini wa kikristo
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz День назад
Liseme so kuongeatu
@MesaIdd-dn3vt
@MesaIdd-dn3vt 2 дня назад
So wa kristo wazi mwadanganywa na bado mnaendelea kuwafuata
@erastonrugabao
@erastonrugabao 4 дня назад
Ndacha ni mwalimu wa kweli ingeliwezekana nipate number yake ya sim kwa kusumuliya naye kizaidi.
@user-wr3ho1ie9k
@user-wr3ho1ie9k 5 дней назад
kweli ndaca unasema ukweli
@jumahenriquesgeraldo9837
@jumahenriquesgeraldo9837 5 дней назад
Yeye ndacha mwenyewe ni ajibu tupu. Anawapa watu habari ya Mungu halafu anawageukia na kuwaoapa za Yesu kristo. Munazani anafundicha nini kama sio upagani? Musiwe na ujinga!
@leonardadd
@leonardadd 5 дней назад
Kwa uelewa wa dini, naenda ukasomee kitabu Cha imani,, Wacha kutumia akili vibaya
@johngikiru5400
@johngikiru5400 5 дней назад
@@jumahenriquesgeraldo9837 toa ushahidi
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 5 дней назад
Alifundishwa Hawa ni wayahudi waliobaki zama zile za yesu
@ginazngo4317
@ginazngo4317 День назад
Yaani wewe nihatari sana unampanga mtu anapangika 😢😢😢😢 ukesha unajileta 😂😂😂
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 5 дней назад
Wewe ndio machristo wa uongo mnafiki msabato unaabudu siku
@ejensonjohnson5209
@ejensonjohnson5209 5 дней назад
Soma maandiko acha maneno,ukweli mkiambiwa mnachukia
@leonardadd
@leonardadd 5 дней назад
Ili washawishike, tangazeni wale wanaobadilisha Uislam kwenda ukristo
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 5 дней назад
Wawatangaze wako wapi?! maana kila siku wanazidi kusilimu kutokana na ubabaifu unaotokea makanisani, chunguza mwezi wa Ramadhani ukiingia wanasilimu wengi ajabu... na haya yote yanatokea kutokana na kuwepo kwa utitiri wa matapeli wanaoutumia ukristo vibaya kufanya mambo ya hovyo ili kutapeli waumini wao.
@samxx411
@samxx411 5 дней назад
Uislamu unamtumia Ndacha kama ubao wa kufundishia, sio lazima yeye asilimu lakini wenye akili zao wengi wakishajuwa ukweli wanasilimu na wataendelea kusilimu kwa uwezo wake Allah Ndacha analijuwa hilo
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 5 дней назад
Wewe hujui acha kutetea muhamadi aliyezaliwa kama wewe
@samxx411
@samxx411 5 дней назад
@@michaelamiani6755 kwani yesu alizaliwa vipi si alizaliwa na Mariam, alikaa tumboni miezi tisa, akazaliwa kupitia uke wa Mwanamke kama Mimi na wewe.
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 5 дней назад
@@samxx411 Kando na kuzaliwa na Mariam unajua jingine ama ni hayo TU ambayo Quran inafundisha kado kabisa na Bibilia
@nasserm.nasser5087
@nasserm.nasser5087 2 дня назад
Badala ya kufanya namna ya kuondoa upuuzi na utapeli ktk ukristo, ndacha anaulink uislamu ktk utabiri wa Yesu. Nenda kajarihu kuhubiri chochote msikitini ambacho hakina dalili kutokai ktk quran au hadithi uone utakavyotimuliwa msikitini
@elgringo8592
@elgringo8592 5 дней назад
Mwandishi ili upate maswali magumu soma biblia
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 5 дней назад
@@elgringo8592 ahsante kwa ushauri mnzuri
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 5 дней назад
Ndacha wasomali hawamkatai Yesu wanakataa ukristo Mana wao hawako chini ya sheria wanaishi wapendavyo sio vile Mungu anataka
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 5 дней назад
Kwa hivo wamekataa naagizo ya Yesu
@rejim2231
@rejim2231 5 дней назад
Unafki umeshika hatamu, msimamo na ukweli hauna nafasi kwa walio wengi.
@DavidMatata
@DavidMatata 5 дней назад
Dah! Huyu mchungaji anapinga utatu, lakini jambo la kushangaza amekubali kubatizwa kwa jina la Baba na Mwana na Roho mtakatifu!!
@Mtumisi
@Mtumisi 5 дней назад
Sasa jina la baba, mwana na roho mtakatifu ni utatu shida elimu. Utatu ni mungu baba mungu mwana na mungu roho bali kuna mungu baba, mwana wa mungu na roho wa mungu. Umeona ni mwana wa mungu bali si mungu mwana
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 5 дней назад
Huyu ndacha ni mgoni sana anapenda sana mademu
@Juniorjacob-le1rr
@Juniorjacob-le1rr 4 дня назад
Kwani wee ni demu
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 4 дня назад
@@Juniorjacob-le1rr wew itakuwa shoga kama ndacha
@FannyLopez-q1r
@FannyLopez-q1r 2 дня назад
Umekuta na maman yako
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 5 дней назад
Mlmungu aliposema hakuna mtume wala nanbii bàada ya mtume Muhammad S.A.W mlibisha,nakushangaeni mnamkataa mtume wa ukweli mnawakubali mitume ya uongo,binaadamu abadan huwezi kupingana na aliekuumba na ukabaki salama
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u 5 дней назад
Mudi ni mtume wa uongo hakuna mahali biblia inamtaja mungu
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 5 дней назад
Huyu nae , eti mhammad ,
@Anonymous-w9v-i1p
@Anonymous-w9v-i1p День назад
Eti mtume wa kweli😂😂😂🤣🤣 na machafu yote yale.... kuchinja wayahudi, kuoa mtoto, kupigana mavita, kuchukua mateka wa kingono na mengine mengi..alafu umuite eti mtume. 😂😂 Oya! kweli ujinga mzigo.
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u День назад
@@ZayyanaBamuni mm nachojua aje hata mohamed na mashetan wote alio wasilimisha siwez kumkubali
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni День назад
@@Anonymous-w9v-i1p mmejua kulishwa matango pori,poleni
@user-qo2xd3hb8l
@user-qo2xd3hb8l 5 дней назад
Kwa ivyo roho mtakatifu wako ajui miujiza
@pwezapwezafelix7222
@pwezapwezafelix7222 5 дней назад
Wailam hawankatai yesu wanakataa ya kumuita mwana wa mungu au mungu ss tunankubali kwasababu hadi kwenye kuran yupo anaelezwa matendo yake sasa nyinyi mnanyanganya cheo cha mungu munampa yesu hamuoni kua ni batili mungu mwenyewe amekasirika kama hamjui
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 5 дней назад
Kumbuka wanaokataa yesu kama mwana wa mungu pia ni majini Ila Majini ndani ya Qurani Yana kizazi hicho kizazi chatoka wapi
@AbubakarKi
@AbubakarKi 3 дня назад
Ww ndacha ni uwongo wachana na kupoteza kondo ya MUNGU
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz День назад
Hata akisema majini ni waislamu mtakataa lkn kasoma
@SaidAlnaamani-z1o
@SaidAlnaamani-z1o 5 дней назад
Kristo siyo Dini ya mungu ndio maana wana ichezeya lakini hujaskiya Dini yaki islam inachezewa
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 5 дней назад
Hivo ndio Muhamadi alikudanganya
@SurprisedBreadLoaf-bo3ze
@SurprisedBreadLoaf-bo3ze 5 дней назад
Amedaganywa na Mohammed hivyo
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 5 дней назад
Waislam ukuwagusa wanakuua na wanajaziba, sio hauchezewi
@DifaRobelindo-cj2ij
@DifaRobelindo-cj2ij День назад
Dini ya aki ip ni wislam ?. Wislam ni Dini ya wauwaji Ali shababe Wana uwa watu msombij
@user-qo2xd3hb8l
@user-qo2xd3hb8l 5 дней назад
Ilikuaje bwana yesu asema kutatokea makristo wa uongo na yeye akua mgiriki?
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 5 дней назад
Lazima ichezewe kwa sabb sio dini ya kweli ni mpango wa wanaadam na kama ingekuwa ya Mungu basi tangia walipoanza kuuchezea hadi sasa ingekuwa tayar washaadhubiwa na mwenye dini ila hakuna kitu kama hicho ukristo ni upagani tu wala sio dini ya Mungu.
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u 5 дней назад
Dini ya kweli niipi sasa,au ni hii ya kuabudu jiwe
@Juniorjacob-le1rr
@Juniorjacob-le1rr 4 дня назад
mohammed mpenda ngono aliyebaka mtoto wa miaka huu ndio ukweli kweli😂😂😂😂😂😂😂😂 poleni nyie mnayemfuata aliye kaburini yaani marehem MOHAMMED 😂😂
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 4 дня назад
@@AmmarSadik-x5u Dini ya kweli ni hapa 3:19 QURAN. nenda katafute dini inayoabudu mawe na jua na kumfanya kiumbe Yesu kuwa Mungu kama sio dini zenu mulizotengenezewa na WAZUNGU
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 4 дня назад
@@Juniorjacob-le1rr Alikuwa mwanao hadi ambake??? Nyie tunawajua wazee wakupotezwa na wachungaji kusoma hamutaki kazi kucheza ndombolo tu.
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 4 дня назад
@@Juniorjacob-le1rr Hivi nikuulize swali kwa mujib wa Bibilia yenu kuna pahala panasema binti huolewa akifikia umri fulani??? kama hakuna jiulize kwa nini kitabu chenu hakijataja na kwa nini useme alibaka hali wewe sio mzazi?? acha chuki soma maandiko na uyaelewe.
Далее
Grand entretien avec Dominique de Villepin
1:03:33
Просмотров 498 тыс.
I Spent 24 Hours With The World's Tallest Man!!
15:07
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25