Тёмный

MCHOME MAPOVU ACHAFUKWA AWESU AWESU KURUDI KMC/TUMESHINDWA KESI/TUJIFUNZE KISAJILI KAMA YANGA 

Scope Media
Подписаться 70 тыс.
Просмотров 49 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@allenmahundi
@allenmahundi 2 месяца назад
Waambie kaka japo watachukia ndiyo ukweli
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 2 месяца назад
Watakuelewa tu😂😂😂
@HassanSeif-mh6oh
@HassanSeif-mh6oh 2 месяца назад
😂 😂😂😂
@JosephNgasa-j7l
@JosephNgasa-j7l 2 месяца назад
We ni shabiki mzuri ambaye unaweza kuisaidia timu yako,viongozi wakasikia na kubadilika siyo wale mashabiki wanayoipaka timu mafuta kwa mgongo wa chupa huku inadidimia wanashadadia kwa kushipaza shingo,kama wale kina kisogo,gb24,na mzee mmoja hivi hawa hawawezi kuisaidia timu,wao wanadhani ubishi ndo kuisaidia timu
@JohnKamtoni
@JohnKamtoni 2 месяца назад
Kiukweli wawe makini
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 2 месяца назад
Huyo GB 64 hilo jina alilipata wapi? Maana nimesikia anasema chombo cha habari kitakachomuhoji Mchome anaruka nacho, hasiporuka na hawa basi atakuwa robo GB
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 2 месяца назад
Simba imefanya makosa kuvunja team Wangeongezea tu wachezaji Tumu mfumo wake hata ukipata foward mkali atachezaje Team isiojipanga ...ni shida kabisa Walifanya makosa watajuta sana
@CastoJonas
@CastoJonas 2 месяца назад
big up san broo mchome
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 2 месяца назад
Jamaa ati ni Kibu aliechangamka😂😂
@EllyJoseph
@EllyJoseph 2 месяца назад
Kwani huyu jamaa hafai kuwa semaji la simba si wampe nafasi ndani clabu inaonekana anaujua Sana mpira
@NondoRamadhani
@NondoRamadhani 2 месяца назад
Nakukubali sana broo mpira hauhtaj ujanjaujanja wala uongouongo unahtaj uwekezaj wa kweli
@MsomiMashaka-wk2cj
@MsomiMashaka-wk2cj 2 месяца назад
Wewe kuma tu siuwe yanga achaunafiki
@Sunshine0222
@Sunshine0222 2 месяца назад
😮
@ahmadmasoud1350
@ahmadmasoud1350 2 месяца назад
Wewe washauri bab ako na MaM ako wakiwa kitandan
@AyoubGeorge-n6o
@AyoubGeorge-n6o 2 месяца назад
Nyie mnaotukana ndio hamna akili uyu jamaa anaongea ukwer kabxa ila kwakua hamna akili ndio hamjui uyu jamaa anajua
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 месяца назад
Mo pesa hanaa😂😂😂
@AminaMsimbe
@AminaMsimbe 2 месяца назад
Hahahahaha mchome utanivunja mbavu
@YasinShaban-c8k
@YasinShaban-c8k 2 месяца назад
😂😂 mpaka waseme
@officialchalema657
@officialchalema657 2 месяца назад
Et anafanana na kibu 😂😂😂
@hamidjailos8171
@hamidjailos8171 2 месяца назад
Mbona mimi sipati sauti ya Mchome sasa hivi?
@alfredbowa9677
@alfredbowa9677 2 месяца назад
Mnyama anasajili Marefa wachezaji wanini
@AbdulRashidi-q1q
@AbdulRashidi-q1q 2 месяца назад
Kaka unawashauli Sana Yan ap wambie ukwl
@JamesUlaya
@JamesUlaya 2 месяца назад
Ahahahha
@DaudiKasese
@DaudiKasese 2 месяца назад
Mwamba mpira unaujuwa
@imranulotu8768
@imranulotu8768 2 месяца назад
Kuna siku watakuelewa tu endelea kuwa dozi
@aiyonleedeayo4321
@aiyonleedeayo4321 2 месяца назад
MTU WA MAANA KABISA
@ashuraally9064
@ashuraally9064 2 месяца назад
Mwisho wa ubaya ni aibu mungu atakulipa hapa hap duniani huwo unafiki wako unaotumwa kuchafuwa club za watu
@TabiaMwaisumo-ss7pz
@TabiaMwaisumo-ss7pz 2 месяца назад
Yaan wewe ndo pumba kabisa kama ujui mpira nenda kafatilie lede shabiki maandazi wewe mfyuuuu
@JoshuaChelesi-zz9yi
@JoshuaChelesi-zz9yi 2 месяца назад
Hakuna unachojua acha ushabiki maandazi mchome anaongea fact kabsa yaani anaongea mpira
@JoshuaChelesi-zz9yi
@JoshuaChelesi-zz9yi 2 месяца назад
Hakuna unachojua acha ushabiki maandazi mchome anaongea fact kabsa yaani anaongea mpira
@NeemaAkyoo-s4s
@NeemaAkyoo-s4s 2 месяца назад
Boka hajafeli wewe unae hoji boka amenunuliwa alikuwa na mkataba na alikuwa acheza had team ya taifa na ndo maan waliweka sana ugum kumwachia mpka I T C Yake ilicheleweshwa
@mackchacha4114
@mackchacha4114 2 месяца назад
Huyu jamaa anaongea ila hana point ya maana, tuseme kama simba imesajil wachezaj walioshindwa kuisaidia timu zao kuchukua ubingwa. Je ni mchezaj gan aliyeisaidia timu yake kuchukua ubingwa na amesajiliwa yanga ni yupi?????
@suleimansalum4049
@suleimansalum4049 2 месяца назад
Tatizo namba kaka
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 месяца назад
Uzuri wa Yanga haijavunja kikosi, kwa hiyo ni rahisi mchezaji mpya kuingia ktk mfumo hata kama alitoka ktk timu mbovu, kikubwa awe na uwezo tu. Lakini timu yote ikiwa mpya halafu baadhi ya wachezaji wanaocheza sehemu muhimu wakawa magumashi hapo ndipo kwenye balaa.
@rosemaryKalega-c5s
@rosemaryKalega-c5s 2 месяца назад
Kama wameshindwa Kusajili wachezaji wandani wa nje wataweza,?
@subiramussa1428
@subiramussa1428 2 месяца назад
😂
@PaulModaha-p3b
@PaulModaha-p3b 2 месяца назад
Mlete baba yako aliefaulu msenge we unatafuta kick kupitia jezi ya simba
@fredylucas2484
@fredylucas2484 2 месяца назад
Mpaka useme lile goli Sundown la Aziz Ki lilikua halali
@BakariSaid-d7i
@BakariSaid-d7i 2 месяца назад
Toa hoja matusi ya nini
@tnumber7556
@tnumber7556 2 месяца назад
We we mnafiki tu
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl 2 месяца назад
Mchomeee. Mapovu. Endelea. Kutoa. Somo. Ipo. Siku. Hao. Ndugu. Zako. Watakuelewa. Tu. Wacha. Tu. Wakuchukie. Akina. Kisugu. Na. Shoga. Yake. Gb64. Mwishowe. Watakuelewa. Tu
@ashuraally9064
@ashuraally9064 2 месяца назад
Hakuna anaelazimishwa kuipenda timu kaka we si uhamia yanga tuu mbn unakuwa km malaya
@MazoweaHashimu
@MazoweaHashimu 2 месяца назад
Utamuelewa tu mchome😂😂
@hassanmchwanga-dg9zr
@hassanmchwanga-dg9zr 2 месяца назад
Aaaaa😂
@FredricktheonestShayo
@FredricktheonestShayo 2 месяца назад
Usajili umeshafungwa kwani? nyie nyokomboooo nyote bahasha zenu hazimuondoi simba top6 africa adi utakapo jifungua mimba ya yanga
@AmerJuma-e1w
@AmerJuma-e1w 2 месяца назад
Ww bakia na top 6 yako hiyohyo , sisi tutachkua ubingwa wetu kila vikombe
@BuhulaNdamo
@BuhulaNdamo 2 месяца назад
Mwamba unajua unasema ukweli lakn ambao hawajui lazma wakosee
Далее
Страшная Тайна Светы Кемер !
33:04
ITZY 예지한테 AI 메이크업하기💖 #shorts
00:23
GB 64 KWA HASIRA AMVAA MCHOME, ANASEMA SINA AKILI?
20:24