Тёмный

MCHUNGAJI ALIVYO KABWA KOO NA DK SULLE, VURUGU ZA HOJA ZALINDIMA KWENYE MDAALO 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 82 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 296   
@taifaramadhan8684
@taifaramadhan8684 2 месяца назад
Alhamdulilah kwa Neema hii ya Uislamu.
@RajabuSefu-u3f
@RajabuSefu-u3f 3 месяца назад
Mashaalllah dr sule❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HgJjj-r5m
@HgJjj-r5m 2 месяца назад
Yesu sio mungu mungu hakuzaa wala hakuzaliwa
@benardnjoka5359
@benardnjoka5359 2 месяца назад
Onyango is a good teacher too
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 2 месяца назад
wakrist sijui wanatatizo gani vichwani,hivi Yesu akiwa Mungu aliyemtuma Yesu atakuwa nani??
@taifaramadhan8684
@taifaramadhan8684 2 месяца назад
ndo hapo sasa
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 2 месяца назад
@@salimchimwaga8384 wewwe aja kuelewa kimskitimsikiti kakangu
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 2 месяца назад
Hawa makafiri nikuwaacha tu
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 2 месяца назад
@@salimchimwaga8384 nyinyi mukaaje kusoma bibilia na kuelewa kimsikitimiskiti bro , mngekuwa na roho wa mungu aliye hai mungeelewa vizuri huyu yesu
@TonaAlbert
@TonaAlbert 2 месяца назад
Bibiliya sio yakwenu muyiaciye wakristo
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 3 месяца назад
shida waisilamu hawa roho wamungu kuelewa mambo yakiungu ni shida kwao kubishana nao nikaa kubishana nawatu wenye akili finyu
@NurdinBihame-oh4zx
@NurdinBihame-oh4zx 3 месяца назад
Matayo 26:36,imeeleza vizuri kuhusu yesu ni dini ipi na ni mtume wa mungu soma hiyo
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 3 месяца назад
@@NurdinBihame-oh4zx usisome bibilia kimsikitimsikiti jaribu kusoma kikanisakikanisa utaelewa kaka
@MrishoChoggy
@MrishoChoggy 2 месяца назад
Wakiristo mmejua kutengenezwa eti roho wa mungu ,kwahiyo wewe ukijiangalia unajiona una roho ya mungu wewe
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 2 месяца назад
@@MrishoChoggy kaka nilikuwa muisilamu lakini tangu niujue ukweli nilihama hiyo dini ju niyakupotosha watu walai
@omariSaidmoon
@omariSaidmoon 27 дней назад
Hawa wakenya hawajui kiswahili amefanyikamwili amejifanya mwili yesu siyo mungu
@Zulkamhaji
@Zulkamhaji 3 месяца назад
Jaman wakiristo eleweni kuwa mungu haonekan kama ulivokuwz ulivokuwa huxioni akili zako sasa inakuwaj mungu aonekane yesu alikuwa kama uyo ndacha sasa inakuwaje awe mungu jaman elewen na mudome pia mungu ni mmoja na si mwengibe ni Allah sw ndio mungu wa mashariki xote Yesu ni mjumbe wa Allah sw
@ImanNjogolo
@ImanNjogolo 14 дней назад
Nyeeeee.haya bwana yesu.tu
@EliazaruMuchuikairithia
@EliazaruMuchuikairithia 2 месяца назад
sawa kabisa mwalimu
@mercymjunior9684
@mercymjunior9684 3 месяца назад
Ndacha na Onyango na msomaji wenyu paulo Mungu awajalie umri mrefu nyinyi ni msaada mkubwa sana kwa walimwengu
@FaustineJustus
@FaustineJustus 2 месяца назад
Ipo siku mtakubali Kua ndie ila mtakua mmechelewa
@edithbrandom3011
@edithbrandom3011 2 месяца назад
Kweri
@HuzaimaOmar-p3z
@HuzaimaOmar-p3z Месяц назад
Yaa Allah wahifadhi viongozi wote wa dini na waislam wote amin
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 3 месяца назад
Sule wee unaespotosha nduguzo, were unamjua Yeah viziri sana ilaunajizingizia
@Mathieusinzinkayo
@Mathieusinzinkayo 28 дней назад
Nawapenda sana kwa vile mzungumzavyo.Sasa nauliza.Uyu mungu mnasihi ambaye anaikala ku kiti uyu ni mutu au entity?
@JacksoniZidoli
@JacksoniZidoli 2 месяца назад
Waislam mnatumarizia mb bure tu hamna ukwer wowote
@SaidSaigor
@SaidSaigor 3 месяца назад
Uislamu ndio dini ya kweli,,takbiiir
@CaltonMallya-zj6cp
@CaltonMallya-zj6cp Месяц назад
Ya kweli ya kuwapeleka wapi?😢
@CaltonMallya-zj6cp
@CaltonMallya-zj6cp Месяц назад
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe
@sarahmana2663
@sarahmana2663 3 месяца назад
Uyo pastor anawapiteza sana watu, yesu siyo mungu, muache wujinga
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 3 месяца назад
Ukristo na uislamu sio shida ila uyahudi ndio shida,
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 3 месяца назад
Waislam akili zao ndogo sana juu ya imani. Alaf kumbe wamepotoka ivo🥹
@abeidrashid2574
@abeidrashid2574 3 месяца назад
Kamulize mchungaji wako akuoneshe sehemu iliyoandikwa yesu ni mungu arufu utaona kiwango cha akili yako kina uwezo wa kias gani kunganuwa mambo
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 3 месяца назад
@@abeidrashid2574 Tatizo unakaza kichwa. Skiliza hii clip toka mwanzo majibu unapewa tena sio moja unapewa kwa vifungu. Saiv unataka nirudie tena. Nyie mmeulizwa maswali mnaruka ruka tu kama maharage yanachemka😀
@saudaumar3354
@saudaumar3354 3 месяца назад
wee ndio ndogo mlapanya soma bweha
@OsmanXossen
@OsmanXossen Месяц назад
Huyu yesu km ni mungu aliumba nini mnijibi niokoke leo mm
@LatifaHussein-c9c
@LatifaHussein-c9c Месяц назад
Yesu mwenyewe alisema muabuduni mwenyezi mungu mola wangu mlezi na mola wenu mlezi Lakini wakristo ni wagumu kukubali ukweli mnafata waliokufuru zaman
@danielkasau8747
@danielkasau8747 Месяц назад
Ndacha ni kiboko ya hawa hawa wajiga kweli
@HalimaPaskal
@HalimaPaskal Месяц назад
Kweli yesu ni mungu
@OmarysabatoMchele
@OmarysabatoMchele 13 дней назад
Hapana
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 3 месяца назад
18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua. Yohana 1:18 Biblia iko wazi inamtaja Mungu mwana
@legendaction202
@legendaction202 3 месяца назад
Na ww n mwana wa nan
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 3 месяца назад
@@legendaction202 mwana wa adamu
@ismailkasim9060
@ismailkasim9060 Месяц назад
Akajifanya sawa na baba yake
@RAZALOCHUMA
@RAZALOCHUMA 3 месяца назад
Mdahala muzur laknis waislam hoja zenu sijaelewa
@sadikihalfani
@sadikihalfani 3 месяца назад
Yaan awa makafiri sitakuja kuwaelewa kamwe.kuhusu hii MADA wanapoteza mda tu
@damarisnjerichege100
@damarisnjerichege100 3 месяца назад
Yesu ni Mungu
@MaryamIssa-y7v
@MaryamIssa-y7v 3 месяца назад
Mungu angufunguwe upeo
@SaidSaigor
@SaidSaigor 3 месяца назад
Mtu sio mungu,,Jesus never be God
@ElsonAsimwe
@ElsonAsimwe 3 месяца назад
Yehoshua Amesiah, Yesu ni Mungu kweli na ni mwanadamu kweli. Ndio maana anaitwa EMANUEL
@TonaAlbert
@TonaAlbert 2 месяца назад
Munamujua Muhammed .hammujuwi masiya EMMANUEL JESUS KRISTO.
@husha6372
@husha6372 2 месяца назад
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu NDACHA AMEKUBALI KUWA MAYAHUDI NDIO WALIOLETEA IMANI
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 2 месяца назад
Kama yesu ni mungu na injil aliwepa na Nani? Na injil ziko ngapi maana hata yahaya ana Yake?
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 3 месяца назад
Bi maana Yesu ni Mungu mdogo? 😂Msiba!
@omanbarka1588
@omanbarka1588 2 месяца назад
Kwa mimi nilivyo elewa waislamu wapo.kimwili na kibinadamu na sio kiroho wakristo wapo kiroho zaidi ndomana wanashindwa kuelewana
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 2 месяца назад
Ndo mnakinbiliaga et kiroho mkibanwa kwenye maandiko yesu mwenyewe anamwabudu mungu wapi yesu alisema niabuduni au niombeni Bali aliomba yeye kumuomba mungu wakristo hawana akili akili zenu zimedhikiliwa mnachoambiwa na huo uongo wa biblia munasema amee Soma yeremia 8:8
@IkramShaban-c4f
@IkramShaban-c4f Месяц назад
❤❤❤❤❤❤
@IbadeAssiqui
@IbadeAssiqui Месяц назад
Daxa mimi nacuomba sana axa cua ncrisito, inguia din ia haqi cua muenhe nsimungu, wewe utaqi cu inguia peponi? Pepo ya anla?
@BanzeGolf
@BanzeGolf 21 день назад
Tangu mungu halipo peleka Adam na Awa ,katika shamba pale walihasi,mungu hakujua alijua? Bona haliuliza Adam kwamba ukowapi?kwamba yeyenaye ni mungu kwanini aliuliza?naye ni mungu ajualote?
@ShukruMakoko
@ShukruMakoko 2 месяца назад
Ukitaka kujua yesu nimungu nirahisi tu mwanadam neno lipi lilitumika mpaka akatokea neno tumufanye mtu kwamufano wetu ndomaana hata raisi anamakam wake huwezi kufika kwaraisi mojakwamoja lazima uanze chini
@KizaIbrahim-h6f
@KizaIbrahim-h6f 2 месяца назад
Neno alifanyika mwili tukauona utukufu wake Yaani tamko lá Mungu Lililo umba vitu vyote limefanyika mwili tukauona utukufu wake Huyo tamko aliye fanyika mwilli akaonekana tukauona utukufu wake nini Nani jamani? Ta
@LterwaLeleur
@LterwaLeleur 22 дня назад
Tuambiani mtu aliye pita mawinguni akiwa hai sasa hivi
@AngelinaAkuyen
@AngelinaAkuyen 3 месяца назад
Dacha turiya wannafuzi tuko wangi sule atakunyorosha mutafutetu
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 3 месяца назад
Ndacha bible kasahau ila dokta sule kakremisha bible yote kichwani
@MarkoWMichael
@MarkoWMichael 3 месяца назад
Toka apa we ndo unakumbuka sasa,,,kaa kimyaa
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 2 месяца назад
Wew ni mwehu uungu haujadiliwi maana uungu uko waz mtu akishazaliwa hicho nikiumbe na Kila kiumbe kimeumbwa Issaya 44:24
@JoakimUrassa
@JoakimUrassa 3 месяца назад
Wakubali TU waache kua na moyo mngumu
@juniormembe688
@juniormembe688 2 месяца назад
Kumbe Sule ana bodyguard
@JOMBA111
@JOMBA111 3 месяца назад
Tena muache mdahalo huo mnamkosea mungu
@MartinNiyukuri-n2t
@MartinNiyukuri-n2t 3 месяца назад
Wapendwa wamungu tuombe Sana mungu tuzidi kuokoka kweli kweli! Kubishana nawa islam nikujisumbuwa Tu maana hata wenyewe wanajuwa kama wanapoeleke sisahihi wengi wawo ni wafrimason wanatumia majini ,wanafanya umalaya Yani kila zambi wanafanya wameshakubaliyana nadhetani
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 2 месяца назад
Unajitaja wenyewe nyinyi ndio mnaongoza kwa freemason. Bishop wenu popu 😂sindio nyinyi mashetani.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 месяца назад
👍👊🙏.
@paskalilameki9568
@paskalilameki9568 3 месяца назад
Bwanasesuasifiwe
@SalomonMugisha-wy8or
@SalomonMugisha-wy8or 3 месяца назад
Mucungaji Uwongezewe Kipaji ili waokoke
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 3 месяца назад
mambo. Yakikilisto hadiumjue. Rohomtatifu wasilamu hawajui jitahadhalini namakafili hao
@pascalkalama
@pascalkalama 3 месяца назад
Sule kashidwa hoja bana ukweli usemwe
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 3 месяца назад
Jibu swali sule uyo neno alikuwa nani
@davidlintari8504
@davidlintari8504 3 месяца назад
Waislamu fujo tupu,
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 2 месяца назад
Kushinda makafiri kwa fujo?
@NassirSaidmassoud
@NassirSaidmassoud 3 месяца назад
Muhammed Dr sure kamfata au katumia hoja za ibn taymia maajabu sure nimshirikina ibn taymia aliyepasisha kutumia majini na akaf a na iridhi shingoni si mshirikina sure nimshirikina mnatumia mizani gani nyie mayaudi kiwahabi minajisi
@FranciscoOresteBernabé
@FranciscoOresteBernabé 3 месяца назад
Da kkkkkk dr sule kabanua
@Rajabuathumani-v3z
@Rajabuathumani-v3z 3 месяца назад
😂😂😂😂🎉
@CaltonMallya-zj6cp
@CaltonMallya-zj6cp Месяц назад
Waislanu mpo kishabiki 27:43 Wakristo wapo makini ndio maana sulle alipokiri Wakristo wakashangilia ninyi mkabiga takibiri mtapotea kwa ushabiki wa kijinga
@olekurarudan4773
@olekurarudan4773 3 месяца назад
Huyu Dr sule hakuna kitu anajua
@isahbarasa
@isahbarasa 3 месяца назад
Wee unjua nn😂😂 mwanadamu ni Mungu
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 2 месяца назад
😂 jisalimishe toka kwa ukafiri kijana
@ahmedsdk6736
@ahmedsdk6736 3 месяца назад
Msomaji wetu upande wa Waislam hayuko vyema kufunua vifungu 😂😂
@saidiruwa
@saidiruwa 28 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@legendaction202
@legendaction202 3 месяца назад
Huyu ni uluminati ndacha kalipwa amtumikie shetani ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-8LXQm7Ljj1g.htmlsi=-L0yW_DlEEs_grFN
@GodfreyMolel
@GodfreyMolel 3 месяца назад
Tunawakaribisha waislam muwe wakristo tumwabudu yesu maana yeye ndie njia ya uzima wa milele mti wliokua anazungumzia ni mfano wa mwanadamu ambae hashudii neno la mungu ili watu wawese kuzaa matunda badala kuhubiri ukuu wa mungu na watu wamfuate maana kushuhudia ndio njia ya kuzaa usikae kama mti huo
@AmityRajabu
@AmityRajabu 3 месяца назад
Hatuwezi muabudu mtu kama sisi Alie fungwa nepi kama Mimi loooo anae nalala anaekula mungu wetu haliii hajazaliwa Wal kuzaaa
@AllyMsafiri-kw2ne
@AllyMsafiri-kw2ne 3 месяца назад
Sule kiboko hasa pia nimtamu hata kumsikiliza
@MesaIdd-dn3vt
@MesaIdd-dn3vt 28 дней назад
Achen kudanganya watu wakristo jtambueni
@kaoretosha6668
@kaoretosha6668 3 месяца назад
Kwa hiyo mungu Yesu alikuja kuuliwa na aliowaumba....?!
@taifaramadhan8684
@taifaramadhan8684 2 месяца назад
ajabu sasa hiyo
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 2 месяца назад
I say ebu rudia hilo swali wakusikie vzuri Safi sana
@AyubuIkaku
@AyubuIkaku 2 месяца назад
Yesu sio Mungu, Mungu gani anauwawa na watu msalabani kwa mujibu wa biblia. Je Mungu anashindwaje akili na wanadamu mpaka wamuue?
@danielmwakimi2416
@danielmwakimi2416 3 месяца назад
Ndacha kiboko ya majini
@AbbyKomba
@AbbyKomba Месяц назад
Awa wakrist au oya kun m2 wanamdai. Mbn awajib maswal wanapig kelel. Elewen mada.😂😂
@Abubakarychacha
@Abubakarychacha День назад
ndacha nimuongo huyu mungu wangu sijawahi ona nimtu anaejua kuchota akili za watu wasio na uelewa leo ndio nimegundua. mungu afanyie neema na wepes kwakweli
@BertinBahati-p5v
@BertinBahati-p5v 2 дня назад
Apewe sifa mungu wetu baba wa bwana wetu yesu kristo
@saudaumar3354
@saudaumar3354 3 месяца назад
mimi ni mkenya hao wote wakenya kina ndata watafuta kula tuu na kupoteza watu wajuwa usawa uko wapi lakini wajinga sana kwa kula panya na nguruwe.
@OmarysabatoMchele
@OmarysabatoMchele 13 дней назад
Jaman saiz sio kusali kwakumtegea binadam akuongoze jiongoze mwenyewe
@K.T.L.Y.K.MINISTRIES
@K.T.L.Y.K.MINISTRIES 10 дней назад
Waislm nyinyi MUNA POTOKA TU TUBUNI YESU KRISTO ANARUNDI YEYE NDIYE ANAUZIMA WA MIMI NI YESU TU AKUNA MWENGINE KAMA YEYE
@SofiaKhamis-t2l
@SofiaKhamis-t2l 3 месяца назад
Yesu sio mungu bana
@MarkoWMichael
@MarkoWMichael 3 месяца назад
Ni Mungu imeisha iyo❤
@isahbarasa
@isahbarasa 3 месяца назад
​@@MarkoWMichael😅😅😅tubu ww kwa hio maneno yako
@TonaAlbert
@TonaAlbert 2 месяца назад
Alafu asikuwe Mungu weye Mungu sasa?acha ujinga
@Mathieusinzinkayo
@Mathieusinzinkayo 28 дней назад
Jiulize nawewe mungu nini?Jijibusasa.Mfano mungu nisaa pepo.Anapatikana kila mahala.Anajaa univers .Sasa nikiti gani wewe umemutengenezeya awezaye kuikalaeko?
@KatanaKariss
@KatanaKariss 25 дней назад
@@MarkoWMichael nkuulize swali mtoto ww ni mwanadamu mtoto wako atakua mwanadamu ama mnyama... Na kama ww waitwa Rashid mtoto wako aweza itwa Rashid ama hawezi itwa
@SalimAbdallah-d6w
@SalimAbdallah-d6w 8 дней назад
Kwani ndachi wajitetea na aya za Quran...kama waiamini silimu tu.
@sulimankarusi8345
@sulimankarusi8345 7 дней назад
Okimuona Ndacha akicuna kichwa, basi juwa neno ya uwongo.
@ImanNjogolo
@ImanNjogolo 14 дней назад
Ukiamini sana uislamu utavunjika kiimani.mbona mnamwona sule tu,mnajua waislam mambo mengi wanashindwaga kuyaelezea.polen
@mohamedyeslam5194
@mohamedyeslam5194 Месяц назад
Msomaji WA kiislamu mbona wachemsha? Mwaga vitu haraka
@heavens9451
@heavens9451 3 месяца назад
Mbego TV Wapumbavu ... Wewe hata hujui lolote . Sule Hajui kitu yeye na Majini yake... Shenzi sama wewe
@alfanfddgfd1662
@alfanfddgfd1662 3 месяца назад
Ndacha huna ata akili eti yesu ni Mungu tokea lini hiyo
@TonaAlbert
@TonaAlbert 2 месяца назад
Musipo kuwa na loho mitakatifu hamujaelewa😂😂
@Mathieusinzinkayo
@Mathieusinzinkayo 28 дней назад
Hamjaona kwamba ivyo vitabu vitakatifu vyenu vinajaa makosa?Ivyo nivitabo vya wa toto wa wa ibrahim.Siyo kizazi cenu!!!
@AlhajiMsisiri
@AlhajiMsisiri 14 дней назад
Mchungaji acha kukufulu maana yesu nae kazaliwa
@MesaIdd-dn3vt
@MesaIdd-dn3vt 28 дней назад
Ndacha huna jipya kwan elimu yko bado haijafikia ya wahadhiri walioko mbele yko
@BanzeGolf
@BanzeGolf 21 день назад
Mwalimu ndacha WE na batu yako mkubali kwamba yesu ni mungu!
@LterwaLeleur
@LterwaLeleur 22 дня назад
Mbona atutedewi haki ukweli mnapinga aaai
@yasluhumilemohammed7461
@yasluhumilemohammed7461 Месяц назад
Swali ni wapi yesu kasema mwenyew yeye ni mungu jamaa wameshindwa hawa wakristo
@omariSaidmoon
@omariSaidmoon 27 дней назад
Mfano siyo chenyewe yesu ni mfano kiswahili shida
@MesaIdd-dn3vt
@MesaIdd-dn3vt 28 дней назад
Wahadhiri wa kiislam ndacha hana elimu ya kuwababaisha
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 3 месяца назад
Muisilamu pure lazima awe na majini hiyo si dini hata huyu sule nimshirikina mkuuu sana nilimuogopa siku moja tukiswali nikaabba kutokuwa muisilamu tena
@ismailmakumbi-t1o
@ismailmakumbi-t1o 3 месяца назад
Acheni kukimbilia majini majini ni viumbe kama ww ila tu tofauti wao wanaishi kwenye maji hoja je yesu ni mungu?? Mbona hamjibu
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 3 месяца назад
@@ismailmakumbi-t1o viumbe kaa wewe nimewaogopa walisilimu wakawa waisilamu wanawaletea hela Hutu mkitoa wenzenu kafara juu chakula Cha jini ni damu awe jini mzuri au mbaya lazima anywe damu
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 2 месяца назад
Uzushi, Mungu akulaani hapa dunia mpaka kesho akhera. Ameen
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 2 месяца назад
@@aminaabdulghanim8256 kando na majini ni yamagaidi wakubwa sana
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 2 месяца назад
​@@ismailmakumbi-t1o😂 hawaezi jibu waruka ruka kama chura hupati jibu. Wakiristo wanaoza kwa udevo wa freemason na hawatasema hili ni Siri kwao.
@ChidiSalum-f6p
@ChidiSalum-f6p Месяц назад
Ndacha unawapoteza watu ww mungu hakuzaa wala hakuzaliwa yesu amezaliwa bana
@DullahAsan-r4n
@DullahAsan-r4n Месяц назад
Ivi? Kati ya yesu na mamayake na yesu ni nanina wakwaza kuzaliwa?
@ShabaniBaibai
@ShabaniBaibai 2 месяца назад
Wafungue akili shekhe hao wasabato
@CelestinoCasimiro
@CelestinoCasimiro 3 месяца назад
Fanyakazi dokta usiogope maneno ya wajinga walio gizani
@johnweres9566
@johnweres9566 27 дней назад
Watu wanetandika vitabu 😂😂😂
@KatanaKariss
@KatanaKariss 26 дней назад
Huyo kijana ndacha ni msomi mkubwa sana
@hassantambwe9190
@hassantambwe9190 Месяц назад
Mbn ukiristo hauna maandiko kulingana na kabila ya yesu kama vile Quran iko na arabic kulingana na mte n arab
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 Месяц назад
Yani Wakristo wametolewa andiko Yesu hajui kama mti uko na matunda au hauna,Wakristo wao wanashangikia😂duh! mtihani kweli hawa rafiki zetu,sjui hua wamepikwa au hawaelewi maandiko ni nashidlndwa kabsaa,
@ndayishimiyejaphet4927
@ndayishimiyejaphet4927 Месяц назад
Yesu ni mungu wa islam muache kupinga
@RashidCharo-ug1hz
@RashidCharo-ug1hz 2 месяца назад
Mudahalo kuntu dkt Sule
Далее
"Когти льва" Анатолий МАЛЕЦ
53:01
ПОЮ ВЖИВУЮ🎙
3:19:12
Просмотров 875 тыс.
Новый вид животных Supertype
00:59
Просмотров 176 тыс.
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
"Когти льва" Анатолий МАЛЕЦ
53:01