Тёмный

MCHUNGAJI AWATAKA WAKRISTO WOTE KUMZOMEA MH. RAISI SIKU YA IBADA 

SHEIKH MWAIPOPO TV
Подписаться 45 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

#muhubirimwaipopo #sheikhmwaipopo #sheikhmwaipopotv

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 353   
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 22 дня назад
Samia Suruhu ndio Rais bora Africa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 20 дней назад
Samia for Presidency 2025
@Kachuba-w9p
@Kachuba-w9p 19 дней назад
Jazakhalakher ustadh wang Allah akulinde 🙏
@mussakilo4916
@mussakilo4916 21 день назад
Kweli samia ni bonge la kiongozi mitano tena watanzania tuna wajua walio na nia mbov na nchi yetu
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 20 дней назад
AHSANTE SHEIKH MWAIPOPO, TUTAGAWANA MBAO SOON NA CHAGADEMA TAWI LA KANISA
@chedielimrutu6955
@chedielimrutu6955 19 дней назад
Hongera sana Sheikh wewe ni mzalendo na umesema ukweli. Rais Samia ni mwema na mtulivu sana. Mungu amlinde
@nyembobea7285
@nyembobea7285 15 дней назад
Daktari samia suluhu hassan mitano tena
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 20 дней назад
Tunakushukuru sana mhadhiri mwaipopo kwa kuweka ukweli bayana hawa wachungaji michongo watatuletea balaa sana
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 21 день назад
Ametukosea heshima kanisa
@HassanSalim-hl8qs
@HassanSalim-hl8qs 21 день назад
Huyu si mchungaji bali ni mpuuuzi hili jizeee latokea wapi?
@ABBASIKANDULU-kl8zc
@ABBASIKANDULU-kl8zc 11 дней назад
Mashekhe wetu Wapo upande wa Diniii Sana. Kisaa Rais muislam basi na wao wapo hukoo
@moddy8744
@moddy8744 21 день назад
Mama Samia ni Rais Mzuri hawa wote wanafanza kutaka kumharibia kwanza kwa sababu ni Mzanzibar, Muislam na Anaongoza uzuri na Anaganza mazuri, sisi tunampenda na tuko nae na tunampa kura zote hao wameumia sana, Shekh maneno yako ni kweli ni chuki tu
@paulmanda801
@paulmanda801 15 дней назад
Tutachagua chadema wew mpopo usilete udini hapa acha udini
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 14 дней назад
Mchungaji feki kabisa.Yeye ndie wa kuzomewa,nahafai hata kuingia kanisani.
@umfahad2609
@umfahad2609 12 дней назад
Namuomba Mungu ailinde Tanzania na wananchi wake. Nachukia saana ubaguzi wa dini na rangi na ukabila.
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 23 дня назад
Mama samia mitano tena atakama watachukia
@zedyabdulrwabilingo9042
@zedyabdulrwabilingo9042 22 дня назад
We kiazi kabisa wala hufai kuendelea kuishi, Namuomba Allah akufishe kabra ya huo uchaguzi kufika Insha Allah.
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 22 дня назад
Kutekwa kwa watu ni kitendo cha kishetani na hakikubaliki. Ila kutekwa watu ni kwa Awamu zote tena mauwaji ya wazi2 yaliyotokea kbl ya Rais Samia. Hizo ni chuki za viongozi wa wakiristo kutoa kauli za kashfa na na matusi kumchafua Rais kwa sababu ni muislamu. Mwaipopo kweli umenena jambo.
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 21 день назад
@@zedyabdulrwabilingo9042 ameen
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 20 дней назад
Mitano Tena kwa kweli
@NtolokwaNtambi
@NtolokwaNtambi 12 дней назад
Sheh uko sawa
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 9 дней назад
Huyo Mchungaji nashauri akapimwe Akili kwanza. Na achunguzwe kwa makini, huwenda ni wa Shakahola. (Kwanza Unabii aliutoa wapi yeye kama si utapeli wa kuibia watu) "Kweli Yesu aliwasema Manabii wa uwongo, ndio hao"
@mohamedS-yd9wh
@mohamedS-yd9wh 22 дня назад
Sheikh Mwaipopo sisi tunajau Nabii huchaguliwa na Mwenyezi Mungu tu. Nabii anayejitangaza ni nabii kidhabu, hayo yanajulikana,
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 19 дней назад
Huyu mchunguji mjinga sana, amejidhihirisha mwenyewe km ni muongo nabii gani anaongea ushetani, akapimwe akili huyu
@SalumMohammed-r8n
@SalumMohammed-r8n 22 дня назад
Mama Samia mitano tena
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 22 дня назад
SAMIA OYEEEEEEE CCM SAFIIIIIIIII MASAUNI SAFIIIIIIIII
@JohnArobogast
@JohnArobogast 19 дней назад
Umepotea kabla haujafika
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 19 дней назад
Utumbo tu hapo sio dini uwajibikaji hapo dini yoyote hausiki sasa yule mama atoke mambo yamemshinda
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 14 дней назад
Huna la kusema si ukalale?
@JumaHussein-e1l
@JumaHussein-e1l 10 дней назад
Munaonaje yule mchungaji akaacha mambo ya dini akaingia kwenye siasa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 20 дней назад
Mwaipopo umeongea point kubwa sana👍
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO 22 дня назад
CHADEMA WALIAMUA KUMTEKA MUISLAM ILI WAUNGWE MKONO NA WAISLAAM NA WAMEVAA KANZU NA BARAGHASHIA ILI KUWASHAWISHI WAISLAAM KIJIUNGA NA CHADEMA
@GaboGabby
@GaboGabby 22 дня назад
DUU UWEZO MDOGO WA AKILI...KILAZA KWELII WEWE.
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO 22 дня назад
@@GaboGabby WEWE HUWAJUI CHADEMA PIA HUMJUI MBOE MAKOMANDOO ALIWATAFUTA KW KAZI GANI
@TatuKhatib-f1u
@TatuKhatib-f1u 22 дня назад
Kweli hawana jengine isipokuwa ni udini tuu kwa samia ili waislam wamchukie ​@@HASSANWAZIRIGAO
@thamani5842
@thamani5842 22 дня назад
Jazakallahulkheir Sheikh, TUNAKUELEWA SANA.
@madetetv6576
@madetetv6576 22 дня назад
Kweli ww ni mpumbavu ndugu yangu kwahio chadema wanamiliki silaha nzito kama zile ambazo zinatumiwa na usalama wa taifa? Chadema wasimqmishe gari barabarani na serikali isiwafanye chochote tuache utoto​@@HASSANWAZIRIGAO
@saidymbila57
@saidymbila57 23 дня назад
Hata Mimi nauugana sana na Mr msiba kwa hili hao chadema wanahusika sana kwenye haya mbo ya utekaji serekali wafatilie tu
@aasatt78
@aasatt78 23 дня назад
Kama chadema wanahusika washakamatwa zamani ni hao hao usalama wa taifa ndio wenye uwezo wa kufanya wanachotaka na hakuna anaeweza kuwafanya chochote
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 22 дня назад
@@saidymbila57 unatombwa sio bure
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 22 дня назад
@@saidymbila57 kama chadema ndo wanaoteka polis si iwakate, kz ya polisi nini?
@RubyMasuku-x5r
@RubyMasuku-x5r 20 дней назад
Jamani huu siyo mzaaa Nani mzuri Nani mbaya kinacho takiwahuu utekaji ufike mwisho wanakufa nibinadamu kama sisi
@RubyMasuku-x5r
@RubyMasuku-x5r 20 дней назад
Muache kuchochea udini tushikama nekutokomezeza h uuukatili
@HemedSud
@HemedSud 13 дней назад
Sisi sheikh hatujielewi. Hao wanajua wanacho kifanya. Na malengo yao hayato fanikiwa. Insha-Allah.
@NtolokwaNtambi
@NtolokwaNtambi 12 дней назад
Huyu anaongea ya kwake, ni sauti ya kianasiasa, si sauti ya kichungaji anatumiwa tu na shetani. Mtu wa Mungu daima anaongea amani, upendo na kusaidia wahitaki.
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 22 дня назад
Huyu kafiri chungaji lilaaniwe na watu wote waseme aamin
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 22 дня назад
Aaaamin
@HafidhMwinyi-fp2po
@HafidhMwinyi-fp2po 11 дней назад
Aamiin
@AsaMtuli
@AsaMtuli 22 дня назад
Jamani msameheni huyo mchungaji hajui alitendalo because hakuna mtume kwa wakati huu so huyu ni kama kiboko ya wachawi tu 😅
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 21 день назад
😂😂
@JaneChaula-e7l
@JaneChaula-e7l 11 дней назад
Mitano tena kwa mama samia
@priscussprosper4215
@priscussprosper4215 10 дней назад
Mchungaj yuko sawa sana we endelea kumpa promo
@JumaHiza-mq7ch
@JumaHiza-mq7ch 21 день назад
Huyu nimchungaji mbwa aliyo zungumzwa ktk kitabu cha isaya15 45
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 19 дней назад
Ngumaninananyokwenaengumaniaaaaaaaaaaaa
@binseif2216
@binseif2216 22 дня назад
Huyo mchungaji mwehu
@abdillahiabdallah438
@abdillahiabdallah438 22 дня назад
TUNAMZOMEA BABA YAKO NA MAMA YAKO ALOKUZAA ,WOOO WOOO WOOO , NI HASARA KUZAA BINADAM KAMA HUYUU , UZIDI KUZOMEWA WOOOOOOOOOO
@umfahad2609
@umfahad2609 12 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 20 дней назад
Mama Samia bigup Wanataka kukuchafulia cv yako hao karibu wataumbuka TU katibuni waangalie Kwa ukaribu mchungaji feki huyo
@abdallaabdalla4416
@abdallaabdalla4416 19 дней назад
Huyu mchungaji sijui mtume Mimi nitamteka anamtukana mama etu chadema ni chama Cha watekaji wanatumia macenaries WA south serikali tumia JWTZ hii ni taasisi yenye nidhamu NA uwezo WA kupeleleza NA kumkamata yoyote popote mama usipate TABU wajanja vidume vyenye BUSARA yaani JW watumie watakomesha unyama huu ahsante
@aminamusa7289
@aminamusa7289 8 дней назад
Mh. Samia Suruhu Hassan ndiye Rais wetu. Tena kipenzi chetu. Allah amuepushe na fitina za watu kama huyo Mchungaji.
@yanifaakukufaa9032
@yanifaakukufaa9032 21 день назад
Hehehehehhee chadema kweli watekaji
@AllyMsafari
@AllyMsafari 20 дней назад
Chadema wanajitekenya na kucheka , wenyewe ,wameona KUPATIA sera zao hawawezi KUPATA ushindi kwenye uchaguzi na kukamata Dola, sasa Wana Fanya njia za kudeka watu ili wananchi waichukie serikali Yao ili wawachague wao. Wanataka ushindi nje ya uwanja kwa mbinu za kudeka watu kuichafua serikali
@AnnaMahene
@AnnaMahene 20 дней назад
CCM oyee mama Samia nakupenda nakupa mitano tena mimi ni mkristo huyo mchungaji na kanisa lake afungiwe analiaibisha kanisa
@BjleonardBhianda
@BjleonardBhianda 19 дней назад
Dr Samia Suluhu Hassan wewe ni raisi wa Watanzania wote,na sisi tulio wengi miongoni mwa wakristo tunakupenda na tunakuunga mkono,hawakosekani baadhi ya watu wachache wenye mtazamo wa kidini,kikabila na kimaeneo,wamevaa majoo ya uaskofu kumbe ndani yao ni wanasiasa wenye siasa za chuki,raisi Dr Samia Suluhu ni raisi muungwana mwenye ubinadamu sana alimfuata Tundu Lisu Ubeligiji arudi nchini kwa amani,kuna usemi unasema tenda wema nends zako!Samia si wa kufanyiwa vitimbi kama hivi ni mwema sana,lakini usijali mama fanya kazi Mungu atakulipa,Muhammad pamoja na wema wao walitendwa mabaya.usijali sisi tulio wengi tupo pamoja na wewe.Biblia takatifu au Yesu mwenyewe hakuwa na chuki hata walipomtenda mabaya yeye aliwabariki,huyu mchungaji hakutumwa na Yesu kajituma mwenyewe!,kumzomea kiongozi ambaye kwa kweli Mungu ndiye kamweka hapo ni dhambi,hakujipeleka Ikulu mwenyewe,kuna wa ngapi walitamani sana kuwa maraisi lakini hawakupata?! ni Mungu mwenyewe ndiye aliyeridhia mama yetu kuwa katika jumba hilo jeupe,watu wote ni wajibu wetu kumpenda na kumwombe...kama kweli unampenda Mungu huwezi kuacha kumwombea raisi na srrikali yake..Mimi naungana na watanzania walio wengi kumuunga mkono raisi wetu...raisi wetu ni Mtanzania hakutoka Nigeria au nchi yoyote..eitha raisi atatoka Tanzania bara au Zanzibar..anapotokea sehemu moja wapo ya muungano huyo ni raisi wetu wote..zinapotokea kauli za kibaguzi tuzipinge..Mimi kama Mkristo na wakristo wote tumpinge huyu mchungaji kwa sababu kauli zake ni za kibaguzi na kutaka kuligawanya taifa letu kwa misingi ya dini,ukabila na ukanda..Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu,tuache kabisa mambo hayo ya ubaguzi ni dhambi. Mungu mbariki na kumlinda raisi wetu,muungano wetu na watu wake,upendo na mshikamano.Amina.
@SalumMohammed-r8n
@SalumMohammed-r8n 22 дня назад
Waislam tupo makini .......
@ahmedomar3020
@ahmedomar3020 18 дней назад
huyoo anataka viboko
@willymdeka6034
@willymdeka6034 19 дней назад
Samia daima tz
@binseif2216
@binseif2216 22 дня назад
Chadema hatuwapi nchi ni wa Dini sana na wakabila
@IGANASCOSMAS
@IGANASCOSMAS 20 дней назад
Mama Yetu Samia ni Raisi Mwenye Hekima sana. Acheni mambo ya uchochezi watumishi. Kuweni na hekima kama za Raisi.acheni mambo ya udini na kuwaingiza watanzania wengine kwenye hila zenu.
@HemedSud
@HemedSud 13 дней назад
Huyo .kwanza ni mwehu. Huo utume kapewa na nani
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 12 дней назад
Kweri. Mchungaji GANI uyo NI mzushii tuu. KAVUTA BANGIII HUYOOO
@abdillahiabdallah438
@abdillahiabdallah438 22 дня назад
MIJITU ILOKOSA HEKIMA WAFUNDISHE HAO WAPANDAJI CHUKI KAMA WALIVOFANYA RUWANDA , MCHUNGAJI ASOJITAMBUWA
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 20 дней назад
Mama makanisa yote yasioeleweka funga mbwa hizi zinachochea machafuko
@binseif2216
@binseif2216 22 дня назад
Huyo askofu kashindwa kuwapa andiko ukristo dini ya Mungu ndani ya bible kaamua kuingilia siasa
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 17 дней назад
Very good
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 22 дня назад
Ndo Maana nachukia siasa baba yangu alikuwa kada Wa cuf kwel kwel mie ulikuwa hunambii kitu kuhusu chadema lakn Sasa sitak kusikia Chama chochote Sabab inanfanya nakuwa mbali na mungu wangu uongo mwingi mbinu chaf nying lengo Kumfanya kiongoz Wa Nchi aonekane mbaya wapo tayar kuharibu ofic hata kudhur Wa karib ktk wafuas wao ili aonekane mtawala Wa serikali mbovu kiongoz Wa Nchi hafai ilhal mbinu wanazifanya wao washenz Wa kubwa sitak kusikia siasa utakuta a kwa muumba wetu ukwel utakuwa wazi
@hamidmussa838
@hamidmussa838 22 дня назад
Tuko Makini Waislam.
@franciscarsongea7948
@franciscarsongea7948 21 день назад
Shehe usiseme wakristo wote hapo znapoongea wapo wangapi anaongea pèke Yake kwaakili Yake kwanini useme wakristo wewe ndio mchochezi kuchanganya wakristo wote 😂
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 15 дней назад
Acha uchochezi wewe mface huyo mchungaji na kanisa lake siyo wakristo
@lulumatawalo7805
@lulumatawalo7805 21 день назад
Mchungaji kachemka.Biblia inaainisha wazi kwamba ;"Mamlaka zote zilizopo zimewekwa na Mungu " , vilevile tumeagizwa tutii hizo mamlaka. Huyu aombe rehema,hajitambuwi.
@mwanaidrashid5226
@mwanaidrashid5226 20 дней назад
Chadema.ndio.watekaji.ndomana.makufuli.alikataA.maandamano
@CharlesAbraham-u4k
@CharlesAbraham-u4k 6 дней назад
Chadema ni KUNDI LA wahuni ,wamenunuliwa KUVURUGA AMANI YETU,WA Tanzania tusikubalikamwe.
@Kabeya410
@Kabeya410 8 дней назад
😅umemskiliza huyu kumbe ni Chadomo na kumbe chadomo ni chama WACHAGA NA WANYIRAMBA MAANA SAUTI YA HUYU MCHUNGA MBWA NI LISU MTUPU 😅ATI ANAMZOMEA RAISI KENGE KWELI KWELI.
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 22 дня назад
Sheikh Mwaipopo,huo ndiyo ukweli Baadhi ya jamii za Kikristo na Wachungaji wao wanachochea kwa wananchi kuichafua na kuto kuipenda Serikali. Hii ni mbaya tunako elekea siyo kuzuri.
@NcheyeNswila
@NcheyeNswila 10 дней назад
Je we umetumwa nanani
@NcheyeNswila
@NcheyeNswila 10 дней назад
We we kumbe nibwege kabisa
@NcheyeNswila
@NcheyeNswila 10 дней назад
Wewe ndo unacheza. Mchezo
@NcheyeNswila
@NcheyeNswila 10 дней назад
We we mpumbavu kweli kama umenunuliwa bwekatu
@azizikalembo931
@azizikalembo931 16 дней назад
Huyu mchungaji ni mpuuzi, ni msenge, anafirwa.
@SalumMohammed-r8n
@SalumMohammed-r8n 22 дня назад
Wafaham tu nasisi waislam tuna yaona matusi yao
@peternyamasiriri5450
@peternyamasiriri5450 11 дней назад
Kiongozi alazima uwe na hekima hata ya kuongea honge shehe kwa kulisemea Hili make n😅 kweli sio sahii
@HemedSud
@HemedSud 13 дней назад
Hajielewi. Ana chuki binafsi. Huyo mchungaji feki.
@AbdonJonathan-r1w
@AbdonJonathan-r1w 20 дней назад
Uislam hauna chama chake chakuunga mkono, nachama ambacho uislam hauungi mkono, ila waislama kila mmoja anachama anachokiunga mkono yeye kama yeye, hivyo hoja yako haina uhalisia wowote, kuweni makini na udini.
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 19 дней назад
Kalale mjinga namba moja
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 15 дней назад
Udini udini acheni ayo mambo
@RaheliMollel-v3d
@RaheliMollel-v3d 22 дня назад
CCM oyee nijeshii letu yaani wewe mchungaji ujipendi utafichwa
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 12 дней назад
MGONJWA UYU BABA. AONI AIBU LOOO EBU TUTOKEE NA USHABIKI MAANDAZI WAKO. TOKA MAMA AUSIKIII UKO UKO.
@HafidhMwinyi-fp2po
@HafidhMwinyi-fp2po 11 дней назад
Huyo askofu ni mchochezi na ni gaidi vyombo husika vimuwajibishe
@Elecovid
@Elecovid 16 дней назад
Acha uchochezi ww.raisi mwacheni anapiga kazi
@zariadunia6328
@zariadunia6328 11 дней назад
Uzuri hawa chadema hawatafanikiwa wanajisumbua na ubaguzi
@dudejuma
@dudejuma 20 дней назад
Ati Rais wetu mpenzi wakristo wamzomee, hivyo huyu jamaa anajua kwamba ametutusi watu wengi Tanzania? Mshenzi sana huyu gay.
@ManirambonaBashiri
@ManirambonaBashiri 10 дней назад
Huyu jamaa anajiuza na vijana wanamtumia saana tu msenge mkubwa
@kajembeathman
@kajembeathman 11 дней назад
Wewe sio kiongozi wa dini na pia hukustaili kuwa.unadhambi kubwa ya kuwapotosha wakristo tafuta maneno ya busara yq kuzungumza kwa Taifa lako sio uchonganishi.
@LucasGoliath
@LucasGoliath 12 дней назад
Mchungaji gani,mwenye akili za kipumbavu hivi
@wellnesstransportation1490
@wellnesstransportation1490 23 дня назад
Mwaipopo unaongea pumba ndo maana hata huna view za kutosha. Huna maana kabisa. Natamani wanao watekwe wauawe halafu urudi hapa tukusikie
@ismailhaji-b4s
@ismailhaji-b4s 22 дня назад
Sisi huwa hatuangalii namba za views tunachoangalia ni ujumbe wa kweli umefika suala la kukubaliwa na kutokukubaliwa na kazi ya mwenyezimungu.
@AliAhmed-m1o2u
@AliAhmed-m1o2u 21 день назад
Wewe ni mfuasi wa shetani km huyo mchungaji chizi na mbowe mtoto wa ibilisi
@RamadhanMakame-ke4cf
@RamadhanMakame-ke4cf 20 дней назад
Aliongea pumba huyo mchungaji wk hata na ww kondoo wake hujielewi unakula nyama badala majani Mungu awaangamize wote wenye nia ovu kwa nchi yt
@hamidudongo1879
@hamidudongo1879 19 дней назад
Ukiongea mambo ya kipumbavu, utapata views tu. Mwaipopo hajali mambo ya Views. Tulia wewe KAFIRI.... Mambo ya Waislam yana kuhusu nini wewe Kuffar??
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 17 дней назад
Wakati wa magufuri mpikuwa hamsemi mmeficha visimi vyenu
@abdallahkategile
@abdallahkategile 10 дней назад
Ukweri alichofanya si kizuri lakini dam azimwagiki ukweri ila tuombe sana na nyinyi mashee na wachungaji angarieni msije mkasababisha vita ya kidini pili baazi WA waumini watakua awaendi kanisani Wala miskitini sababu dizi zimeibgia kwenye siasa
@ahmedomar3020
@ahmedomar3020 18 дней назад
mchungaji gani mwizi huyoo
@abdulhakimhassan1795
@abdulhakimhassan1795 19 дней назад
Mwaipopo waambie ukweli hao wanatamani fujo itokee nchini na kwao tatizo kubwa ni uislamu ukweli chadema wanatekana wenyewe kwa wenyewe
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 16 дней назад
Uyu jamaaa Afai kuwa kiongozi,nisawa na kiboko wa wachawi anapenda sana kujionesha kujua sana kumbe zero.acha Udharimu.Kwa haya ulio ongea una faida ya sh ngapi? Kama so ufukra?Sikupendi maana unatabia za ovyo.
@JohnKaliadi
@JohnKaliadi 15 дней назад
Huyo mchungaji kasema kama yeye sio wakristo wewe mchonganyishi
@petrokishe
@petrokishe 10 дней назад
We nyamaza kimya ni ajenti kwa hiyo unasapoti watu Tanzania kuuawa ujui chochote at uislamu ujui
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 16 дней назад
Sisi niwenye utambuzi shekhe endelea usiwe nawasi hao niwale ambao wanachukisana hayoniyao jump makanisani
@AishaAlly-q2t
@AishaAlly-q2t 21 день назад
Mchungaji anaumwa huyu hv hao waumini anao waongoza wanaakil kwel?
@SHUKURUMahiki
@SHUKURUMahiki 22 дня назад
Mwaipopo dereva wa gari ndio alieijulisha familia dereva wa gari ndie anaemfaham huyo askari
@IssaShaban-y7h
@IssaShaban-y7h 16 дней назад
Angekua muislamu ilikua tiari yupo sero
@ANGELUSLIJUJA
@ANGELUSLIJUJA 18 дней назад
Uhu shekh ANAJUWA VITU kidogo KILA WAKATI WA KALIBU na uchaguzi WATU wanauw KUPATA kiki AQLIN AQLIN MWANGOSI SANANE shekhe kajuwa MBINU zao
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 20 дней назад
Hizi zama za sasa hakuna mitume wala nabii wote ni vibokobya wachawi mbwasana
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 21 день назад
Wewe si mtu mwema akuna kitu kama hiko umepungukiwa na hekima akuna Mtume wala Nabii kama wewe Yesu ni wa Amani kama watumishi wengine wa Mungu usitumiye Biblia kwa kutafri vibaya
@nyembobea7285
@nyembobea7285 15 дней назад
Kiukweli nilikuwa sijasikiliza haya maneno ya huyo mchungaji nashauri jeshi la polisi kupitia kwa DPP aangalie kama kuna jinai ama kuna uhaini ndani yake ili akashowcase
@SalumMohammed-r8n
@SalumMohammed-r8n 22 дня назад
Ww askofu pumba usilete udini ...
@AlexMlaba
@AlexMlaba 22 дня назад
wachunguze na watuambie watu wote waliotekwa wako wapi na waliompiga lissu risasi tuwajue
@omariKalyango
@omariKalyango 20 дней назад
Kamwambie kwanza magufuli achunguze waliopotea wakina sanane
@RamadhanMakame-ke4cf
@RamadhanMakame-ke4cf 20 дней назад
Kwa njia hizo chadema hamtoboi sisi Watanzania sio wajinga bora ya Musa kuliko Firauni
@AthumanKinyange
@AthumanKinyange 20 дней назад
Huyo mtume mjing a ametoka wapi hana elimu hata kidogo huyo mchungaji ni shetani mbaya sana
@thamani5842
@thamani5842 22 дня назад
Chadena wana chuki na wanaubaguzi wa kikanda na dini. Na ao wanojifanya wachungaji hawana uchungaji mmoja. Na huenda wao ndo wana yafanya utekaji na uuwaji ili ionekane serikali ndo inafanya ayo. Hawa wanataka kutuchafulia amani yetu. WATANZANIA amkeni chadema wanajifanya wana akili sana, pengine wao ndo wamemuua, halafu wanajitia kulia.
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 23 дня назад
Mimi nimwislam lakin serikali yetu tumewachoka watu wabaya sana wengi wao wamepoteza watu wengi akiwemo ndugu yangu huu mwaka wanane nae alichukuliwa na usalama wataifa tena akiwa msikitini hii sio serikali bali wauwaji
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 22 дня назад
NDUGU HUYO NDUGUYO ALIKUA ANAJISHUHULISHA NA NN AU ANAFANYA KAZI WAPI
@thamani5842
@thamani5842 22 дня назад
Hujijui wala hujitambui
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq 22 дня назад
Mbona unalamba lips kila mara
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 21 день назад
Kunakitu haiwexekani wamchukuetu bilasababu nakama wamemchukua wao basi Allah karim. Atamlipatu kwaxurma bihiznillah
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 21 день назад
@@HanifaOman-oo4pl nimwambie kitu kuna kipindi walikuwa wanakata waislaam wenye msimamo wengi walipotezwa ndugu yangu nae Allah alikuwa kamjalia kushikamana na dini hakuwahi kuwa mwana siasa kazi yakealikuwa mfanya byishara alikuwa na duka la spare mwanza alikuwa mtu wa watu nasio yeye peke yake niwengi waislaam walipotzwa ajabu walikuja kumkamata mwezi wa Ramadan akiwa msikitini hicho kipindi walikuwa wakuona mtu kafuga ndevu kavaa kazu yake fupi kiasi wanamwita gaidi ila yote kwa yote tulimkabidhi Allah yeye ndie ajuae imepita myaka nane sasa watoto wanabaki kuuliza kwani sisi hatuna baba? Kadogo kalikuwa ndio kamezaliwa kengine kalikuwa na myaka miwili na nusu
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 22 дня назад
Njaa.itakuuwa.
@JumaHussein-e1l
@JumaHussein-e1l 10 дней назад
Wacha kuchanganya dini na siasa , amua moja tu weka bibilia pembeni ingia kwenye siasa
@JohnArobogast
@JohnArobogast 19 дней назад
Kwahivyo unamaanisha kwamba uislamu ndio dini bora au
@Elecovid
@Elecovid 16 дней назад
Ww mpinga kristo acha kutafuta kiki
@AdamSingano
@AdamSingano 20 дней назад
Kuna Nabii mwingine ?hebu tuulizane jamani baada ya Nabii Issa au Yesu na WA mwisho ni yule aliesema yeye Yesu,Yuko Ajaye nyuma yangu :Nabii Issa ambaye hakuna shaka ni nabii Issa (Yesu) OGOPENI WANAOIOGOPA KESHO KULIKO LEO ,(Hao hawaigope Kesho be careful
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 20 дней назад
We stand with Palestine! We stand with Samia 2025!
@JosephMadeleke
@JosephMadeleke 12 дней назад
@@jumakapilima7295 we simama na Israel utaponya Roho. Yako achana na magaidi ya Palestina na Hizbula wa Lebanoni ndg yangu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 12 дней назад
@@JosephMadeleke kafiri wewe utateseka sana mwaka huu
@JohnKaliadi
@JohnKaliadi 15 дней назад
Mama anapendwa na wakristo wengi acha uchanganishi,muft anaongea busara sana kuliko wewe,yeye huyo sio msemaji wa wakrsto,acha kuwachonganishaa wakristo na waislamu
@mdidiomari7351
@mdidiomari7351 20 дней назад
Hapo nampigia kura samia kumbe wakristo kuna udini sana
@AlexMlaba
@AlexMlaba 22 дня назад
Kwani alitekwa mafichoni au mbele za watu
Далее
SHEIKH WA KIGOMA ABATIZWA ATOA MANENO YA UWONGO
29:00
Просмотров 2,6 тыс.
MCHUNGAJI AACHA KANISA AMSHAMBULIA RAISI
30:23
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
WATEKAJI WATU TANZANIA SASA HAWA HAPA
29:46
Просмотров 9 тыс.
MCHUNGAJI ALIE TUKANA QU'RAN SASA YAMKUTA
39:17
Просмотров 88 тыс.
MKE WA MCHUNGAJI AUKANA UKRISTO
29:57
Просмотров 21 тыс.
WAISLAMU WAITIKISA DAR KWA DUA
37:26
Просмотров 660