Тёмный
No video :(

MCHUNGAJI IPM AFICHUA SIRI YA KAFARA,HAKUNA UTAJIRI BILA KAFARA YA KUCHINJA MAGARI NA MAJUMBA YANA.. 

Maks Media
Подписаться 140 тыс.
Просмотров 4,3 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@biashaqtr-xd2mf
@biashaqtr-xd2mf 23 дня назад
Mashallah maneno yako mashallah powerful husemi urongo your write everything.kafara ni kuchinja na sadaka nipesa au vitu vidogo vidogo.
@nginqKanunga
@nginqKanunga Месяц назад
Mungu akubariki sana mtumishi nko mombasa
@BorerMsaah
@BorerMsaah Месяц назад
Kama Sio ushirikina Ni Nin hii Yaani Wokovu umebadlishwa kabisa Kua uganga hivii YESU KRISTO kazi yake Nin mbona tunankosea Mungu Jamani Mungu Atusamee 😢😢😢
@hadijatwahadossa
@hadijatwahadossa 14 дней назад
Huo ndo ùkweli,,,ndo maana watu wanaoongoza kwa umasikini ni walokole,,,hili liko wazi..
@uziasinkamba7380
@uziasinkamba7380 12 дней назад
Kwahiyo hapo wanatoa kafara za kuchinja ndiyo wakapata hizo kazi,siyo kweli jaribu kutulia usiwe na haraka.Yesu ni kila kitu na ndani ya yote....Mungu ponya Taifa letu
@tinershayo6191
@tinershayo6191 14 дней назад
Mimi bado naumwa sasa
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 20 дней назад
Walokole ni masikini sana..
@prochesernest5439
@prochesernest5439 28 дней назад
Tutawatambua kwa matendo yao mnatimiza maandiko 24:24 Mathayo wakristo kuweni macho ukweli wa biblia huwo hapo Yesu kristo Asante sana kwa uokovu wako Yesu analudi mapema Sana
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 Месяц назад
Imani ngeni
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Месяц назад
Anatoa Kafara kila siku
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Месяц назад
Huu uchawi kweli kweli
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l Месяц назад
Yaaani mimi uwa simelewi kabisa huyu mtu wewe nishetani wa kuzimu kabisa kwanza unajizalilisha tu mtadaoni bora tu ungebaki tu kwenye waisilamu maana huku wakiristo unatuvuruga tu inamaa na wewe kwenye kanisa lako unachinja Yaaani wewe unapotosha kabisa wewe siyo mchungaji nimganga wa kienyeji inamaa wewe waumini wako unawavuta kwa kuchinja
@woah.africa99
@woah.africa99 Месяц назад
Ibrahim ktk kuchinja mmedanganya ila alipo jenga alkabah mmepinga na huyohuyo ibrahim leo ndio saudi arabia sio saudi mzungu yote ni uongo wa wazungu wamebadilisha ukweli kua uongo vp isaka alikua sio jangwani ni phalestina alichwa sara na mwanae isaka na hajir na esmael na ibrahim ndio jangwani ndio hapo aipo ameiwa kumchinja mwanae esmael ndio mpka leo ukienda kuhiji unachinja na be ibrahim na esmael na hajir ndio sababu ya kuhiji naibrahim aliombea ardhi za arabia ndio mana hata ngamia alisomewa analala mana bee wote ni kutoka arabian land
@japhetferuzi1219
@japhetferuzi1219 Месяц назад
Kuchinja au kumwaga damu kweli ni kanuni ya mungu/kibiblia kupata mafanikio?
@lwezaurawilliam4498
@lwezaurawilliam4498 Месяц назад
Ipm wewe mwongo unapenda sifa sana! zitakushusha! Swali south Africa ulienda lini? na ulikuwa unasoma chuo gani?
@user-ji1mq4sk1n
@user-ji1mq4sk1n 29 дней назад
Dini mpya
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Месяц назад
HII IMANI NI NGENI, SISI KONDOO WETU WA SADAKA ALISHATOLEWA MSALABANI , HIVYO HATUPASWI KUMWENDEA MUNGU KWA DAMU YA MWINGINE ZAIDI YA DAMU YA YESU KRISTO. Wao walichinja wanyama bado damu haikutosha. WAKRISTO KUWENI MAKINI NA HIZI MAFUNDISHO NGENI KUTOKA KWA MAPEPO.
@tinershayo6191
@tinershayo6191 14 дней назад
Sasa wewe mtowe mtoto wako ujue kondoo atakuja 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
@PeterDaud-w4y
@PeterDaud-w4y 28 дней назад
Kanisa lake lipo wap hapa
@nginqKanunga
@nginqKanunga Месяц назад
Mimi nmependa mafundisho ykomtushi
@nginqKanunga
@nginqKanunga Месяц назад
Mimi naona utanisaidia
@AbdulHakim-ne8jl
@AbdulHakim-ne8jl 17 дней назад
Ipm ni binaadamu hawezi kuwa mkamilifu wa kila kitu ndio kakoseya jina unapaswa kumrekebisha alipokoseya na siyo kutumiya neno uwongo kila mja anaangaliwa hatimayake ya mwisho kwa imani ya dini yetu ya kiisilamu tumuombe Alhwa hatma jema kwa soto tuchoke kukumbushana kwa ajili ya Alhwa
@SaadatSaeed-re6nk
@SaadatSaeed-re6nk Месяц назад
Mongo.kudanganya
@hamoodhhamoodalsharji7584
@hamoodhhamoodalsharji7584 Месяц назад
NA NYINYI WAANAMIDIA ACHENI KUCHANGANYA WATU UNAULIZA JITU HATA HALIJIELEWI. ETI NABII HAKUNA UNABII KWA SASA. MANABII WA UONGO HAO NA JAHANNAM INAWASIBIRI.
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi 9 дней назад
unasema ajeeliwi mlikata.wake wengi alafu Leo MNA weka vimada nje kweli
@nancymuriuki304
@nancymuriuki304 Месяц назад
Tuelimishe kabisa
@nginqKanunga
@nginqKanunga Месяц назад
Mimi pia nataka unifundishe kutoa kfara
@salisali3738
@salisali3738 28 дней назад
Ipm muongo haja fungwa kamba alikuwa ana jua kama yy ndio ana chinjwa
@woah.africa99
@woah.africa99 Месяц назад
Muongo sio isaca
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Месяц назад
Sio isaka ni ismaili?
@SalahSalum
@SalahSalum Месяц назад
Ipm umeongea ukweli mtupu na umeongea kwa hekima sana watakaolewa ni wajanja pekeyao 😅😅😅
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 Месяц назад
Mwenye Enzi yote na Mamlaka, MUNGU mwenye uweza, utupe Hekima🤲
@prochesernest5439
@prochesernest5439 28 дней назад
Wewe wapi Yesu aliwafundisha mitume watoe kafara kwenye biblia angano la kale ? Hachana na ukristo wewe ludi huko ulikotoka kwenye Dini ya majini wanaopenda muwatolee sadaka za makafara Mungu alishatukataza kutoa sadaka kwa majini walawi 17:7
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 Месяц назад
Ipm unatuchanganya ww yaan imebidi nicheke
@FaustinaMkama
@FaustinaMkama Месяц назад
Hivi wewe nimtumishi wa Mungu kweli?
@NyamweruBushaza
@NyamweruBushaza Месяц назад
Aaaaaaaaaaa
@hamoodhhamoodalsharji7584
@hamoodhhamoodalsharji7584 Месяц назад
Acha uongo ndugu muogope mola wako kwanza wewe ulikuwa muislam Tamaa ya pesa umekuwa murtadi. Hapo unaposema isaka si ukweli ni Ismail ndie alitaka kuchinjwa.
@woah.africa99
@woah.africa99 Месяц назад
Solomon au sulaiman mana phalestina ni arab land
@hadijatwahadossa
@hadijatwahadossa 14 дней назад
Huo ndo ùkweli,,,ndo maana watu wanaoongoza kwa umasikini ni walokole,,,hili liko wazi..
Далее
🔴 #LIVE KWANINI TUTOE KAFARA YA MNYAMA ?
54:11
Просмотров 2,9 тыс.