Тёмный

Mdahalo: Biblia vs Koran, part 05 of 12 

Michael Mukuni
Подписаться 2,7 тыс.
Просмотров 91 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 100   
@kenidaki8942
@kenidaki8942 2 года назад
Amina watumishi wa injili ya YESU KRISTO.mubarikiwe
@hilaryjokoleajokolea1321
@hilaryjokoleajokolea1321 8 лет назад
Asante mchungaji mtarajiwa waambie kweli nayo kweli itawaweka huru nao wataokolewa Jina la yesu na libarikiwe Aminaa
@petermusyokim8580
@petermusyokim8580 5 лет назад
Keep up mchungaji
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 5 лет назад
Umepotea pia
@edenedna8934
@edenedna8934 5 лет назад
Amina amina
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 лет назад
Huyu mwalimu anamfuatia Mwankenwa kwa kujua.. he is my favourite.. anatupa mawe mazito kwa njia ya ucheshi! Ananikumbusha mwalimu wangu wa Fizikia high school.. alifundisha mambo magumu kwa mifano ya kuchekesha sana!
@edosindikwiki5851
@edosindikwiki5851 2 года назад
Qdaqhca
@mussakamando2678
@mussakamando2678 11 месяцев назад
Mawe yapi sasa hapo. Porojo na utumbo tuu
@mariamrkabura5414
@mariamrkabura5414 8 лет назад
MUNGU awabariki kwakufundisha injili kama YESU alivyo waagiza wanafunzi wake. kwamba nendeni ulimwengu kote mukiwambia juu ya neema imewafikia mukiwabatiza kwa Jina la Baba la Mwana Nala Roho Mtakatifu. barikiwa sana
@mazikukashinje1188
@mazikukashinje1188 5 лет назад
Ila
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 9 лет назад
ENDEELEENI KUPOTOSHANA HIVOHIVO MPAKA SIKU YA MWISHO. MAANA GIZA LILILOWATANDA KTK NYUSO YENU MTAENDA KUSAGA MENO. ALLAH AWAANDALIE MAKAZI HUKOOOO!!!!
@jei_Ibrahim
@jei_Ibrahim 3 года назад
Aah pastor eti mungu ana mkono allaa
@peterngeri6661
@peterngeri6661 9 лет назад
Nazidi kumshukuru mungu kwa kuwezesha kazi hii ya mdahalo kufaulu kwa mafudisho mazuri ya neno la mungu kufikia walioko mbali mimi, mafundisho ya yesu, sikuja kukosoa torati na manabii mbali kuikamilisha hakuna neno litaondoka hata yodi moja hata kiama kitimie neno la mungu litasimama milele mchungaji mtarajiwa pamoja na munao shirikiana nao mungu awabariki sana ukweli ujulikane nikipi kitabu cha kweli,nikweli mitume walio tangulia walijua kusoma na kuandika ubarikiwe sana
@wgsaempiretv864
@wgsaempiretv864 5 лет назад
Waislamu chaliiii !leo mmepatikana.
@wanjerijoseph6223
@wanjerijoseph6223 5 лет назад
wanjungaji mungu awape ngufu mkihubiri njili ya mungu wetu
@kinyemkira5623
@kinyemkira5623 5 лет назад
Hakika neno LA Mungu lazima lihubiriwe. Mchungu ubarikiwe sana
@gladysjosephmacharia3250
@gladysjosephmacharia3250 5 лет назад
wakristo hallelujah AMÉN AMEN
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV 12 лет назад
Amina, ubarikiwe sana mchungaji mtarajiwa wa msikiti wa makangalawe
@asmaabdallah4055
@asmaabdallah4055 6 лет назад
Yeso mungu wenu akamuumba iblis tena iblis akamjaribu akamwambia ni sujudie nitakupa Mali yote ya funiya kwani nyinyi wakristo muko wapi
@asmaabdallah4055
@asmaabdallah4055 5 лет назад
Musa ndie kapewa taurati si beblia mungu haitambui hiyo beblia wala yeso yeso kapewa in jili kama wanaumekweli tafuteni injili ya yeso mbona hamna wajinga
@financialloan9818
@financialloan9818 5 лет назад
@@asmaabdallah4055 mbona Qran inaitambua bible?😂😂😂😂😂😂😂😂😂iyo injili zaburi torati zotee zipo kwenye bible sio nyinyi wazee wa jiwe jeusi mmechukua kila kitu Kwenye bible
@lusekelomwansasu2502
@lusekelomwansasu2502 5 лет назад
Cha kushangaza zaidi nawashangaa sana waislam Wanabisha hata hawasomi kitabu chao wakati wanapewa mistari ya Quran halafu wanabisha poleni sana waislam
@زينبعليعبدالله-ز3س
Jipeni pole wenyew makafir nyie
@hamzahajji4650
@hamzahajji4650 Год назад
Hiyo Aya anae ongea ninan
@davidotv8228
@davidotv8228 4 года назад
Neno la Mungu halipingiki kamwe!
@yahyaibrahim6546
@yahyaibrahim6546 2 года назад
Wakristo io sio dini mungu hazaliwi nyinyi mungu wenu kajaa madhaifu mungu anazaliwa mungu anakula mungu anapumua mungu anakaa tumboni huu si ujinga hamna tofauti na waliokua wakiabudu masanamu wanabudu midude isio ongea yani me nakwambieni hamtompata muislam ata mmoja kuingia ukristo kwasbb maneno yenu ya hovyo dini yenu haijulikani dini gani mashaka tuh mungu anatoka kwenye kuma umeona wapi
@mwasaharijani322
@mwasaharijani322 9 месяцев назад
Hio kuma iliumbwa na nani?
@tatukhatibu317
@tatukhatibu317 4 года назад
nenda uko mshenzi we unamdanganya nani sie waislamu hatubabaishwi na roho mtakatifu utajuwa huko mbele ya mungu wa wakweli
@زينبعليعبدالله-ز3س
Hakika
@MaranathaMushi
@MaranathaMushi 9 дней назад
AMINA Saana
@mwambiretv165
@mwambiretv165 6 лет назад
waandishi Wa quran walipo ishiwa na mawazo kwa kutosoma na ulevi wakarudia bibilia nakuchukua vitabu kv; torati,zaburi.....waislamu mbona mnakuwa wagumu kuelewa ama ni vyenye mlichapwa madrasatul, poleni.
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 5 лет назад
WAISLAMU Nawapongezeni Sana, Kwani Leo Nimethibitisha Yakuwa Wakristo Waongo. Hii Debate Imedhihirisha Yakuwa, Wakristo Walizidiwa Katika Hii Mada, Ndio Maana Wameamua Wachukue Vipande Walivyozungumza Wao Tu Ndio Waviweke Hapa Ili Isionekane Kama Waliumbuka.
@maikoumilesh
@maikoumilesh 5 лет назад
Vipande vyote vipo. Hakuna ubaguzi.
@جانيتكينيا
@جانيتكينيا 5 лет назад
Amen, God bless you. Jesus christ is God
@amuleleshivachi3167
@amuleleshivachi3167 8 лет назад
bibilia ni kweli wajeni Mungu ajidhihirishe na kitabu choke.
@anwaramin4855
@anwaramin4855 10 лет назад
Huu mdahalo ni 12 parts but nashanga kuona parts tatu tu, part 1,2 na 5. Je wenzetu kiubinadamu mbona hamu wadilifu kuweka parts zote 12 na watu wajuwe ukweli uko wapi?
@calvinmchopa2222
@calvinmchopa2222 6 лет назад
Anwar Amin na Nyie wekeni zenu
@maikoumilesh
@maikoumilesh 5 лет назад
Zipo zote 12. Zitafute utazipata.
@amarbawaazir8120
@amarbawaazir8120 12 лет назад
Mbna wahadhiri wakiisIam hamjaonyesha mmerukisha hapo?
@maikoumilesh
@maikoumilesh 5 лет назад
Wapo
@mussakamando2678
@mussakamando2678 11 месяцев назад
Ulivyoona kamaliza dakika zake ukakata video ili majibu ya waislam tusiyaone😂. Ujanja-ujanja tu hamna lolote!
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 5 лет назад
Kila Mwenye Akili Timamu Akikiangalia Kipande Hiki Atafahamu Yakuwa Wakristo Wamefanya Ujanja . Ili Uone Ujanja Walioufanya Itazame Mpaka Mwisho Utagundua Kitu. Hawa Watu Waongo Sana Hawamuogopi Hata Mungu Hawa!!!!!!!!! Wakristo Mjuwe Uongo Nao Ni Dhambi. Hapa Mumefanya Uongo Wa Dhahiri Kabisa Kwani Hakuna Debate Ya Upande Mmoja Huu Ni Uongo.
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 5 лет назад
Mliona muhadhara gani waislamu wakawa wakristo?zaidi ni wakristo wanakuwa waislamu.wacheni kupoteza muda wenu wakristo mmepotea
@Tropical_Amor
@Tropical_Amor 10 лет назад
Sasa mungu.kaandika biblia au torat? Mbona,mnatuchanganya
@leahmagaiwa2870
@leahmagaiwa2870 7 лет назад
Husna Soumry torati ikondani ya bible....hivyo ameandika bible
@MohammadsTimimieysz
@MohammadsTimimieysz Год назад
Haya Mungu wa Bibilia huyo Ana Mkono.. na Chanda .. WaKristo waulizeni hao MaPasta na WaIngilist wasema huyo Mungu wa Bibilia pia Ana Macho maana hawezi Andika mpaka awe na Macho.. Swali huyo Mungu wa Bibilia akiwa Kipofu.. yaani ni Nini ..Sijui niseme Nini..maana ni Ujinga au ni Upumbavu
@issamohd9955
@issamohd9955 4 года назад
Mbona umechukua vipande vya wakiristo tu waislamu unavirusha há há há há há há munaogopa ukweli kazi munayo
@edsonndomba1049
@edsonndomba1049 3 года назад
Weken na nyinyi vyenu
@جانيتكينيا
@جانيتكينيا 5 лет назад
Tell them again God himself wrote the bible
@janenjenga5639
@janenjenga5639 5 лет назад
Wape habari wapinge au wasikubali.kwa Yesu niraha tu.nendeni mkahubiri kwa mataifa yote mkiwabatiza.
@yahyaibrahim6546
@yahyaibrahim6546 2 года назад
Hu mdahalo mbona hamjawaweka waislam hahahah mmeukata nusu naona wanaongea wakristo tuh
@Sempreapostandonaverdade989
@Sempreapostandonaverdade989 3 года назад
Bíblia vs Quran part 3
@khamishaji6705
@khamishaji6705 6 лет назад
hii vidio imekosa uadilifu kwann part ni 12 nyengine hazipo kwa ajili ya kuficha tu ukweli
@calvinmchopa2222
@calvinmchopa2222 6 лет назад
Khamis Haji weka wewe. nn maanayake ya2:35quran
@khamishaji6705
@khamishaji6705 6 лет назад
+Calvin Mchopa ivo vipande havipo sawa mumeweka vipande tu tuambavyo waadhiri wenu wanaongea ,, alafu uyo muongeaji wenu hajui ata anaongea nini
@maikoumilesh
@maikoumilesh 5 лет назад
Vipande vyote vipo
@proudzanzibarian3134
@proudzanzibarian3134 5 лет назад
Mbona munaruka au hamtaki kuona na kufaidika raha ya quran
@danielmahela2436
@danielmahela2436 4 года назад
Hahaha huyu muinjirist anachekesha anasema siku Yamwisho waislamu watamuuliza buibui
@wanjerijoseph6223
@wanjerijoseph6223 5 лет назад
mazinge njunga sana jehanamu yakungojea kwa kupinga kristo yesu
@mansixgooseman8915
@mansixgooseman8915 5 лет назад
Kabisa
@زينبعليعبدالله-ز3س
🤣🤣🤣🤣
@زينبعليعبدالله-ز3س
Kati ya wewe na mazinge Nan jahanam inamgoja polen sana
@financialloan9818
@financialloan9818 5 лет назад
Uyu jamaa mfupi uwa namuelewa sana anawanyoosha waislam eti Mohammed ajui kusoma wala kuandika😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂aibu yao iyo wanaongozwa na mbumbu na wao lzm wao ni .. . ...
@anjelinawiliam5415
@anjelinawiliam5415 7 лет назад
yani mwanadam aliekipofu ambaye haoni walahaaasikiii yesu nimwana wamungu hanampinzani lamdawewekipofu usioonawalakusikia
@davidcalcul1938
@davidcalcul1938 8 лет назад
nina shida ya part 03 na part 04
@mwanashazinga9538
@mwanashazinga9538 6 лет назад
video iko wrong sna
@abaslegera9841
@abaslegera9841 6 лет назад
Huyo shekh hajasoma vizuli ludi dalasani
@bromadina
@bromadina 11 лет назад
mbona hujaweka mabomu mulipigwa nazo....
@janetkahada5206
@janetkahada5206 5 лет назад
Kweli mimi na shinda Muhammad mutume kusoma na kuandika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Majabu ya Musa. Ndiyo sababu wanauliza maswali ya upumbavu.
@gladysjosephmacharia3250
@gladysjosephmacharia3250 5 лет назад
Bibilia ni kitabu cha vitabu vitakatifu
@godisgreat1845
@godisgreat1845 6 лет назад
Aloandikiwa kwenye mbao ni torati sio bible wa injili tunajua kuwa hicho ni kitabu cha makafiri wala M/mungu haitambui bible
@calvinmchopa2222
@calvinmchopa2222 6 лет назад
sema kweli Quran iliandikwa wapi? mama nani? nope na ushahidi.
@hamzahajji4650
@hamzahajji4650 Год назад
Elimu yako ndogo wako ushabiki
@mudiinasser4303
@mudiinasser4303 5 лет назад
Ndugu zetu wakiristo wabishi mussa alikuwa na maandiko Sasa mussa alikuwa na dini Gani ni uislam Sasa tabu ipo wapi mbona hamfaham maandiko yapo wazi
@financialloan9818
@financialloan9818 5 лет назад
Inamana musa alikua muharabu?maana uislam umetokea uharabuni vp musa alipewa shahada gani?au alikua na iyo Qran?swali mama ake Mohammed vp nae alikua muislm maana Mohammed alikua yatima akukuta bab wala mama vp wazazi wake walikua waislam?na walipewa shahada gani?
@ericruyenzi566
@ericruyenzi566 Год назад
Aya gani musa alikuwa uislam katika bibiliya?!.
@MyShau
@MyShau 11 лет назад
hahaha. ni sawa kwa kuuliza swali na jibu hakuna.
@babawawili3139
@babawawili3139 4 года назад
Hapana mtumixhi
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 9 лет назад
HAMCHUKULII MFANO KWA FIRAUNI?ALIYEJIFANYA YEYE MUNGU AKAPEWA FUNDISHO HADI LEO.INA MAANA YESU NDO ALIYEMUANGAMIZA FIRAUNI AU? SUBIRINI MTAENDA KULA WACHUYA . MNAMPA YESU UUNGU! KABLA HAJAZALIWA YESU MARIAM MUNGU WAKE ALIKUWA NANI? NYIE NYIE NYIE MTAKUWA NALO LAKUMJIBU ALLAH.
@amuleleshivachi3167
@amuleleshivachi3167 8 лет назад
lsaya 9:6 hapingiki yesu ni Mungu ends pole utajua hata Mimi singependa kuabudu mwadama.
@gracecypiliani3520
@gracecypiliani3520 7 лет назад
Yesu kabra hajazaliwa na maliamu yeye alikuwepo ndoomana malaika akamwambia maliamu hiyo atakae zaliwa jina lake ataitwa Imanueli maana take Mungu pamoja nawanadamu
@MyShau
@MyShau 10 лет назад
MIE NAULIZA ZABURI NA TORAT IPI IMEKUJA MWANZO? WAKIRISTO WA UONGO, ETI MUNGU WA KWANZA KUANDIKA. DAUDI NA MUSA NANI KAJA MWANZO?
@leahmagaiwa2870
@leahmagaiwa2870 7 лет назад
MyShau huondio ukweli na Bíblia ndiyoinasema hivyo sio wakristo
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 9 лет назад
UMELAANIWA WEWE MCHUNGAJI
@حسامالراشدي-د9ن
@حسامالراشدي-د9ن 6 лет назад
kaalaaniwa nani nynyi waislm amjui kinachiendelea zidini kukaaa injeer
@willymaulidi3991
@willymaulidi3991 7 лет назад
koroani siyo kitabu cha MUNGU ni cha Muhammad na wakwe sake waka jaribu kukopi ya Biblia
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 11 лет назад
sijawahi kuona debate ya upande mmoja tu kama hii ilivyo ni wahadhiri wa kiikristo tu ni ajabu sana..lol
@maikoumilesh
@maikoumilesh 5 лет назад
Wahadhiri wote wapo
@zainabzanzibar1518
@zainabzanzibar1518 6 лет назад
LAANA TULLAH MCHUNGAJI NA KONDOO WAKO
@calvinmchopa2222
@calvinmchopa2222 6 лет назад
Zainab Zanzibar Yesu ndie njia ya kweli na uzima Hakuna muongozo wa mwingine zaidi ya hapo some fatha na Yohana 16:4
@MyShau
@MyShau 11 лет назад
kwani allah hamtambui shetani? hebu tueleze kwenye biblia paul ni mtume wa nani? 1timoteo 1.20 + matendo 16.16>17 ivi wakiristo wanajua kuwa shetani alijigeuza sura ya yesu? maandiko mazuri lakini masikini ndugu zetu hawajui nini maana yake na na kushangiria. kila baya ndilo linaloharamishwa. ulevi unakatazwa mpaka kwenye biblia. na ukilewa unaweza kumpanda hata mtoto wako. maandiko yamo kwenye biblia. na uislam unakataza mambo mabaya. nengewaomba muzidi kusoma. quran ameshushiwa mtume na hao mazahaba ndio walioandika kwa amri ya mtume ili kuihifadhi. lakini hebu tusome luka 1.1>4. na walioandika biblia matayo, yohan, luka, marko wala sio wanafunzi wa yesu wala masahaba wa yesu. ukienda matendo, roma, korinto na mengineo hapo ndio vishindo na huko kwenye agano konge utaona kufuru eti mungu anaenda kufanya ukahaba na watu duniani. soma wimbo ulio bora matusi matupu
@celestineindata4026
@celestineindata4026 8 лет назад
Hahaha!u just made my day ..sasa kama Yesu alijigeuza shetani mbona alifunza wakristo mambo mazuri kama penda maadui zako na mambo mazuri mengi, kwani shetani ufunza mambo mazuri?!shetani ufunza mambo mabaya kama yesu kajigeuza shetani pia basi kwenye Qur'an Yeahwni shetani basi Uyo Isa 😂😂
@calvinmchopa2222
@calvinmchopa2222 6 лет назад
MyShau Allah manage Mungu. je Mungu wa Biblia unajua Anaitwa nani?
@calvinmchopa2222
@calvinmchopa2222 6 лет назад
MyShau ufunuo 1:8
@calvinmchopa2222
@calvinmchopa2222 6 лет назад
MyShau ndani ya Quran Hanna Mungu Ni majina na mkuu wa mjini ambae uislam ndo unamuitikadi kuwa Ni Mungu
@financialloan9818
@financialloan9818 5 лет назад
Kubishan na awa jamaaa yataka moyo Yan wakristo wana maneno matamu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wakristo oyooooooo waislam mbumbu kama nabii wao yesu wetu anajua kusoma na kuandika bhana
@joshuakwelimoto6494
@joshuakwelimoto6494 7 лет назад
islamu ni dini ya mambumbumbu
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 9 лет назад
UMELAANIWA WEWE MCHUNGAJI
@madammaggie7779
@madammaggie7779 6 лет назад
ulaaniwe ww rahma unayekosaa hekima Na maarifa ya kutambua ktoka kwa Mungu alie hai
Далее
Mdahalo: Biblia vs Koran part 06 of 12
12:18
Просмотров 45 тыс.
053 HABIB MAZINGE | JE SACRAMENTI NI MWILI WA YESU 2/2
58:24
Решил подарить девушке айфон
00:59
Mdahalo: Biblia vs Koran part 07 of 12
15:01
Просмотров 86 тыс.
SWALI LA Dt Pro MAZINGE HALIJIBIKI
17:03
Просмотров 129 тыс.
MDAHALO WASLAMU WASHINDWA KUTETE IJUMA
27:13
Просмотров 827 тыс.
Je biblia ni maneno ya Mungu pt1
54:34
Просмотров 3,2 тыс.
Mdahalo: Yesu ni Mungu? part 06 of 07
21:22
Просмотров 16 тыс.
Kipi kitbu cha kweli, Maswal na Majibu,
21:26
Просмотров 3,9 тыс.
Nani aliye mtuma Muhammad.
30:48
Просмотров 33 тыс.