😂😂😂😂 Zito bwana alivyoshituka sasa alivyomuona jot bar 😂 yaani ukiacha jot ktk watu ambao hawatumii nguvu kuchekesha ni wewe na babu aliyeachiwa hela bandia aise nyie watu mnanipaga raha sana ha😂😂
@@nilla1657 wanampa sana offa za out pia kuridhika mtoto wa kike anaridhika haraka yaan anaanza kupoteza uzuri mie nikahisi alikuwa ametoka kuzaa bhana kumbe misosi na beer zitamuaribu Ila Samia bonge la demu yani